Kutoka kuzungusha BIL. 2 kwenye BIASHARA yake, hadi MADENI ya Mil. 700 'Nilifikiria kujiua' - PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Kutoka kuzungusha BIL. 2 kwenye BIASHARA yake, hadi MADENI ya Mil. 700 'Nilifikiria kujiua' - PART 2
    • Kutoka kuzungusha BIL....
    Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 250

  • @ereswidamoshi7404
    @ereswidamoshi7404 2 місяці тому +2

    Watu sahihi mwanzoni mwa biashara ni kweli kabisaaa I can testify

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +25

    Kwakweli hawa ndio watu wakusikiliza story za maisha yao ili tulifunze kutoka kwao Hongera kaka wewe ni shujaa😍😍❤️

  • @alimadai6437
    @alimadai6437 Рік тому +15

    Jina la kipindi: Motivation section, hii ni kali bro Bundala

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Рік тому +18

    Mbona sijasikia akimshukuru Mwenyezi Mungu alimsaidia kuinuka. Mtaji wa kwanza ni Mungu Vijana wenzangu naomba msisahau. Nidhamu ya Fedha na Kuepuka Matumizi ya Vilevi ndiyo Kinga Pekee ya kufanya Pesa idumu.
    🇹🇿🇹🇿

  • @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs
    @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs Рік тому +2

    Umeongea point sana kaka. Muombe Mungu akukutanishe na watu sahihi kwenye biashara yako❤️🫶

  • @sultanjames9395
    @sultanjames9395 Рік тому +10

    This guy is a genius, gari sio ngumu sana ni wenge tu ukiwa nalo. Mwenyewe nimejifunza gari kwa kusoma tu vitabu vya VETA then nikaingia kwenye chuma nikatembea, by that time nilikuwa dogo sana ndio niko form 1 enzi hizo.

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 Рік тому +24

    Vipindi hivi muhimu sanaaa. Tumechoka na hawa mastaa wasio halisi. Na hawana Cha kutufunza

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 Рік тому +6

    Yaan Mimi nilifel mama lishe na nikakata tamaa kumbe kuna wengine Wana mabilioneer na hawakat tamaa duhhj honger Sana Kaka na pole Sana Kwa changamoto ulizokutana nazo

  • @vicentgideon4971
    @vicentgideon4971 Рік тому +10

    Swa I remember the day you wanted me to work in your office , you are a true hustler I have seen your struggle there at Mlimani City , I think In Business Failure and Mistakes are the better lessons you will ever had, keep up the spirit Swai Sawaingaaaaa✨

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 Рік тому +4

    Uyu Jamaa Alizipaishaga Sana Crown Athlete alifanya nikaipenda crown alikua anaipamba sana alikua anazpost kali sana

  • @Jameskaguo
    @Jameskaguo Рік тому +6

    Hii series aisee iendelee kali sana tunapata inside za watu walio fikka somewhere tunapata moyo

  • @modernfarming5938
    @modernfarming5938 Рік тому +24

    Hii kipindi tuiite “Experience behind the successful Business People”

    • @emanuelsolomoni7003
      @emanuelsolomoni7003 Рік тому +2

      Jina refu sana - lets pull more creative on it. Mfano unaweze ita " stories behind titans" or " The Road to success" kama hayo yanakuwa mafupi na yako creative.

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 Рік тому +8

    Huyu Kaka Nampenda saaaan Nmeanz kumfuatlia Tang anaanz Hustle zake ❤

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому +7

    Nimeipenda Sana hii interview jamaa yuko social sana.

  • @pnstudiostz.
    @pnstudiostz. Рік тому +29

    Broo pole sana! Mm mwenye uliniajiri na nilipoona mambo hayaendi niliondoka japo naamini utanyanyuka tena hata zaidi ya mwanzo coz nakujua unapambana sana na unataman kila mtu aliyeko kwenye mzunguko wako nae apate, najua vijana wengi wamliman city pale wanasemaga Swai akiwa na pesa na sisi tunazo pia maana hukuwai kumtupa mtu akija ofsn kwako na shida ndo maana hata Omary aliharibu lakini hukumtimua ukaendelea kumpa nafasi na sio Ommy tu wapo wenge ambao kikawaida ungeweza kuwazuia hata kutumia ofisi yako lkn hukuwai kufanya hivyo! Una roho ya kipekee broo, Mungu yu pamoja nawe Keep Pushing

    • @norbertjoseph1
      @norbertjoseph1 Рік тому +1

      Proxy mkaliiii umetisha

    • @Urchristiano9
      @Urchristiano9 Рік тому +8

      Kama analea watu kindugu kwenye biashara ategemee kuendelea kufeli

    • @shabanigenya4708
      @shabanigenya4708 Рік тому +3

      @@Urchristiano9 anaweza asifeli ila hawezi kufanikiwa tena.

