SAKATA LA AJIRA ZA WALIMU BUNGENI LEO, KUHUSU WANAOJITOLEA, UTARATIBU BADO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 162

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +23

    Mfumo wa ajira uanze kufuatana na mwaka aliomaliza mwalimu au daktari.Mfano huwezi kuajiri mtu aliyemaliza mwaka 2020 akajitolea na ukamuacha mwalimu aliyemaliza 2016.labda kama wote wamemaliza chuo 2016 ndio kati ya hao waangalie wale waliojitolea.Huwezi ukamwajiri aliyemaliza 2017 kisa anajitolea na kumuacha yule aliyemaliza 2016,utakuwa unamnyima mtu haki.Kwanza kuajiri wale wanaojitolea ni kukaribisha mianya ya rushwa.wanaojitolea na wasiojitolea wote wana haki sawa ya kuajiriwa.Hivyo vigezo viwe waajiriwe wa miaka ya nyuma kwanza ndio ifuate miaka mingine mfano waanze wa 2016,waje wa 2017,waje wa 2018,2019,2020,2021 na kuendelea.

    • @LevinaLupenza
      @LevinaLupenza 2 місяці тому +3

      Ni kweli watu wamejitoleaa mpka wamechoka na piaaa miaka mingi watu wamekaaa Toka 2015 na 2016 halafu unaajili aliyejitolea wa mwaka 2022 jaman hili la kuangaliaa watu wameapply miaka yotewanaambulia patupu

    • @getruderPolly
      @getruderPolly 2 місяці тому +5

      Yaani hapo Mimi binafsi sioni kama kujitolea ndiyo kigezo kikuu cha kuajiriwa, naomba wahusika walifikirie upya suala hili, huku mtaani Kuna watu wanapambana kivingine ili tu maisha yaende na wana vigezo stahiki vya kuajiriwa Naomba wanaohusika walitazame hili Kwa jicho la tatu, LA SIVYO HAPO MTAJIKUTA MNATENGENEZA MAZINGIRA YA RUSHWA.

    • @stellatemu2458
      @stellatemu2458 2 місяці тому +2

      Upo sahihi

    • @FransiscaKipanga
      @FransiscaKipanga 2 місяці тому +2

      Sisi tunao jitolea tuangalie jicho la tatu
      Na mfumo utuangalie piah
      Maana nasi tuna nufaika na serikali piah

    • @allenmwambuch3689
      @allenmwambuch3689 2 місяці тому +1

      Huyu Naibu waziri hatumwelew kabisa ,kila swali linauliza lini wataajir ,lakin jibu lake ni tofaut kabisa .mgao wa nn sasa wakat walim wapo tu mitaan

  • @SurprisedBirchForest-tm5yg
    @SurprisedBirchForest-tm5yg 2 місяці тому +5

    Haya mataila kweli yaani swali lilelile hivi kwann huwa tunawachagua mataila hawa

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 2 місяці тому +9

    Wabunge wameishiwa hoja na maswali. Hivi unashindwa hata kuhoji. Ratio ya Walimu wanaoomba kazi na nafasi zinazotolewa kweli? Mfano katika nafasi 20 zilizotolewa Walimu waliotuma Maombi ni 816 kwanini Serikali isiwe na mpango madhubuti wa kuajiri Walimu wengi zaidi? Kwanini hii isiwe hoja ya kitaifa? Wabunge kuweni serious

    • @msigwabandeke6089
      @msigwabandeke6089 2 місяці тому +1

      Yaani Hawa wabunge cjui wakoje, maswali wanauliza yaleyale. Bora spika kachallenge angalau. Uchaguzi ujao inabidi wananchi tusichague dizaini ya wabunge hawa

  • @richardmrosso976
    @richardmrosso976 2 місяці тому +8

    Mm nadhani kipindi cha uchaguzi mkuu wasomi wote ambao awajaajiriwa tujitokeze kwa wingi touchable viongosi watakaotupigania wanyonge sio awa wanaopigani maslai ya familia zao kwapamoja tunaweza kuchagua viongozi sahihi

    • @msigwabandeke6089
      @msigwabandeke6089 2 місяці тому +2

      Ni kweli kbsa, Kwa maisha ya sasa unaweza kuzungumzia suala la kujitolea. Ajira zenyewe chache, posho ya kujitolea kidogo. Labda wanataka tuendelee kuwa maskini na ombaomba. Assume posho upewe laki Moja, kiuhalisia haiwezi kukidhi . Kwa watu utaonekana unafanya kazi lkn uhalisia wake unapoteza muda tu na umri unaenda bila mafanikio. Serikali iliangalie hili Kwa mapana yake na Kwa kutanguliza uzalendo.

