UKWELI WA MUNGU NI NANI NA USHAHIDI USIOPINGIKA KUA ALIKUUMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 237

  • @BONGOFASTA
    @BONGOFASTA  Рік тому +5

    NIMEJIBU MASWALI YALIYOTOKANA KWENYE VIDEO HII, TAZAMA HAPA ua-cam.com/video/yAb7TwNu75U/v-deo.html

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Рік тому +31

    Tunaoamini katika Mungu atuhitaji maelezo mengi 🙏🏾

  • @DungaMbarak
    @DungaMbarak Рік тому +9

    Hakuna kiumbe kinachoweza kumuelezea mwenyez mungu.. maelezo ya mwenyez mungu yako inje ya fikra ya mwanadamu.. yani ukianza kumuelezea utaelezea mpaka ufike mwisho wa upeo wako... Kuna maisha baada ya kifo. So mungu yupo na nimkubwa wa vyote..

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 Рік тому +6

    Mungu haelezeki, namaanisha hakuna anayeweza kumweleza Mungu.

  • @papaamkinga_
    @papaamkinga_ Рік тому +79

    Tunao kubaliana mungu yupo shusha like

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Рік тому +5

    From UGANDA 🇺🇬 To Tanzania 🇹🇿 Justin Sheed 🔥🔥

  • @FauziyaHassan-h7o
    @FauziyaHassan-h7o Рік тому +1

    Mungu mkubwa...na hakuna awezae kumwelezea kwa kina..Asante kwa Elimu yako

  • @alkamilalwafi3187
    @alkamilalwafi3187 Рік тому +8

    Mungu ni umoja tu akuza wala aku zaliwa

    • @heriabudu3207
      @heriabudu3207 Рік тому

      💯 na hana wa kulinganishwa naye

    • @hassan0256
      @hassan0256 Рік тому +1

      Kwaio mwanzo wake ulikua ni nini ? Kwamba alijikuta tu yy tayari ni Mungu mwenye Uwezo huo mkubwa bila chanzo chochote ? How ?

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 Рік тому +4

    Binadamu kaumbwa na mungu ivo utambue mungu yupo kwa ajili yako

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Рік тому +3

    Mungu yupo ,na ataendelea kuwepo,Kama unabishi ukifa ndo utajua hujui

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Рік тому +1

    Hii story lmenihingia vizuri sana mwamba jastin 🙏🇹🇿🇬🇷

  • @BeathaKadendula
    @BeathaKadendula 2 місяці тому

    Kaka jastine shedy nmekukubali mungu akubariki uwendelee kutuinjilisha.

  • @FahadKhamisi-vu8jk
    @FahadKhamisi-vu8jk Рік тому +9

    Kaka jamani historia ya washirazi jamani nakuomba

  • @wilsonkaara4813
    @wilsonkaara4813 Рік тому +3

    Umenifunza mengi kaka thank you

  • @hawamambo769
    @hawamambo769 Рік тому +21

    Mungu kamwe hawezi kafanana uwezo au hata kipunje ya uwezo na kiumbe alichokiumba au KIUMBE chochote kile, yeye ni MUUMBA wa kila kitu na ni mmoja pekee hafanani na yeyete wala chochote, ukitaka kuamini hilo hebu atokee binaadam aumbe walau inzi au mende achana na mbingu, ardhi, kifo na mengine makubwa ni matusi mazito na kukosa adabu kusema mungu anafanana uwezo na binaadam yani yeye amuumbe binaadam halafu afanane nae hivi inaingia akilini? Stories za Mungu hapana TUACHE we tueleze tu story za wasanii na watu maarufu basi... Muombe msamaha MOLA WAKO lol.

    • @heriabudu3207
      @heriabudu3207 Рік тому +2

      💯👍

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Рік тому +1

      Umesemema kweli😢

    • @seiflugendo7141
      @seiflugendo7141 Рік тому +1

      Uko sahihi dada👍👍👍

    • @peterkerry5654
      @peterkerry5654 Рік тому +2

      Kuna watu engine waliumbwa na ufikilio mdogo wa ubongo ,kwahiyoo wew upo kwenye hilo kundi

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Рік тому

      @@peterkerry5654 umeongea kinyume bob sio?yani hapo umejiongelea wewe

  • @queenWitynes
    @queenWitynes Рік тому +2

    Mh hakuna ajuaye kuhusu hili mungu ni roho 😇tutaangaika sana tuombe sana na kumtafua

    • @davidiminjeje124
      @davidiminjeje124 10 місяців тому

      Huo upeo wa kumwelezea mungu umetoa wapi.. Na roho ni nini?