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 Рік тому +3

      Hii roho ndo inamrudisha nyuma, mfanyabiashara hutakiwi kuwa hivi

    • @hamzambasha6647
      @hamzambasha6647 Рік тому +3

      Hela haitaki Roho nzuri

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +2

    The true definition of the channel "simulizi na sauti"

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Рік тому +5

    Very interesting 👍🏽 💯 Pole sana, ndiyo Maisha, na ndiyo ukuaji. Wishing you all the best🙏🏾 Utafika tuu!

  • @henrymassawe699
    @henrymassawe699 Рік тому +35

    I feel you bro, being there done that!! I went crazy and almost killed myself, too. I lost so much many money and almost went completely bankrupt. Entrepreneurship is not easy, and it is not for everyone!! but a winner never quits, and quiter never wins

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 9 місяців тому

    Hii itanifundisha sana. Nataka nijifunze kwa huyu jamaaa 🏆🏆🏆

  • @DonSompo
    @DonSompo Рік тому +8

    Ningependa uweke podcast ya hii brother Sky maana hizi stories ni listenable hata ukiwa busy.

  • @salimlubuva9860
    @salimlubuva9860 Рік тому +2

    NJIA nafkiri ndo jina zuri kwa hii part ya hawa wafanyabiasha. Kwakweli ni nzuri mno😊😊

  • @LeticiaKimwaga-kh3zp
    @LeticiaKimwaga-kh3zp Рік тому +11

    Hongera sana sky kwa vipnd km hivi, vina tujenga mno. Salute mwana tech(musoma)

  • @ibrahimgreyson7829
    @ibrahimgreyson7829 Рік тому +5

    Broo nakuelewa sana weww mtupowa sana

  • @noelsimonmushi
    @noelsimonmushi 24 дні тому +1

    Big up home boy

  • @eveandrew7096
    @eveandrew7096 Рік тому +1

    I see myself in this story.. laini lakini naamini sana katika kupambana. Kuanguka sio kufa, kusimama tena kupo maana MUNGU yuko upande wetu.. So inspiring.

  • @Bongolife255
    @Bongolife255 Рік тому +6

    Mungu akubariki Fredrick Bundala

  • @101_Didas
    @101_Didas Рік тому +5

    Ni Uongo kwa tunaomjua huyu jamaa ila ni Motivation sana kwa wasio mjua.. Piga kazi Swai Bilion mbili za mdomoni zibadilishe kuwa za benki

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 Рік тому +2

      Tatizo ni wa Tz tunaleta kujuana sana sio lazima uzione anazo ili umuue au ? Pata somo lake pita kule mbio

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 Рік тому

      😂😂

    • @chiconinde8135
      @chiconinde8135 Рік тому +1

      Hata kama simjui lakini i can smell something. Anyway, siyo mbaya kwasababu sometimes tunajifunza hata kwa story za kutunga.

    • @muttae2
      @muttae2 Рік тому

      Kujifunza gari mwenyewe hapo hapo... kwa tulosoma CUBA sijui... Pia kuuza gari ndani ya masaa 2, sasa bank na mikataba na kusafiri mmmh😢😅

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 Рік тому

      ​@@mayaally2512 yap

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Рік тому +3

    Nimependa sana yani aya mambo ndio tunayataka

  • @praygodmethod3597
    @praygodmethod3597 Рік тому +4

    Ntakipenda sana hiki kipindi na kiwe kilasiku

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 Рік тому +5

    Learning story to a buisness man......truly ur that buisness need more thinkers than any others

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv Рік тому +1

    Kuna vitu alikosea..japo bahati huwa hairudi mara mbili ila mungu anaweza msaidia tena..japo alowakuta kwenye biashara wanamcheka..kuna vitu alizidisha mazoea..ila uzuri kasoma so atatoboa tu tena..Kuanguka ndio kujifunza kwenyewe

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin Рік тому +6

    From Dubai ,,,, safi Sana kipindi kizuri mno

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 Рік тому +3

    One of my best interview

  • @amajattoys9309
    @amajattoys9309 Рік тому +4

    iite BUSINESS HOUR, Business Platform, Shule Huru

  • @restitutamayunga1431
    @restitutamayunga1431 5 місяців тому

    Pole sana ila kwa ujasiri na kusamehe yote yatakwisha ww ni jasiri big up

  • @ubaoni57
    @ubaoni57 Рік тому +3

    "Rising From Adversity. Tales of Triumph And Inspiration"

