Mbowe mbowe!..kwa hotuba hii we ni nabii uliyekuja kutukomboa baada ya nyerere,Mungu akulinde mpaka ndoto zako zitimie,ccm imefikia mwisho,hotuba ya Karne kwa watz,zingatiane haya!...tz
Kazeni buti tuko nyuma yenu watu wanaotegemea wizi wa kura ili waendeleee kuongoza hao Ni wepesi Kama karatasi siku zote mungu Yuko kwenye haki ! Na sio kwenye wizi wa kura!!!!
Huo ndiyo ukweli ndugu,haya madudu ya kijani yanatakiwa kuchomwa moto kwenye uchaguzi ujao 2024/2025,yasipate Balozi wa nyumba 10, mwenyekiti wa kitongoji, diwani mbunge wala Rais!
Watoto wa viongozi wote wana ajira tena kwenye nafasi nzr na wengine wamesoma na watoto wetu lakini wa kwetu hawana ajira.tuambiwe ni mtoto wa kigogo gani haha ajira na anatembea na cv.kwenye maofisi akisaka ajira.jamani wamwogope Mungu.Mungu akikasirika akawageukia watalia machozi ya damu.tunataka ajira kwa kila kijana ili mradi ana vigezo.
Wananchi huu ndiyo wakati wa kulikomboa Taifa letu,Tanganyika yetu na rasilimali zetu,ccm haifai kupata kiti chochote kuanzia wenyeviti wa mitaa,vitongoji,kata,madiwani,Wabunge na Rais. Tuwanyoe ili mafisafi wajue hili Taifa siyo mali yao! KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
Wananchi tunapongeza uamuzi huu wa Chadema na tuwe tayari kushiriki maandamano na mapambano haya bila kuogopa wala kurudi nyuma,hayo ndiyo maamuzi ya kiume aliyoyafanya mwenyekiti Mbowe na tukiunganisha nguvu zetu pamoja tutashinda, Mungu simama katika haki wenye haki washinde jambo hili,Ameni. KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
@@hamisijuma8124Alaf ndg zangu Wa kiimani hii sio vita ya kidini Bali ni vita ya maendeleo acheni upuuzi mimi ni Muislam ila nikipitia kila comments nyingi zinazopinga ni za mrengo wetu kwanini? Ni nan aliyetudanganya? 😢
Kwakweli hawa ccm wamezidi sana, ccm ni kakikundi kadogo kanakosaidiwa na vyombo vya Dola. Hawa askari watakaozuia jambo hili watakuwa wa ajabu sana. Halafu askari ndio wanaolipwa mishahara midogo sana lakini wanawalinda wanaowaumiza.
Minaomuomba mungu usiku na mchana chadema owe madalakani ccm hii ccm hii ccm hii itatuua kweli .tunateseka mno tulikua uchumi wakati zaizi tuko uchumi 0 kabisa wanashindwa kutatua tatzo la umeme ,kweli mmchadema woyeeeeee
Mimi naomba maandamano yalenge mambo matatu (1) tume huru ya uchanguzi (2) tunaitaka tanganyika yetu iwe huru (3) tunaitaka bandari yetu na mwisho hatumtaki kabisa samia
Ila waandishi wa habari wa Tanzania ni very unprofessional. Uulizaji wa maswali yao tu unaonesha liko tatizo kwenye professional hii hapa nchini hasahasa kwenye uelewa na ufahamu wao
Wewe mbowe shida yako na wewe unabadilishiaaga gia angani uwa mnakuja kulalalama baada ya kuona maslai yenu yameguzwa uliwekwa ndani kwa kosa la uhaini tulipiga kelele chaachabu uliitwa ikulu cjui ulipewa nn ulipokuja ukatupiga marufuku kuwanyooshea viongoz wa serikali vidole na kuchukua CDM yote ukaipeleka ikulu tuambie kwanza ulihonga nn ama ulihongwa nn kesi yako ikafutwa
Kwa mara kwanza Chadema kuonesha njia ya ukombozi wa fikra juu ya taifa letu, kikubwa msimamo wasio na vyama Tunawaunga mkono CCM wametufanya kenge kwa mda mrefu sasa
Baba wanapandisha nauli kwenye daladala wanavyotaka wao bila kujiuliza mtanzania anaepata kipato kidogo, kwa mfano ndugu Mh. Kutoka gongo lamboto kuja masaki nauli ni shilingi 1100 kwenda TU hapo hujarudi zamani ilikuwa 700 ebu tazama ongezeko LA nauli hapo viongozi wanalifahamu Hilo sema wanatuona sisi ni mazombi TU hatunafaida kwao inauma sana mh.sio haki kabisa
Iv ni kwamba vyombo vya habari habari vikubwa hapa nchini Tanzania kama Tbc, Azam tv, wasafi, UTV, ITV na vinginevyo ni kwamba huwa chadema hawavialiki katika platform zao au ni kwamba ivyo vyombo vya habari huwa havitaki kushiriki???
