Thanks bro sky, umeleta kipindi maalum kabisa maana nilitaka kwenda mwez wa 17/11/2023 Bro nimeahirisha kabisa maana kuna madin meng sana nimeyapata kwa huyu dada, ki 10m changu cha mkopo bora nikizungushe tuu kwanza
Wafanya biashara wengine wanakua na wivu kwa wenzao 😢 dah yani hapo alijua utafanikiwa rohombaya nizaidi ya uchawi Yani hichi kipindi kizuri sana hongera Dada
Nakumbuka miaka hiyo nilimuomba bro 1 anifundishe biashara hapa tu East.....kasema sna ratiba ya kwenda,nikaamua kwenda,badaye nakutana naye uganda ananiambia dogo umefkaje huku.skutaka hata kumjibu.bravo bro & sister baadh etu tumejfunza kitu 💥
Aisee Tonto Mungu akubariki sana. Kwanza wewe ni story teller mzuri sana. Halafu story yako ni true experience. Na kwa watu wengi sana especially wanawake wataelevuka sana.
Tonto Kasema kwel na Amenikumbusha mbali sana Sky. My 1tym kufika Chn ni 2010 nilisafa sana kutokana na kutopata mwongozo mzuri maan niliyemtegemea kunichinjia baharini. Na sikuwahi kukutana naye hadi 2021 tulipokutana kny Msiba wa Ant yake Kinondoni Makaburini. Sky, mtaani kuna maumivu mengi sana ya watu yahusuyo China, Thailand na Indonesia. Ni vile watu wanakomaa nayo moyoni. Totonto kamaliza yote hapo na mimi nasisitizia kuwa, Hata ukiwa na 50M kama huna Taarifa sahihi ya Biashara unayotaka kuisafiria,Hutaweza kutusua kabisa.
Hii stori inalingana na ya babangu mzazi maskini alipoteza mzigo kutika Dubai Takriban Thamani ya mil 30!(Hardware + mini-electronics) 😨.....ila nimeamua kupita njia zake! Alhamdullialh Dua zenu!🤲
Haya pia n makosa makubwa sna hutakiwi kwenda sehemu na mtaji wako wote nenda na nauli tu tembea tu na rudi jipange upya hii sir huwezi kuambiwa na mtu yoyote
Hata ukienda nairobi mara ya kwanza kukutana na jambo kama hili ni kawaida sana..means watu wachache sana wenye kuweza kumshika mkono mtu ili afanye kile alichokusudia kwa ufasaha.wengi tumeingiza kwenye shimo la moto mkali kabs
Ana ngozi nzuri sana hiyo inamaanisha vipodozi vyake vinafanya kazi, I'm glad she caters to dark-skinned individuals badala ya kupromoti kujichubua. In business, life rather, omba Mungu ukutane na watu sahihi wakati sahihi. Watu wengi wanafeli hapo tu. Kwenda nje kufunga mzigo kwa hela ya mbuzi ni kupoteza muda na kukaribisha hasara, wengi wanaenda nje for showoff ila haiwalipi regardless of biashara zao. Take notes.
pole sana kweli ulipigwa na kitu kizito tena chenye giza,asante kwa kuwa muwazi.lakini mungu alikuona ulichukua hatua then ukajua what is the best thing to do na ufanikiwe 🎉🎉❤
Mimi niliagiza mzigo china ukafika mpaka tz lakini nikatapeliwa na kijananiliekua namwamini sana😂😂😂 milion sita zikaepa zote nanilikua nawaza nikiuza napata milione 25 ila Mungu mkubwa sassivi napigaela nyingi sijakata tamaa
Sis,asante sana kwa kuwa mkweli.Wengi wanapona kutumia huu mfano wako. Pia waTanzania jamani tubadilike,tusaidiane,tushikane mikono. Walio nue ya nchi kama huyo alokutembeza na akahusika kukuibia na mchina kwa kutaka utengenezewa low quality. It's really bad.Lord have mercy on us.