  • @paschalsimion2935
    @paschalsimion2935 2 місяці тому +6

    hii ya kujitolea ni aina fulan ya rushwa, wanaojitolea wengi ni watoto wa vigogo, wanawaweka huko afu wanakuja kuwatolea hoja kwenye mihimili,, wapo wengi wanatafta hizo nafac za kujitolea wanashindwa either kiuchumi au kujuana,, nadhan serikali ingetumia vigezo kama Mwaka wa kuhitimu, umri, GPA, na performance kwenye interview, otherwise rushwa na kujuana vitachukuwa nafasi

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 2 місяці тому

    Hongeraa Dkt Tulia Ackson naona unaguswa na adha ambazo wanadamu wenzako wanazipitia

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 2 місяці тому +9

    Safi sana spika TULIA umetulia.
    Watanzania unatufaa sana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 місяці тому +5

    Hii sekretar ya uajir inaumiza watu, ndugu zetu wamemaliza kutoka mwaka 2016 had Leo hawaja ajiriwa kweli hii hakki

  • @Kudemaxtertz
    @Kudemaxtertz 2 місяці тому +1

    Duuuuh kila swali jibu lake ni ajira za walimu 11015 duuuh hii hatari sana🔥🔥

  • @dismaskamanzi2365
    @dismaskamanzi2365 2 місяці тому +2

    Hawa tutasema nao mwakani we ngoja.. ♨️♨️🙌😥

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 2 місяці тому +7

    Serikali iachane na usaili. Mtu anaweza kujitolea lakini akashindwa usaili hapa irakuwaje? Usaili ni kukwepa majukumu ya serikali kuajiri

  • @DanielNdunguru-t3p
    @DanielNdunguru-t3p Місяць тому

    Kwa kweli hizo ajira zilizotangazwa ni chache sanaaa na wanafunzi MN ashuleni ni wengi uhaba wa walimu ni mkubwa

  • @IDRISANOMBO-ii8nt
    @IDRISANOMBO-ii8nt 2 місяці тому +2

    Wabunge mutusaidie kujenga hoja vizuri maaana iz ajira kila siku ni Hadith tu toka mwez January mwaka huu serikali imesema itaajir walimu saiz wametoa tena ajira wametoa tena tangazo usaili wamesitisha bora waseme kwel kam mwaka huu kuna ajira au amna maaana siasa zimekuwa nyingi saan

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t 2 місяці тому +2

    mm nimeenda kujitolea na nikakataliwa wakasema hawana hela ila baada ya muda nikaona wenzangu wawli wamakubaliwa so nishamuachia Allah anipambanie litakalo tokea ndilo nitalipokea nimeamaliza chuo 2015 ,nina rafiki yangu kajitolea 3 years na bado hajaajiliriwa wenzake waliopo nyumban wanaajiriwa tufanye kipi mkioe kizuri

  • @evancemwanasenga8200
    @evancemwanasenga8200 2 місяці тому +3

    Naona maswali n mepesi sana kwenye hili jambo nyeti
    At least speaker ameongea point sana but hata mwaka huu miez flan uliongea hvo hvo ila still nothing changed ndo kwanza tunaludi nyuma

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 2 місяці тому +3

    Nilichoona humu watu wengi humu wameshiba xana hawajui ata namna ya kupanga hii hoja cha msingi angalia kigezo cha mwaka wa kuhitimu na umri

