Kwa mara ya kwanza, ninafuata kipindi hiki nikiwa GOMA-DRC 🇨🇩. Nimekifurahia sana. Mbarikiwe sana na Mungu kwa kazi mnayo itenda. Watu wengi tumepotezana nao. Mmenifanya nilie kama mtoto mdogo.
Kiukweli Mungu awabariki sana.Kipindi hiki kinanitoa machozi sana.Naumia nikiona wanawake tunaroho ngm.mm nakufa nawanang.maradhi aukifo ndo kinitenganishe.Japo napitia shida nyingi ila najua mungu hatoniacha
I wish engekuwa inatokea wale wazazi walishafariki wanaenda huko mbinguni wanakaa kwa mda then wanarudi wakaanza kututafuta watoto wao waliotuacha huku duiniani ,mimi ningekuwa naingoja hiyo siku kwa hamu sana yakuwaona wazazi wangu tena,pumzika kwa amani wazazi wangu😭
Dah Mimi sjui kama mama yang kafa au Yuko haii jamani dah aliacha mim n mdog wangu nikiwa mdog Sanaa simjui mama yangu hata kwa sura yani 😢😢😢dah sjui kma yup haii au amekufa jamnii dah naumia sana .natamani nami nimpat mama yangu mzazi😢😢😢 Joyce
Mm nilichukuwa watoto wangu sasa ivi ni mwaka wa kumi....naishi nao Kenya...ila mama yao ajawai shugulika kuwatafuta .....namba as simu anazo.....huku Kenya ameshawai kuja sio mara moja.....lakini gafla akipata mawasiliano
Nimempenda saana huyu kijana ni mwingi wa shukrani Anashukrani saana mno mno nami nililelewa na shangazi zangu nikiwa na umri wa mwaka mmoja na nusu mpaka miaka 15 Mwenyeezimungu awarehemu shangazi zangu na Bibi yangu mama yao shangazi zangu walikuwa binamu wa Baba yangu nawashukuru saana nami nilijaliwa niliwatunza kwa sasa hawapo tena Mwenyeezimungu awarehemu pamoja na wazazi wangu hata iweje Mama ni Mama tu huwezi kupata mwingine Mwenyeezimungu awarehemu wazazi wangu
😭😭😭 l wish kama nisikie mamaangu ananitafuta maana alisafiri nikiwa mdogo akatuacha moshi akaenda bukoba kwenye msiba babu yaani babaake😭😭 siku anarud kutoka bukoba meli MV bukoba ikapata ajali ndio umatu ulipo mkuta😢😢
Najisikia uchungu sana navyo ona wenzangu wanakutana na mama zao afu wanafurahi pamoja mimi na dadaangu mama yetu alituacha tukiwa wadogo sana dadaangu alikuwa miaka 4 na mimi nilikuwa na miaka 2 tumemtafuta na tumempata lakini hataki hata kutuona anasema yeye anamtoto moja tu ambae amezaa na mwanaume mwingine sisi hatujui dah inauma sana usiombe
Wapo shangazi zangu watatu hao ni zaidi ya shangazi sijui niseme nini Mungu tu awalipe japo kubwa Lao alikwisha fariki Mungu amlaze mahali Pena peponi... Nimekupenda shangazi umenikumbusha wema wa aunt zangu
Tuko wengi mm ninaye mtoto wa mdogo wangu nilipewa ana mwaka na miezi minne paka hivi ananiita mama watu wanamwambia hy ni shangazi yy anajibu mm huyu ni mama yangu akina asiya abdarahamani ndio wataita shangazi mm siwezi kuita shangazi
Huyu mama sasa ndo mama yaan anahisia kari sana na mwanae yaaani kijanawake hata juta kumpata mama yaan wana chemistry moja matata❤❤❤❤❤
Shangazi hongera Allah muweza wa yote 🤲 akurinde na hata clouds mungu awabariki 🥀🥀🥀
Wallah kipindi ni kizuri sana na kinaliza allah awalipeni kila lenye heri inshallah
Clouds kitu mnafanya ni kikubwa , nawapa maua yenu, Mungu awabariki sana