China unaweza kuja ata na 15mil. Cha muhimu make sure unaunganishwa na mtu ambae ni mwaminifu na sio mwenye njaa, pia uje kipindi ambacho tickets ni cheap. Pia kupata bei nzuri lazima ufunge mzigo mkubwa unaweza ukaja na mtaji mdogo na ukaona bidhaa zipo juu kwa sababu order qty ni ndogo.
Nadhani naongoza na mimi kufatilia habari za Thabo bester kama mimi..yaan usiki wa manane naamka naanza search...napenda sana kusoma esp habari za kisiasa
Nakumbuka mwaka 2018😢nilitapeliwa m36 ya faida yangu yote ambayo niliiwekeza toka 2013 sitakaa nisahau lkn ni mungu tu aliniinua nikajipanga upya nikajiuliza hiv nilianza na mtaji wa bei gani nikajipa jibu na nikajipa moyo mwenyewe .na mshukuru mungu sasa hiv. Mungu kaniinua tena
Wafanyabishara wa kibongo huwa hawapendi kutoa taarifa za huko wanakokwenda! Kwenye vikao vyao wanaonyana kabisa kwamba wasiwape taarifa wengine ili waendelee kufanya biashara zao! Hivyo kuwapoteza wafanyabishara wadogo!
Tatizo wanawake wanawivu sanaa hawataki wanawake wezeo kupiga hatua ,,huyo dada alifanya makusudi kutokukupokelea simu ,,Ana wivu na roho mbaya ,,Mimi nilikuwa nafanya biashara ya vijora tu ,, rafiki yangu akaniomba nimkopeshe vijora vya mtandio vi 2,, yani nimeuza mzigo umeisha namuomba hela ananiambia Sina nivumilie na ananunua nguo kwa watu wengine ,,akanipaga elf 10 Kama elf 10 halafu akaniambia Sasa wewe unashida gani umeuza mzigo Mara 3 Sasa ,,hapo miezi 5 imepita nilipotezea Hadi Leo sikumdai Ila anajutia coz nimepiga hatua na hata aseme anashida ya sh.500 tu siwezi kumpa kabisa Yani ,,anajutia ,,ni wivu tu yani
Ni watu wachache mno wenye moyo mweupe waliyo tayari kukuonyesha njia ya mafanikio,ni wengi tumepigwa lkn tupo kimya tu,kwa kweli tunahitaji uwe mwl.wa kuwasogeza watanzania wengi walio nyuma yako,sister watanzania ni wengi pmj na mm tusaidie kwa sbb elimu ni mtaji kabla ya kupata mtaji
Sister nikupe siri kwanini alikuomba umbebee saint anne? Ni kwasababu limit ya abiria ya kuingiza pombe china kwa njia ya ndege ni litre 5 so hapo box ingekuwa zaidi ya litre 5 kiujumla so ingekuyumbisha airport china na hata pesa zingekutoka kwa sababu ya fine. Huyo kwa kweli hakukutakia mema @simulizi na sauti
Huyu Dada anafaa kua na Company ya kuwasidia Watanzania wanaotaka kwenda nje kufunga mzigo. Kama umeona Comment yangu nimekupenda bule nimetamani niwe karibu yako nijifunze kitu.
Brother sky nimemwelewa sana huyo dada ametoa elimu nilio ielewa mana nina ndoto pia yakwenda china ila siku najua kama kuna vitu vyaaina hiyo Pia ninataomba siku nije nitoe story yangu pia
Mimi kuna rafiki yangu nilimwambia tuende china pamoja alinijib tukienda nitakuacha hotelin hadi nimalize kununua mzigo wangu halaf nitakupeleka madukani ununue mzigo wako nikamjib mimi sio mgeni wa safar kutokana mie nishasafir duniani na natumia paspot ya njee hata visa sihitaji nikupanda ndege tuuu nataka tuende unisaidie tuuu
You need the right ppl ukija china na pia mnahitaji watu wenye ofisi CHINA na TANZANIA address ya mtu muhimu sana na mtu akioe the whole process pesa zako zitakuaje ktk uaminifu wa mizigo yako.