  • @preciousism4493
    @preciousism4493 Місяць тому

    Hakuna haja ya watu kuongeza elimu ikiwa mifumo ya ajira inasumbua kwa kweliii inakatisha tamaa ya kuendelea kupoteza hela na kulipa ada bora ada igeuzwe mtaji aiseee walimu hawatoshi Bado huku mashuleni yani system nzurii ni ile ya kikwete mwalimu akimaliza chuo tuuh anapata ajira sasa saivi ni hatariii

  • @MlupaliLuoga
    @MlupaliLuoga Місяць тому

    Wanajifurahisha 😅😅

  • @allenmwambuch3689
    @allenmwambuch3689 2 місяці тому +2

    Ifike mda kama serikali imezidiwa
    Anzen mfumo wa kuajir kwa mikataba .Mwajiriwa afenye kaz miaka kumi astaafu na wengine wapate nafasi

  • @kagembemgalula2092
    @kagembemgalula2092 2 місяці тому

    Naumia sana kuona bunge linajadili kujitolea nchi inauhuru miaka 60+ kuwapa kipaumbele wanaojitolea ni kutengeneza taifa maskini tunatengeneza taifa la vijana wazembe mtu anashindwa kufanya kazi hata ya kilimo au kuuza maandazi unaamka asbh kujitolea dah!!! Naona Aibu saana

  • @josephmapesa71
    @josephmapesa71 2 місяці тому

    kazi ipo. maswali yale yale, majibu yale yale. kuna haja kubwa ya bunge hili kupigwa msasa 2025 kuongeza reasoning na thinking.

  • @esthermwashambwa
    @esthermwashambwa Місяць тому

    Uwongoo

  • @faustinakebile4243
    @faustinakebile4243 Місяць тому

    Na munaona watu wa afya na walimu ndio wanabidi kupata ajira ila kuna kozi nyingi sana huwa mnaziwekaga wapi na mkitoa mnatoa nafasi 6 au 3 kweli😢

  • @marthasilas-wh2wm
    @marthasilas-wh2wm Місяць тому

    Hzo posho haziwafikii wa husika kabisa unajitolea lakini hata senti hupewi unaishia kuambiwa kituo kina deni inaumiza aisee

  • @MabulaJohn-t4q
    @MabulaJohn-t4q 2 місяці тому

    Safi sana sipika

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat Місяць тому

    Kumbe Kuna umpungufu mkubwa sana ya walimu katika taifa zima Kuna wasiwasi kwamba hata idadi unaotajwa na naibu waziri haitatosha kabisa naomba serikali uangalie upya kwani kwa Sasa mwl Mmoja hufanya kazi ya walimu wawilizaidi ambo bado kuajiriwa.

  • @SurprisedBirchForest-tm5yg
    @SurprisedBirchForest-tm5yg 2 місяці тому +3

    Hawa wabunge hivi huwa tunawachagua Kwa vigezo gani

  • @evedyerasto3488
    @evedyerasto3488 2 місяці тому

    Jamani ata kwa sekta ya umeme wa leli SGR.tunaomba vipaumbele kwa sisi tuliofanya miundombinu zote za umeme kwenye ajira izi zilizotolewa.

  • @josephmalumemalume8749
    @josephmalumemalume8749 Місяць тому

    Bunge la mazuzu swali moja linaulizwa na wabunge wote inamaana hamna hata ufahamu wa kujua kua jibu la mtanngulizi ni sawa na lako kuna maana gani kuuliza swali moja wabunge wote wakati jibu ni moja eti wanatofautiana kwa kutaja jimbo shame on you

  • @ZakariaJamesholela
    @ZakariaJamesholela Місяць тому

    Kwanini serikali isije tu na data moja kwa moja ya walimu wanaohitajika kuajiriwa Kila mkoa ,kuliko wabunge wachache walipata nafasi ya kuzungumzia majimbo Yao ndiyo wakazingatiwa ikumbukwe Kila mkoa una uhaba mkubwa sana wa waalimu
    Solution hapo watoe ajira kwa wingi na kelele zitapungua

  • @bashirshaibu2364
    @bashirshaibu2364 2 дні тому

    Kwani hawa wabunge au bhas ngoja ninyamaze

  • @hawamjema6583
    @hawamjema6583 2 місяці тому

    Mm nashauri wale wote ambao walikuwa wanauzoefu hata km ni wale ambao walitolewa kwa vyeti feki wachukuliwe wafanye kazi hata km ni kwa mkataba au kujitolea ili kusaidia vijana wetu na wale pia wanauzoefu zaidi.

