Nilipata KICHAA kisa Mapenzi, Nikapelekwa MIREMBE, Kila mtu nilimuona MCHAWI, Nimelia sana - PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    MashaAllah watoto 12 Mungu Awajalie Afyaa njema pole kupoteza wazaxi tuko wote waliopoteza wazaxi

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +7

    Dah🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️Mapenzi haya

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Pole sana ndugu Philipo kwa kupoteza wazazi na Pole sana kwa Misukosuko.

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 3 роки тому +2

    Simuluzi na sauti interview yenu na philipo ni nzuri ila tuna shindwa kujua part 1 ni ipi na inayo fuatiya ni ipi jaribu ku weka utaratibu ili tuweze ku faidi zaidi

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому +2

    Mmhhh mtiani kweli doo pole sana philipo

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 роки тому +5

    Huyo mwanamke alikuwa ni kahaba wa kimataifa duuh!!

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 4 роки тому +2

    Una moyo na ustamilivu hongera

  • @Blue-vk5ce
    @Blue-vk5ce 4 роки тому +2

    Fine boy Esco😘😘😊

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Wanawake kumbe kuchepuka ni kawaida duhuu ni mi siwezi jamani

  • @mtotowabibithedony5784
    @mtotowabibithedony5784 3 роки тому

    Hahahahahahaha hengo dar noma ndugu yangu wanyumbani kabsa

  • @leahmajaliwa6798
    @leahmajaliwa6798 4 роки тому +2

    Duh polesana

  • @nfnf9780
    @nfnf9780 4 роки тому

    Pole sana kakaang kwaulyopitia utafanikiwa ty utampta mwanakme mwema zdy uomba mung

  • @kemilembepeter3959
    @kemilembepeter3959 4 роки тому

    pole sana mungu akutie nguvu katika yote

  • @mtotowabibithedony5784
    @mtotowabibithedony5784 3 роки тому

    Pole sana

  • @rahabululeka3873
    @rahabululeka3873 4 роки тому +1

    Nimeipenda

  • @johnmwakipesile7141
    @johnmwakipesile7141 3 роки тому

    Wanyumbani kabisa poleee

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 роки тому +1

    Kuna wanaume wanajuwa kupenda Wallah

  • @byaombembella5585
    @byaombembella5585 4 роки тому +3

    Part 2 ipo wap. ESCO tunasubir Ila nawakubali sna S.N.S vijana wa Skay

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому

    Mwanaume mzembe sana wewe! Afu huwajui wanawake! Unawekaje mwanaume ndani kwako na huku una family? Kuishi na mwanaume mwenzio kishikaji lazima uwe bachara!

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 роки тому +1

    Mwanamke malaya koko

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому

    Wewe watoto wako wote ni wa kusaidiwa

  • @mansabunam4887
    @mansabunam4887 4 роки тому

    Pole kaka

  • @abdulwahidsuleiman
    @abdulwahidsuleiman 4 роки тому +1

    hii story inanihuxunisha sn dah kwly wanaume tup na hali nzito sn ktk maish so tunahitaj uvumiliv

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 роки тому

      Napiya wanawake tupo twateswa na waume kisa love

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Mkeo sikidogoo mimba naanalala namwanaume asiekuwa bnake makubwaa

  • @mamawardha2924
    @mamawardha2924 4 роки тому +2

    Daah story imeniuma tupe mwendelezo

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 роки тому +1

    Ni vile maisha magumu,lakini kazi ya ulizi ni lazima mke aliwe tu na hasa kama huna shift

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 4 роки тому

    Na huyo mwanamke nae kipashu anapenda mabwana

  • @angelntandu661
    @angelntandu661 4 роки тому +1

    Alizaliwa nae jamaa aache ujinga yum yum

    • @8pistons194
      @8pistons194 4 роки тому

      Sio rahs kwa mwanaume kama unavodhani

  • @giftmtemi1049
    @giftmtemi1049 4 роки тому +1

    Mhmm haya mapenz jmn nihatar

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 роки тому +2

    Mhh watu wa historia ya maisha' kweli yataka moyo'

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim5522 4 роки тому

    Kumbe ni jirani yangu pole sn

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 роки тому

    Mwendelezo pls

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @samniza1763
    @samniza1763 4 роки тому

    Uncle phil.

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 роки тому

    Esco 💪💪

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 роки тому +1

    jangombeboys1999

  • @husseinmkongomkongo8447
    @husseinmkongomkongo8447 4 роки тому +1

    Kipindi kizur sana

  • @clementmashambo3092
    @clementmashambo3092 4 роки тому +2

    Mapensi mapensi mapensi

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 роки тому +1

      Mabaaaaayaaaa sanaaaa 🤣🤣

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 4 роки тому +1

      Mbona mapensi na sio mapenzi 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 роки тому

      @@zaudatmakula3454 Haha ha ha ha atakuwa mchaga au mnyakyusa

    • @youngmasamah9864
      @youngmasamah9864 4 роки тому

      @@mamachris6811 mchaga hana lafuz hiy ww

  • @matildamkombachepa4320
    @matildamkombachepa4320 4 роки тому +2

    Mkeo mzinzi

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 4 роки тому +1

    Mapenzi matamu mapenzi machungu kama shubiri sa sijui kipi ni kipi tamu au chungu?

    • @mariambakari8041
      @mariambakari8041 4 роки тому +2

      Nimatamu mwanzoni wakati bado mwaishi mbali mbali but mukiishi pamoja ndio machungu

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 роки тому

      Ukiyapatia matamu,ila ukikosea tu,inakula kwako

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 роки тому

      Yote yote mwanzo tamu mwisho chungu

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      Matamu ukiwa namwezako ambaye mwasikixana nakupendana matamu lkn yakiruka bs machungu

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 4 роки тому +1

    Ndo maana ctamani ndoa😢

    • @joebilandah3174
      @joebilandah3174 4 роки тому

      Mmmh kwa nn haupend ?

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 роки тому

      Usikate tamaa siyo wote wabaya, cha muhimu kumtanguliza Mungu.

    • @raymondclaud6026
      @raymondclaud6026 4 роки тому +1

      Ipo siku utampata wako na mtaishi muda mrefu ila cha muhimu mtuheshimu na sisi tuwapende tu!

    • @mohammedrashid7735
      @mohammedrashid7735 4 роки тому +1

      Sawa endelea kuzini

    • @mwinshame
      @mwinshame 3 роки тому

      Hata mimi sitaki tena. Nitagonga lkn sijengi mazoea.

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 роки тому

    🐒🐒🐒🐒