isaac kabsaaa mtaji unategemea na biashara huo mwaka anaousema 2019 yeye alienda wa 4 mimi nilienda mwez wa 10 mwaka huo huo alivyovisema ving ni sahihi wafanyabiashara weng kkoo au popote kma unanunua vtu kwake kwa jumla ukianza kumletea habar ya eti uende china na wew lazma achukie cz anajua anampoteza mteja so hatokwambia ukweli
Dada hasa wadada ukweli kabisa ukimkuta mwanamke mwenzio anakwambia njia ya kupita iliyo sahihi mshukuru Mungu ,Amen simamia Imani yako Mungu atajitukuza kupitia misimamo ya uwepo wako.
Thanks bro sky, umeleta kipindi maalum kabisa maana nilitaka kwenda mwez wa 17/11/2023 Bro nimeahirisha kabisa maana kuna madin meng sana nimeyapata kwa huyu dada, ki 10m changu cha mkopo bora nikizungushe tuu kwanza
Hili nalo neno
Mdada umeokoa wengi sana kwa kuzungumza hayo.Stay blessed.🙏
Pole xana dada nilichojifunza nikwamba hakuna binadamu mzuri mbele ya binadamu mwenzie watu tunakunja xana ##
Wafanya biashara wengine wanakua na wivu kwa wenzao 😢 dah yani hapo alijua utafanikiwa rohombaya nizaidi ya uchawi
Yani hichi kipindi kizuri sana hongera Dada
Nakumbuka miaka hiyo nilimuomba bro 1 anifundishe biashara hapa tu East.....kasema sna ratiba ya kwenda,nikaamua kwenda,badaye nakutana naye uganda ananiambia dogo umefkaje huku.skutaka hata kumjibu.bravo bro & sister baadh etu tumejfunza kitu 💥
Sky nakukubali asee Sana una talent Ya utangazaji 🙏 receive respect
Sky naomba utuletee Faiza Ally hapa na yeye tumsikie.naamini yule ana mengi ya kutufunza pia
Duuh!! nashukuru sana kwa hii interview nimejifunza mengi mnoo Asante..
Duh! Aise asante kwa hili somo...
Dada is such a hustler, inspirational!
Big up Sky na mgeni Shukrani kwa kuwa muwazi👌karibuni kwenye kipindi tuendelee kujifunza
Aisee Tonto Mungu akubariki sana. Kwanza wewe ni story teller mzuri sana. Halafu story yako ni true experience. Na kwa watu wengi sana especially wanawake wataelevuka sana.
Tonto Kasema kwel na Amenikumbusha mbali sana Sky. My 1tym kufika Chn ni 2010 nilisafa sana kutokana na kutopata mwongozo mzuri maan niliyemtegemea kunichinjia baharini. Na sikuwahi kukutana naye hadi 2021 tulipokutana kny Msiba wa Ant yake Kinondoni Makaburini.
Sky, mtaani kuna maumivu mengi sana ya watu yahusuyo China, Thailand na Indonesia. Ni vile watu wanakomaa nayo moyoni.
Totonto kamaliza yote hapo na mimi nasisitizia kuwa, Hata ukiwa na 50M kama huna Taarifa sahihi ya Biashara unayotaka kuisafiria,Hutaweza kutusua kabisa.
Laiti Watz wote wangu kuwa na moyo mweupe kama wa huyu dada wengi tungetoboa kimaisha,barikiwa sana dada.