  • @SimonSeleman-pp2lr
    @SimonSeleman-pp2lr 2 місяці тому +1

    Nina swali,,,,,, mlitoa tarehe ya usaili trh 25 October ,,,lakin tena usaili mumeuailisha je n lini usaili huu utazingatiwa,,,, jambo jingine mnapo sema walimu wakujitolea mtawapa vipaumbele sana lakini je kwenye usaili wasipo fanya vizur mtawaajiri ?????

  • @nicken3250
    @nicken3250 2 місяці тому

    Sijui kwanini hii ishu ya kujitolea inaleta shida sana.. kuna tatizo mahali

  • @vitalisantony239
    @vitalisantony239 2 місяці тому

    Kuna vitu vingine vinaudhi sana, ratio ya wanafunzi wanaodahiliwa ni kubwa kuliko walimu wanaoajiliwa, sasa napata shida je tunategemea kuwa na viwango vya ubora kwa ufundishaji kweli, mbona kuna vitu vimewekewa sheria hadi zinafuatiliwa mf sheria za kodi. Nk mambo mengine bwana huhitaji kutumia nguvu ili ujue. Hebu tuendelee kupoteza muda tu maana kweli wabunge wetu mmetuangusha ni vipi tunandaa kizazi cha kesho kama tumesahau chaleo maana mtoto wa leo.ndiye baba au mama wa kesho. Dah Sustainable dvp ilienda kushoto hapo yaani unashindwa kutatua tatizo la leo unafikiria la kesho so waliopo leo si ndo hao wa kesho mbona sometime hatujielewi kama nchi😢😢😢,

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 2 місяці тому

    Usaili ni kupotezea muda watu pia unafiki mkubwa yan kama una vipnd viwili interview mbili za written bado oral interview. Kwa nchi hii jaman tukomae tu tulipojiegesha kusiwakorofishe wanaotuweka mjin maana ajira ualimu 11000; walioitwa ni laki 4 level gan ya unafiki hii. Let us find another way of success

  • @JosephFortnatus-nv8sn
    @JosephFortnatus-nv8sn 2 місяці тому

    Tutafute kazi za kufanya Ajira zmekuwa ngumu, wabunge wanapiga makelele Tu Ile Hali wanajua uhalisia WA Mambo

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya 2 місяці тому

    Mungu atatenda sioni haja ya kuanza kujipendelea Kwa kigezo Cha kumaliza zmani au kujitolea.,.waliofika wakati wao wa kuajiriwa wataajiriwa Mungu ndo anapanga yeye!

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 2 місяці тому +1

    Ajira zitolewe kwa kuzingatia majimbo ili kuleta Haki kwa wote Ma siyo kwa kuangalia matakwa binafsi

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat Місяць тому

    Wapi walimu wanajitlea katika mazingira magumu sana wasjirini jamani

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 місяці тому

    Walimu sarakasi nyingi, leteni Pepa kuchomekana prof mkenda hapendi na hataki

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 2 місяці тому

    Kwaiyo Mnatulazimisha wote tukajitolee ,,,ukweri ni kwamba waliojitolea ni waoga wa maisha serikali iajiri kwa vigezo walivyoweka wengine tupo tunajenga nchi kwa kufanya biashara ,wengine ni mafundi ujenzi,wengine ni wakulima wote tunjenga nchi kwaiyo hao waliojitolea sio kwamba wao pekee ndio wanajenga nchi kila Mhitimu anajenga nchi kwa kazi anazofanya kilaumbele tupewe wote sio walijitolea tu

  • @theresiamushi5094
    @theresiamushi5094 2 місяці тому +1

    Ni vigezo gani vilivyopo kwa wanaojitolea??

  • @salarose5980
    @salarose5980 2 місяці тому +1

    hapo ndio tatizo linapoanza,upungufu wa walimu unasababisha watoto wetu wakose elimu bora

  • @ezrambilinyi6788
    @ezrambilinyi6788 2 місяці тому

    Yani maswali yanayoulizwa na Hawa wabunge 😂😂😂 hamna kazi hapa.
    HUYU WA MWISHO KAULIZA SWALI ZURI.