  • @majirabonphace
    @majirabonphace Рік тому +4

    Leo wakwanza anaombeni like zangu . Pia naomba video ya msafala

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein Рік тому +19

    Ohoooo😂🎉🎉 nimekua wakwanza tena kutazama video yetu hii pendwa ya MUNGU🤗 naombeni likes zangu wadau🔥👍

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz Рік тому +1

    Mungu hafanani na chochote unachokijua sababu hakuna aliemuona Mungu mpk amfananishe na kitu na pia hakuna kiumbe chochote chenye uwezo km alipokuwa nap Mungu na hakuzaa nawala hakuzaliwa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Рік тому +8

    Mungu ni moja hana mwana wala mke wla hasinzii wala hana mshirika ndani anafanya atakavyo apendavyo katu hana makosa ametakasika na kila aina ya maovu

    • @royalpriestsmusic5685
      @royalpriestsmusic5685 Рік тому +1

      Mungu alisema huyu ndiye mwanangu mpendwa ninaye pendezwa naye soma pia Yohana 3,16 Mungu alimtoa mwanaue wapekee ili kila amwaminiye asipoyee yachunguze MAANDIKO usije ukapotea wakati kweli IPO wazi

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 Рік тому +4

      ​@@royalpriestsmusic5685 mungu hakuzaa Wala kuzaliwa na hapana anaefanana nae

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 Рік тому +4

      Allah ndiye hakuzaa kwa sababu uwezo huwo hana ila MUNGU wa mbinguni amezaa kupitiya neno. ila Allah hawezi zaa lazima awe namke ndiyo azae bali MUNGU wa mbinguni yote ayatakaye yanawezekan kwa uwezo wake ndomana alizaa mwana mtakatifu ambaye ni YESU KRISTO mwana wa MUNGU aliye hai

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 Рік тому +4

      @@gatekanene5753 kwani mbinguni kuna mungu wangapi wacha bangi kijina

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Рік тому +1

      ​@@azizayassin3623 mnamzungumzia Mungu au Allah?

  • @Mwalimu-wa-Math
    @Mwalimu-wa-Math Рік тому +4

    Ningependa kukosaloa kidogo kuhusu watu hufanana na Mungu. Mungu huumba ameumba binadamu, wanyama na milima ndio sifa moja katika sifa(attributes) za Mungi ni muumbaji
    Binadamu huunda/hutengeza vitu. In fact binadamu huunda vitu wakiiga vile Mungu aliumba kwa mfano binadamu wameunda ndege(✈️)kwa mfano wa ndege 🐦 .
    Kitu nyingine Mungu huumba vitu from no where yaani raw materials za create mtu ama samaki mara kwanza before samaki waanze kuzaana it's God who created them first.
    Binadu huunda kutumia raw materials kuunda boat ama meli.

  • @davidomar-un4op
    @davidomar-un4op Рік тому +3

    Umekosa makala hadi unaanza kukufuru Nani kakwambiya tunafanana ki uwezo na mungu?

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 Рік тому +2

    Muumba/mungu ni uwepo uliopo nje ya kila kitu.. uwepo ulio nje ya mbingu, dunia na kila kitu..
    Hajawahi kuonekana kwa kiumbe chochote....
    Haoneka maana yy ni Super nature power... na ni Ni nguvu isiyo na chanzo wala mwisho

    • @hassan0256
      @hassan0256 Рік тому

      Kivipi hebu fafanua, Ilikuaje kwanza yy akawa super nature power ? Yani mwanzo wa yy ulikua nini kama hakuzaa wala kuzaliwa Na wala kuumbwa ?

