MKUTANO MKUU YANGA | Miguel Angel Gamondi kocha mpya Yanga SC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Huyu hapa kocha mpya wa Yanga SC, anaitwa Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina.
    Msikie Ofisa Habari wa timu hiyo Ally Kamwe akitaja wasifu wake.
    Ni Mkutano Mkuu ya Yanga SC ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)

КОМЕНТАРІ • 95

  • @yusufunkondo512
    @yusufunkondo512 Рік тому +2

    Good work Uongozi wa Yanga.Mwamba huyoo.

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 Рік тому +1

    Kocha mwenye CV nzuri hawezi kuja timu zetu sema tu nikocha wa kawaida sana atafanya vizuri

  • @SimonSembeta
    @SimonSembeta Рік тому +2

    Kweli Bhan inshallah 🙏mungu urusaidie

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Рік тому +1

    Good coach kwa mujibu wa CV

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 Рік тому

    Oyooo yanga 💛💚 🏆 tamuuu

  • @agreyaman-pl3db
    @agreyaman-pl3db Рік тому +1

    Miezi 3

  • @YahayaRamadhani-vo3hm
    @YahayaRamadhani-vo3hm Рік тому

    Nakubal yanga

  • @EasterPsul-ku1vq
    @EasterPsul-ku1vq Рік тому +1

    God bless my team Dar young Africa

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 Рік тому +1

    We Aly mwaka 2002 ulkuwa na umri gan😂

  • @georgejoseph-wd3yc
    @georgejoseph-wd3yc Рік тому +1

    ela amna

  • @ellymtz6886
    @ellymtz6886 Рік тому

    Tunataka kombe la Africa...🙏🏻🙏🏻🙅

  • @ShadyaSekibah-ny9qf
    @ShadyaSekibah-ny9qf Рік тому

    Mungu tuongoze yanga

  • @flova7022
    @flova7022 Рік тому +1

    C.v haichezi

  • @nickclaver7195
    @nickclaver7195 Рік тому +4

    Karibu robertinhon anakusubiria kwa hamu akukande za kutosha gamondi ni kocha wa kawaida sana 😂😂😂😂 Tena huyu akimaliza msimu Niko palee

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 Рік тому

      Nabi alivyokuja yanga alitoka kufukuzwa na el merek ya sudani.. Mkamsema hivyo hivyo!

    • @nickclaver7195
      @nickclaver7195 Рік тому +3

      @@thadeylyimo9772 nabi amekuta Simba ikiwa imeyumba yumba nabi angekuja na kuikuta Ile Simba ya Gomez da Rosa mngemfukuza mapema sasahivi Simba inaenda kuimarika gamondi tutamuita omondi😂😂😂😂

    • @abuumtoa2336
      @abuumtoa2336 Рік тому

      Sawa

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Рік тому

      Tukuite nguruwe

    • @kipupwefedede7130
      @kipupwefedede7130 Рік тому

      ​@@nickclaver7195ahidi kitu

  • @kazumarihokororo9153
    @kazumarihokororo9153 Рік тому

    Yangaaaaaaaa

  • @brown5418
    @brown5418 Рік тому +1

    Leo umejitambua kuwa super cup Ni kwa wakubwa!

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Рік тому

    Amina 😢

  • @AyoubMatinay
    @AyoubMatinay Рік тому

    naomba kujua et yanga tumemsajil nan na nan

  • @lucasnyumbwidi5929
    @lucasnyumbwidi5929 Рік тому +1

    kwa kocha huyu cvs zake hazina ushawishi

  • @salehdeen_abah
    @salehdeen_abah Рік тому

    very nice

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 Рік тому

    Well Done

  • @nicholasmkama2877
    @nicholasmkama2877 Рік тому +1

    Wataelewa wakina nani?ana mambo ya uswahilini Sana huyu,

  • @gabrielmwabura6059
    @gabrielmwabura6059 Рік тому

    Well done

  • @flova7022
    @flova7022 Рік тому +1

    Nyieee tutajuaaa Argentina and Brazil wapi Kuna ronadinho

    • @nkosiyabomasuku1795
      @nkosiyabomasuku1795 Рік тому +1

      Vile vile tutajua Argentina and Brazil wapi kuna Messi.