  • @batungwanayojonathan3009
    @batungwanayojonathan3009 Рік тому +5

    Napenda sanaa

  • @Nathaminiafyayako
    @Nathaminiafyayako Рік тому +4

    Network marketing inatengeneza watu bora sana wakati anajieleza nilijiuliza Hii spirit aliitoa wapi alipotaja network marketing nimemuelewa sababu ya kupambana kwake

  • @anualyjonas1262
    @anualyjonas1262 Рік тому +11

    No easy life just struggle, believe through God 🙏 exactly successful

  • @yusuphkapilimka
    @yusuphkapilimka Рік тому +13

    Jina la kipindi "RISK TAKERS" , Big shout out SNS team✊

  • @selanyikatv
    @selanyikatv Рік тому +11

    Broo anabonga ukweli mtupu mm nilikuwa nafanya bishara ndogondogo tu nilipoteza million 6 bord ya sirari nilikuwa nakosa usingiz naamka saa3 usiku saiyo yenyewe nimelala saa1 au saa2 naamka saa3 uck sinapakwenda usingiz umekat mawaz kibao nikakonda nikawa km kijiti aloo tuachen TUNALIA ila kwaungu san

    • @elonii8790
      @elonii8790 Рік тому +2

      Hao matapeli apo Boda rahisa sana kupoeza hela pale.. wasomali wahuni tupu

    • @selanyikatv
      @selanyikatv Рік тому +1

      Daaah ningum kuamin lakin niliamin

    • @nicodemusbura7669
      @nicodemusbura7669 Рік тому

      Pole xn

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +12

    Mheshimu sana mfanyabiashara maana akili alionayo haiwezi kumfikia mwajiriwa,alooo tunaumiza sana vichwa na ikitokea pesa inaonekana ndio apo furaha huongezeka na tunapata moyo wa kuzidisha mapambano zaid

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc Рік тому +75

    Jamaa was a serial failure kuna mambo alikua hajifunzi na kuendelea na makosa yale yale, lawama zingine ni zake mfano, kuamini watu kirahisi, umetuma hela Chunya, umewapa watu magari ya biashara waendeshe kiholela wakapata ajali mara mbili zote, umempa mtu pesa South Africa akafungwa, umempa mtu mizigo Dubai atume kwa jina lake kafariki. Mtu kufariki au kufungwa hakufanyi mizigo yako isifike unless nao biasahra zao zilikua magumashi. Leo Salam akifariki mizigo ya silent ocean itafika tu. Mo alipotekwa biashara za Mo Dewji ziliendelea kama kawa. Haya mambo inabidi yawe documented officially na yawe insured. Una spirit ya upambanaji ila unaendesha mambo kienyeji, I hope umejifunza na utabadirika, kila la kheri.

    • @eveliynejoseph7944
      @eveliynejoseph7944 Рік тому +4

      Suree

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 Рік тому +7

      Dah!! Umenikumbusha makosa yangu.

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc Рік тому +2

      @@saleheinnocent7636 Ni kujifunza na kusonga mbele mkuu.

    • @nabrycedawood6860
      @nabrycedawood6860 Рік тому +4

      Watu kama nyinyi siwqpendagi ww unabiashara gani ????

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc Рік тому +6

      @@nabrycedawood6860 Ninazo na nimefanikiwa sana tu believe that. Kutojifunza tokana na makosa ni ujinga wako huwezi mpa mtu hiyo lawama.

  • @willykaovela5485
    @willykaovela5485 Рік тому +2

    The jorney of hustler(safar ya mwangaikaji)

  • @zakiakusaja8603
    @zakiakusaja8603 Рік тому +4

    Kipindi nimekipenda😊😊

  • @nkamangi4707
    @nkamangi4707 Рік тому +10

    Interesting brother nilipigwa Chunya business ya Madini 😅Mungu saidia nina ajira sweden nusu nife nilikuwa mlevi one year😅😅

    • @joharimapunda7678
      @joharimapunda7678 Рік тому +1

      Pole mimi nipo chunya makongolosi mda huu pole brother

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Рік тому

      Sisi tumetoa mashine zetu leo wiki moja.zilikuwa inyunye mvomero. Rudio halikui.mara mwamba umejifinya.mambo nimengi.