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 Рік тому

      @@hassan0256 muumba ni uwepo uliopo pasipo kuwepo.
      Yaan ni hali inayofanya kila kitu kiwepo.. ila hali hiyo haina maali inapoanzia... maana maali zote na vyanzo vyote vinaanza kwake.

  • @robartifabiani
    @robartifabiani Рік тому +3

    Alafu unashangaa dawasco wanakata maji hovyo hovyo😢😢

  • @SaraphinaBatista-i2o
    @SaraphinaBatista-i2o Рік тому +2

    Mungu ni Mungu tuu

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 Рік тому

    M'mungu yupo alikuwepo na ataendelea kuwepo kwa sisi waislam Alhamdulillah tunamuamini kwa kuona Qadari zake . Hafanani na yyte yule wala huwezi kumfananisha na popote wala chochote inatosha ukiviona alivyovikadia na alivyoviumba Basi.

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 Рік тому +3

    Hakuna anayeijua hii siri kuhusu mungu, uumbaji nk tumejikuta duniani hatuna tujualo tutakufa pia bila ya kujua lolote! Tuishi kwa kupendana tu hatuna tulijualo!

    • @joachimmassimba3863
      @joachimmassimba3863 Рік тому

      Ukisema hakuna TUJUALO unawajumlisha watu wengi,
      Kama wewe huna ujualo sema...
      HAKUNA NINALOJUA,
      ila ukitaka KUJUA sema ...Ee Mungu nijalie nikujue wewe uliyeniumba.

    • @dawayao2837
      @dawayao2837 Рік тому

      @@joachimmassimba3863 😂😂😂haya nambie mwezangu unayejua siri kuhusu hii dunia uumbaji, pamoja na muumba mwenyewe pia usisahau kuniambia umejuaje! na umejihakikikishiaje kuwa ni kweli pasi na shaka

    • @dawayao2837
      @dawayao2837 Рік тому

      Hakuna anayejua ndugu humu duniani tunadanganyana tu

    • @joachimmassimba3863
      @joachimmassimba3863 Рік тому

      Nikupatie namba yangu tuzungumze?

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 Рік тому

      ​@@joachimmassimba3863mm nataka hiyo no yako unipe evidence ya uhakika tofauti na imani

  • @chichiereyh
    @chichiereyh Рік тому +2

    MUNGU 🙏🏾 NI MWEMA

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Рік тому +7

    MUNGU HAWEZI KUFANANA NA BINADAMU KWA UWEZO KWANZA HAFANANI NA CHOCHOTE KILE KWANZA NI MAKOSA KUMFANANIZA MUNGU NA ALIVYO VIUMBA

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 Рік тому

      Pale MUNGU alipo sema na tumuumbe mtu kwa mfano wetu soma maandiko ndugu yangu tuliumbwa kwa upendo uliyo juu zaidi ndomana tukaumbwa kwa mfano wake

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому +1

      Hayo ni mafundisho ya Quran ambayo ilikuja kuandikwa kwaajili ya kupinga Ukristo ambayo yaliandikwa miaka mia 6 kabla hajazaliwa Muhammad leo mnakuja kupinga kila lililo ndani ya Biblia kwa kuongozwa na Majini. Kama ingetangulia Quran hata mimi ningekua Muislam

    • @ambarnelly6071
      @ambarnelly6071 Рік тому +1

      @@charlesmapunda5905 kwanza ayo ni maoni yako ndugu istoshe nikueleweshe tu qurani ni kitabu alichopewa Mtume muhamad ,na kurani haijatangulia kama ulivyo sema na qurani haikuja kupinga bali kuja kubainisha yaliyo ya kweli na yaliyo haribiwa na ukiyataka yaliyo haribiwa nitakupatia hata ww hutoyakubali

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 Рік тому

      @@charlesmapunda5905 na mimi nakuunga mkono Quran ya juzi tu inakuja kupinga kila lililo tanguliya jamani Quran nikitabu kilico aminika na majini kwa sababu kwanza aliye teremsha iyo Quran ni aduwi wa Jibril alafu wanataka watwambiye nini?😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому

