(SIRI) PEMBA ILITUKUZWA NA MITUME WA ALLAH (SEMA NASI)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 132

  • @emuthree
    @emuthree 7 місяців тому +1

    Mashallah.....si kuna utaalamu wa kuyatengeza haya majengo yakawa kama vile vile.... au hata kama yatakuwa kama gofu hivyo, lakini yachapiwe kiutalaamu yawe hivyo hivyo.....Ujerumani wamefanya hivyo kwenye majengo yao ya kihistoria

  • @SaadIssa-mw4gh
    @SaadIssa-mw4gh 7 місяців тому +2

    Pemba na Mafia ni visiwa mashuhuri sana,vina historia kubwa sana duniani, tatizo serikali zetu ndio wamevitelekeza

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 7 місяців тому +1

    Asante kwa elimu Yako shekh nimeipenda mno❤

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 7 місяців тому +1

    Mashaallah najivunia kuwa muislam nakuwa mpemba orij

  • @rayamasoud2819
    @rayamasoud2819 7 місяців тому +2

    Nimeshawah kufika Alhamdulillah kuzur sana najivunia kua mpemba

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 7 місяців тому

    MashaALLAH kumbe ata Afrika mashariki ilifikwa na maswahaba

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 8 місяців тому

    Mashaallah Mashaallah umeeleza vizuri sana Allah baridi fii

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 7 місяців тому +1

    ❤Alfatah tv kiboko ya wote❤pemba yetu ina mzr mengi na tunajivunia nayo ardhi yenye kuvutia

  • @user-ru1oq6eh2z
    @user-ru1oq6eh2z 7 місяців тому

    Mashallah 😮😮😮

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 7 місяців тому

    Alhamdulillah❤❤❤❤❤

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 7 місяців тому

    ماشاء الله

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j Місяць тому

    Alhamdulillah from mozambiq

  • @twahirsaid5636
    @twahirsaid5636 7 місяців тому +1

    Home sweet home Allah barrik

  • @omarkhalfan2985
    @omarkhalfan2985 8 місяців тому +2

    Mashallah shekh wetu kwa good history Allah bless you

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 7 місяців тому

    Mashaallah umependeza san

  • @salimmohd4999
    @salimmohd4999 3 місяці тому

    Maasha allaah

  • @azizams5721
    @azizams5721 7 місяців тому

    Mashallah

  • @Kimochatv
    @Kimochatv 7 місяців тому

    Mashaaalaaah

  • @user-kz2uv4im2d
    @user-kz2uv4im2d 7 місяців тому

    Tumshukuru Allah

  • @user-mi3cs9lc6y
    @user-mi3cs9lc6y 7 місяців тому

    Mungu ndio mjuzi zaid

  • @user-gk3wz8wb3t
    @user-gk3wz8wb3t 7 місяців тому

    Hapo nakumbuka nilikuja 2008 kwa kweli niliinjoy sama Alhamdulillah

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 7 місяців тому

    Umejitahidi.Sihaba ndugu umejitahidi

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 7 місяців тому

    No comment mana kuna maelezo sahihi lkn nahisi story mangine .ila mashallah kajitahdi

  • @jumamajid7557
    @jumamajid7557 7 місяців тому

    Muogopeni mungu

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 8 місяців тому +2

    Mashallah tabaraqah ❤.
    Sheikh Rashid kuna mji mkongwe pemba pls naomba tupatie history yake wa jambangome tunausikia tu. Mji wa kwanza kuliko chake chake pls 🙏

    • @allyibrahim2507
      @allyibrahim2507 7 місяців тому +1

      Ilikuwa bandari ya mwanzo kabla ya mkoani lakin kilianza kufa au umashuhuri wake kupotea mwaka 1928 bandari na skuli zilipohamishiwa mkoani

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 7 місяців тому +1

    Waislaamu bhana !!! Kila alipokua mwarabu wanaona ni pahala patakatifu ,Mungu arehemu

    • @IsmailElmazroui
      @IsmailElmazroui 4 місяці тому

      Umeshiba nguruwe Tu sehem takatifu ni kidini ni makka watu wa dunian kote wanaenda kufany ibada sehem ya stareh dunia mzima ni Dubai yote ni uarabuni Acha chuki zako

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 місяці тому

      @@IsmailElmazroui yaani unamtaja ngurue kama vile unamjua vizuri Sana ,hata wewe unaruhusiwa kula kidogo. Bila kishiba na kubeba endapo umebanwa ,,pia zipo dawa kibao zimejaa ngurue na zinatumika 2

