Matapeli wa ccm hawana aibu mmeanza kampeni mapema.mmeanza kutengeneza akina magafuli wa kuchonga.Huyo mama anatumia ndege ya jeshi kwa lipi la maana.Hata magufuli angefufuka mmekwisha
Wewe umesema kweli. Mbeya munahitaji barabara, ajira kwa vijana na mikopo kwa kina Mama, maendeleo kwa ujumla. Jiulizeni mtanufaikaje na huo uchaguzi wa kipindi tu.
Mcheza kwao hutunzwa, HUTUNZWA ACHEZE SANA. So wapiga kura wa jimbo la Dokta TULIA huko Mbeya uchaguzi ujao mpeni kura zote za ndio za UBUNGE DAKTARI TULIA.
Hatutaki Rais mwanamke tena tunataka Rais mwanaume kama MAgufuli na ss tunaangalia suala la maendeleo ana historian gani ya maendeleo kuongoza nchi sio mchezo mchezo Mungu atusaidie tunahitaji Rais mzalendo kama MAgufuli Rest In Paradise Magufuli
Hivi lile swala la bandari lilifikia wapi maana niliskia makonda anateuliwa na tulia akachahuliwa alafu DP world wao walikua kule ikulu wanazungumza na viongozi wenzao😂😂😂
Hizo ni filamu za kuigiza tena ni ushamba yote hayo anataka kulazimisha et wana mbeya waseme ana kubalika kama mr sugu mbuge walie pora ushindi wakura zake za ubunge
Mkae mkijua kuwa huu ni uchaguzi wa kipindi cha mwaka mmoja tu. Mwaka kesho atachaguliwa mwingine toka nchi nyingine. So hakuna kitu cha pekee. Hakuna haja ya kuwa na drama mpaka wanafunzi wamepoteza muda wa masomo. Kipindi chake kitakapoisha 2024 pia mtamuaga kwa mbwembwe?
Umeona jeshi gani hapo ??? Kama hujui mambo ya Mbeya utulie tuliii,unafikiri hizo nyimbo zinaimbwa na jeshi tu,uliza ujuzwe Mbeya hatunaga jambo dogo na Dr.Mbozyo wetu
Ni kweli. Lakini yeye sio wa kwanza wala wa mwisho. Ni nafasi ya mwaka mmoja au miwili. Ikiisha anachaguliwa mwingine. Sikujua kuwa Watanzania ni ignorant hivi badala ya kufanya kazi wanapoteza muda kumpokea na resources zinazotumika hovyo wakati Wananchi wanateseka kwa Hali ngumu ya maisha. Hata the so called educated people nao wamekuwa very unreasonable. It is very pathetic!
Ndio ukweli. Hiyo ni symbolic position ya kupokezana. Kabla hajachagyliwa alikuwepo mwingine kwenye hiyo position. Kipindi chaje kikiisha atachaguliwa mwingine kutoka nchi nyingine. Just watch. Iko siku utajua ninachikisema. Ina maana mulikuwa hamjiheshimu mpaka mtu mwingine ndio aje awaheshimishe? Ignorance, na kujipendekeza ndivyo vitakavyokuua wewe mwenyewe. Kumbuka ukweli ndio utawaweka huru. Baadae ya Jana wewe umefaidika na nini? Hukupata chochote. Mapokezi yamepita umerudi kwako na changamoto zako. Kila la heri
Ni kweli,lakini huyu angekuwa mwanao ungeipokeaje? Hiyo inaenda mtoto wa dada yako ungeipokeaje? Hiyo inafikia kwenye taifa ndugu yangu kuonekana yeye na kuipata nafasi hiyo kweli mwenye mapenzi nae Hana haki ya kufurahi😂😂😂
Hongera Sana dada yetu tulia hakika umetuheshimisha watanzania mungu akulinde daima
Anastahili jamani tuache chuki. Amepambana sana
ame pambana nn Sasa ivi mnakuaga amuna vya kusifia au kama una chakusifia msifie ata mama Yako kuku zaa boya wewe
Mungu akutunze 🙏🙏
Mungu ametuona wanyakyusaa watukuyu kyala akutule mnya mwasasu gwamwisho gwa bibi hongela sana ndugu kwakutueshimisha wana tukuyu na mbeya kwaujumla
Tulia nampongeza kwa kila kitu, mavazi anayopenda kuvaa niyaheshima, sura yake niyaupele, hata sautiyake niyaunyenyekevu, Mungu akulinde sana Tulia
Hongera Dr Tulia kuwa kiongozi wa IPU
Hongera sana lakini angalia unavyotua kwenye mavumbi, huko bungeni unaambiwa pesa zinapigwa sijui unaamini!
