#LEOTENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2024
  • #LEOTENA MAMA AWEKWA MTEGONI, YUPI NI MTOTO WAKO KATI YA HAWA, ''HATUJAONANA KWA MIAKA 30''
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 104

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s 13 днів тому +9

    Baba kamtunza mtoto vizuri sana. Happy fathers' day.

  • @user-lm8ji4tz2r
    @user-lm8ji4tz2r 21 день тому +9

    Nipo mozambiq nakipenda sana hiki kpindi kwa sababu Mimi ni muhanga nilipotezana na mama miaka 25 nikiona hua ninalia hongereni sana kwa kazi mzuri🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ansifridmkongoja3337
    @ansifridmkongoja3337 21 день тому +4

    Hongereni kwa kipindi kizur sema Mama yuko vizuri kwenye kutumia kipaza

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 22 дні тому +12

    Hongera Rose rafiki yangu kumpata mama, ntakuja nyumbani kukupongeza

  • @user-xc4or2vp6l
    @user-xc4or2vp6l 21 день тому +6

    Dada Gea napenda, anavyoongea kwa staha/ kwa kutulia. Yaan taratibu. Vipindi vingi yuko hivi. Maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 17 днів тому +3

    Kwa kweli hiki kipindi huwa kinanitoa machozi sana hongera sana mama kumpata mtt wako Rose mauwa yako❤❤❤

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 22 дні тому +12

    Kipindi. Ķimetulia. Vizuri. Mwijaku. Hayupo. Wamekelele. Aende. Salama. Kwakweli. Kipndi. Kimependeza. ❤❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 22 дні тому +18

    Bibi amechukia sana rohoni furaha yake ndogo sana:sio kama akina MAMA Mwita. Ongeren sana akina dada Gea❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @floraflora5964
      @floraflora5964 18 днів тому +7

      hee umenikumbusha baba mwita

    • @user-rn9lk1ck7m
      @user-rn9lk1ck7m 6 днів тому

      ​@@floraflora5964kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 10 днів тому +2

    Anafana na mama yake 😊

  • @user-ii1tc7gt9r
    @user-ii1tc7gt9r 21 день тому +3

    Ila sisi wakerewe na wajita ndo zetu kuwatenganisha watoto na mama zo tunaongoza

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 19 днів тому +3

    Mnyiramba mwenzetu unatuangushaaaaaa.

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 22 дні тому +5

    Kipindi hiki cha laha leo huwa kinatowa machozi sana kwa jinsi watoto walivyotengana na wazazi wao wa kike na hii yote wanatusababishia awa waume tulizaa nao ndio wanatusababishia tusiwaone watto wetu

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 21 день тому +3

    Wa kwetu mama nimekupata' mwana wane' songela zigizigi.

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 13 днів тому

    Allah awabark sana hakika mnawasaidia na azidi kiinua zaidi hii clouds na wafanyakazi wake Allahumma Aamiyn

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 19 днів тому +4

    MM NILIONA SURA TANGU MWANZO NI WA KATI SURA KAFANANA NA MAMA YAKE JAMANI WANAUME WENGINE NI SHIIDAA TUU😂😢😅

  • @jaliamkubilasidi
    @jaliamkubilasidi 10 днів тому

    Ooooo jomoni hongeraaa sana mama rozi kwa kumpata mwana nani kama maaaamaaaa

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 14 днів тому

    Mbarikiwe sana. Mnafanya kazi nzuri. Ila ikiwezekana ule mziki unasumbua. Kama ikiwezekana, usitishwe wakati watu wanaongea.

