Tuhuma za kiswapanza pemba yawaeka roho juu watu wa wete kuhusiana ulaji kasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 5 місяців тому +4

    Kasa NG'amba anasumu kweli haliwi sisi tupo tanga tunawajua vizur Kasa yani yule mwenye rangi nzuri za kuiva ndio Kasa NG'amba haifai kumla anasumu

  • @fatmaabdalla2707
    @fatmaabdalla2707 6 місяців тому +3

    Umeongea vyema mzee wangu

  • @yahyamakamo5144
    @yahyamakamo5144 5 місяців тому +2

    Safi kaka

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 5 місяців тому +2

    Ndoma anapigwa sindano

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 5 місяців тому +2

    Mabeberu ndio wanao wawekea sumu na vinembo vyao,,,,lkn hakuna kasa alie na sumu kimaumbile.

  • @user-mq4df1np9i
    @user-mq4df1np9i 6 місяців тому +2

    Tumejifunza ktu mzee hogera mze mwinyi 🙏🕋👁

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 місяці тому +1

    Ww kiufupi sema kwamba kasa asiliwe, kasa wanakua na sumu

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 4 місяці тому +1

    Kasa ni mtamu sana.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 4 місяці тому +1

    Ukiona hvyo alikuwa hataki liwa.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 3 місяці тому +1

    Tuwe NA msimamizi tusinunue nyama ya Kasa maana hatari

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 6 місяців тому +5

    Mzee mwinyi fungate iko wapi

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 5 місяців тому +2

    Mwasaka tonge semeni uongo

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 5 місяців тому +2

    Ww wach ujing kuwatusi wpemb ww hao wapemba ndio wanaokulisha

  • @OmaryAlly-mn6cv
    @OmaryAlly-mn6cv 5 місяців тому +1

    Kasa, kasa, kasa, kasa hafai kuliwa, hafai kwa hukumu yake pia kwaathari zake.

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 5 місяців тому +1

    Si Huyu Ni Babu Juma Aseli Khalfani Kutoka Misitu Ya Kiuyu Pemba?Huyu Mganga Ambaye Anafuga Majini,Katikati Ya Bahari Hindi La Zanzibar.Anafanya Dua Na Na Kutuma Makombora Duniani Kote

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 6 місяців тому +1

    Mnarogana tatizo

  • @hukhrakhamis4311
    @hukhrakhamis4311 6 місяців тому +1

    Marejeo

  • @HassanAhmed-di9jq
    @HassanAhmed-di9jq 6 місяців тому +2

    Mie naona mutanikosesha minofu jamaani

  • @user-og6jy1lq7w
    @user-og6jy1lq7w 6 місяців тому +2

    🇹🇿🤔🤔🤔🤔🤔🇹🇿

  • @nassor8819
    @nassor8819 5 місяців тому +1

    Sio kachara huyu?

  • @slemansleyum1251
    @slemansleyum1251 6 місяців тому +2

    Muhamedi kombo mwapotelea wap mbon hatuwaoni

  • @user-xk1ot4nq7f
    @user-xk1ot4nq7f 5 місяців тому +1

    Kasa ni haram kumla kwa ushahid wa kur,ani na hadith

  • @user-oj8bk5xn8n
    @user-oj8bk5xn8n 6 місяців тому +1

    Metafuta mpumbavu ndio aisemee jamii uyu mwinyi chizi ukimuona tu wajua

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 6 місяців тому +1

      Acha ujinga ww, kwani kaongea uongo?

    • @hassanmakame4016
      @hassanmakame4016 6 місяців тому +1

      CHIZI humjui ww itakuw.... Kwaiy bora kuw kimy t

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 6 місяців тому +1

      Kumtukana mtu ujue unajibebesha dhima

    • @user-oj8bk5xn8n
      @user-oj8bk5xn8n 5 місяців тому

      @@hassanmakame4016 ndie huyo

  • @mazruqmohammed4108
    @mazruqmohammed4108 6 місяців тому +1

    Huna mpango wowote wala usituambie kitu

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 6 місяців тому +1

    Wapemba mmezidi uchu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 6 місяців тому +1

      mhmm hapa unguja kasa analiwa hatarii kwa siri

  • @hukhrakhamis4311
    @hukhrakhamis4311 6 місяців тому +1

    Marejeo