Aliye lia kama mm nipeni like hapa jamani
Nimelia kwanguvu yaani
Mama waziri honge sana kwa kumpata wifi mwenye hofu ya Mungu ubarikiwe shangazi uishi miaka mingi ❤❤❤❤❤
Mungu anisaidie nsipate pressure maana kila nikiangalia hiki kipindi naskia uchungu naliaaa sana,Mungu awalinde team nzima ya clouds
Mungu awabariki sana
Kiukweli katika vipindi mnafanya ya kibinadamu nakuonya mioyo. Hongereni sanaaaa
Mungu awabark jaman
Najikuta. Nalia. Jamani. Timu. Ya gea. Hongereni sana
Mungu awabariki sana kwa kazi zenu ❤🤲
Nimelia sanaaa
Kwa mara ya kwanza, ninafuata kipindi hiki nikiwa GOMA-DRC 🇨🇩. Nimekifurahia sana. Mbarikiwe sana na Mungu kwa kazi mnayo itenda. Watu wengi tumepotezana nao. Mmenifanya nilie kama mtoto mdogo.
Mbarikiwe Sana mueenderee kuwakutanisha watoto na wazazi wao❤❤❤❤
Sangazi mungu akubariki sana na akujaliee akuoe na afiya njema pia
Kiukweli Mungu awabariki sana.Kipindi hiki kinanitoa machozi sana.Naumia nikiona wanawake tunaroho ngm.mm nakufa nawanang.maradhi aukifo ndo kinitenganishe.Japo napitia shida nyingi ila najua mungu hatoniacha
❤❤❤❤❤❤❤mungu awwzidishie wote mnawo fanya kazi hii ya kukutanisha watoto na wazazi ,sasa wazazi wakiume wako wapi
Yani mungu awabariki sana nimeliya sana
❤❤❤❤ manshallaah tabarakallaah nimempenda shangazi mungu ammoe maisha mema yarabii
Hongereni wapendwa
Hongera SHANGAZI kwa ulezi
Jaman 😢😢najikuta nalia aki mama aamin kama mwanae
I wish engekuwa inatokea wale wazazi walishafariki wanaenda huko mbinguni wanakaa kwa mda then wanarudi wakaanza kututafuta watoto wao waliotuacha huku duiniani ,mimi ningekuwa naingoja hiyo siku kwa hamu sana yakuwaona wazazi wangu tena,pumzika kwa amani wazazi wangu😭
R I p pole Sana
Mungu akuride jamani kwa kazi zuri
Kipindi kinaliza hikiii,nyie tumshukuru Mungu jamanii😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Kabisa
Wallh mashaallh thabrk allh mungu awalinde kw kazi yenu ❤❤❤😢😢😢
Jamanii wamamaaa,hii inatufundisha kitu wapendwa,afadhali wamekutana wakiwa hai, Mungu ni mwema jamanii🙏🙏🙏
Ongera sana claudhi Mungu awape maisha malefu nilikuwa nikisikiliza ledio ongeran
❤
Ongereni clous
Maa Shaa Allah yaan Allah awabark sana 😭😭
Hichi kipindi chenu ni kutuliza tu jamni mungu awabariki sana Dahuu na Geah😢
Na jose
😢😢Chatuliza kwa kweli
Kipindi hiki kinaliza jamani siwez vumilia kwa kweli
Kipindi Bora Sana ...nampenda Sana bint yangu Meghan❤
Hiki kipindi kinaliza sana 😢😢😢😢😢Yani nimeshalia mmpaka basi na fikia kuumwa kicwa juu ya kulia
Hongera Radio Clouse Fm,kipindi kizuri mnoo keep it up
❤❤❤❤❤❤❤mungu amzidishi moyo mwema huo shangazi alokulea kuna shangazi manshallaah kama baba
Mh kama unaweza kuangalia hiki kipindi bila kulia una moyo wa peke yako ila timu leo ten Mungo awabariki kwa hiki mnachokifanya
MashaAllah iki kipindi nimekipenda kinanijenga nizidi Ku mpenda Mama .Mama Mngu azidi kukulinda
Jamani nimelia sana hakika mungu muweza
jamani nyie wadada mnaoendesha kipindi hiki Mungu awabariki Muishi Maisha marefu sana nawapenda sana 🙏
Ht mm nimelia sana tu
Duh mnatuliza
Shangazi hongera sana.
