MZE WA JAMBA AJITETEA ' SHUGHULI YA YANGA IMEISHIA HAPA' ILITUMIKA KUWAJENGA ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 4 місяці тому +5

    Sasa nyie so wachambuzi nyie ni washabiki wa Simba ndo mana kila mtu alimpa simba ubingwa cz ni timu yake 😂😂

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 4 місяці тому +6

    😂😂😂😂 WAGANGA WA RAMRI AIBU ZENU . SISI TWAJUA YANGA NI BINGWA.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 4 місяці тому +1

    Nimeamini huyu nae akili zake mfano wa pakacha la maembe ameiga utani wa OSCAR OSCAR akauchukulia kweli akaupeleka kwenye kazi yake hii inawahalibia sana wachambuzi wa mchongo hovyo kbs

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 4 місяці тому +7

    Mungiki kwenye ubora wao, Karibuni msimu ujao muendeleze ramli...

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 4 місяці тому

    Mnafiki huumbuliwa mchana kweupe! Hili bundi uchuro lenye bichwa kubwa na miwani limeumbuka , eti prediction (prediction huzingatia research siyo awa na betting). We bundi acha úpuuzi! 3:00

  • @BritoZenda
    @BritoZenda 4 місяці тому +2

    Mbona mwajitetea hivyo? Tunachojua yanga bingwa, the rest is up to you.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 місяці тому

    UJINGAAAA NTUPU ;U KNW NOTHING ABT FOOTBALL; FOOTIE IS NOT PLAYED ON PAPER U FOOL ;TS QUALITY LEADERSHIP

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 4 місяці тому

    Tatizo uchambuzi wenu ni wa kishabiki. Chambueni mpira siyo timu kwa hisia zenu. Haiwezekani Simba ikawa timu bora tu kwenye midomo yenu hata wanapofanya vibaya. Ni kuwapotosha. Inashangaza uchambuzi wenu, hata kama Simba hakucheza badara ya kujadili timu zilizocheza, Simba itaingizwa.

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 4 місяці тому +2

    Sura imeshukaa 😂😂😂😂😂hamini anachooo kiona 😂😂😂😂yanga bingwa mpka 2040 InshaAllh

  • @iluvjesus313
    @iluvjesus313 4 місяці тому

    Kutabiri siyo jambo zuri maana unaongea usichokijua, lakini kutoa unabii ni jambo zuri maana unaongea ulichofunuliwa na MUNGU

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 місяці тому +2

    KATIKA HAO JEAF LEAH NDIO NUKSI SANA YAANI NDIO ANAONGOZA KUICHUKIA NA KUIONGELEA VIBAYA YANGA

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 4 місяці тому

    utabir wako wa kikolo kikolo unakuingiza chaka...sasa baada ya kukosea mnapeana moyo its okay...daadeq..mtatabir mpaka hidaya. yanga inawaachia vumbi tu na vijiba vyenu

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 4 місяці тому

    Mnamaanisha kumbe ni porojo tu tusiwazngatie utabirwenu

  • @kunsule9261
    @kunsule9261 4 місяці тому

    Oneni wanavyo jamba jamba tu hapo nyuso zimewatepeta kaa vibaka waliodakwa

  • @benjaminndayizeye8972
    @benjaminndayizeye8972 4 місяці тому

    Waongo nyie Yanga ingetolewa for that time mungesema " tulisama Yanga hata toboa" lakini kwasabu walishinda ndomunasena mulikuwa munawahamasisha. Guys get out of here man

  • @draallie5335
    @draallie5335 4 місяці тому

    Wanafki wa EFM kwenye moja na mbili😂😂

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 4 місяці тому +4

    Wanajitetea leo mungiki

  • @IdrisaKagoma-kr6ql
    @IdrisaKagoma-kr6ql 4 місяці тому

    Mwenzio Oscar amekiri kua amechoma,akasema yanga ndo timu ambayo inaweza kufunga magoli mengi na midomo mingi, kwann na ww usikubali tu kua yanga imekufunga na ikakufunga mdomo?