KWA KAULI YA MH MBOWE SASA NINAONA MWANGA WA MABADILIKO YA NCHI YETU, ,,KWA MAANDAMANO NI UKOMBOZI NA DEMOKRASIA YA KWELI ,,HONGERA MH MBOWE TUKO PAMOJA WATANZANIA WENZEKO WAPENDA MABADILIKO
MKO WAPI AZAM TV, TBC NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KUONYESHA HOTUBA HII LIVE.....TUNAAMBIWA 'MNATISHWA' NA CCM NA VYOMBO VYA DOLA WENU...AIBU NA FEDHEHA KWENU.
MUNGU WA HAKI SIMAMANA WAPENDA HAKI. UKO WAPI MUNGU WA DANIEL? UKO WAPI MUNGU WA MESHACK NA ABINEGO??? SIMANA NA MBOWE NAONA ANAKWENDA KUTUPWA KATIKA TANURU LA MOTO.KWA SABABU TU AMEKATAA DHURUMA.
Jamani simwache tu kugombea kibaki chama kimoja mnapiga kula napita mwingine wanatangaza mwingine mambogani hayo dai katiba ikishindikana acheni kugombea
Kazi nzuri sana mkubwa hii imeenda salam ziwafikie
Well said Mheshimiwa Mbowe
Ndiyo Mzee Baba tunahitaji mabadiliko 💯
Mbowe mbowe!..kwa hotuba hii we ni nabii uliyekuja kutukomboa baada ya nyerere,Mungu akulinde mpaka ndoto zako zitimie,ccm imefikia mwisho,hotuba ya Karne kwa watz,zingatiane haya!...tz
Haswaaa
Kazeni buti tuko nyuma yenu watu wanaotegemea wizi wa kura ili waendeleee kuongoza hao Ni wepesi Kama karatasi siku zote mungu Yuko kwenye haki ! Na sio kwenye wizi wa kura!!!!
Hongera chadema mabingwa wa siasa.❤❤
Mwenyekiti sasa mmeanza kuwa serious..... Huu mwaka uwe ni wa action zaidi maana future ya Tanzania chini ya hawa majambazi inafifia vibaya sana.
Tena kwa sasa wamekua wanyonyaji wa nchi
Tatizo ninyi chadema tuna waunga mkono halafu badae tunapoteza kura zetu Bure mnazubaa mpaka ushindi unapotea.
Chadema kazeni buti isiwe kama UKUTA. Znz tutawaunga mkono. Sie kuuliwa ni cha mtoto tu tushazowea.
People's power ✌️
Usije kutugeuka sasa maana nyie nao mnaturudisha nyuma ukipewa bi ngap unatutelekeza naomba msimamo huu huu ❤❤
Leo ndo nimeona umeongea kama mpinzani mungu akutangulie
Hapa sawa
Nimejikuta nalia kumskilza mbowe kweli tanzania tunaishi kwa mazoea nakibri kwamba watafanywa nini waspofanya
He mbowe Loko spaiz safi sana
Huu ni wakati wa kuunda UKAWA mpya kwani umoja ni nguvu. Ccm wamezidi zarau.