Strong woman ! No lispitic no mekerup no artificial air nails even eyelids always natural african woman.good and strong leader
Thank you God ....umetupa Rais wa IPU Toka Mbeya Rungwe Dr.Tulia A.Mwansasu Mtoto wa Chifu...big up
Matapeli wa ccm hawana aibu mmeanza kampeni mapema.mmeanza kutengeneza akina magafuli wa kuchonga.Huyo mama anatumia ndege ya jeshi kwa lipi la maana.Hata magufuli angefufuka mmekwisha
M/Mungu akiamua kukuoa Mwema anakupa yakima aina
Wewe umesema kweli. Mbeya munahitaji barabara, ajira kwa vijana na mikopo kwa kina Mama, maendeleo kwa ujumla. Jiulizeni mtanufaikaje na huo uchaguzi wa kipindi tu.
Matumizi mabaya degree lakivita.
Hata Roma haikujengwa siku moja! Hadi leo bado wanajenga!
@@DavidMessi-h9ckajaribu kulipanda wewe!😂😂😂😂
Isheeee ili shinza Mungu Mwema unatua kivingine kabisa Ubarikiwe
Hongera Mwanasheria usiye na majigambo.
Nikweli sawa tuache chuki lakini mbeya tunataka barabala jamani hayomengine niyakwai wao
Speaker ndio anatoa barabara?
Tulia mungu akulinde sana wanawake tukiwezeshwa tunaweza
Mataifa ya nje lazima wako wanashangaa Rais wa Mabunge anavyopokelewa na vumbi la kufa mtu😲😳
Umenichekesha duuuh 😂 nakuaje a
Hahahaha
Dr Tulia Ackson ni Rais ajae baada ya Mhe Samia atakapomaliza mhura wake wa miaka mitano ijayo
Kamata NENO hilo.
Hayo yapo hapo kupiga kelele mbeya ipo kama wilaya tu barabara hakuna ni shida tu kila siku kupiga kelele
Icho kiwanja chenyewe alichotua vumbi kichizi kama jumbe tu ya manyoni
Umesema kweli. Hakuna manufaa yoyote. Na mwisho ni 2024 anachaguliwa mwingine.
Hongera saana mheshimiwa mimi joseph sissa nakutabiria kuja kuwa katibu mkuu wakwanza mwanamke Duniani
Utakuja kuwa katibu mkuu wa mmoja wamataifa Duniani
Mmmmm si kwa vumbi hiloo
Kweli haya ni matunda ya Samia Rais wetu hongera pia dada yetu tulia tumekupenda gafraaaaa dunian mzima ukapatikana wewe sooo mchezo
Mungu amlinde
Mcheza kwao hutunzwa, HUTUNZWA ACHEZE SANA. So wapiga kura wa jimbo la Dokta TULIA huko Mbeya uchaguzi ujao mpeni kura zote za ndio za UBUNGE DAKTARI TULIA.
Namuona rais wa pili mwanamke ajae tanzania
Hatutaki Rais mwanamke tena tunataka Rais mwanaume kama MAgufuli na ss tunaangalia suala la maendeleo ana historian gani ya maendeleo kuongoza nchi sio mchezo mchezo Mungu atusaidie tunahitaji Rais mzalendo kama MAgufuli Rest In Paradise Magufuli
@@zawadichalale4047good
Hongera saana mdogo wetu
Huo uwanja mbona una mavumbi?
Alafu unaskia jitu lina cv ya kufungia mandazi linamsema Dr Tulia watu kama ni kujifunza watanzania tukaige tabia za Dr Tulia.
Mbeya nchi ganii
Amebebwa kama alivyobebwa kwenye Uspika kwa maslahi ya watu fulani wanaomtumia.
Mpaka aibu yaan anakotoka spika wananchi maisha nimagum anashindwa kuibua fursa hata wabunge wake wanamshangaa
Mbona masipika wengine hawkuwa na mbwembwe kama huyu
Mwambieni aje sumbawanga ajifunze kwa wenzake walivyojenga barabara nzuri sana kila mtaa
Acha uzwazwa sumbawanga ya ulaya ama
@@yustomwaisomania2587 umekula lakini?
