Ivi jaman waja mjue kiredio haaribu mahusiano ya watu Bali anawaamsha watu kwenye ndoto ambazo SI zao kiukwely inauma ila Mimi napenda ila wanaume jaman ifike zam Yao nao walie🙏🙏🙏😭😭😭
Atakaeoa huyo mdada muuza viatu atakufa mapema sanaaaa... mwenyewe kasema hawez kumuacha huyo x sasa unazan atakutuliza akili ujijenge na kujenga familia kweli? Hell NO. Atakuua kwa stress bora tu aendeleze upuuzi wake na x ambae ni mwanaume wa mtu mwingine, huyo hafai kuoaa
Kiredio anazngua unajua huyo jamaa anaonekana anampenda sana huyo demu na unaweza ukakuta hata huyo mshkaji alkuwa hana mpango wakumuacha ndio maana alivyojua yupo na mshkaji mwngne "Daah! " zikawa nyingi zikionesha hali yakufadhaika na kuvunjika moyo na maneno hayo aliyoyaongea nikatika hali yakujitia moyo nakujikosha tu mbele ya mwanaume mwnzke wanaume wengi wasingejibu tofauti sana na huyu bwana coz wanaume tunaumizwa sana na fumanizi ila kama mwanaume still unataka kuonesha uimara
Unajua watu mnamlaumu Ally hamjui kupigiwa simu na mwanaume mwenzio usiemjua ukatishiwa kuhusu mwanamke watu wanapotezwa kwenye ramani kisa vitu vidogo huenda kaongea vile ili kuua tu Soo au huenda kweli alikuwa anamtafutia sababu yote yanawezekana,, kikubwa usiombe ikukute 😁
Ivi jaman waja mjue kiredio haaribu mahusiano ya watu Bali anawaamsha watu kwenye ndoto ambazo SI zao kiukwely inauma ila Mimi napenda ila wanaume jaman ifike zam Yao nao walie🙏🙏🙏😭😭😭
Dah sema uyo demu umemsaidia kinyama mungu amsaidie
Kabisa
Eee kwa kweli
huyu dada hawezi kuolewa apparence yake tuu
@@julianapeason6254mmmh Kwan wewe ndio unaowa wanawake wote sio
Hata haijasaidia kitu maana dada ni king'ang'a bado anamlilia huyo mshikaji
Ko mwanetu Kiredio apo mission accomplished 😂😂😂🙌
Dada mzuri achana na huyo mwanaume
Duh huyo dem amesaidika 😂😂😂
Sito kuja kumwamini mwanaume yeyote hata kama nalala nae kila siku😂😂
😂😂😂😂
Shwaaaa😂😂😂
😂😂😂
Usiseme hvo dada yangu
Siwez kabisa wee
Wewe kiredio ukivunja mahusiano ya watu, inabid ujuwe kuyarudisha pia sio unaharibu tu
😂😂😂
MALAYA WOTE MWAKA HUU WAACHANISHWE
..UMALAYA MMEUBATIZA JINA LA MAHUSIANO KENGE NYIE.