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 місяці тому

      @@IsmailElmazroui we nyamaza tuu ,endelea kujua unavojua hakunaga mahali patakatifu Duniani watu wanapokua watakatifu ndio wanasababisha mazingira ya mahali kua patakatifu ,mfano watu wakiwa eneo Fulani ,walevi ,wazinzi waizi wauaji huo mtaa utapewa jina la sifa iliyopo,wewe kama umeproof kua Kuna mji Mtakatifu basi sawa sikupingi lakini uhalisia ni historia ya mahali ,kama Dubai ndio mahali pa Raha duniani basi ujue maana ya Raha ni uovu kwa asilimia kubwa , kama unaweza kua na ufahamu pasi fikiri watu wanapoenda kula Raha ni majambo Gani yana jiri huko.,usije uka Dhani kua Mungu anaishi kwenye dini ,my friend Mungu Mtakatifu anakaa na mioyo ya watu na haki na dini yeyote Ile,na hakuna dini takatifu popote Wala nabii Wala Mungu hajawahi eleza kitu hicho ,ni watu na mbwembwe zao tuu kutukuza vitu kuliko Mungu.

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 Місяць тому

      Na wakiristo vile vile kila walipokaa makafiri wao ndo wanaona ni pao

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 7 місяців тому

    Babu yuko vizuri ni tunu ya taifa na uisilam

  • @hemedrashid7186
    @hemedrashid7186 7 місяців тому

    Na mm nitakuja inshallah

  • @hudaaalhussein3841
    @hudaaalhussein3841 7 місяців тому +1

    Dini ya mitumi wte ni uislam

  • @ankaldally2734
    @ankaldally2734 3 місяці тому

    Ahhhhhhh dah huu ujinga tu.

  • @user-re3zo7ie5e
    @user-re3zo7ie5e 7 місяців тому +1

    Mzee nimwana historia mbobezi

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin 22 дні тому

    Hata nabii suleiman Alifika pemba misali ilikua inaitwa musallah

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 7 місяців тому +1

    Mimi maoni yangu hao walio zikwa kulekea chini naona ni wareno

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 7 місяців тому

    Nyumbani kabisa uko 😊😊😊😊

  • @user-zg4km1dc6z
    @user-zg4km1dc6z 7 місяців тому

    Tumbatu pia kuna historia nzito lkn serekali wamekubeza sana.

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 7 місяців тому

    Yaani uislam ulifika Pemba Kuliko Vitongoji vya Madina sio ndio Mapenzi ila Mengine Yapunguzwe

    • @freemason.official3792
      @freemason.official3792 3 місяці тому +1

      Ww unachuki na upemba sio Bure ata historia hujawai kusoma unaanza kubishana

  • @user-re3zo7ie5e
    @user-re3zo7ie5e 7 місяців тому +1

    Huyo jamaa anaye pinga inawezekana anayo historia na anajua kwahivyo na yeye atowe historia kama huyu mtaalamu anavyo toa historia nzuri na yakuvutia

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 місяців тому +1

    Sasa wagiriki walikigundua hicho kisiwa je hakikuwa na wakazi wenyeji?acheni ujinga

  • @nafuutayb8452
    @nafuutayb8452 7 місяців тому

    Aaaa!!! tushawazowea ila historia ya uislam bora mgeliicha tu shikeni ayo mengine

  • @user-ou2qr1sb9x
    @user-ou2qr1sb9x 7 місяців тому

    Kwawale wenye kupinga kujenga kibla wangetizama asiliyake hio

  • @MahirOmar-wh6vu
    @MahirOmar-wh6vu 7 місяців тому

    Assalam alaykum nauliza hiyo Karne ya kwanza waliokuepo Huku Pemba najua Ni watu lkn Ni akina Nani ?

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 7 місяців тому

    Kwahiyo uislam ulifika pemba kabla ya mtume hajazaliwa

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 21 день тому

    Ndio maanawakawa wengi nimahasidi wauchawi ndio mloachiwa hivyo.

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 7 місяців тому

    Tuonyesheni watu wa isa tuendeleze hapo

  • @josephmasanja8584
    @josephmasanja8584 6 місяців тому

    Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupenda na kusifia lolote la kiarabu tokana na waliyoyafanya hapa Tanzania, na wanayofanyiwa wanawake wa kiafrika wanaokwenda uarabuni tangu zamani hadi leo hii!! Ni upuuzi mkubwa saana

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 7 місяців тому

    SISI tuna histoyetu Mkia ng’ombe chaajabu eti waliandika kua watu kutoka China 😃😃 Wakati SISI tupo

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq 7 місяців тому

    Ndio wakazaliwa kina Bachu Albarzanji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 7 місяців тому +1

    Mbona hijira za Mtume zimetajwa na Uhabeshi ktk Qur-an Yemen 🇾🇪 na mpk leo sisila za Uchamungu zipo pemba haikutajwa ktk History ya uislamu wala ktk Qur-an

  • @HajiAbubakar-nb2ue
    @HajiAbubakar-nb2ue 7 місяців тому

    We mtangazaji kipindi cha issa kulikuwa hakuna kanisa makanisa yamekuja baada ya issa kupaa mbinguni

  • @hemedrashid7186
    @hemedrashid7186 7 місяців тому

    Hv kuna ukweli Nabii Sukeymani alifika ktk kisiwa Mesali?