    • @nkamangi4707
      @nkamangi4707 Рік тому +1

      @@hamadsheni8997 daa

    • @nkamangi4707
      @nkamangi4707 Рік тому

      @@joharimapunda7678 kila la kheri jamani makongolosi huko huko adi machine bado zipo shambani nahisi zimeshaoza

    • @nkamangi4707
      @nkamangi4707 Рік тому

      @@hamadsheni8997 aisee

  • @barakabaliza639
    @barakabaliza639 Рік тому +2

    Uyo mwamba namjua muuza magari pare opposite na mlimani city yupo poa sanaa

  • @khalifaalmugheiry9232
    @khalifaalmugheiry9232 Рік тому +4

    Unaweza kuita kipindi cha Changamoto za vijana kwenye biashara zao.

  • @shabanigenya4708
    @shabanigenya4708 Рік тому +3

    Hapo kwenye madini hapo lazima ziishe. Kudhamini mgodi sio kitu rahisi kabisa.

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 Рік тому +3

    Jina la kipindi INSPIRE TANZANIA

  • @bandorajr
    @bandorajr Рік тому +6

    Inspired before Expired

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin Рік тому +2

    Me namuelewa Sana uyu jamaa,,, biashara ni pasua kichwa

  • @justnjustn6168
    @justnjustn6168 Рік тому +3

    Watu wakiwa na stress wanaenda Dubai kutuliza kichwa wew""

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Рік тому +2

    Magari mtaani, keep it up bro

  • @eliyauhaula5224
    @eliyauhaula5224 Рік тому +3

    Mm na download kabisa nisikilize vzr

  • @harmonize_tz774
    @harmonize_tz774 Рік тому +1

    Gari kumi kwa siku mara gari Ishrini na tano kwa Week yawezeka hata hyo hasara ilikuwa milion 50

  • @rogathengowo1099
    @rogathengowo1099 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂nimecheka sana aisee Mungu akupe haja ya moyo wako aiseee 😂😂😂😂

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 Рік тому +1

      Nikafikiri ni mm nimecheka kumbe Kuna mwehu mwngne hapa

  • @willykaovela5485
    @willykaovela5485 Рік тому +2

    Jorney of hustler...@Fred Tittle

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 Рік тому +1

    Hiki kipindi kiitwe, Maisha halisi au maisha ya mtaani

  • @newbwejuu4302
    @newbwejuu4302 Рік тому +4

    Ups and down with sns

  • @user-lt3fx1tl4z
    @user-lt3fx1tl4z 5 місяців тому

    God bless you brother

  • @mwisukulu1
    @mwisukulu1 Рік тому +2

    Swai (magari mtaani)

  • @samcobbar3885
    @samcobbar3885 Рік тому +3

    Namkubali sana jamaa,magari mtaani💪💪

  • @JAMALIJUMA-tt1kq
    @JAMALIJUMA-tt1kq Рік тому +3

    #Nyuma Ya Mafanikio" itakaa poa tu

  • @justnicked93
    @justnicked93 Рік тому +1

    Nilimuuzia murano yangu

  • @godfreymuroba7973
    @godfreymuroba7973 Рік тому +1

    Magari mtaani

  • @godykilian
    @godykilian Рік тому +2

    Huyu jamaa namjua nje ndani tumesoma wote tume hustle wote dsm pia jamaa ni muimbaji mzuri kbs, tumepigwa wote na Qnet tumeshindia mihogo pale magomeni usalama na tumekaa wote geto yeye akiwa mwenyeji wangu

    • @user-rb2mu4iw1j
      @user-rb2mu4iw1j 6 місяців тому

      Kuna mpuuzi kasema anaongea uongo hebu ww tuambie

    • @godykilian
      @godykilian 6 місяців тому

      @@user-rb2mu4iw1j hpn ni kweli amewahi kupitia mafanikio makubwa ila kiasi cha mtaji alichowahi kufikia siwezi kujua kwa uhakika

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 Рік тому +22

    Ngoja tujifunze hapa sisi tulio fell kidg tunahis kukata tamaaa😢

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 Рік тому

      Kujifunza nijambo jema sana

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 Рік тому

      Kujifunza nijambo jema sana

    • @mtaostephen3660
      @mtaostephen3660 Рік тому

      Kabisa aiseee

    • @nishrize9309
      @nishrize9309 Рік тому +3

      We Acha mupenz nimefel pes nilio yitumikia myaka miine irinitok kwamud mudog nikauz jumb yangu nilimeza vidong iri nijimalize sahiy nakaa kama nimechanganyikiw wacha nisikiz huy kaka wenda nikasimama ten aki God anikumbuke

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Рік тому

      ​@@abiboseleman1649 Muhim saan

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada Рік тому +4

    Huyu mwamba anaonyesha anapiga maji balaa

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 Рік тому +2

    Business success stories.