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 4 місяці тому

    Huyo oruma si hiyo tu huwa anakosea siku zote kwa Yanga sbb haipendi tu

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 4 місяці тому

    Sasa ndio wote mtabili Yanga kutokuwa bigwa asiwepo hata mtu mmoja wa kuipa Yanga kama siyo uchawi na ushabiki nini sasa, imeumbuka michawi hiyoooo tukeni hapa mapepo popo nyie.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 місяці тому

    Mtabiri feki na ndo asiyeipenda Yanga si bahati mbaya ila haipendi Yanga ndo maana inawaumbua hao na wenzake wote

  • @octaviusrutta4553
    @octaviusrutta4553 4 місяці тому

    Nyie ni kama vibaka wa Tv, pumbavu zenu Yanga imewafumba midomo

  • @thomassydney5857
    @thomassydney5857 4 місяці тому +3

    Mnajitetea sana si mkubali tu mmchoma 😂

  • @felixisoler2938
    @felixisoler2938 4 місяці тому +2

    Mashabiki wa Simba kwenye ubora wao

  • @shekhomarynnunduma5209
    @shekhomarynnunduma5209 4 місяці тому

    Wote Hawa chanel hii na kipindi hiki ni washabiki wazi wazi wa mnyama

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 4 місяці тому

    Huyu paka na George Great wana chukia yanga sc

  • @SadamAlly-gv3nw
    @SadamAlly-gv3nw 4 місяці тому

    😮Kama amjui kuchambua mpila kalimen

  • @husseinmkwachu6071
    @husseinmkwachu6071 4 місяці тому +3

    Mnaona AIBU sasa....😂

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 4 місяці тому

    Nyie wote hapo ni waganga wa ramri wa uongo

  • @leoniaashery9337
    @leoniaashery9337 4 місяці тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wanavyojitetea

  • @jumamgeni6403
    @jumamgeni6403 4 місяці тому

    UYO SIYO MCHAMBUZI

  • @HamadMwaliza
    @HamadMwaliza 4 місяці тому

    Mzee wa jambia asutwa

  • @tezuramziray8700
    @tezuramziray8700 4 місяці тому

    Studio waandishi mnaingia na masweta ya Ilala Boma kweli kuna uchambuzi hapo.

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 4 місяці тому +3

    Wanawajibika na Kuapa pamoja na kuteteeana pamoja .
    Vigezo vyao vinafanana wanahaha kujinasua kwenye shimo😢😢😢😢😢😢Uislam ni Dini iliyoonyooka Mnafiki Ana sura mbili na ndimi 2

  • @beatusrutaserwa2745
    @beatusrutaserwa2745 4 місяці тому +1

    Alitabiri Kishabiki, hata alipoona Yanga anauwasha bado alisisitiza hawana chao

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 4 місяці тому

    Maku zenu nyie ma bwabwa

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf 4 місяці тому

    ubwege wao

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 4 місяці тому +2

    Haooo 😂😂

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 4 місяці тому +1

    Namwona Tigana wa Simba kakaa kimya

  • @MussaNamkoka-xz4mv
    @MussaNamkoka-xz4mv 4 місяці тому +1

    Wasenge nyinyi mnamjenga Nan

  • @alfredbomani8047
    @alfredbomani8047 4 місяці тому

    You are so slippery like shifting sand. You should be renaamed TriTwister madjesu but

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 4 місяці тому +1

    Poleni sana wachawi wetu

  • @FabianPiusMghanga
    @FabianPiusMghanga 4 місяці тому

    Hakuna wachambuzi hapo, wanaongozwa na ushabiki tu. Oruma asijitetee.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 місяці тому

    Huyu miwani mikubwa,mchambuzi hovyo kwangu! Mpeni kipaza sauti aendelee kutuonyesha mchambuzi mchongo!!!

  • @MichaelMgalilwa
    @MichaelMgalilwa 4 місяці тому

    Apo uliingiza ushabiki nayote hii sababu huipendi yanga unapinga hadi ukweli duuuu

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 місяці тому

    Is there, is there mwisho itakuwa zerea zerea! Mpaka mseme!!!!

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 4 місяці тому

    Heshimuni mpira... Hakuna matokeo ya mfukoni

  • @AbduliNditi
    @AbduliNditi 4 місяці тому

    Nyoo mbwa nyie kosea kufanyazamb mdomo unaumba unafki mtuputu mabwege nyie

  • @warrenkilimber4013
    @warrenkilimber4013 4 місяці тому

    Waganga wa kienyeji waliovama uchambuzi

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 4 місяці тому

    Mzee wa jambia na wenzie wanaachia mashuzi tu😂😂😂

  • @josephshaibu8049
    @josephshaibu8049 4 місяці тому

    HAMNA JIPYA KABISA.
    Mmefeli

  • @aliathman5511
    @aliathman5511 4 місяці тому +1

    Jisura kma zobaa

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 4 місяці тому

    Yanga Bingwa muwe mnataka au hamtaki na wivu wenu

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 місяці тому

    wanajitetea 😂😂😂😂😂 yan wanateteana😂😂😂

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 4 місяці тому

    Yaan huyu jamaa oruma Hajuagi kitu haelewi

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 місяці тому

    Tigana Pekee yake ndio mwanaspoti haya mengine ni malevi tuu

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 4 місяці тому

    Duh! Hatari. Mmeumia!

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 4 місяці тому

    Ayooooo! Masangoma.