      @@gatekanene5753 Hawa jamaa kiukweli hawaishi bila kutegemea Majini. Huwezi kukuta kanisani wachungaji wanao fundisha eti Quran inasema hivi hakunaga ushiriki kati ya Qurani na Biblia ila wao ndio wanatafuta vipengele vya kuwarubuni watu na kuwaaminisha kuna Majini wazuri, hakuna Shetani mzuri wala mbaya Wote ni Shetani tu nashangaa hawa watu akili zao zikoje mpaka wanaamini huo upuuzi

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому

    Mungu ni maji na ndio maana hata Yesu kristu alibatizwa kwa kutumia maji sababu anajua nguvu ya Mungu ndani yake.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому

    Justin 🙏 story nzuri

  • @majirabonphace
    @majirabonphace Рік тому +3

    Kwann viongozi wanawekewa misafara

  • @Ngendakumana_
    @Ngendakumana_ 8 місяців тому

    Ukisema hivi watutunamaswari hadikichwakitapasuka uvumbuzi bado 😢 kwani unaposikia uriumbwakwamfano wake nautarudi kwake + udongo yaninikimanisha ardhi ushaiona inaisha inabakimirere haitakuwepo unaposema maji yenyeweyanakauka sehem tofautitofauti rakihii ambayo umesimamajuyake😢😢😢

  • @Denicshoo
    @Denicshoo Рік тому +3

    Hii n nzur nime ipenda

  • @jolikili3104
    @jolikili3104 Рік тому +1

    Mungu ni roho

  • @ErickLenana
    @ErickLenana Рік тому +1

    Hakunaga mungu❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MeraniaNichoraus
    @MeraniaNichoraus Рік тому

    Mungu ni mkuu sana hata umchunguzaje hazichunguziki

  • @oredidunia120
    @oredidunia120 Рік тому +4

    MAJI YALIUMBWA NA MUNGU ,
    UKITAKA KUJUA MAJI YALITOKA WAPI BASI NIFATE NIKUFUNDISHE MAJI

    • @salimuismaily693
      @salimuismaily693 Рік тому

      HUNA ELIMU HIYO KIJANA TUAMBIE HIZO INGRIDIENT ZA KUTENGENEZA HYDROGEN NA INGREDIENT ZA KUTENGENEZA OXYGEN ZIMETIKEA WAPI KABLA HATA HUJAJA KUTENGENEZA MAJI INGREDIENT ZISINGEKUWEPO UNGETENGENEZEA WAP

  • @MpembaHalisi
    @MpembaHalisi 4 місяці тому

    Hahahaaa! Katafute chai unywe na wote wanaokusikiliza hawana akili

  • @versacepilarkings5332
    @versacepilarkings5332 Рік тому +3

    Vyema

  • @beatricengari5891
    @beatricengari5891 Рік тому

    Kweli kabisa brother mungu yupo

  • @SaidLukindo-h8e
    @SaidLukindo-h8e 4 місяці тому

    Umetisha

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 Рік тому

    Ndugu ningependa uendelee kutafuta ukweli wa Mungu, usiishie hapo,
    Maana Mungu ni uwepo usiokuwa na mfano wa chochote kilichopo katika uwepo wa viumbe, Mungu ni pekee, aliko Mungu hana ushirika na kiumbe chochote,
    Tatizo ni vitabu tulivyo letewa vya mapokeo vilivyo tuchanganya na kushindwa kumujuwa Mungu muumba wa vyote, leo hii tunaabudu visivyo takiwa kuabudiwa ambavyo ni viumbe tukivinasibishwa na Mungu,
    Tusiishi kwa kuabudu viumbe.
    Mungu si kiumbe
    Mungu hafanani na viumbe
    Mungu hana rangi
    Mungu hana mshirika
    Hakuzaa wala hakuzaliwa
    Ni pekee kwa yake milele.
    Pitia mafundisho ya wazee ili upate nini walilolijuwa hapo kabla ya mapokeo kuhusu Mungu Kisha ulinganishe na ya vitabu hivyo vya mapokeo,
    Ndipo utakapojuwa ukweli wa Mungu na uumbaji wake.
    Soma kwenye jadi yetu. Upate ya wazee. Asante 😊😊

  • @WilfredKayuni
    @WilfredKayuni Місяць тому

    Amin

  • @HalfaSaid-vl6ki
    @HalfaSaid-vl6ki Рік тому +2

    Wakumi cpo mbali sana 😅

  • @abduldjay3034
    @abduldjay3034 11 місяців тому

    baba upo vizuri sana 👏👏👏

  • @matokeojuma-gm2bm
    @matokeojuma-gm2bm Рік тому +1

    Tuliumbwa kwa mfano wa Mungu sio sura bali ni aina ya malfa tulionayo sisi binadamu kuliko wa wanyama yani akili za binadamu nifano wa Mungu au sura ya Mungu!.