Dada nataka NIAMINI Kua ulichosema Kuhusu KUTOKUWAWEKA WATOTO WA KIKE SOKONI Ni KWELI; M/mungu ATAKUSIMAMIA Ktk MAMBO YAKO Yote!●
Hii stori inalingana na ya babangu mzazi maskini alipoteza mzigo kutika Dubai Takriban Thamani ya mil 30!(Hardware + mini-electronics) 😨.....ila nimeamua kupita njia zake! Alhamdullialh Dua zenu!🤲
Daaa jamni pore dear it life
@@rebecakigutu usiwaze nishapoa dear...ndio life ilivo👍
dada ana ongea aso za kiume kabisa… hongera zake💪🏿
Mdada nimependa alivyoeleza jamani Mungu akubariki kwa kutusaidia elim
Haya pia n makosa makubwa sna hutakiwi kwenda sehemu na mtaji wako wote nenda na nauli tu tembea tu na rudi jipange upya hii sir huwezi kuambiwa na mtu yoyote
Asante, nimekupata vzr kwa hii point
kweli hii point true mimi nikienda naenda kwanza kuzurura tu kwanza then narudi tz
Kaka sky
Asante sana kwa ili darasa
Hata ukienda nairobi mara ya kwanza kukutana na jambo kama hili ni kawaida sana..means watu wachache sana wenye kuweza kumshika mkono mtu ili afanye kile alichokusudia kwa ufasaha.wengi tumeingiza kwenye shimo la moto mkali kabs
Daaaah tunashukuru Sana , maana kwenye Biashara tumepitia mengi sana...Alluta Contunua.
BARIKIWA Sana my dear dada umetufunza wengi Sana na hakika maneno yako yataishi Sana katika vichwa vya wengi
Ana ngozi nzuri sana hiyo inamaanisha vipodozi vyake vinafanya kazi, I'm glad she caters to dark-skinned individuals badala ya kupromoti kujichubua.
In business, life rather, omba Mungu ukutane na watu sahihi wakati sahihi. Watu wengi wanafeli hapo tu.
Kwenda nje kufunga mzigo kwa hela ya mbuzi ni kupoteza muda na kukaribisha hasara, wengi wanaenda nje for showoff ila haiwalipi regardless of biashara zao. Take notes.
📌📌
pole sana kweli ulipigwa na kitu kizito tena chenye giza,asante kwa kuwa muwazi.lakini mungu alikuona ulichukua hatua then ukajua what is the best thing to do na ufanikiwe 🎉🎉❤
Watz ni watu wabaya sana ndugu zangu tunarudishana nyuma
Daaah honestly nime jifunza kitu hapa assanteni
Hakuna binadamu anapenda kumuona mwenzake afanikiwe haswa wale ambao tayari wameshatoboa ingawa siyo wote .
Umeona ee
Honereni saa, Sky na Sister Tonto kwa kuwa mkweli binafsi kanisaidia mno maana nilikuwa nafikiria kusafiri bila clear directives
Mimi niliagiza mzigo china ukafika mpaka tz lakini nikatapeliwa na kijananiliekua namwamini sana😂😂😂 milion sita zikaepa zote nanilikua nawaza nikiuza napata milione 25 ila Mungu mkubwa sassivi napigaela nyingi sijakata tamaa
Nilipigwa m 8 na mtu aiseee
Samahani ila naweza kuwasiliana naww @chazy
@@nicodemusbura7669 uliagiza mzgo naww ama
😂
Pole
Daah noma sana, watu wanapigwa na vitu vizito kichwani...
Sis,asante sana kwa kuwa mkweli.Wengi wanapona kutumia huu mfano wako.
Pia waTanzania jamani tubadilike,tusaidiane,tushikane mikono.
Walio nue ya nchi kama huyo alokutembeza na akahusika kukuibia na mchina kwa kutaka utengenezewa low quality.
It's really bad.Lord have mercy on us.
