Jinsi ya kufanikiwa kupitia nyota | Madini na vito | Mawe | Utajiri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Katika video hii utajifunza njia ya mafanikio ya hekima ambayo unaweza kupata.
    kwa kupitia kufuata misingi yake,
    Video hii itakupa muongozo wa mawe na madini ambayo mtu unatakiwa kuyatumia katika utaratibu wa mafanikio yako ya kila siku

КОМЕНТАРІ • 50

  • @kimokidtz6010
    @kimokidtz6010 6 місяців тому +1

    Asante sana kaka mungu akubariki katika maarifa na hekima pia hakika wew ni mwema umetuelimisha vingi katika haki na ukweli Allah ukulinde na akupe umri mrefu inshaallah

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  6 місяців тому +1

      Amin atujalie sote mwisho mwema

    • @kimokidtz6010
      @kimokidtz6010 2 місяці тому

      ​@@rakimsspiritualasante sana mwalimu

  • @UpendoYMwingamno-lj3hz
    @UpendoYMwingamno-lj3hz 11 місяців тому

    Mm ni nyota ya mbuzi...Na maada yangu ni udongo...!!naoa kujua batakiwa nivae madini gani,jiwe gani.Asante

  • @ikramsalum5655
    @ikramsalum5655 Рік тому

    Nakusalimia kaka nakukubali sn allah akulinde...

  • @josinamadeghe-ks4ok
    @josinamadeghe-ks4ok Рік тому

    Mwalim salaam, ninahitaji kujua zaidi hii elimu, lakini bado kwangu ni kiza kinene. Naomba unisaidie

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Рік тому

    Ahsante

  • @musakushinda470
    @musakushinda470 6 місяців тому

    Napenda sna mada zko Mr

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  6 місяців тому +1

      Asante Mwenyezi Mungu akujalie mafanikio

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Рік тому

    Asante sana umeniongezea kitu

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому +1

      Asante kushukuru Mwenyezi Mungu akujaalie mafanikio

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 Рік тому +3

    Hahahaha mwalim Umeamua kujibu kwa vitendo swali langu nafurah kua wa kwanza kutazama

  • @AthumanAbdury
    @AthumanAbdury 20 днів тому +1

    Tunaomba uweke namba utueleweshe

  • @mohamedomary9356
    @mohamedomary9356 Рік тому

    Asalaam alykum mwalimu .nilikuwa naulizia kama nimezaliwa tarehe 29 may ambayo ni Gemini ♊ ila sijui saa niliyo zaliwa pamoja na siku ninatakiwa kuvaa agate Aqeeq stone aina gani kuligana na nyota yaangu ya mapacha 👍🤝🙏

  • @nancymakenya917
    @nancymakenya917 8 місяців тому +1

    Naomba no yako nikupigie kuna jambo unisaidie

  • @KOMBOFUJO
    @KOMBOFUJO 4 місяці тому

    Aslm alyk nauliza madhara ya jin salsal

  • @officallymbonde9257
    @officallymbonde9257 Рік тому +1

    inshallah 🙏
    ila mwalim ujamalizia masomo ya nyota bodo nyota zetu atujazisikia

  • @RenatusVictoris
    @RenatusVictoris 2 дні тому

    Mimina nime zariwa miaka 32

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 Рік тому +1

    Usisahau mwalim kutufundisha mfano mtu mwenye nyota ya simba avae mawe ya aina gan au kidole kip na mafusho yake mungu akusmamie kwa hlo

  • @tatianahomekey6211
    @tatianahomekey6211 Рік тому

    assalamualaikum Mwalimu napia usisahau kutupa elimu ya nyota ya nge watumie mawe gani ilikuweza kupata mafanikio

  • @RobinsonGichure
    @RobinsonGichure 6 місяців тому

    Namba yako inapatikana anje

  • @ephigeniamoka385
    @ephigeniamoka385 Рік тому +1

    Maalim,madam kihusu Qarin(ruhani) watufunza lini? Halafu je ruhani ndio nyota ama tofauti ni ipi? KAZI zao zipi... Tufunzie tafadhali.

    • @ephigeniamoka385
      @ephigeniamoka385 Рік тому

      Mada kuhusu...kumekua na spelling error hapo. Samahani.

  • @isackwaite-uf1zy
    @isackwaite-uf1zy Рік тому

    Assalam Alaikum mwalim❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @UmmyMtuhi-uq2zy
    @UmmyMtuhi-uq2zy 11 місяців тому +1

    Mwalimu naitwa kuluthumu hashimu nimezaliwa tarehe 21 june,je nyota yangu ni ipi, pia nikikuhitahi binafsi nakupataje?

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 3 місяці тому

      Nyota ya mapacha/Gemini asili yake upepo

  • @DenisMjun
    @DenisMjun 14 днів тому

    Mm madini ya tin ninayo nayatumiaje

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  14 днів тому

      Angalia unajimu wake katika sayari ya madini hayo yamekaa katika nyota gani kisha ufuate taratibu zake

  • @makopamusic
    @makopamusic Рік тому +2

    mwalim nmezaliwa june 25 huwa sielew nyota yangu ni ipi maan najuag nipunda ila sina uakika😢

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 3 місяці тому

      Nyota ya KAA/CANCER ASILI YAKE MAJI

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 Рік тому

    Assalamualaikum kaka Mimi sijui nyota yangu natamani sana kujua nimezaliwa tarehe 3/8/

  • @omar-zw9bw
    @omar-zw9bw 4 місяці тому

    Unapatikana wapi bro? Nahitaji tuonane juu ya usaidizi balimbali

  • @Yuppie8686Fabiani-cv5kz
    @Yuppie8686Fabiani-cv5kz 8 місяців тому

    Mwalimu siku na tarehe inabadilika kuanzia muda gani?, ni kweli saa 6 ya usiku

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Рік тому

    Mwalimu ususahau kuongelea mada ya Reincanation ,
    Na tunaweza kuzaliwa mara ngapi au Haina kikomo.
    Pia ni namna gani nifanye ili kipindi naota niweze kukumbuka kuwa nipo ndotoni.
    Maana wengi hatukumbuki kuwa tunaota Hadi tunapoamka.

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl 7 місяців тому

    Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntapataje

  • @KisomaAmani
    @KisomaAmani 3 місяці тому

    Naitwa mwema tuonyeshe namba zako