GEOF LEAH AMPINGA GAMONDI | KWA KAULI YAKE YA HAJAWAHI KUWA NA TIMU BORA KAMA YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 тра 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 16

  • @DaudiMuya-jx3rg
    @DaudiMuya-jx3rg Місяць тому

    Bora ukae kimya Jeff,hauna jipya unawapotezea muda wataalam apo

  • @user-bd8dk2cl7x
    @user-bd8dk2cl7x Місяць тому

    Iyo.redio.yenu.ndoomana.sikuizi.watu.hawasikilizi

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 Місяць тому

    Kilaza

  • @ngwandubenedictor7320
    @ngwandubenedictor7320 Місяць тому

    Simple question Kwa nini hakusema kauli hiyo alipokuwa huko ?

  • @shehehussein2712
    @shehehussein2712 Місяць тому

    Huyu jef kweli ni mchambuzi kweli huyu jamaa mnaiyabisha hiyo redio

  • @IbrahimMohamed-wm3zf
    @IbrahimMohamed-wm3zf Місяць тому

    Ww umesema huwezi msifia mpenzi wako wa zamani kisa umeoa utamsifia uliemuoa..ulitaka Gamondi asifie kikosi Cha miaka 20 hata aina ya soka imechange...unadhani hao uliowataja wangecheza mpira wakati huu

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 Місяць тому +1

    Huyu Geoff Leah ni sifuri kabisaaaaa

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 Місяць тому +1

      time bora unaangalia variables nyingi sio ubora wa squard tu.huyu ni kiraza sana haloo

  • @AmiriMalenge-kc5jk
    @AmiriMalenge-kc5jk Місяць тому

    Sasa uko mamelod alikua coach mkuu

  • @AceB4real
    @AceB4real Місяць тому

    Kalewa huyu leo

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Місяць тому

    HUYU MVUTA BANGI NA SIKU ZOTE HUWA ANAIPINGA YANGA TU....YEYE KASEMA KWA MUJIBU WA MAONO YAKE GAMONDI SASA WEWE MBUGILA MMOJA KWANN UPINGE MAWAZO YAKE???

  • @IbrahimMohamed-wm3zf
    @IbrahimMohamed-wm3zf Місяць тому +1

    This guy geof Leah is so illiterate I think efm hapa mmepuyanga huyu mtu hapana ana hoja za kitoto na Hana uweledi wa tafsiri ya mawazo ya mtu...that ws Gamondis opinion na Yuko kwenye wakati sahihi kusifia alichonacho

  • @MkuzoSmart-sb9gh
    @MkuzoSmart-sb9gh Місяць тому

    Matako huyu

  • @user-to6cg8uf3f
    @user-to6cg8uf3f Місяць тому

    Geof Leah umepoteza madini kabisa hivi hicho ni kitu cha kuzungumza dakika zote hizo??? Ni kwel usemavyo lkn pia unaumia nini? Mbona kitu simple Sana kueleweka...embu tafuta madini tupe nondo Acha blabla Kaka nilikuwa nakuelewa Sana siku hizi unachoma sana

  • @mchjohnmasegese8193
    @mchjohnmasegese8193 Місяць тому

    Sasa mtu kasema alivyoona yeye.wewe unaumia nini

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 Місяць тому

    Tanzania tuna watu wajinga wengi ila huyo Geofrey ana kipaji cha ujinga