Nyinyi mnao lalamika maadili, sasa ujumbe utaupata vipi bila kuonyesha uhalisia wa jambo? Mukumbuke kua hao wanafikisha ujumbe na ujumbe ili utufikie walengwa lazima watuonyeshe uhalisia wa jambo sio mnalalamika maadili tu, mm nawapongeza pigeni kazi kwanza munaupiga mwingi 👏👏
Km hukufunzwa na kitabu na Sunnah huwezi kufunzwa na tamhlia ,Rekebisha maneno yako,yakuona kwamba huna njia nyengine yakufunza umma ispokuwa upuuzi huu.
Kwenye uislamu hkn nyengine,na ndo mn alisema niwewaachia vitu viwili tu mkivikimataka hamtopotea abadani ,hizo nyengine ni upuuzi tu . Mm nimefika hapo
Akalimalize na mkewe akiweza kuishi nae mtu wa tabia hiyo ni yeye asipo weza amuache akaishi ngomani. Na watu walio na sifa hizi wapo kubadilika hawataki. Utamaliza bahar zote kuosha rangi itakua ile ile.
This is not better😮 mmeiga movie za bara please rudini kwenye uhalisia wenu (wetu) fumbua macho hii ipo tofauti na zote sisi kama wadau wenu tunawataka mtoe movie zinazoendana na utamaduni silka na madili yetu .
Mm leo sijaipenda maana maadili yanapotea sjapendezwa kwa jinsi wanavyocheza na mkiendelea hivi mutaharibu. Maana tunaipensa kutokakana na maadili lakini munaharibu hiii ya leo
Ila jamn lazima tujue lengo kuu ni kkufikisha ujumbe kwa wenye tabia hizi ili iwe ni funza sas musilalamike sana kwa sabb haya mamb yapo kweny jamii yetu
Mm sikatai kama lengo ni kufikisha ujumbe, ila kufikisha ujumbe kuna njia nyingi, chakuangalia ni njia gan sahihi ili kuendana na maadili na silka ya jamii. Mm haikuwa sahihi kucheza mpka viuno. Mm nazipenda sana scenes zao ila nivyema kuzingatia maadili ili kuzifanya kazi zao kupendwa zaidi .
Naomba niulize Swali kwa Husika wa tamthilia hii, Ujumbe alioufikisha Mzee ni sawa ktk kuelimisha jamii y sasa? Kw maana chimbuko la akina NAOMBA amechipukia ngoma jee Kw kuelimisha jamii ktk kukataza hili Mzee Mwinyi ametekeleza ujumbe au kuwapa mitihani zaid wenye kuowa wanawake mfano wa NAOMBA ktk igizo hili?
Leo wa kwanza mm naomba like zenu kama zote...maana mambo yamepamba moto
Nyinyi mnao lalamika maadili, sasa ujumbe utaupata vipi bila kuonyesha uhalisia wa jambo? Mukumbuke kua hao wanafikisha ujumbe na ujumbe ili utufikie walengwa lazima watuonyeshe uhalisia wa jambo sio mnalalamika maadili tu, mm nawapongeza pigeni kazi kwanza munaupiga mwingi 👏👏
Km hukufunzwa na kitabu na Sunnah huwezi kufunzwa na tamhlia ,Rekebisha maneno yako,yakuona kwamba huna njia nyengine yakufunza umma ispokuwa upuuzi huu.
Kwa iyo hakuna njia nyengine ya kufundisha maadiki isipokuwa iyo tu,
Kwenye uislamu hkn nyengine,na ndo mn alisema niwewaachia vitu viwili tu mkivikimataka hamtopotea abadani ,hizo nyengine ni upuuzi tu .