Huo ndiyo ukweli ndugu,haya madudu ya kijani yanatakiwa kuchomwa moto kwenye uchaguzi ujao 2024/2025,yasipate Balozi wa nyumba 10, mwenyekiti wa kitongoji, diwani mbunge wala Rais!
Pamoja
Watoto wa viongozi wote wana ajira tena kwenye nafasi nzr na wengine wamesoma na watoto wetu lakini wa kwetu hawana ajira.tuambiwe ni mtoto wa kigogo gani haha ajira na anatembea na cv.kwenye maofisi akisaka ajira.jamani wamwogope Mungu.Mungu akikasirika akawageukia watalia machozi ya damu.tunataka ajira kwa kila kijana ili mradi ana vigezo.
Edison alifanya majaribio10999 bulb haikuwaka zoezi LA elfu 11 ndipo bulb ikawaka.
Mungu akubariki...mikoa yote
Sema baba
Wananchi huu ndiyo wakati wa kulikomboa Taifa letu,Tanganyika yetu na rasilimali zetu,ccm haifai kupata kiti chochote kuanzia wenyeviti wa mitaa,vitongoji,kata,madiwani,Wabunge na Rais. Tuwanyoe ili mafisafi wajue hili Taifa siyo mali yao! KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
Acha utanganyika na uzanzibar maana kuongelea hayo ni kuishiwa sera au kufilisika kisiasa!
Big up sana chama kubwa
Sir yes Sir !!!
CHADEMA....CHAMA MBADALA WA CCM KWACHAGUZI ZA 2024 NA 2025....WATANZANIA BILA KUJALI VYAMA NA DINI ZETU TUKO NYUMA YENU.
Hofu ya Mungu ndio jambo la msingi!
Mie ni kutoka Zanzibar naunga mkono maamuzi ya Chadema kwa mara ya kwanza. Na huku znz pia yafanyike maana Mwinyi nae anapuuza maagizo ya kamati.
Wanaokataa maandamano ni watoto wa viongozi ambao hawajui na gharama ya maisha.
Ndiyo hayo mafisadi majambazi majizi ya rasilimali zetu ndiyo yanakataa maandamano ila nguvu yetu moja tutashinda.
mbowe pamoja
Nakuelewa mkuu pamoja sana
Wananchi tunapongeza uamuzi huu wa Chadema na tuwe tayari kushiriki maandamano na mapambano haya bila kuogopa wala kurudi nyuma,hayo ndiyo maamuzi ya kiume aliyoyafanya mwenyekiti Mbowe na tukiunganisha nguvu zetu pamoja tutashinda, Mungu simama katika haki wenye haki washinde jambo hili,Ameni. KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI SASA.
Kaandamame Libya watanzania hatuna utamaduni huo
@@hamisijuma8124 Wanufaika wa mafisadi wanajulikana! Muda utafika tutaongea Lugha moja!
@@hamisijuma8124Libya ya Baba yako
@@hamisijuma8124Alaf ndg zangu Wa kiimani hii sio vita ya kidini Bali ni vita ya maendeleo acheni upuuzi mimi ni Muislam ila nikipitia kila comments nyingi zinazopinga ni za mrengo wetu kwanini? Ni nan aliyetudanganya? 😢
Pamoja sana tunawapata vzr hapa Lilongwe Malawi,tupo pamoja
Mbowe mungu akulinde pambana niko na wewe baba nataka mabadiliko CCM imetuchosha
Ama kweli mnapambana kuhusu haki
Hakuna kitakachobadilika hadi ifike mahali tuuane na viongozi wafiwe ndio akili itawakaa sawa.
Mimi ninayo njia mkitaka nitawaambia
Wakiuwa na sie tuuwe tu. Tunao mitaani
Ni nchi nzima tuanze maandamano
People power ❤❤❤
Hapo nimeelewa sana
Yes❤❤
Kwakweli hawa ccm wamezidi sana, ccm ni kakikundi kadogo kanakosaidiwa na vyombo vya Dola. Hawa askari watakaozuia jambo hili watakuwa wa ajabu sana. Halafu askari ndio wanaolipwa mishahara midogo sana lakini wanawalinda wanaowaumiza.