@@yustomwaisomania2587ndugu yangu mimi siyo mwenyeji wa sumbawanga,Ila wamejenga barabara nzuri sana
@@yustomwaisomania2587mbeya utafananisha na sumbawanga ipo mbali
Usijali mambo mazuri yaja Mbeya
Karibu bunju b, mama
Hivi lile swala la bandari lilifikia wapi maana niliskia makonda anateuliwa na tulia akachahuliwa alafu DP world wao walikua kule ikulu wanazungumza na viongozi wenzao😂😂😂
Itakuwa nchi ya misukule
Hatujawahi kuacha kuwahamisha wanafunzi darasani kwao kuwaleta kwenye mapokezi yetu!!
😂😂😂
Asante sana
Kweri mungu mkubwa tatizo meandered hatuna
Hongera dct
Mbona Hana Raha anazidi kukauka Kama kaangwa kwenye mafuta
Tunashukulu mungu umeieshimisha mby
Watu wa mbeya nendeni na tulia mpate maendeleo la sivyo mtabaki hivyo hivyo na vumbi lenu
Hongera SPIKA wetu
Nakapenda sana aka kadada tulia kakarimu kwaeli
Rais wa mabunge yote Duniani. Sio mchezo NI kipaji kikubwa na nicheo kikubwa sana
Uyu mama napndasana kwanzaanamakuu
Tanzania bhan bad use of resources
Hamna chuki hapo. Wanalazimisha tu
Kila nikiona Hawa jamaa nakata tamaa. Angekuwa Sugu NI sawa maana mwizi NI mwizi tu!!
Hivi mdude anajisikiaje ? Sugu upo?
Mbona mheshimiwa anachanja kwenye vumbi ndio nini sasa?. Mpeni heshima yake jamani ma red carpet yamejaa kibao hata lami mngepitisha basi
Hajapambana. Amepewa tu kwa hisani
Matumizi mabaya ya vyombo vya Dora pamoja na rasilimali za vyombo vya dora
Dola
@@mwitaagness455😂😂😂 jirani yake huyo kama sio mbeya nae atakuwa anatokea mara
ULITAKA apandee babakoo 😂😂😂 kama yeye ni kiongoz wa umma kwann asipande usafir wa umma 😂😂😂😂 achaa wivu hutafanikiwa katika maisha Kwa namna hiyoo
Unaumiaee! Pole sana jikaze
Ameitolea sauti Afrika
Kawachokoza wazungu!
Wanyakuysa Washamba watani zangu
Ushamba wao uko wapi? Au ni chuki binafsi tu
Safi sana
Hicho sio Cheo. Ni symbolic position na ndio maana ni Cha mwaka mmoja tu na mwaka kesho atachaguliwa mwingine kutoka nchi nyingine. Acheni ignorance
Utakuja kuwa katibu mkuu wa mmoja wa maarifa duniani
Maendeleo yapo lakini? Sio kufurahia tu vyeo
Wewe utakuwa umetoka kundi la watoa habari makonda alisema
Mtoa habari na sugu wako wote NI maboya tu
Uyu karewa maharaka mbeya imekuwa shida Barabara shida mkoa wenye maandereo kuriko Tanzania nzima Barabara hakuna wananchi mbeya tunahangaika sana
Fanya Kaz siasa mbaya huiwez
Hizo ni filamu za kuigiza tena ni ushamba yote hayo anataka kulazimisha et wana mbeya waseme ana kubalika kama mr sugu mbuge walie pora ushindi wakura zake za ubunge
Hii ni siasa usitake Kila mmoja afuate mawazo yako ww unamchukia wengine wanampenda
Wamama wanaupiga mwingi asee,,,,hii ndege ni ya kwetu au ndio usafiri wake kwa sasa?
Hapo walimu wamekiona cha moto watakuwa wameambiwa Daftarari la kusaini kuingia Kazini liko katika mapokezi ya Rais wa Mabunge Duniani!!!!!!!!