  • @IddyKawaya
    @IddyKawaya 7 місяців тому

    Matajirii wa kiislam oneniii eneo hili.ipo umuhimu wa kujengaa mskiti na ataa jitimai tunakuwaa na sehemu kmaa hizo za kale kwendaa kufaanyaa uko ataa mashindanoo ya kusoma Quaran tukufuu jmn vichwaa vyetu viiwazee juu ya Allah

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 7 місяців тому +1

    Wacheni kushindana na wajinga , mukitaka musitake Zanzibar ina historia kubwa na dini . Wapuuzeni tu

  • @odilowairinga6324
    @odilowairinga6324 7 місяців тому

    Kuna mtu mqingine akisema pepo ipo arusha

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 8 місяців тому +7

    Wacheni chuki na husda ambazo hazina msingi, Pemba ni kisiwa pekee au sehemu pekee yenye historia ya kuvutia na yenye ukweli, wewe unaepinga Najua wewe ni mbara jaribu kutembelea pemba ulizia mkamandume huko utapata historia ya mkamandume itakushangaza, kulikuwa na kiongozi muislam alijenga jengo na wake wawili na kisima chenye ukuta uliogawa wanachota maji bila kuonana ndoo ndio zinagongana, na alichimba msingi umbali wa kilomita 3 ili kuyafanya maji ya bahari yafike nyumbani kwa ajili ya kufika jahazi yake mpaka kwenye nyumba, Pemba ni kisiwa hata jina lake ilitambuliwa kwa Aljazeera, Pemba ni eneo pekee baada ya maka ambayo imebakia imaani angalau kidogo

    • @jokhaalharthi5807
      @jokhaalharthi5807 8 місяців тому

      Bbbbbbkkb

    • @omarkhalfan2985
      @omarkhalfan2985 7 місяців тому

      Mashallah

    • @hassannachia3946
      @hassannachia3946 7 місяців тому

      Mbina hamendi kuishi kwenu mmejazana tu unguja mnaishi mpka kwenye vyanzo vya maji na mabondeni mnatia aibu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 7 місяців тому

      Na kuongezea ni mpaka kilwa bara. Mbona Tanzania ina historia kubwa tu ndugu yangu. Pemba ina historia kweli.

    • @abuuabdirrahmaan4132
      @abuuabdirrahmaan4132 7 місяців тому

      naona kama hujui unachosema

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 7 місяців тому

    Wapemba wengi wana sifa ya kuamini kama zile za watu tunaowasoma vitabuni. Naamini hata kaburi ya mpendwa wetu Maalim lingeachiwa tu lingeaminika kuwa ni la sahaba.

  • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
    @AbdullaSeifKhamis-tv4zq 7 місяців тому +1

    Huo ni tokea nabii Issa niulize Huo msikiti kibla chake Umeelekea makka Au madina?

    • @abdallasalim3918
      @abdallasalim3918 7 місяців тому

      Uligeuzwa kuwa msikiti wa kawaida mbona alisemna

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 7 місяців тому +1

      kama ni toka nabii issa kwa hakik ni uongo na atakaepinga atuletee wap kapa hio
      hivi jaman haiwi wakat wa mtume sallahu alayh wasallam mambo mengin hayajulikan vp tokea nabii issa wameayapat wap hayo kisha mzee kusema uislam ulifik mwanzo pemba kuliko madin kwa hakik amche mola wake hata km umpemba na mie ivo ivo

    • @hudaaalhussein3841
      @hudaaalhussein3841 7 місяців тому

      Baytul maqdis,

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 7 місяців тому +1

    MZEE UOO VIZURI SANA ILA KUNA JAMBO MOJA UMECHEMSHA SANA UNAPOSEMA KWAMBA NI MSKITI WA WATU WA NABII ISSA YAANI KABLA YA UJIO WA NABII MUHAMMAD HALAFU UNATUONYESHA SEHEMU YA KUSOMEA ADHANA ILHALI UNAJUA SHERIA YA ADHANA IMEKUJA NA NABII MUHAMMAD HAIJAJA NA NABII YEYOTE KABLA YAKE?!!!!!!

    • @user-zt5cz4og2k
      @user-zt5cz4og2k 7 місяців тому

      Ilianza kusomwa adhana baada ya kuja watu wa nabii Muhammad S.A.W

    • @oii6zlaboshelby17
      @oii6zlaboshelby17 7 місяців тому +1

      Hajasema msikiti kasema jengo la ibada la watu wa nambii issa

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 7 місяців тому

      hitoria za uongo hizo jamaa ta km tuwapemba twapata dhamb

    • @saidathuman1536
      @saidathuman1536 7 місяців тому

      Mzee kasema Jengo hilo la msikiti lilitumiwa kabla utume wa Muhammad na baada ya wajumbe wa mtume walipofika Pemba!!