    • @flova7022
      @flova7022 Рік тому

      @@nkosiyabomasuku1795 we wadhan Messi n ronadinho nani mwamba hahahahaha yaan kigari na gugari

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 Рік тому +1

    Ikumbukwe Master of forged Ptlroffesors n.i,Robertinho bado yupo pale Simba Sc anasubiri mmalize kujilamba ndimi aweonyeshe yeye ni nani na ana nini kwny ishu ya Football🤫😀😀😀🤗

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Рік тому

      Sas robertin kafanya nn cha ajabu ,kuifunga yanga ndo mafanikio yakuongea kweli nyie makolo malengo hamna

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому +1

    Mmechemka watani

  • @stephencharles4391
    @stephencharles4391 Рік тому +1

    Utopolo wametepeta upande wa mwalimu

  • @ddontz
    @ddontz Рік тому

    We goo😂😂🙏💪💚💛💚💛🔥🔥

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp Рік тому

    Miye niko Goma Congo, uyo coach njo kocha twamutaka siye yaga, ni profesa nasikiya.

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Рік тому +1

    Yule wa mimosa ndio kiboko huyo mechemka

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому +1

    Mbwe mbwe hizo... mnarudi kule kule kwenye utopolo

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 Рік тому +1

    Huyu kama mdogo wa Nabi

  • @salehdeen_abah
    @salehdeen_abah Рік тому

    He will be good at teaching

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 Рік тому

    Chuma hicho 🎉🎉🎉

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +2

    Kushangilia ujinga tu😂😂😂😂

  • @godfreymaagi2973
    @godfreymaagi2973 Рік тому +2

    Kumbe mnajua super cup niya wakubwa

    • @janviersobhane6492
      @janviersobhane6492 Рік тому +1

      Ukijaribu kuupinga ukweli siku moja usiyodhani utaumbuka tu sasa msemaji jeuri wa Yanga kaumbuka kwa maneno ya kinywa chake.

    • @MasanjaMasanja-mz3ll
      @MasanjaMasanja-mz3ll Рік тому

      Siyo hiyo super league unayoijua wewe

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому

    Mje mtimue hahaaaa

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому +1

    Mnarudi kule kule

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 Рік тому +1

    Mmepigwa n.a. Uyoo anjela

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 Рік тому

    Yaani hapo wenyewe wanamuita" Migeli"

  • @kiutamambi8514
    @kiutamambi8514 Рік тому

    Hakuna mtoto muongokamawewe kamweni mnafiki shetanimkubwawe

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Рік тому +1

    Mechemka yule wa mimosa ndio kiboko

  • @KhamisiMussa-v6r
    @KhamisiMussa-v6r Рік тому

    Tuna mtaka kocha wa aina hiyo watako

  • @jackisonngosha5533
    @jackisonngosha5533 Рік тому

    Mechi 3 tu watupe kombe

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 Рік тому +1

    Kocha ashawahi kucheza viwanja vya mkwakwani ???????????? Na level ya wachezaji aliowafundisha wydad esperance us Alger ndio level ya wachezaji atakaowakuta hapo yanga??????????????????

  • @joackimmbunda5335
    @joackimmbunda5335 Рік тому +1

    Alikomwe ni muongo sana

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +1

    Yaani unaongea kama uko mbagala rangi tatu ,,,,,,bado sana bwana mdogo hiyo nafasi inakupwaya!!

  • @NajmaGiana-h5n
    @NajmaGiana-h5n Рік тому +1

    Nachinja bataaa

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому +1

    Hana lolote huyo...

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Рік тому

    Ni Angel au enjo?