Mbowe❤
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume wananchi tumechoshwa na plopaganda za maccm
Great
AMANI,ITAWALE❤
Leo ndo nimekuelew mkuu
Minaomuomba mungu usiku na mchana chadema owe madalakani ccm hii ccm hii ccm hii itatuua kweli .tunateseka mno tulikua uchumi wakati zaizi tuko uchumi 0 kabisa wanashindwa kutatua tatzo la umeme ,kweli mmchadema woyeeeeee
Safi sana
Mwenyekiti Leo nimekuelewa
Mambo si ayo bwana
Tanzania hii samia hakumbuki tena ka kulikuwepo na bunge ra katiba mpya ivo uchaguzi usifanyike hadi mchakato wa katiba mpya ifanyike
Mimi naomba maandamano yalenge mambo matatu (1) tume huru ya uchanguzi (2) tunaitaka tanganyika yetu iwe huru (3) tunaitaka bandari yetu na mwisho hatumtaki kabisa samia
Fanyeni kiume kwa ajili ya haki usawa acheni maneno matupu
Ila waandishi wa habari wa Tanzania ni very unprofessional. Uulizaji wa maswali yao tu unaonesha liko tatizo kwenye professional hii hapa nchini hasahasa kwenye uelewa na ufahamu wao
Tuko pamoja
💪💪💪👌✌️✌️✌️✌️✌️✌️❤❤❤
Wewe mbowe shida yako na wewe unabadilishiaaga gia angani uwa mnakuja kulalalama baada ya kuona maslai yenu yameguzwa uliwekwa ndani kwa kosa la uhaini tulipiga kelele chaachabu uliitwa ikulu cjui ulipewa nn ulipokuja ukatupiga marufuku kuwanyooshea viongoz wa serikali vidole na kuchukua CDM yote ukaipeleka ikulu tuambie kwanza ulihonga nn ama ulihongwa nn kesi yako ikafutwa
@@thomasmallya2972tuliza iyo Niaje Man Ndonga ya kiume Haitaki Mawenge
Tunawasoma kwa saut ya juu sana
Nawap vzr sn chadema blood
Kwa mara kwanza Chadema kuonesha njia ya ukombozi wa fikra juu ya taifa letu, kikubwa msimamo wasio na vyama Tunawaunga mkono CCM wametufanya kenge kwa mda mrefu sasa
Kabisa
Netanyahu aliulizwa maswali alfu hadi wengine wakakosa nafasi, hapa ni wawili. Watanzania milioni 63 Mayahudi milioni 3.
Pamoja makamanda tunawafatilia sana
Sauti jamaani hatusikii mitambo imekorofisha ndg
KWELI MZEE MAISHA. MAGUMU SANA MADAWA. HOSIPITALI BEIGALI
Oky
❤❤❤
Viongozi wengi chadema wa chaga chadema chama Cha siasa au chawa chaga kunanitia mashaka sana awa. Wakipewa nchi atari
Mbowe akili mwingi
Aiseee
❤
Baba wanapandisha nauli kwenye daladala wanavyotaka wao bila kujiuliza mtanzania anaepata kipato kidogo, kwa mfano ndugu Mh. Kutoka gongo lamboto kuja masaki nauli ni shilingi 1100 kwenda TU hapo hujarudi zamani ilikuwa 700 ebu tazama ongezeko LA nauli hapo viongozi wanalifahamu Hilo sema wanatuona sisi ni mazombi TU hatunafaida kwao inauma sana mh.sio haki kabisa
Mbowe ni kiongozi haigiz
Hiki chama huwa sikielewi kabisa ni cha ukoo au kabila 😮😮😮 mara kileo mara mushi nk hiki chama pia ni tatizo tu
Kabisa tatizo vile vile hawana lolote, ngoja wachukue hiyo nchi uone utumbo wao hakuna chochote cha ajabu watafanya yale yale tu.