  • @Teresa-255
    @Teresa-255 16 днів тому +1

    Bibi hajafurahia huyu mzee😂😂😂😂

  • @janneferisaya83
    @janneferisaya83 15 днів тому +1

    Bibi wanyumbani kabisa 🙏🏼 wasongela zigizigi

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 дні тому +9

    Babu amekuja kama hakuna baya alilofanya kutoroka na mtoto

  • @Allygibison
    @Allygibison 4 дні тому

    Put the music off or down a bit as you guys telk

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 22 дні тому +2

    Katokea kwetu

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 15 днів тому +1

    Buie ni watangazaji hqlafu mnaharibu lugha Heahima Yako ndio.nn na mama Ako myumbani unamsalimia hivyo heahima Yako mama hujui mzazi wa mwezio ni mzazi wako piya Acheni manjonjo yenu bwana

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 17 днів тому

    Mtu na mtt wake,cheki alivyomjua m wanae,,,mtu chake bwaaa🎉🎉🎉

  • @user-yd6xh1mr1k
    @user-yd6xh1mr1k 22 дні тому +1

    Mungu azidi kuwakutanisha na wengine jamani😢

  • @rehemaabdy2830
    @rehemaabdy2830 20 днів тому +2

    Nimelia

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 22 дні тому +10

    Bibi bado ana maumivu

  • @user-rm9iz3yi5c
    @user-rm9iz3yi5c 18 днів тому

    Hongera sana

  • @GladnessJohnLewis
    @GladnessJohnLewis 3 дні тому

    Namtafuta mdogo anaitwa frenk tarimo alitoroshwa na baba yake huko rombo baada ya mama yetu kufariki

  • @Moscow924
    @Moscow924 18 днів тому +3

    Jamani mi namtafuta wifiyangu anaitwa Hindu Husen Hajji waliachana na kakayangu na aliondoka na mtoto mdogo anaitwa Sada na alimwacha mtoto mmoja anaitwa selemani naomba kamayupo hai mwanae sele anamtafuta aje Tabora

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 21 день тому +2

    Acheni kuweka huo mziki

  • @mussanangumi1734
    @mussanangumi1734 6 днів тому

    Mimi Nina mtoto wa marehem Dada yangu ananisumbua anamtafuta baba yake anaitwa seif nimtu wa pemba

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 днів тому

    ❤❤❤

  • @hashakishabani4896
    @hashakishabani4896 15 днів тому

    Daaa kafanana na mamaake sana

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 22 дні тому

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq 19 днів тому

    Daah dadangu angejalibu iki kipindi uwenda angemuona baba yake au mdogo wake imani😢

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 22 дні тому +2

    mtu kashakwambia hawezi kumtambua hivyo mpaka alama unamlazimisha

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 22 дні тому

    🎉

  • @user-ii1tc7gt9r
    @user-ii1tc7gt9r 21 день тому +4

    Kama ningekua mm ningempiga na kiatu huyo baba

  • @abdulkhalim9475
    @abdulkhalim9475 7 днів тому

    Bibi kamaindi kbsaaaa hahaha dah

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 19 днів тому

    Kimeniliza kweli hikikipindi😭😭😭

  • @user-bz6ru7sk7u
    @user-bz6ru7sk7u 6 днів тому

    Hivi Hawa wazazi wanakuaga wap miaka 30 kweli alafu mama hasaaa jamani

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 18 днів тому

    hiki kipindi ni kizuri lonnmie kila nikikiangalia huwa nalia kuna uchungu fulani hivi naupata🎉🎉🎉

  • @user-ml8jd5xg1r
    @user-ml8jd5xg1r 17 днів тому

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @user-ky2do8fn1w
    @user-ky2do8fn1w 15 днів тому

    Mama znaongea kibembe

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 19 днів тому +1

    Weee nalia bas tu

  • @user-lx8nl8hh3f
    @user-lx8nl8hh3f 17 днів тому

    Ila inauma

  • @Wilbadi
    @Wilbadi 14 днів тому

    Sis sio milima tutakutan

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 22 дні тому +5

    Bibi ana kinyongo 😂

  • @aziza9093
    @aziza9093 22 дні тому +1

    Safuy san kwakipidi

  • @user-th9nc2om2x
    @user-th9nc2om2x 18 днів тому

    Acheni muziki

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 22 дні тому +3

    Bibi mmempotezea furaha yake yote baada ya kutokea katika kipindi kutokea bibi mudi yote imepotea