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 2 місяці тому

    Ubinafsi utatumaliza 😢😢😢

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 2 місяці тому

    ukishiba hiwez mwenye njaa ko siwez kuelezea sana

  • @barickchepesi1606
    @barickchepesi1606 2 місяці тому

    Kwakweli hawa wabunge sijui yaani wanashimdwaje kuhoji kuhusu nafasi zinazotolewa kuwa ni chache ukilinganisha na uhitaji wa walimu katika shule ,

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 місяці тому +1

    Swali lingeulizwa hivi " ikiwa kada ya elimu kunauhaba mkubwa wa walimu, Je ni vipi nafasi za 11,000 za ajira zinaenda kutokomeza uhaba wa walimu ulioko mashule, ili kuwa na uwiano sawa kati ya walimu na wanafunzi?

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 2 місяці тому

    Kujitolea Sio kigezo cha kupata ajira kwanza wengi wanaojitolea wanakua wamepata hiyo nafasi ya kujitolea Sio kwa ushindani wala fairnerss zaidi ya connection lakini utumishi inaset equal criteria kwa wote washindane so utumishi waachwe wafanye kazi yao

  • @zakariadaremajega
    @zakariadaremajega 2 місяці тому

    Ningekuwa na uwezo wa kuwashauri wanaojitolea waachane na kujitolea Ili serikali ione uhalisia wa upungufu wa walimu maana kujitolea kwenye serikali ya namna hii haina maana ni kupoteza muda tu

  • @ShukraniMasse-et9sp
    @ShukraniMasse-et9sp 2 місяці тому

    Mbn mm nimewaelewa wa heshimiwa

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 місяці тому

    Ajirini watu na sio kujitolea kwa hyo mnaminya ajira Ili watu wajitolee hkn ajira ya mtu anayejitolea wote wamesoma waajiriwe acheni mbwembwe

  • @DanjeseGaaray
    @DanjeseGaaray 2 місяці тому

    Lini tutaajiriwaa mbona siasa nyingi naibu waziri mgao huo upiii unataka wewe we huoni tunaumia walimu tunaotaka ajiraa wengine tuna miaka karibia 10

  • @NikodemuGwaydi
    @NikodemuGwaydi 2 місяці тому +1

    Mmekosa kazi yakufanya siyo 2025 tutachagua wanaoelewa chakujadili,kwani hamjui kuwa Kuna upungufu??

  • @VeloMahenge
    @VeloMahenge 2 місяці тому

    Tusipendelee tuu watoto waviongozi kuwa namba moja kuajiriwa ,utakuta hatabila maombi amepewa kazi wakisha maliza ndipo wana tangaza ajira sio vizuru mukihitimu na mtoto wa kiongozi utakuta yupo kazini wewe miaka inaenda na wewe ulikuwa unamzidi ufaulu acheni hivyo viongozi mwiko Mungu hapendi hivyo

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 2 місяці тому

    Mama Kikwete,walimu wako waombe kama wengine

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo 2 місяці тому +1

    Hiv. Mawazili. Wengine. Wanpataje. Nfasi kamahzo. Wazili. Mzima. Anashindwa kujieleza kweli. Aloo. Tatzo san

  • @JeremiahMunisi
    @JeremiahMunisi 2 місяці тому +1

    Mbona wabunge hamjengi hoja, mnarudia maswali yale yale kwa maneno mengine

  • @HildaMuya
    @HildaMuya 2 місяці тому +1

    Kila mmoja unamhakikishia atapata je huo mgawo wanatosha

    • @Yonksmedia24
      @Yonksmedia24 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂 hiyo ndio maana ya siasa

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 2 місяці тому

    Hata hiyo yakujitolea mashuleni hawatuhitaji wanakuambia acha cv tutakupigia hawapigi je tushike chaki kwa lazima tuingie kufundisha😅😅😅😅😅

  • @Dilannick
    @Dilannick 2 місяці тому +1

    Kwani walimu wakifanya usaili kama madaktari kuna shida?