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 Рік тому +1

    Alicho kipang mung kwako hakuna anye weza kukunyungana.
    Asante kwa story

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 Рік тому +1

    Nikupongeze sana Brother, Tuletee @SirjeffDenis

  • @mdta8161
    @mdta8161 Рік тому +2

    Haya ndiyo mambo tunayataka maana hapa tunajifunza

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Рік тому

    Akiwa anaongea unaona rahisi 🤣jaribu wew

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 Рік тому

    Kirahisi tu amesoma na kukaa kinodnoni ndio ukampa channel ya udali wa magari na ukiweka uchaga basi I akiwa fresh

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +1

    Jina la pindi pachika hustle zangu

  • @cyrilkimath1146
    @cyrilkimath1146 Рік тому +1

    Tuiite from hero to zero boss

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 Рік тому

    Kaka nimekukubali Sana una moyo Mzuri

  • @Chiccoh
    @Chiccoh Рік тому +2

    Same story here 😥

  • @sholemiano2603
    @sholemiano2603 Рік тому +1

    things we need to hear loud

  • @trillionthamani
    @trillionthamani Рік тому +1

    Kiukweli mimi ni muhamchaga, uha ni dam lakini akili yakichaga.nilijifunza kwa kuishi moshi 2014.wachaga msinikane nimesilimu kabila

  • @rsautoservice984
    @rsautoservice984 Рік тому +3

    Sns ni channel ninayo ifatilia kila siku kunapo post kitu..lakini wengi wapenda maojiano ya biashara maana wengi wao ni vijana plz ..

    • @immaomarwa5122
      @immaomarwa5122 Рік тому +1

      Tupo wengi sana mb zangu zinaenda kwenue hii channel kihalali kabsa

  • @benjaminjulius6439
    @benjaminjulius6439 Рік тому +3

    TUITE, THE DREAM TO REALITY STORY.😅

  • @dollythesheepdolly7372
    @dollythesheepdolly7372 Рік тому +2

    Content kama content!

  • @kingndinyo9764
    @kingndinyo9764 Рік тому +2

    Session yetu ni 1 OR 1 ..br sky

  • @michaelnkwabi8477
    @michaelnkwabi8477 Рік тому

    haisee kiukweli katika busness unapopata loss alafu ni pesa nyingi kichwa kinakuwa kinawaka sanaaaaa

  • @mastaplan
    @mastaplan Рік тому

    Kipinde kiitwe (BE YOU)

  • @Jameskaguo
    @Jameskaguo Рік тому +2

    Maangaiko makali ya level ya juu, jua kali

  • @awilali5998
    @awilali5998 Рік тому +2

    Ite LOST AND FOUND

  • @user-os5zp4kd2b
    @user-os5zp4kd2b 10 місяців тому

    respect

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 Рік тому

    Mim mwenyewee nilifel,lakn saiv najitafta saiv

  • @alextzmmary5121
    @alextzmmary5121 8 місяців тому

    Nimejifunza jambo zuri sanaaaa

  • @iamernest_tz5573
    @iamernest_tz5573 Рік тому +3

    Tatizo ana bet sana 😀😀😀

  • @stephenemuya8575
    @stephenemuya8575 Рік тому

    Mzee S class 2018 wamechimja

  • @thomthegotti
    @thomthegotti Рік тому +4

    Hii session iite "Beyond the curtain"

  • @princecharmingtz8130
    @princecharmingtz8130 Рік тому

    Hii kipindi iitwe RISKY TAKER

  • @mcback4384
    @mcback4384 Рік тому +2

    mbona anaongea kama mlevi? halafu kabla hujaanza interview na mgeni mpe kanuni za kukaa studio, aweke simu silent na aache kugonga meza yenye microphone kama kichaa

    • @heavenmakundi7480
      @heavenmakundi7480 Рік тому +1

      Kwani wewe hapo shida yako ni nini,😅😅watu mna makasiriko ya ajabu,we fucus na anachoongea,mengine yaache😅

  • @oscarnyange4065
    @oscarnyange4065 Рік тому

    Mwanangu wa nyerere high school

  • @EllyMarua-ge8rf
    @EllyMarua-ge8rf 9 місяців тому

    km ameweza kujua mapungufu yako utaludi kwenye line

  • @noahmgaya6687
    @noahmgaya6687 Рік тому +4

    nimegunduwa huyu jamaa kadata 😂