Hahahahahah
icho kitulia hakinenepi mwili huo huo
Mmeuza bandari zetu ZOOTE sasa mnazungukazunguka na ndege MUNGU yupo ATAWALIPA
Vituko
Mkae mkijua kuwa huu ni uchaguzi wa kipindi cha mwaka mmoja tu. Mwaka kesho atachaguliwa mwingine toka nchi nyingine. So hakuna kitu cha pekee. Hakuna haja ya kuwa na drama mpaka wanafunzi wamepoteza muda wa masomo. Kipindi chake kitakapoisha 2024 pia mtamuaga kwa mbwembwe?
Siasa Baba
Kumbe jeshi limegeuka chama cha siasa au nyumba ndogo ya CCM!
Umeona jeshi gani hapo ??? Kama hujui mambo ya Mbeya utulie tuliii,unafikiri hizo nyimbo zinaimbwa na jeshi tu,uliza ujuzwe Mbeya hatunaga jambo dogo na Dr.Mbozyo wetu
Siongelei nyimbo. Kama una macho angalia hiyo chopa imeandikwaje utajua ninachomaanisha na kuelewa na kuwa pamoja name @@fatmaallyabdul1732
Uyo ndio mbunge wa mbea yaanii moaka mtasema
Kiongozi bora
:O
Ni kweli. Lakini yeye sio wa kwanza wala wa mwisho. Ni nafasi ya mwaka mmoja au miwili. Ikiisha anachaguliwa mwingine. Sikujua kuwa
Watanzania ni ignorant hivi badala ya kufanya kazi wanapoteza muda kumpokea na resources
zinazotumika hovyo wakati Wananchi wanateseka kwa Hali ngumu ya maisha. Hata the so called educated people nao wamekuwa very unreasonable. It is very pathetic!
roho mbaya itakuua.
Akuna kitu
Chadema wewe aibu kwako.wivu ukumalize
Safi
Hilo Helkopta ni la IPU ndio matumizi ya nchi na ungozi wetu yalipo fikia..
Hakika unatueshimisha mama
Heshima ya ni sawa sio nachukia ila kutumia mali za nchi kesho mnaanza CAG kasema hivi upuzi
Nawaza sana siku wakijichangany wampe uraisi wa nchi hii mtu wa Mbeya mbona watajutaa etii ndaghaa 😂😂
Kwani watu wa mbeya hawataki kuwa Marais? Acha chuki wewe tena tutampa mwabukusi awe Rais.
Basi tutampa babu yako mamae
Una roho ya kichawi na chuki
Anafaa urais
Masikin mkubwa wee wivu umekujaa
Tt..
Vyeo vya kijinga huaga wanachukua watu kama hao.
Mhhhhh
😂😊
🎉
Tatizo wao wajuwaji unakazana kujenga wenzako wanakazana kubomoa. Wachaga hawakonhivyo
Mungu nimwema
😅
Sjaelewa
Kwan unaubongo wakuelewa?
Mbeya mna Rais wa dunia lakini bado mnadanganywa kufanya maaandamano mwonyeeni Mwabukusi
Nilaisi wadunia huko kwao duniani kwetu mbeya anatusaidia nini barabala mbovu hata hajali hilo wanini sasa kwetumbeya
@@adiliwasanga4521 Nabii hakubaliki kwao
Wewe umefanya nini kuisaidia Mbeya
Au umebaki kulaumu tu.
Hongela ww uliye ifanyia vitu vikubwa
Mbeya wanaumoja snaa
Wow
Ndio ukweli. Hiyo ni symbolic position ya kupokezana. Kabla hajachagyliwa alikuwepo mwingine kwenye hiyo position. Kipindi chaje kikiisha atachaguliwa mwingine kutoka nchi nyingine. Just watch. Iko siku utajua ninachikisema. Ina maana mulikuwa hamjiheshimu mpaka mtu mwingine ndio aje awaheshimishe? Ignorance, na kujipendekeza ndivyo vitakavyokuua wewe mwenyewe. Kumbuka ukweli ndio utawaweka huru. Baadae ya Jana wewe umefaidika na nini? Hukupata chochote. Mapokezi yamepita umerudi kwako na changamoto zako. Kila la heri
Ni kweli,lakini huyu angekuwa mwanao ungeipokeaje? Hiyo inaenda mtoto wa dada yako ungeipokeaje? Hiyo inafikia kwenye taifa ndugu yangu kuonekana yeye na kuipata nafasi hiyo kweli mwenye mapenzi nae Hana haki ya kufurahi😂😂😂
Chuki itakuua mjomba siasa peleka uko
Asante sana