  • @Hashim-u9q
    @Hashim-u9q 2 місяці тому

    Hujawah jitolea kufundixha sehem yeyote toka uhitim mwaka 2016 afu leo uka fanye interview f

  • @wolframkombo7917
    @wolframkombo7917 2 місяці тому

    Ndio shida ya ya kuwa na bunge la chama kimoja maana maswali yao kwenye hii hoja ni ya kulindana tu
    Mimi nikiwa kama mwananchi sijaona swali hapo maana majibu ni mepesi sana kwa mjibu.
    Ila wacha tu

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 2 місяці тому

    Au vyuoni wasitishe course ya education hawa wa mtaani waishe kwanza fundishe course zingine hata za ujasiriamali

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 2 місяці тому

    Imekuwa nyimbo sasa 😅😅😅

  • @YunisLukas-w7i
    @YunisLukas-w7i 2 місяці тому

    😂😂😂😂Sa mbona maswali yaleyale

  • @captainjitindi9323
    @captainjitindi9323 2 місяці тому

    Waajiri kwa miaka

  • @DanjeseGaaray
    @DanjeseGaaray 2 місяці тому

    Ya kila jibu ni utapata mgao mgao upiii kwa idadi ipii😊

  • @johandavid7389
    @johandavid7389 2 місяці тому +3

    yani unachangia mradi tu uchangie .sasa swali ni lile lile majibu ni yale yale .hujinga tu kurudia swali lile lile

  • @reubenjoas6029
    @reubenjoas6029 Місяць тому

    Umemaliza 2016 au 2018 nau una miaka 30 au above it means una familia
    Ukajitolee ulipwe lak mara usilipwe familia itaiishije? Hta wale wanaojitolea wanawazuia kupiga hatua mtu unazidiwa nahta bodaboda

  • @emmanuelmsambya5293
    @emmanuelmsambya5293 2 місяці тому

    Yan akili ni ya tulia tu wengine humo duh siamini kama tuliwachagua ss

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 2 місяці тому

    Kwanini iitwe mgao wakati walimu wapo wengi sana. Ajirini walimu acheni siasa kwenye fani za watu.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 місяці тому

    Kwani walimu elfu kumi na tano tu watatosha Nchi nzima upungufu wa walimu katika nchi hii sio la leo!

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo 2 місяці тому

    Ndiyo mana maeneo mengine mawazili mzgt kwann. Msiwatowet

  • @MeckChaz-k1j
    @MeckChaz-k1j 2 місяці тому +2

    hongera sana mitano tena kwa mama

  • @IssaHaruna-gw1oz
    @IssaHaruna-gw1oz 2 місяці тому

    Nashangaa kusikia Kuna upungufu wa walimu shuleni wakati walimu tumemaliza degree zetu tunaomba kaz kila zinapotangazwa na tumejaa saana mtaani.
    Kuna pahala nchi yetu inakwama

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 Місяць тому

    Wanakosaji vigezo vp angali wapo shuleni wanafundisha?.

  • @abuufawzan4289
    @abuufawzan4289 2 місяці тому +1

    Hata nafasi ya kujitolea kwa sasaivi kuipata nisawa na ugumu wa kupata ajira.

    • @EstaDaffi-wg5cr
      @EstaDaffi-wg5cr 2 місяці тому

      Kabisa hata mimi nlipeleka cv kuimba hata kujitolea nliambiwa ntaitwa mpaka leo sjaitwa

    • @abuufawzan4289
      @abuufawzan4289 2 місяці тому

      @EstaDaffi-wg5cr Njia ya kujisaidia kwa mnyonge nishuhuli binafsi za mtaani lakini huko kwenye ofisi za umma kuna connection za maana.

  • @godblessndauka2888
    @godblessndauka2888 2 місяці тому +1

    Samahn naomb kuuliza hik kilikua kikao cha ngapi katk bunge?