Vzr waachane maana wanakaa kuzini zini tu hawaolewi bora abwana kiredio endlelea hvy hvy 😂😂😂
😂😂😂😂😂Eeaawa nimecheka🙌
Wani wewe eee😂😂
ameongea point kubwa sana ....wanaume tunagombana sababu ya pesa sio sketiii......ally bigup sana
Ally umepigãje hapo😃😂😂😂
😂😂😂😂Ally amesema alikuwa anamtafutia sababu dada WA WAtu 😭😭😭 r.i.p mapenzi
@@user-dn3sn2fk9v shwaaa😂😂😂
Sema wanaume ndo mnatufanyaga tuwe mashetani😂😂😂😂😂
Kabisa
Wanawake mwalimu wenu sio kipozi nikiziwi sasa faida yake nini 😂😂😂
Uyooo muhuni moja kwa moja pepon
We kiredio utajikuata upo kwenye gunia siku moja we vunja ndoa za watu 😂😂😂
Her face expression tells it all 😮maskini doh pole dr
Atakaeoa huyo mdada muuza viatu atakufa mapema sanaaaa... mwenyewe kasema hawez kumuacha huyo x sasa unazan atakutuliza akili ujijenge na kujenga familia kweli? Hell NO. Atakuua kwa stress bora tu aendeleze upuuzi wake na x ambae ni mwanaume wa mtu mwingine, huyo hafai kuoaa
😅😅😅
Kiredio anazngua unajua huyo jamaa anaonekana anampenda sana huyo demu na unaweza ukakuta hata huyo mshkaji alkuwa hana mpango wakumuacha ndio maana alivyojua yupo na mshkaji mwngne "Daah! " zikawa nyingi zikionesha hali yakufadhaika na kuvunjika moyo na maneno hayo aliyoyaongea nikatika hali yakujitia moyo nakujikosha tu mbele ya mwanaume mwnzke wanaume wengi wasingejibu tofauti sana na huyu bwana coz wanaume tunaumizwa sana na fumanizi ila kama mwanaume still unataka kuonesha uimara
Uyo Ally hakupendi ww eti alikuwa anatafuta sababu yakukuacha w dada sepa tafuta mpenzi mwengine kabwa haja kuacha yy utakuja teseka ki akili 😢
Nice 1
Dada kaachwa muachwo😅
Mwanaume mnafik sana
Kiredio alivyo tulia baada ya harib kama so yeye vile😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😅😅
Kaharibu au kamsaidia angejua saa ngap km anatafutiwa sababu
Sasa hio si kauli tu baada ya mtu kuona mtu kalala na mwanaume mwingine kila mtu ana reaction yake msijudge tu
Sema kiredio mwanangu unazngua kinyama 😂😂😂😂😂😂
Anyway ko mlitaka mwanaume awe mnyonge au😢 achen kumulaum mi Sion kosa lake😮
Angekua anampenda kweli asingesema alikua natafuta sababu. Huyo ni hampendi kabisa na mwanaume akikupenda lazima atakuuliza yeye ashasema hamuulizi
Ali wangu ndo uje ufanye huu ujinga kubabake 😂
Amelala yooooo😂 wanaume kuku wallah
Bora umejua moyoni mtu anakuwazia nini 😅kheee jamani nyie ukichokwa
😂😂😂
😂😂😂😂😂 michezo mengine tuitikirie bila kuyafanya duh pole yake
😂😂😂😂😂😂 nyie Mme sio watu WA kuwamini
Mimi kupenda tena sitaki ngoja nitafute hela wanaume wamekua ni shida💔
we kama mm sitaki kabisa kupenda mtu tena sitakiiii nijipende mwenyewe tu
Uuuwiiiiiiiii, Yesu nisaidie mimi😢😢 mwanaume shkamoo kabisa yani......
its a lessons my dear
Wanaumee🙌
Hahahahahaa hii imeenda
Wadada mvulana akisema hakutaki achana nae atakufanyia vituko hadi ujiachishe😂😂😂😂
wanaume tunagombana kwenye pesa tu 😀😀
Kabisa uwezi kuta mwanaume anae jielewa ana gombania mwanamke
Si uliitaka challenge mwenyewe 😅😅😅😅pokea majibu sasa
Ally mi nomaaa
Nipe namb ya uyo dem kaka 🤣
Fatuma shaban umeniacha hoi
Wewe unasemaje ila wanaume😅😅😅
Mh wanawake kazi tunayo
Mmmm polen sana tulilia sana
Ndo mkome kuganya charge 😂😂😂😂
Eti mwanaume anaomba elfu hamsini😂 and the one
Dada kama ulikuwa unam fumaniya wa nn tena achana naye haku fayi huyo😢😢
Kiredio unaharibu mahusiano ya watu halafu et unashangaa imekuaje 😂
Ila kiredio mamaee😂😂😂
Kuonana ten😅😅kumanini
Kiredioa ameharibuu💔
Mwana anajiuzaa 😂
Damn it
Atar Sana
Yaan km nn mm hp ningeshuruku kweli kuniepusha na huyo mwanaume kumjuwa nia yke duuuh wanaume duuuh
🎉ushauri wangu Mimi acha kumjaribu mwanaume wako maana ni jambo la ajabu sana kumjaribu maisha.