Usiogope kupotezea kitu chochote Bali ni moja ya kujifunza ukipoteza kaa chini tafuta njia usiumizwe japo ni maumivu ukipoteza
Shukrani Sana
Ahsante Dada tuko pamoja
Wasafiri make Google translator your best friend😢anywhere you go
Tueleweshe vizur ndugu yangu wengi hawajui namna ya kutumia sorry tupo kwenye kushikana mikono
Dada yupo charming sana
Wale wanaume wa2 mmi ni mmoja wao tumebaki wa2 tu.
Kabisa nakushauri Usifanye Unisex ,fanya tu ya wanawake my sister utafika mbali sana
Daaa ulitakiwa uogee mwosha fedha
Mungu amlaani huyo dada
Wonderful sky nakukubali sana Kaka yangu
Asante Sana Kaka angu Kwa mafunzo chanya. Haya ndo tunayoyataka
Dada nimekuelewa na ndomana watu wote wanaosafiri wadogo wote wameanguka.kuwa mtu wa kati utapata pesa zaidi
Dada mzuri sana sura mpaka akili❤
Sky mungu akubariki tunazidi kujifunza kupitia vipindi vyako
Sanaa tuu
Pole sana ila kila kitu ni funzo kwenye maisha na Mungu azidi kukuinua zaidi😭🙏🙏🙏
China unaweza kuja ata na 15mil. Cha muhimu make sure unaunganishwa na mtu ambae ni mwaminifu na sio mwenye njaa, pia uje kipindi ambacho tickets ni cheap. Pia kupata bei nzuri lazima ufunge mzigo mkubwa unaweza ukaja na mtaji mdogo na ukaona bidhaa zipo juu kwa sababu order qty ni ndogo.
Wengi hawajui
Broo naomba maelekezo nataka diteli
True watu hawana elimu bro mpk yatukute kama hayo ndo tutajua!
Nadhani naongoza na mimi kufatilia habari za Thabo bester kama mimi..yaan usiki wa manane naamka naanza search...napenda sana kusoma esp habari za kisiasa
i went trough this,hope i will bounce back
You will God will provide
Pole
Nakumbuka mwaka 2018😢nilitapeliwa m36 ya faida yangu yote ambayo niliiwekeza toka 2013 sitakaa nisahau lkn ni mungu tu aliniinua nikajipanga upya nikajiuliza hiv nilianza na mtaji wa bei gani nikajipa jibu na nikajipa moyo mwenyewe .na mshukuru mungu sasa hiv. Mungu kaniinua tena
Mzee baba setion hyo mzee baba iite pasua kichwa 🙌🙌🙌
Nilipoteza $17000,ndani ya miezi 6 tuu.Yaani mwaka jana June hadi December.Nilikosa hata pozi la kukaa chini nilie wallah
Pole sana
Kisa?
Pole sana
Mdada anacheka mda wote mashallah nimempentaaa
Hayo ya interpreta kusungumza tofauti na muuzaji ipo sana kwa walioko saudia wanafanya sana sana
Sky unaongea vizuri
Wafanyabishara wa kibongo huwa hawapendi kutoa taarifa za huko wanakokwenda! Kwenye vikao vyao wanaonyana kabisa kwamba wasiwape taarifa wengine ili waendelee kufanya biashara zao! Hivyo kuwapoteza wafanyabishara wadogo!
true loh
Kumbe wanaonyana kbs??
Ngozi nyeusi we acha tu,wana ile yaani mm nifeli yy atusue,,roho safi hamna kila mtu anataka kuona unaanguka
leo story nzuri sana na inafundisha.
