HIVI NDIVYO NYOTA YAKO INAVYOFICHUA NGUVU YA AJABU ILIYO NDANI YAKO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 121

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Рік тому +11

    Hapo kwenye nyota ya mbuzi ni kwel kbsaa yan mume wangu yupo hivy yan hujakosea kbsaaa tawire👏🙌🙌

  • @smaylonner6858
    @smaylonner6858 Рік тому +22

    Namba moja gonga like twende kaziiiii

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 Рік тому +6

    nyota ya mapacha tujuwane jamani😂😂😂 eti atuja tulia 😢😢

  • @ericmkami7578
    @ericmkami7578 Рік тому +5

    Libra ♎

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka Рік тому +15

    Gemini❤

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Рік тому +2

    Nakubali kazi

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому

    Ahsante Kwa Elimu

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому +2

    Hapo kwa Capricorn ni kweli mm na my mum tupo hivo kbs😊

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Рік тому +2

    ❤kwelinimekubali kupitia mimi na wanangu

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Рік тому +3

    From Uganda 🇺🇬 To Tanzania 🇹🇿 Justin Sheed

  • @LadyveenOfficial
    @LadyveenOfficial Рік тому +8

    ♍ virgo (Mashuke) tujuane hapa😍😍

  • @annatanzania2690
    @annatanzania2690 Рік тому +1

    Uko sahihi kabisa Mkuu hàpo kwenye kondoo sikwepi jamani 🥰🥰❤️❤️

  • @amosmashamba948
    @amosmashamba948 Рік тому

    Daaaaah aisee mule mule scorpion

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +3

    Samaki tujuane hapa🤸🏼‍♂🤸🏼‍♂🤸🏼‍♂🤸🏼‍♂🕺🕺🏼🕺🕺

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 Рік тому +1

    nyota ya ndoo nikweli kabisa mume wangu😢

  • @Vittari_b
    @Vittari_b Рік тому +4

    Hujadanganya kaka mi nakuelewa sana japo wengine wanaona ni uongo uliopindukia

  • @ziarasemvua-et3id
    @ziarasemvua-et3id Рік тому +3

    Appreciate you bro

  • @ErickWaukala
    @ErickWaukala 8 місяців тому

    Nzur san

  • @ilhammsaad-oe4lg
    @ilhammsaad-oe4lg Рік тому +4

    Sagittarius tujuane🥰🥰🥰

  • @janepherodouri3393
    @janepherodouri3393 10 місяців тому +1

    Oya kondoo😂😂

  • @elijahmboya-qo9vz
    @elijahmboya-qo9vz Рік тому +1

    Nyota ya mshale➡️

  • @mkongwekarim3036
    @mkongwekarim3036 Рік тому +2

    Mshale ❣️❣️❣️❤️

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 Рік тому +5

    Hapo kwa nyota ya LEO naona sifa zote zinanilenga inaonekana hizi nyota zimebeba mambo mengi kuhusu maisha yetu.

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 11 місяців тому

      Nikweli Kuna bwana kwenye video ameeleza mambo ya nyota yangu,mpaka nikashangaa ,,zodiac are real

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 5 місяців тому

    Mimi ni mapacha

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +2

    Simba ❤️💙

  • @jonakax
    @jonakax 6 місяців тому

    Mimi ni kweri ndoo

  • @RIDIAPETROMBUTERIDIAPETROMBUTE
    @RIDIAPETROMBUTERIDIAPETROMBUTE 9 місяців тому

    Wenye nyota ya samaki tujuwane😂😂

  • @MariaMwamakula
    @MariaMwamakula 9 місяців тому

    Nyota yamapacha naomba unifafanurie vizuri Mana Mimi nimezaa mapacha

  • @TrizzahWanjala
    @TrizzahWanjala 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @DjonasGreater
    @DjonasGreater 11 місяців тому

    Nikienda kutumia majina mbona haiangukii kwa hii.. hap inakuja nyota ng'ombe.. nikienda kutumia jina langu nala mama inakuja nyota ya PUNDA.. nakosa cha kushika

  • @Hamadi-uy2dw
    @Hamadi-uy2dw 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂yan umeniguxa kbxa gemini

  • @Jerryatz
    @Jerryatz 6 місяців тому

    duh nimimi aise mapacha sasa😂

  • @MkbinladenNikunetotoz
    @MkbinladenNikunetotoz Рік тому +3

    Mwamba hupoi.mungu anakuona justin shed,unakashamba kako kenye minazi huko peponi😅😅

  • @MM-Advanced
    @MM-Advanced Рік тому +7

    Shukurani sana mkuu.....ila naomba kuuliza, waliozaliwa October 23 wapo kwenye kundi gani la nyota? Naona imerukwa. Lakini pia, kwanini linapokuja suala la kuelezea sifa za nyota hizi, zinakuwa sifa njema tu, upande wa madhaifu mbona hauzungumziwi? Hii imekaaje?