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 21 день тому

    katikati

  • @user-qg2sw9bj2i
    @user-qg2sw9bj2i 15 днів тому +1

    Nawaza ivi kuna mtu atamchukua mwanangu akiwa na miaka 2 namm namuangalia

  • @TeleziaSimbeye-fm3zw
    @TeleziaSimbeye-fm3zw 9 днів тому

    Ilikuwaje wakapotezana???

  • @user-do1ug7de3g
    @user-do1ug7de3g 15 днів тому

    Inakuwaje hembu tuambieni ili tusiwe na maswali ya kwanini

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 21 день тому

    Uyo mtot kafany ni Chek 😂😂kama mazim

  • @rehemaabdy2830
    @rehemaabdy2830 20 днів тому

    Kampatia mtu chake jaman

  • @user-vv3et8xy2x
    @user-vv3et8xy2x 20 днів тому

    Ila babu

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 21 день тому +6

    Sasa kwanini hilo libaba liliiba mtoto?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 20 днів тому

      Ndo zao! Wengi waliopo hapo wababa waliwaiba wakafa. Inauma wakiwa wakubwa Kwa nini wasiwaambie ukweli? Ukatili huu, seri

    • @FloraMarinyo
      @FloraMarinyo 20 днів тому

      Tabia mbayaaa sana yakumpokonya mtoto kwa mama yk

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 20 днів тому

      Ila mama akikaa na mtt ndio sawa acheni ubinafsi mtt ni wazazi wote

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 20 днів тому +1

      Kaka mtt ni WA mwanamke peke yake mwanaume wa Nini ktk upatikanaji wake

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 20 днів тому

      @@michaelthobias9967 huyo Baba alitakiwa kufanya jitihada watoto wawe wanaenda kumsalimia mama yao japo wakati wa likizo

  • @FloraMarinyo
    @FloraMarinyo 20 днів тому +2

    Geita inaonekana mnatabia zakuwapokonya wamama watoto

    • @mouldykomba1852
      @mouldykomba1852 19 днів тому

      Saana sio tabia nzur hao wababa wana tabia mbaya

  • @ReginaThomasLongwe-qf4qs
    @ReginaThomasLongwe-qf4qs 16 днів тому

    Rose anafanana na mama yake

  • @user-pn7qg8jb1e
    @user-pn7qg8jb1e 20 днів тому

    Jamani nimesikia mma kaqoqa kiluqa nimemwelewa

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 13 днів тому

    😅😅 nimefrai mama ana Lia anaweka maik mdomon

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 6 днів тому

      😂😂😂😂😂😂mama Ni nomaaaa

  • @GetrudaChagu
    @GetrudaChagu 10 днів тому

    Dada Kaka shkamoni mm ninamtafuta Dada yangu mariamu juma shabani yupo dare Salam naomba mnisaidie kutafuta mana tuliachana wadogo sana

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 21 день тому +2

    Mama miyeyusho kinoma unalia unasogeza maik ili sauti isikike

    • @Aminahlamranl420-hw2ie
      @Aminahlamranl420-hw2ie 21 день тому

      😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 20 днів тому +1

      Labda alifikiri ndo inavyotakiwa 😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 20 днів тому +1

      Mama ana hasira ona anatazama pembeni hataki hata kumuangalia. Baba anashindwa hata kuomba msamaha?

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 6 днів тому

      Yaani😂😂😂

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie 21 день тому

    Bib amemkwepa babu jamaniii huruma

  • @rashidkishk8726
    @rashidkishk8726 10 днів тому

    Kwann natoa machozi Sasa.. 😢

  • @aziza9093
    @aziza9093 22 дні тому +1

    ❤❤❤