Tatizo wanawake wanawivu sanaa hawataki wanawake wezeo kupiga hatua ,,huyo dada alifanya makusudi kutokukupokelea simu ,,Ana wivu na roho mbaya ,,Mimi nilikuwa nafanya biashara ya vijora tu ,, rafiki yangu akaniomba nimkopeshe vijora vya mtandio vi 2,, yani nimeuza mzigo umeisha namuomba hela ananiambia Sina nivumilie na ananunua nguo kwa watu wengine ,,akanipaga elf 10 Kama elf 10 halafu akaniambia Sasa wewe unashida gani umeuza mzigo Mara 3 Sasa ,,hapo miezi 5 imepita nilipotezea Hadi Leo sikumdai Ila anajutia coz nimepiga hatua na hata aseme anashida ya sh.500 tu siwezi kumpa kabisa Yani ,,anajutia ,,ni wivu tu yani
Na usimpe ndugu yangu utafanya kosa kubwa nyoka ni nyoka hata akivua gamba yamenikuta hayo najua vizuri Mwenyezi Mungu azidi kukufanikisha.
Kwanini watanzania wan roho mbaya jamanni ,mtu kakaulipa bado unamwimbia, dada utabarikiwa sana usijali pole
Next time, interviewee should face the camera . position of the camera haipo sawa.
Madalali hao dada Dubai,China na Turkey wapo kibao
Kweli kabxa tunaomba wafanya biashara wa kilimo
Sister Hongera nimepata elimu kubwa sana kwa kupitia interview hii,unapatikanaje Sister mm nipo Arusha
Ni watu wachache mno wenye moyo mweupe waliyo tayari kukuonyesha njia ya mafanikio,ni wengi tumepigwa lkn tupo kimya tu,kwa kweli tunahitaji uwe mwl.wa kuwasogeza watanzania wengi walio nyuma yako,sister watanzania ni wengi pmj na mm tusaidie kwa sbb elimu ni mtaji kabla ya kupata mtaji
Bira umesema ww dada wanahisi huku uturuki Kuna vitu vya buku buku wakati huku vitu ni bei juu
Sister nikupe siri kwanini alikuomba umbebee saint anne? Ni kwasababu limit ya abiria ya kuingiza pombe china kwa njia ya ndege ni litre 5 so hapo box ingekuwa zaidi ya litre 5 kiujumla so ingekuyumbisha airport china na hata pesa zingekutoka kwa sababu ya fine. Huyo kwa kweli hakukutakia mema @simulizi na sauti
hooo kumbe 😢
Daaah
Daaa jamani daa bhasi tu tujifunze kitu wa ndugu usiende mahali Kwa mihemuko ,nenda wewe kaka wewe
Nimesikiliza na nikejifunza sehem kubwa sana kwenye kufanya biashara
Vizur kwa somo
Duh asantee
Huyu Dada anafaa kua na Company ya kuwasidia Watanzania wanaotaka kwenda nje kufunga mzigo. Kama umeona Comment yangu nimekupenda bule nimetamani niwe karibu yako nijifunze kitu.
Asanteh very soon mungu ataweka mkono
Stori yako inafanana sana na yakwangu saaana yaaan...ila du ...Mimi nilipoteza zaid ya mil 50
😢pole sana
Somo zuri sana
Pol San kbs.Nikikumbuka hio kilinituta Dubai sio lakusema kwel.wabinga wapo kbs
Bro sky ,mwambie huyo dada nimemshukuru sana
Brother sky nimemwelewa sana huyo dada ametoa elimu nilio ielewa mana nina ndoto pia yakwenda china ila siku najua kama kuna vitu vyaaina hiyo
Pia ninataomba siku nije nitoe story yangu pia
Sky ❤🎉
Mimi kuna rafiki yangu nilimwambia tuende china pamoja alinijib tukienda nitakuacha hotelin hadi nimalize kununua mzigo wangu halaf nitakupeleka madukani ununue mzigo wako nikamjib mimi sio mgeni wa safar kutokana mie nishasafir duniani na natumia paspot ya njee hata visa sihitaji nikupanda ndege tuuu nataka tuende unisaidie tuuu
pole dear
Mafanikio ni vita.. asilimia kubwa huwa hawapendi kuona mtu ananyanyuka ... huyu dada big up kwa kufunza wengine
Hapa tunajifunza kusubir ni bora zaid kuliko kukurupuka bora angekula hasara ndogo ya visa na tickets
Changamoto ni fursa
Inspirational safi …. Biashara zina ups n downs sana
Sky Hakuna alofanikiwa bila kufail hakuna
wasomali wanatuma mwenzao wajaze container...trust muhimu. sisi waafrika tunataka ku post tuko china..mapicha kibaooo.....trip tu. concentrate
Story nzuri, sijawahi kwenda China ila naagiza mizigo at least 20m kila mwezi kutoka China na sijawahi tapeliwa wala kuletewa mizigo feki.