  • @ramsrafiki1212
    @ramsrafiki1212 Рік тому +1

    Nyota ya cancer mupo ❤

  • @younggiant8325
    @younggiant8325 9 місяців тому

    Dunia inamihan aiseh

  • @saadaperec2706
    @saadaperec2706 4 місяці тому +1

    aries

  • @kiruaomary-mw8dd
    @kiruaomary-mw8dd Рік тому

    kweli bwan

  • @AbdulyAlly-l7w
    @AbdulyAlly-l7w Рік тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @VERYNICEJOSEPHATH
    @VERYNICEJOSEPHATH 7 місяців тому

  • @gstonetheone
    @gstonetheone Рік тому

    Nafikiri kondoo ndo wakwanza na samaki wa .mwisho..

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 2 місяці тому

    Apo kwenye nje jamani hujakosea yani anapenda malumbanao mtihabi sasa mm ya ng'ombe mbishi balaa

    • @FatmaJumawazir
      @FatmaJumawazir 2 місяці тому

      Kwaiyo malumbano jumlisha ubishi nyumba inawaka moto

  • @fetykhamis9413
    @fetykhamis9413 Рік тому

    Kweny nyot y mizan hjaksea kbisa

  • @ErickWaukala
    @ErickWaukala 8 місяців тому

    Hap kwny samak ni kwer Kam yang

  • @nicholaslekitale2767
    @nicholaslekitale2767 Рік тому +1

    Maarifa nji ya shule duuh.

  • @lawrenceleonard2007
    @lawrenceleonard2007 Рік тому

    Mmmmmh🤔🤔🤔🤔

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Рік тому +5

    Duh! hapo kwenye Taurus ni kama kwel bro..mbn hayo ni matendo yng kbs!!!!!

    • @abbyvanny
      @abbyvanny Рік тому

      😂 mimi pia nyota ya ng'ombe,hili elimu ya unajimu ni kweli wengi hawajui inaitaji uwe na akili ya kufikili na kutambua ndo utaamin yasemwayo ni kweli

  • @jonakax
    @jonakax 6 місяців тому

    Kweri kabisa

  • @twahirhukumu-jf2fr
    @twahirhukumu-jf2fr Рік тому +1

    Yani kweli sna 2 mpaka nmba moja broo ww ni sumu

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 11 місяців тому

      Kwenye tarehe ya kuzaliwa ndo kunafichua personality ya mtu,,ila mwezi wa kuzaliwa unabeba destiny ya mtu

  • @MageNiko
    @MageNiko 10 місяців тому

    Mapacha Niko apa

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Рік тому +3

    Hapo kwenye nyota ya kaa upo sahihi

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 Рік тому +8

    Nyota ya samaki tupo?

    • @rebaccaewoi8882
      @rebaccaewoi8882 9 місяців тому

      Yani ni mimi kabisaa nyota ya samaki😂

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Рік тому +3

    Kaka tunaomba utuletee makala zifwatazo KUFUNGUKA KWA JICHO LA TATU, REINCARNATION, ADOLF HITLER ALIYOYAFANYA NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA

  • @robartifabiani
    @robartifabiani Рік тому +2

    Hii November najiona kabisa

  • @MaimunaWanjara
    @MaimunaWanjara 10 місяців тому +1

    Nakama MTU ujui tarehe na mwezi wa kuzaliwa unajua mwaka tu inakuaje apo natama kujua

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      Tumia jina lako na la mama ako na lako utapata sawasawa na tarehe yako na mwezi

  • @ayubusalum7206
    @ayubusalum7206 9 місяців тому

    Sasa idadi ya majina yenu ikigawa kwa 12 isipo baki namba inakuwaje(yaan mfano 12√144=12 haibaki inaisha sasa apo vp😅

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 Рік тому +1

    Samaki😅❤

  • @francemichaerjaspa5414
    @francemichaerjaspa5414 Рік тому

    Apo kwenye kondoo mbona Kama nimimi kbisa

  • @subirajumanne
    @subirajumanne Рік тому +3

    Kundi laudongon nyota ya mbuzi kwahiyo ukiwa unanyota kati yahizo unatakiwa ufanye yapi Ili uendane nanyota Yako inavyotakiwa owe maana wengine wanalogwa kuzimixhwa nyota zao😒🤨🧐