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 Рік тому

    Angel - malaika hii ni balaa

  • @abubakarimlyandi8571
    @abubakarimlyandi8571 Рік тому

    💪

  • @lightnesscharlse2281
    @lightnesscharlse2281 Рік тому

    Karibu yanga utupe raha

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Рік тому

    💛💛💚💚✌👐

  • @KarimDarusi
    @KarimDarusi Рік тому +1

    Utamani,kuwakamasimba,uchezesupa,kap,jitaidini,

    • @janviersobhane6492
      @janviersobhane6492 Рік тому +1

      Amenifurahisha sana leo amekiri kwamba suprcaf ni kubwa mno

  • @edwardshija9630
    @edwardshija9630 Рік тому

    Sio angeli ni enjo

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Рік тому +1

    Moja ya CV yake kocha mpya wa yanga nikuwa ashawai kupiga picha na maradona🤣🤣Ila hii nchii hii jamanii aya m nko muhimbili apa naomba kazi yakufanya fanya kazi ya usafii kwa madarasa ya wasudani.

  • @KarimDarusi
    @KarimDarusi Рік тому +1

    Rakinibado,kwayanga

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому

    Yanga bingwa tena msimu ujao tena

  • @nicholasmkama2877
    @nicholasmkama2877 Рік тому +1

    Mdomo huo angalia.vinatakiwa vitendo.utasutwa na maneno yako.

  • @joackimmbunda5335
    @joackimmbunda5335 Рік тому +2

    Nabi kamkimbia Roberto ngoja na ww uje ukandwe

    • @julianashani9408
      @julianashani9408 Рік тому

      unachekesha kweli 😆😆😆😆😆😆, huyo mlemavu ndo wa mguu

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Рік тому

      Katika watu wenye malengo mafupi kama mkia wa mbuzi ni wanasimba,stor yao ni kumfunga yanga na ndo lengo lao ,sasa wanafurahia kitu ambacho hawakijui kwamba yanga ni kubwa ndomana wanafurah kumfunga ,mbn hawaongei kumfunga ruvu

  • @darkrhymes2927
    @darkrhymes2927 Рік тому

    Tunahitaj vtendo baada ya maneno!

  • @gideonchando4404
    @gideonchando4404 Рік тому

    Hakika ni chuma kweli kweli.

  • @yusterenosy6606
    @yusterenosy6606 Рік тому

    Ndo kazi yako kutuaminisha kuwa n mzur ila ngoja tuone muda utaongea

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 Рік тому

    Maneno mengi , washabiki wamekaa tamaa wameeka mikono mashavuni hawaani hayo maneno Mm nawatakia kila la kheri timu ya wajina wangu TOKA yy baba yake na babu yake mm na yy majina sawa yaani Ghalib Saïd Mohammed

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl Рік тому

    Karibu. YANGA. Miguel. Njoo. Uwaonyeshe. Hao. Madunduka. Kuwa. Wewe. Ni. Nani. Kwenye. Soka

  • @janviersobhane6492
    @janviersobhane6492 Рік тому +1

    Maneno yako yanapingana na kile nafsi inachoongea,subilini mwezi wa nane ligi itafunguliwa,siongei kishabiki lakini huenda kilichowapata watani wenu Simba SC baada ya kumwuza Mickson na Chama ndicho kitawakabili,maana wasemaji kazi yenu ni kupamba pamba hata kama mnajua ukweli.

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 Рік тому

    💚💚💚💛💛💛🔰🔰🔰

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 Рік тому +1

    Mie simba ila CV yake inatisha

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому

    Tusubiri tuone

  • @shaibumazimu2006
    @shaibumazimu2006 Рік тому

    Mboge lakocha

  • @YahayaRamadhani-vo3hm
    @YahayaRamadhani-vo3hm Рік тому

    Nakubal yanga

  • @KarimDarusi
    @KarimDarusi Рік тому

    Rakinibado,kwayanga