Uyu mama nimempenda kuliko wamama wote walio tangulia mahana anaisia zote
Hongeren Sana hicho vipindi help kubwa kwenu
Hawa wanaume mungu anawaona
Hongera sana shangaz🙏🙏🙏🙏
Kiukweli mitihan ni mingi na maisha nimagum lkn siachi wanang.Kirauz Mungu awabariki.
Jamani nimelia huyo nidada yangu kbs jeny jony
Ongera sana
Allah akbar mpaka nimelia
Nalia tu mimi sijui nalia nn😭
Hata mimi sielewi nalia nini😢
Kumbe tupo wengi
Dah Mimi sjui kama mama yang kafa au Yuko haii jamani dah aliacha mim n mdog wangu nikiwa mdog Sanaa simjui mama yangu hata kwa sura yani 😢😢😢dah sjui kma yup haii au amekufa jamnii dah naumia sana .natamani nami nimpat mama yangu mzazi😢😢😢 Joyce
Aliyewalea ukimuuliza mama Ako yuko wapi anakwambiaje
Wakati wengne wanatafutwa mama zao sisi wengne tumetelekezwa na Mama zetu.Aiseeeeeeeee mmeweza kuniliza jamani
Iseeey mama unaachaje watoto mm labda uibe
Ata akutelekeze ww mtafte kutakua na sababu mm awezi kumuacha mtoto
Mungu ambariki huyu shangazi
Mtafute mama yako
Dah
Mam ni mam❤️
Da huu huwa nakupenda sana.unaroho ya huruma sana.mingu awabariki wote
Mm nilichukuwa watoto wangu sasa ivi ni mwaka wa kumi....naishi nao Kenya...ila mama yao ajawai shugulika kuwatafuta .....namba as simu anazo.....huku Kenya ameshawai kuja sio mara moja.....lakini gafla akipata mawasiliano
Nimempenda uyoo shqngazi laminitis watu wana rohoo mbayaa
Nimempenda saana huyu kijana ni mwingi wa shukrani Anashukrani saana mno mno nami nililelewa na shangazi zangu nikiwa na umri wa mwaka mmoja na nusu mpaka miaka 15 Mwenyeezimungu awarehemu shangazi zangu na Bibi yangu mama yao shangazi zangu walikuwa binamu wa Baba yangu nawashukuru saana nami nilijaliwa niliwatunza kwa sasa hawapo tena Mwenyeezimungu awarehemu pamoja na wazazi wangu hata iweje Mama ni Mama tu huwezi kupata mwingine Mwenyeezimungu awarehemu wazazi wangu
Ama mnajua kutuliza jamani😭😭😭hii dunia changamoto ni nyingi daaah!!