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      Hujatafsiri vyema, hili ANDIKO la 'nimemuumba mwanadam Kwa mfano wangu' , halimaanishi mfanano wa akili au umbo lake....Bali tafsiri yake ni kwamba Amemuumba mwanadam Kwa mfano aliotaka yeye, Kwa lugha ya kiingereza Ameumba Kwa design aliyoibuni mwenyewe na si ya kukopi kwingine..!
      Kiukweli Hatufanani na MUNGU Kwa lolote..!

  • @WinifridaGregory
    @WinifridaGregory 5 місяців тому

    Mungu haelezewi

  • @abdallahkigome8538
    @abdallahkigome8538 27 днів тому

    Nikiamini mungu yupo ambae ni mmoja na hafanani na kitu Wala Hana mshirika inatosha Aya mambo mengine yatanichanganya akili tu

  • @zamaksharngoroka4428
    @zamaksharngoroka4428 Рік тому +1

    Kila kitu kimetokana na maji...

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 Рік тому

    Hakuna hata mtu mmoja anaejua mungu anaishi wapi ila kwa upande wetu tunasema mungu yupo katika Arshi yake hayupo mbinguni wala ardhini hayupo kulia kushoto mbele nyuma juu au chini yakini hivo

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia Рік тому +1

    Unavyotuona sisi wanadamu tulivyo, tumechukua sura na mfano wake, mikono, KICHWA, mikuu NDIVYO ambavyo MUUMBAJI WETU YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIE HAI NDIVYO alivyo, PAMOJA na MALAIKA zake, hata huyo shetani na malaika walioasi ndvyo walivyo

    • @salimuismaily693
      @salimuismaily693 Рік тому

      YESU NI KIUMBE SIO MUUMBAJI HAKUNA KIUMBE KISICHOUMBWA UKISEMA YESU NI MUNGU ALIJIUMBAJE MWILIWAKE MWENYEWE ALIUMBAJE AKILI YAKE ALIJIUMBAJE NDANI YA TUMBO LAMAMA YAKE HAIWEZEKANI MUNGU AWE KIUMBE AU MUNGU AWE ANAKUWA WALA MUNGU HAVAINGUO

  • @EmanuelDmakunga-xf6mk
    @EmanuelDmakunga-xf6mk Рік тому

    Je? Mungu aliumba maji. Nanukuu.
    "Nayo nchi ilikuwa ukiwa tena utupu na roho wa bwana alikuwa juu ya vilindi vya maji"
    Mwanzo 1:2

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    Matendo Ya Mitume 19
    27 Si kwamba kazi hii yetu ina hatari
    ya kudharauliwa tu; bali na hekalu
    la mungu mke aliye mkuu, Artemi,
    kuhesabiwa si kitu, na kuondolewa
    utukufu wake, ambaye Asia yote pia
    na walimwengu wote humwabudu.
    Hawa makafir wanaume mpaka mungu mwanamke

  • @rahimfaraji6916
    @rahimfaraji6916 Рік тому

    UKWELI NI KWAMBA HII MADA ULIYOIHADITHIA INA MAPUNGUFU MENGI SANA TENA SANA.
    kwa msaada kidogo wa kumtambua MWENYEENZI MUNGU,
    hili ni swala la KIIMANI,
    TAMBUA IMANI NI ELIMU, IMANI NI ELIMU, IMANI NI ELIMU.
    HIVYO KUMTAMBUA MUNGU KWA USAHIHI UNAHITAJI IMANI SAHIHI, aka ELIMU ITOKANAYO NA IMANI SAHIHI ISIYO YA KUBUNI BUNI.
    NB: hii inahitaji tafsiri zaidi (nakosa namna ya kueleza hii mada. cha msingi na muhimu tambua - KUMJUA MUNGU KWA USAHIHI KUNATOKANA NA ELIMU ILIYO SAHIHI ITOKAYA KWA MWENYENZI MUNGU MWENYEWE.

