Nadhani si sahihi kuwa na uchaguzi Serikali za mitaa, Nashauri watendaji wote wa Serikali za mitaa waajiriwe kwa usaili kama waajiriwa wengine serikalini, kuwa na uchaguzi serikali za mitaa ni kupeleka siasa mitaani wakati WANANCHI MITAANI WANAHITAJI ZAIDI MAENDELEO KULIKO SIASA, pia tuondoe nafasi ya Diwani yaani hii ni pure politics, watanzania mlioko kwenye maamuzi badilikeni kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu. Si sahihi hata kidogo kuwa na Mkuu wa Mkoa au Wilaya hizi ni post ambazo ni pure politics yaani ni siasa tu hapo, TUBADILIKE, TUWE NA UPENDO KWA WATANZANIA WENZETU NA NCHI YETU.
CCM Bado inatawala mfumo mzima wa usimamizi wa UCHAGUZI Kiufupi TANZANIA BADO CCM WATAENDELEA KUTAWALA MPAKA SIKU WATANZANIA WATAKAPO ELEWA AU KUJUA HAKI ZAO .TUME YA UCHAGUZI IKO CHINI YA USIMAMIZI WA CCM KWAHIYO MSITARAJIE JIPYA BADO WEMBE NI ULE ULE WAKUTAWALIWA NA CCM

Hiyo gharama mnazotumiaga kuingia kwenye uchaguzi bora mngejenga miundo mbinu maana mshindi hua mnamjua nyingi
uchaguz unasimamiwa na Waziri wa ccm hakafu eti uchaguzi uwe huru na haki ni ndoto bila mifumo huru ya uchaguzi