Kama ulikuwepo vile yaani nyani ciku zote halioni kundule
Iv ni kwamba vyombo vya habari habari vikubwa hapa nchini Tanzania kama Tbc, Azam tv, wasafi, UTV, ITV na vinginevyo ni kwamba huwa chadema hawavialiki katika platform zao au ni kwamba ivyo vyombo vya habari huwa havitaki kushiriki???
Vimeolewa vyote ns gavoo
Hii ndio maana ya upinzani.haiwez kuwa maneno maneno bila actions kila siku
Kama wamezoea kuhua. Bola watuuwe wote lakini sikwaujinga uhu
KWA KAULI YA MH MBOWE SASA NINAONA MWANGA WA MABADILIKO YA NCHI YETU, ,,KWA MAANDAMANO NI UKOMBOZI NA DEMOKRASIA YA KWELI ,,HONGERA MH MBOWE TUKO PAMOJA WATANZANIA WENZEKO WAPENDA MABADILIKO
Yaani waandishi ndo hawana kabc maswali ya msingi😢
MKO WAPI AZAM TV, TBC NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KUONYESHA HOTUBA HII LIVE.....TUNAAMBIWA 'MNATISHWA' NA CCM NA VYOMBO VYA DOLA WENU...AIBU NA FEDHEHA KWENU.
Waache na hizo Tv zao waache tutaunsubscribe mbona hata sisi tunakuwa tunapata viewership nzuri siunamuona Jambo Tv anavyokuwa siku baada ya siku
Si Walisema Chadema imekufa?
CCm wameishiwa hoja watupishe tuwaoneshe inchi inavyo ongozwa kamanda endelea kupambana mingu akulinde
Waandamanaji ktk ubora wao
Chama kimekuwa lakini basi na ndiyo mana inapigwa ila mungu yupo 🙈
MUNGU WA HAKI SIMAMANA WAPENDA HAKI. UKO WAPI MUNGU WA DANIEL? UKO WAPI MUNGU WA MESHACK NA ABINEGO??? SIMANA NA MBOWE NAONA ANAKWENDA KUTUPWA KATIKA TANURU LA MOTO.KWA SABABU TU AMEKATAA DHURUMA.
Chama hakina hata sare aileweki sare yao ni ipi😂😂😂
Hapo sasa mm mwenye nikajua kikundi cha masera kwenye vikoba
Sale ni shuleni hapo? Ona CCM mulivyo mataila
Jmn huyu mwandishi anauliza swali au ana anaimba kwaya?
Ccm oyeeeeee mwamba kashaaanza kutusaidia kampeni tunakushukuru mbowe huna baya andamana tu hata ukitaka zunguka dunia nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Heshima kwako kamanda mbowe
Mnapoteza muda bila kutumia plan b hatutoboi ngooo
Jamani simwache tu kugombea kibaki chama kimoja mnapiga kula napita mwingine wanatangaza mwingine mambogani hayo dai katiba ikishindikana acheni kugombea
MUNGU,peke yake akusimamie Mzee mbowe
Kumekuchaaaaaaaaaaaaa.
Mandamano yata anza lini vile mwenyekiti mbona sijakuelewa hapo yaa tarehe 24/01/2024 ? Au umekwepa kuitwa mchochezi ki janjaaa
Twende na mbowe kuchochewa siasa ya tz
Hiki chama humu hakuna viongoz wa juu mazaramu
Wananchi wamechoka na ugumu wa maisha
Mama huyu is double faced
Hii ni ya lini Leo au
Ofisi imejengwa maeneo salama.
Mngu awepamoja nanyi kwan bila ninyi iinchi ingesha potea mda mlefu
Mzee mbowe ss tunakuunga mkono natuko pamoja nipo mvomero turian
Mm hamadi ali salumu ni
Mbowe ni mwamba
Hii imekaa sawa naunga mkono
Kiswahili
Unaye sema hukielewi chadema akiliyako IPO kwenye kucha