    • @manaphymohd4145
      @manaphymohd4145 7 місяців тому

      Ukiskilza vzr utaelew vizr hukuelew ww nd man ukasema ivo

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 7 місяців тому +1

    SWALI MOJA. JE MISIKITI YENU IMEELEKEA MAKKA AU PALESTINE? NDO UTAJUA KAMA UISLAMU UMEFIKA MWANZO UNGUJA KABLA MADINA. HIYO HISTORIA NI YA UONGO. MM NIMEULIZA DARASANI NA NIKAAMBIWA KAMA KWELI BASI HAO MASWAHABA WANGESEMA KUWA KUNA WENZAO WAMEENDA PEMBA.

    • @abdallasalim3918
      @abdallasalim3918 7 місяців тому

      Walisema wapi na wapi

    • @abdallasalim3918
      @abdallasalim3918 7 місяців тому

      Si walisema ethopia namashariki

    • @manaphymohd4145
      @manaphymohd4145 7 місяців тому

      Kwaiyo we unatak kila alipo muislam paelekezw kibla uyo mualim wako alokujib muambie akup hoja

    • @sulemohdi2013
      @sulemohdi2013 7 місяців тому

      Kasema huo msikiti alio onesha umejengwa karne ya 9, kaka unafahamu school kweli? Na huo ulokuwepo toka enzi hizo kabla kuja Mtume ndo hajauonesha piya kasema upo msingi tu ngoja tuone.

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 7 місяців тому

    mambo mengine ni uwongo wa waz na cjui wameayapata wap na huyo jamaa katuliaa utasema hajui chochot kuhus tarekh ya kiislam cjui mzee amechkua kijitab gan kusema uislam unefika mwanzo pemb kuliko madina huyu mzee amche mola wake kwa hili.hata km ni mpemb lakin hili nalipinga si kwel jamaa mambo mengin tutakujajikuta twaingia pabaya kwa kujisifu san

    • @jumahamad3723
      @jumahamad3723 7 місяців тому

      Kwani uislamu kauleta mtume gani mpaka ukatae kama unaambiwa nabii suleimanai kafika kisiwa hicho kwaio suleimanai sio muislamu

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 7 місяців тому

      @@jumahamad3723 ni uwongo bhan hitoria ya uislam yote imehifadhiwa na mtume bas alkua hajui ivo? na kabla bas vilikuepo vitab vingeeleza hivo bas la kushangaza zaid kusema et uislam umefika pemba madina bado dduuh ata kuapapasa bas hatupapas mchen mola wenu jamaa

    • @wambaaone923
      @wambaaone923 7 місяців тому

      Ukweli ukoje tuambie

    • @manaphymohd4145
      @manaphymohd4145 7 місяців тому

      Acha kupinga jambo ambalo hulijuwi asa toa ya kwako kuusu we mwenyew ulivo bas tukuamn km mkweli

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 7 місяців тому

    Mtangazaji tunakuomba kuwa utambue kuwa dini ya nabii ISSA ni dini ya kiislam sio dini ya kikiristo coz nabii ISSA hajajenga kabisa kanisa yeye binafsi nabii ISSA alikuwa anaswali pale masjid aqswa ya kule Jerusalem Israel ambaoo msikiti ukitwa masjid muqqadas

  • @XPOSED255
    @XPOSED255 8 місяців тому +2

    mhhh uyoo mzee atauchee hakuna history yyte iliosema ivo

    • @omarkhalfan2985
      @omarkhalfan2985 8 місяців тому +1

      Sorry tupatie ya kwako ambayo ni sahili zaid pls

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 7 місяців тому +1

      Mjinga huyu tena ndio wale wapumbavu majuha wasojielewa mana anapinga wakati hana analojua

    • @seifjuma4252
      @seifjuma4252 7 місяців тому

      Ata Enzi za mtume wanafiki walikuepo km hvy wewe kwaio sio cha ajbu Kutext upuuzi km huu unao oneshwa alfu ukjifanya kipofu

    • @ShafiiMkawa-yl9du
      @ShafiiMkawa-yl9du 7 місяців тому

      Inawezekana ikawa kweli

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 7 місяців тому

    Huko ndagoni ni kwetu mimi ni mzaliwa ila ukihoji sana utakuta kuna mambo hayako sawa kwa hii stori ya mzee
    Ili ujue kweli wa

    • @manaphymohd4145
      @manaphymohd4145 7 місяців тому

      Hoji utajua kwaiyo yale majengo kwa akili yko kajenga nan au ww na wenzako