Hua unagiza kupitia kampuni gani ??
Nilisource supplier Alibaba, kwahy wananitumia silent ocean
Biashara gani
Biashara za vifaa vya uchimbaji madini
Alibaba ni waaminifu
You need the right ppl ukija china na pia mnahitaji watu wenye ofisi CHINA na TANZANIA address ya mtu muhimu sana na mtu akioe the whole process pesa zako zitakuaje ktk uaminifu wa mizigo yako.
Umesema kweli dada kusafili kunapoteza mda
Tushukuru sana kaka esky 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇦🇨🇦asante 🇹🇿🇹🇿🇹🇿@esky
Hamna bwana muongo mil 40 ni pesa nying sana China
Poor research
Kutegemea watu
Watu hawasemi ukweli
Biashara yoyote bila kua na research yakutosha lazima upoteze pesa
biashara ni kama gem hata uwe na research unaweza ukapoteza
Natamani kushiriki maana nimepitia au wanaoshirik ni wenye mitaji ya kuanzia million kum tu
Business Diary is a THING*
Watanzania ndivyo tulivyo hatupendani kabisa roho mbaya hata mimi nimeshakutana nayo haya mengi sema huwa najikaza
🤣
M15 haitoshi kulingana na biashara unayoifata uwez kua na 15 unaenda kufata spare za magari lkn zipo biashara inatoka kabsaaaa
Kweli kabisa mtu anafuata heren 15m ni mzigo mkubwa au anafuata glass protector na macover ya bei rahis 15m inatosha tu
isaac kabsaaa mtaji unategemea na biashara huo mwaka anaousema 2019 yeye alienda wa 4 mimi nilienda mwez wa 10 mwaka huo huo alivyovisema ving ni sahihi wafanyabiashara weng kkoo au popote kma unanunua vtu kwake kwa jumla ukianza kumletea habar ya eti uende china na wew lazma achukie cz anajua anampoteza mteja so hatokwambia ukweli
Ni kweli kabisa
Kama japan nilipo biashara tofauti inategemea utakutana na nani wakuonyesha machimbo
Dada kwema naomba mawasiliano yako @@jacqueisaac8155
Huyo rafiki yako aliekutelekeza lazima umshukuru(usimlaumu) kwani alikupa wazo la kutoka nje ya box.
Dah,story ya huyu dada ni sawa na yangu maana hata Mimi niliuza gari yangu
kipindi kizuri sana @sns kinafungua fikra za wengi na kutia moyo.. Big Up Bro nitakuwa hapo siku moja inshAllah
Dada hasa wadada ukweli kabisa ukimkuta mwanamke mwenzio anakwambia njia ya kupita iliyo sahihi mshukuru Mungu ,Amen simamia Imani yako Mungu atajitukuza kupitia misimamo ya uwepo wako.
Kwan huwez ku Google location ,mpaka uulize hiyo km imekaa kizaman
Bora ulikataa kubeba hizo whisky ulikua unabebeshwa ngada,...leo tungekua tunakusoma kwenye magazeti tu jinsi ulivyokamatwa.
That Good thing I like napenda kazi zenu .I wish one time nirudi dar nije hapo mwenye nafanya biashara za truck usa hatari sana.
Hata kila biashara huku bongo
Aiseee