Mm nimefika hapo
Wapemba mkowapi Wenda uchi nakutikisa matako eee dunia imeisha
Mkome kuwa sema wabara wanawaharibia nchi yen visiwa byenu unguja na Pemba mwaviharibu wenyeqe na bja zenu
Yaani mm nikimuona NAOMBA tu nafurahi rohoni..NAOMBA nakupenda mnoooo
Asante nakupenda piaaa
@@NAOMBAOGila unajua mpk bs mashaallah nikikuona nafrah sna na film haikai vzr kama haupo ww
@@NAOMBAOG ❤
@@NAOMBAOG na mm Nakupenda haswaaa from unguja
@@Zanzibar0001 asante nakupenda pia
Haaaaaaaaaa mau eti tizama uyu njinga . Wana wake wengi tume tabiriwa na mtume wetu tumeonekana motoni kwakuipenda duniya mungu atupe mwishowema
Aameen
Subhanallah jaman huyu hivi anavyocheza mtihan wallah kama sio muislam allah sw atufanyie wepesi tusiangalie dunia tunapokwenda ni kugumu zaid jaman
@@HusseinMohamed-jq7hu kweli Amin
nmm jmn cjacherewa sn nipen like
Mzee mwinyi likua umuunge mkono mkeo katika kumrekebisha naomba, tukikumbuka mkono mmoja hauuwi chawa 😢
Naomba ( Amina Hamad) bibi wa Ole muhogoni, nakukumbuka vizuri ulipoukicheza ngojera, bado uko vizuri sana
Asante
Nitumie namba yko bc kwenye email yangu
@hamad malik002 naomba nitafute nawe
@@engineerkhamis9275
😁😁😁
Leo nimekua wakwanza naombeni laik zenu nyingi
Nawapenda sana wapemba wezangu
Likes hizo zikusaidie nini?
Akalimalize na mkewe akiweza kuishi nae mtu wa tabia hiyo ni yeye asipo weza amuache akaishi ngomani. Na watu walio na sifa hizi wapo kubadilika hawataki. Utamaliza bahar zote kuosha rangi itakua ile ile.
Hata sijapenda naomba kukata viuno hadharani km vile so mpemba wa vijijini nimejskia vibya Kwa kweli
Daaah! Naomba wewe ni noma👍unanongesha mchezo
Mzee mwinyi nakukubali baba bonge la msg ni kweli tumbili kwake ni porini
Kumbe ulimuona kwenye ngoma halafu umeowa hhhhhh unatakiwa utafute mwenye maadili na sio wakweny vigoma 😂😂😂😂
Hii mau umechemsha haina ujumbe wala maadili yeyote ya kipembaa haaaha
Wa kwnza Leo nipeni like zngu
Mwamize korongonjo🤗😄😁
Hata km tumbili ni mwintuni.lkn ww km mzeee unge kuwa kwenye madili ya ndowa huyo mwanao😅
Uujumbe:100%
Maadil100%
Wapemba hatujambo alhamdulillaah❤❤❤
Sina pingamizi kwenye hilo 🙌🙌🙌😂
Ujumbe umeletwa kwa busara sana🙏
Muvimuli
Naomba kibendera🤗😁
Naam
Mau una maneno ya kipemba haswaaaaa😂
Naomba viuno feni uko vzr
Haaaaaa hatari mau uyo eti tizama uyu ngegemeya wapemba wezangu oyeeee
Izo like mnafanyia kz gn
Muulize kombo kichwa
Umalizaji wake sikuupenda ilikua mpaka dongo aamue maamuzi magumu halaf naomba ajute
Bi namize korong'onjo hahaha!!!!
hhhhh goro chooni usichkuwe au ndo mahaba ayoo 😂
Mzee mwinyi kwenye hii episode umeshindwa kuitendea haki nafasi yako Kama mzee wa kuonesha njia za maadili ya vijana wako.
Hpna ameakisi nafas yKe kubeba husika ya wazee wa aina hiii
Kumuacha mume wke kafat mdundiko😂😂😂😂😂
Kwakwel hamujawah kuniangusha💯💪💪💪
Yaani xiku izi najihisi raha thana kila nikiona hizi film
Mke wa Alhajji dongo nani kaskia hivo 😂😂😂😂
Naomba umeharibu
Kumbe kumchua ngoman hlaf ulitrjia nn😂😂😂😂
Mwinyi hapa umekosea hujaonesha busara km mzee
Et ukiambiwa uwe na akili wawa shati tu.😂😂😂
Nahla taxi hapo kunafunzo sio kwqmba kqtaka acheze
Wakwanza leo nipeni mauwa yang
Mzee mwinyi km baba kwa nini huchukuwi hatuwa km mzee?ww ndio unampa kichwaa?