  • @sheriamohamedbadra-op2xt
    @sheriamohamedbadra-op2xt Рік тому +2

    January tujuwane 🤔🤔😍😍

  • @raphaelLugembe
    @raphaelLugembe Місяць тому

    Simba oyeeeeeee

  • @bongatv25
    @bongatv25 Рік тому +1

    Boss unanitenga

  • @msumbufu_
    @msumbufu_ Рік тому +2

    Wakwanza 😂😂😂😂

  • @jasminisharifu7446
    @jasminisharifu7446 Рік тому +1

    Nikiangalia hapa naona no yangu ipo kwenye ndoo lakin mbn tukiangalia kwengine inakuja mapacha🙄

    • @PonchaCastro-ho9wr
      @PonchaCastro-ho9wr 9 місяців тому

      Sio wew tu mi pia nna nyota ya ndoo namapacha inaonekan nguv yetu so yakitoto

    • @PonchaCastro-ho9wr
      @PonchaCastro-ho9wr 9 місяців тому

      Mi nnaz mbili dabo pia

  • @MuckiAbdul
    @MuckiAbdul Рік тому +1

    Brother mimi nimezaliwa tarehe 9 januar je, nna nyota gani???

  • @Sheisparis
    @Sheisparis Рік тому +1

    Please Justine mimi naomba uongelee sinduli wanazopaka wahindi walioolewa hua wanapakwa siku ya NDOA tu haifutiki ata wakioga au hua wanapaka kila siku 🙏

  • @DjonasGreater
    @DjonasGreater 11 місяців тому

    Mnisaidie kujua nyota yangu.. maak mim nina majina mawili.. ko hapo sijui nitumie lipi?

    • @veronicamaghembe2102
      @veronicamaghembe2102 10 місяців тому

      Tafuta zodiac sign google kisha uangalie tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa

  • @ShabaniJuma-wi4rs
    @ShabaniJuma-wi4rs Рік тому

    Nina nyota yacancer

  • @salhathiam6983
    @salhathiam6983 Рік тому

    Naomba kujuwa story ya yule bwana wa dubai Humaid albuqaish anaish n wanyama wengi kama simba n wangine vidudu

  • @kiruaomary-mw8dd
    @kiruaomary-mw8dd Рік тому

    mm n ndoo

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 Рік тому

    Kaka shed tunaomba kujua kinaendelea Brazil je ni kweli hilo tukio limefanyika mwaka huu😳

  • @williammwangu42
    @williammwangu42 Рік тому

    Mimi ni nyota ya 🐯

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 Рік тому

    Mbuzi au Capricorn tujuane tunatatua mambo kwa vetendo ooo

  • @PendoMushi-gy3vu
    @PendoMushi-gy3vu 11 місяців тому

    Samaki

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 Рік тому +1

    Mimi 12:27 sijuwi nyota yangu niyipi 😢

  • @nzurisanatv2285
    @nzurisanatv2285 Рік тому

    Yan kwenye kupendwe na watu wengi mhm

  • @masongelaemmanuel9271
    @masongelaemmanuel9271 Рік тому +2

    nataka kufahamu, kuzaa mapacha inatokana na nini?

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 Рік тому

    Namimi ni m bishi kwelikweli 12/31/

  • @rashidmbelikwe4433
    @rashidmbelikwe4433 Рік тому

    Naomba historia ya Karli kani

  • @christinabahali2550
    @christinabahali2550 Рік тому +1

    Leta sifa za miez ya kuzaliwa

  • @tigergodlisten4807
    @tigergodlisten4807 Рік тому

    Mbn madhaifu hujatupa

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi Рік тому +1

    Umenipatia nikwel

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 10 місяців тому

    Je gemini na samaki au punda wanafaa kwenye mahusiano

  • @shinunasaid7884
    @shinunasaid7884 Рік тому +1

    Kaka na mim naomba story ya lil romeo

  • @inspirationmessages8420
    @inspirationmessages8420 Рік тому

    December 31

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 Рік тому

    Acha kudanganya watu

    • @dopeclassic1245
      @dopeclassic1245 Рік тому

      Kwan umelazimixhwa kuanglia na ww tafuta cha kudanganya

  • @younggiant8325
    @younggiant8325 9 місяців тому

    Dunia inamitihan aiseh

  • @msumbufu_
    @msumbufu_ Рік тому +2

    Wakwanza 😂😂😂😂

  • @younggiant8325
    @younggiant8325 9 місяців тому

    Dunia inamitihan aiseh