Huyo msichana wa kwanza umemharibia mahusiano yake 💔 sio vizuri
Yaan kiredio anajifanya km kumhurumia huyu dada
Endeleeni kumchekea kiredio mtaachwa kila siku😅😅😅
Duuu uyo wa pili kiboko dadeqqq kumbe ndio maana Wanaume wanakuwa legelege kumbe kuna mademu yanatoa baada ya kukatwa😅😅😅
Ila harmonize haishiw vituko kil cku🥰
😂😂😂😂daah
siku tutakkuta challenge za mabwana pepsi wetu ahahahahahaah nataaamani siku moja nione challenge ya bwana pepsi wangu akikataa watu
Da pori😅
Shwaaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Huwiiiii
Iyo sogea y kiredio😂😂😂
Mi siez fanya challenge za kipuuz iv
Tulia dada upate mwanaume ataejal hisia zako acha nahuyo Ally komwe😊
Ila sio sawa mnavunja mahusiano yawatu bila sababu
Kweli kabisa yaani!! Hizo challenge kha!
Nashindw chakusm😢😢
Wanaume nyie 😂😂😂🙌🏻
Dada hizo blich acha
Mmh mwanaume anataka hela kwa wakike
wa pili ni jaiva au hahahah
Kiredio uyo dem aloachwa na ali mwambie antafute nimlete zenj afrai maisha.
Duuu hao ndo wanaume wa kisasa Eti amekuwa anamutafutia vijisababu vyakuachana nae 🥲🤔
Achana nae
Sitokuja kusahau Ally alichonifanyia Wallah
nipe namba ya uyo demu wa mwanzo plzz kaka naomba
Iyo blichi aijakaa powa
😂😂
Mtafutie mchumba uyo dada
Jamaa linamuomba mwanamke pesa halina hata aibu,kwanini wanaume mmekua hivi lakini
We dem ndo fala tena sana baki na huyo kiredio sasa hata ningekua mimi ningekuacha sana tu
chee anaomba na helaa hahahahah mariooo sio mchaga kweli huyo maan hahhaaha akii ndo mambo yao
Kiredio anazuga anahuzunika😂😂😂
😂😂😂😂
Ally unasemaje?😂😂😂🙌🏽
Sema nn br hapo jamaa naona alipaniki 2 but hana maana ya kuwa dem wake hampend
Mj
Momjoll
Mmmmh hakuna mtu hapoo
Unajua watu mnamlaumu Ally hamjui kupigiwa simu na mwanaume mwenzio usiemjua ukatishiwa kuhusu mwanamke watu wanapotezwa kwenye ramani kisa vitu vidogo huenda kaongea vile ili kuua tu Soo au huenda kweli alikuwa anamtafutia sababu yote yanawezekana,, kikubwa usiombe ikukute 😁
Fetty muongo jmn 🤣🤣🤣 eti hana ex
Makosa ya kibinadamu 😂😂😂😂
Na nyinyi wa dada muangalie vitu vyakujipaka mwajipakia marangi tu paka mwatisha wenyewe mkajion wazuri mwatishaaaa
Ndiodawahio ally yukosawa we unazaniabata pekeyake anaekulamavi mpaka kuku nyiechokonoen mavi mpakamjue mnyajikala golori yabaiskeri
@kiredio tuma namba basi kaka
Kiredio uko wapi na mimi nataka unifanyie challenge
😂😂😂😂😂😂
Zingatia neno wanaume kama kugombana ni kugombania pesa tuuuu
😢😅😅😅😅