😭😭😭 l wish kama nisikie mamaangu ananitafuta maana alisafiri nikiwa mdogo akatuacha moshi akaenda bukoba kwenye msiba babu yaani babaake😭😭 siku anarud kutoka bukoba meli MV bukoba ikapata ajali ndio umatu ulipo mkuta😢😢
Pole sana
Hongera sana shangazi
Me nalia tuuu 😢😢
Ninalia apa mpak naulizwa unashida gani😢
Nimelia sana
Masha Allah
😭😭🙏🏼
Kipindi kizuri sana🎉
Maashaallah
Kila nikiangalia hiki kipindi mimi nalia tu najikaza lakini nashindwa jamani 😢
Sawa Dahuu na Geah tumeelewa tutawalea vizuri
Jamani mnatuliza wenzenu huku daah
Waaaah poleni jamani😢
Nililekewa ba bibi na baba R.I.P kwao ❤
Najisikia uchungu sana navyo ona wenzangu wanakutana na mama zao afu wanafurahi pamoja mimi na dadaangu mama yetu alituacha tukiwa wadogo sana dadaangu alikuwa miaka 4 na mimi nilikuwa na miaka 2 tumemtafuta na tumempata lakini hataki hata kutuona anasema yeye anamtoto moja tu ambae amezaa na mwanaume mwingine sisi hatujui dah inauma sana usiombe
Poleni sana
Pole sana
Asante
😢poleni sanna
Kaathirika kisaikolojia tu hakuna mama asiyempenda mwanae
Continue to rest well mama na baba yngu😢😢😢😢
Dah😢😢
Kwan mm nalilia nn😢😢
Nimelia jamani
I wish nisikie mama yangu na baba wananitafuta nikutane nao tena R.I.P wazazi wangu mpumzike kwa Amani😭😭😭
😭😭💔
😭😭😭😭😭😭mungu akulinda
@@zaitunichzi5241 asante wangu yao mbele yetu nyuma
@rahmasaid2350 asante wangu yao mbele yetu nyuma kikubwa unawaombea hiki kipindi napenda kuangalia ila nalia pia
Daaaàh!
Mungu ameweka kitu kikubwa kwenye ubongo wenu mpaka kufikilia kuanzisha hili jambo maana mmesaidia wengi
Nice vizuri
Mungu ibariki tazania
Niseidieni na mm natafuta babaangu aniacha nikiwa na myaka mitano babaangu anaitwa saidi kwa ni hiringa mm niko kenya
Hiki nnokipidi chakutizama Allah awpe maishamaraf
Da geah hiki kipindi cheni kinaniliza mwanzo mwisho
Wtoto wengi baba yao askari!
Duuuh....najikuta nalia tu
Hadi nimelia jamani!
Jaman nasie hku hatujui familia ya baba yetu alikuja kutafta maisha kahama mpaka umauti imekumta mwaka 1998
Shanzi❤❤❤
mm mamdogo aliyonifanyia huwa kunamuda nalia mwenyewe
Da gea hongereni ila kina liza
Clouds naomba namba zenu tuwasiliane nanyi kuna mdogo wangu alipotea miaka mingi hatujui kama yupo hai au la.
Ukipata na mimi nipe
Dah nyieee😭
Wapo shangazi zangu watatu hao ni zaidi ya shangazi sijui niseme nini Mungu tu awalipe japo kubwa Lao alikwisha fariki Mungu amlaze mahali Pena peponi... Nimekupenda shangazi umenikumbusha wema wa aunt zangu
Mie sijui nisemeje😢😢
Jmn tunalia mno jman mmmmmh hik kipindi kinaliza san
Uyu waziri alikuwa
Anasoma mkombozi mbaliz _mbeya
😮😮
Mam umeniliza san jmn napat hisia kali najaribu kuvaa viatu vyko havinitoshi mama
Nina wifi yangu anamtafuta mama yake zaid ya miaka 40, lakini hajui atumie utaratibu gani wa kutoa taarifa hiyo
Tuko wengi mm ninaye mtoto wa mdogo wangu nilipewa ana mwaka na miezi minne paka hivi ananiita mama watu wanamwambia hy ni shangazi yy anajibu mm huyu ni mama yangu akina asiya abdarahamani ndio wataita shangazi mm siwezi kuita shangazi
Shangazi Mungu akupe maisha marefu.
shangazi akiti chake 😭😭😭