    • @habari-24
      @habari-24  2 місяці тому

      Kikao cha Kumi na mbili Mkutano wa 17 kikao cha kwanza, Tar 29 October 2024:
      Bunge Tv... ua-cam.com/users/livedviIYLFgtmw?si=GG04XW-VFc0WKRmD

    • @godblessndauka2888
      @godblessndauka2888 2 місяці тому

      @@habari-24 shukrani sana mkuu

  • @WilliamMwansasu
    @WilliamMwansasu 2 місяці тому

    watoto wa maskini jiandaeni kisaikolojia nchi ngumu sana hii

  • @samsonkandula970
    @samsonkandula970 2 місяці тому +1

    Yaani wanauliza maswali yaliyojibiwa ili tu posho iingie waonekane wameongea, hakuna ata challenging point

  • @selyadaud3662
    @selyadaud3662 2 місяці тому

    Haya majibu ya naibu waziri hata hayaeleweki.

  • @AbelMsachi
    @AbelMsachi 2 місяці тому

    Hivi neno "kujitolea" katika ajira hizi lina maana gani?? Au mimi ndiye kichwa ngumu sielewi tu??

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 2 місяці тому

    Maswali na majibu havifungamani ninakarahika na namna hii ya kuuliza na kujibiwa mmm

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 2 місяці тому

    Mimi naona wabunge wote wanarudia swali lilelile

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 місяці тому

    Swali lingine lingeulizwa hivi " pamoja na serikali kuonyesha jitihada za kuziba mwanya wa uhaba wa ajira hasa katika kada ya elimu. Je serikali imejipanga vipi kuajiri walimu wenye VIWANGO na ubora, UTAKAo tatua changamoto za kufeli Kwa watoto, na kukuza elimu yetu?

  • @rozamabagala6242
    @rozamabagala6242 2 місяці тому

    Ajira bado ni changamoto hata wanaouliza swali wanajua kabisaaa haiwezekaniki na ndio maana wanatutia moyo tu kuwa tunafikiriwa ila hakuna namna😂😂😂

  • @catholic_vibes
    @catholic_vibes Місяць тому

    Inakuwaje kila mmoja anauliza swali lile lile, ingali jibu linajulikana kabisa litakuwa ni nini??😎🤔

    • @josephmalumemalume8749
      @josephmalumemalume8749 Місяць тому

      Bro hii inaonyesha jinsi gani taifa hatuko serious na watu. Wa kutuwakilisha hawa hawafai hata kuwakilisha mtaa tu

  • @josephmatinde5051
    @josephmatinde5051 2 місяці тому

    Katambi ametambika macho tu wananchi wako Wala huna mda nao

  • @hamisiamiri108
    @hamisiamiri108 2 місяці тому

    Amna kitu umo tupambane na mengine tu, umri haumgoji mtu, ka subili ajira jitolee ulipwe elfu sabin af uje kuajiliwa na miaka arobain ndo utajua maana ya kupoteza muda

  • @TEGEMEAEDWARD-w6c
    @TEGEMEAEDWARD-w6c 2 місяці тому

    Wabunge wanauliza maswal km wanafunz wa darasa la 4

  • @paulomlekwa192
    @paulomlekwa192 2 місяці тому

    Mbona anajibu kwa kuzunguka? Jibu mbona ni ndiyo tu😂

  • @AMBROSIJOSEPH-qc7xo
    @AMBROSIJOSEPH-qc7xo 2 місяці тому

    Nadhani serikali ingetumia ufaulu yaani GPA na kujitolea

  • @ephraimsaimon3125
    @ephraimsaimon3125 2 місяці тому

    Peaneni tu vile mnavyojuana uko mda Mungu ataona machozi ya hao wasio na watu wao. Serikalini

  • @DanjeseGaaray
    @DanjeseGaaray 2 місяці тому

    Afu unatuletea habari ya usahili why mnakuwa ivoo

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 2 місяці тому +1

    Sasa simba chawene ajira 12, elufu,, wanao maliza wangapi,

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 2 місяці тому +3

    Wanao malza ualimu wanaenda wapi

  • @michaelfidel5635
    @michaelfidel5635 2 місяці тому

    Oy tusiojitolea tukomae kitaa2 mbona ajira hakuna apa tutatoboa2 Bila shaka

  • @stellatemu2458
    @stellatemu2458 2 місяці тому

    Vigezo viwe umri