Kamuacha mume wake kafuata mdundiko 😅😅😂
Fundi wazidi chafukwa lete vitu
Humtaki muwache mm mkewagoma ndio ninae mpenda
Asalam.alaykum.maadili.ya.kipemba.munayaharibu.naomba.mnacheza.km.wabongo
Kwani wa bongo ndio wakosefu tu au kama wamecheza maanake yapo huko Pemba yafanyika msipende kujifanya watakatifu
Makame hapa tunamuomba yupo wpi mambo yanoge humu
Kenya tunawapenda sana
Mzee mwinyi asante
Naiomba skupendi tena filam hii imepoteza maadili yetu wapemba
Usitizame Haina ulazima kwako Cha muhimu kwetu ujumbe umefika
Mke wa alhaji dongo😂😂😂
Tupeni like zetu wapemb jamaaa😂
🎉
N'gegemea 😂😂
Korongonjo
Ujumbe mzr
😂😂😂😂😂😂naona raha hasa
Ndo lengo langu😂
❤❤❤❤❤❤
Tumbili kwao mwituni mjini kaja kwa mda
Jaman namm nahitaji kueikti na nyinyi
Huyu naomb jmn Hana Mume wake ata wanaoshikana hv
Maadil hamna
Namize korongonjo
❤❤
Mke wa Al hajji dongo Hahahahahahaha
ivi naomba ushaolewa
Waaah 😂😂😂
Hhhh mau
naomba unajuw na al hajji dongo
Singeli
maadili munayaharibu ya pemba hakuna kucheza ivo kama wabongo
Ah wnaacharuko huko saiv heeee
Singeli
3:19
Nice
This is not better😮 mmeiga movie za bara please rudini kwenye uhalisia wenu (wetu) fumbua macho hii ipo tofauti na zote sisi kama wadau wenu tunawataka mtoe movie zinazoendana na utamaduni silka na madili yetu .
Hatupoi
😂😂😂❤❤❤
Mm leo sijaipenda maana maadili yanapotea sjapendezwa kwa jinsi wanavyocheza na mkiendelea hivi mutaharibu. Maana tunaipensa kutokakana na maadili lakini munaharibu hiii ya leo
Ila jamn lazima tujue lengo kuu ni kkufikisha ujumbe kwa wenye tabia hizi ili iwe ni funza sas musilalamike sana kwa sabb haya mamb yapo kweny jamii yetu
Mm sikatai kama lengo ni kufikisha ujumbe, ila kufikisha ujumbe kuna njia nyingi, chakuangalia ni njia gan sahihi ili kuendana na maadili na silka ya jamii. Mm haikuwa sahihi kucheza mpka viuno. Mm nazipenda sana scenes zao ila nivyema kuzingatia maadili ili kuzifanya kazi zao kupendwa zaidi .
Muhimu ujumbe umefika
@@abdillahsleyyum2768kwa kucheza vle kweli wamekosea sna
Naomba niulize Swali kwa Husika wa tamthilia hii, Ujumbe alioufikisha Mzee ni sawa ktk kuelimisha jamii y sasa? Kw maana chimbuko la akina NAOMBA amechipukia ngoma jee Kw kuelimisha jamii ktk kukataza hili Mzee Mwinyi ametekeleza ujumbe au kuwapa mitihani zaid wenye kuowa wanawake mfano wa NAOMBA ktk igizo hili?
Hiyo ni kweli ila kukiwa na muendelezo hwenda wakaishia vyema ila km hapo ndio mwisho hamna ujumbe nzur ulopatikana
😂😂😂😂😂😂
nmm jmn cjacherewa sn nipen like
Mke wa alhaji dongo😂😂😂
Huyu naomb jmn Hana Mume wake ata wanaoshikana hv
Mke wa alhaji dongo😂😂😂