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому +1

    Firauni alianza hivyo hivyo akaja kula kichapo

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 9 місяців тому

    Maji nahewa ndio muungu.wakilakitu mengene nimazungumuzotuu

  • @wilsonwidudupfikiwilson1723

    Hapo mimi siingii naishia kwa kusikiliza tu

  • @SaidLukindo-h8e
    @SaidLukindo-h8e 4 місяці тому

    Binadamu tumegawanyika ktk body , mind na spiritual je mungu unaweza kumgawaje au unaweza tupa elimu juu ya nafasi yake ?

  • @j-boyimperial9236
    @j-boyimperial9236 Рік тому

    Naomba makala kuhusu swala la mbingu 7

  • @kevinndayisenga1998
    @kevinndayisenga1998 Рік тому

    Hili ndiyo neno la mungu la kweli

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Рік тому +1

    Kiufupi MUNGU NI UWEZO USIO WEZWA

  • @BennyMtwevetz
    @BennyMtwevetz Рік тому +3

    Dah halo. hii ni neema sana ningekosa video na mada hii ningekua nimepoteza jambo kubwa sana ubarikiwe sana Brother nimefarijika sana maana Mimi mpaka leo nilikua najua Mungu yupo ame chili paala flani ivi kumbe ndio maana watu wanasema ulipo yupo

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому

      ANAITWA ALFA NA OMEGA(YESU KRISTO), MWANZO NA MWISHO, WAKWANZA NA WAMWISHO, ANAITWA YESU KRISTO, CHANZO CHA VIUMBE VYOTE

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      ​@@Churchofecclesia tupe andiko yesu mungu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      ​@@Churchofecclesia Matendo Ya Mitume 19
      27 Si kwamba kazi hii yetu ina hatari
      ya kudharauliwa tu; bali na hekalu
      la mungu mke aliye mkuu, Artemi,
      kuhesabiwa si kitu, na kuondolewa
      utukufu wake, ambaye Asia yote pia
      na walimwengu wote humwabudu.
      Na huyo si ndio mungu mwanamke wa kwenye biblia mnaye muabudu

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому

      @@alzawahirabdallah2299 Acha ushamba wewe soma ISAYA 9:6 ISAYA alimtabiri kabla ya kuja kwake, soma na kitabu cha YOHANA MSTARI WA Kwanza WOTE, YUDA 1:4, 2 WAKORINTHO 4:5, 2 TIMOTHEO 4:1, WARUMI 16:27, TITO 2:13, 1 YOHANA 4:2-3, YUDA 1:25, soma hayo maandiko unipe majibu, miungu iko mingi kijana, na kila mungu kwenye dunia hii anautambulisho WA JINA lake mungu NI CHEO, kama baba, LAKINI huyo baba anajina kama wewe WATOTO wako wanavyokuita baba, kwahyo hata shetani JINA lake sio shetani HUO UTAMBULISHO kutokana na maovu anayoyafanya ILA anajina lake ANAITWA Lucifer na yeye NI mungu WA dunia hii, ILA MUNGU alieketi mahali PA JUU SANA MUUMBA WA MBINGU NCHI bahari na VILIVYOMO NDANI yake ANAITWA YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIE HAI, USIDANGANYIKE NA NENO mungu mungu lazma uujue UTAMBULISHO WA mungu huyo unaemtaja maana usije UKAWA unahost pepo watu wanakosa maarifa

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      @Hassan Mshana Mathayo 4
      10 Ndipo Yesu alipomwambia
      Nenda zako, Shetani; kwa maana
      imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu
      wako, umwabudu yeye peke yake.
      Yesu anasema imeandikwa umuabduu mungu peke yake sasa km wewe unasema yesu mungu swali kwa nini yesu hajasema uniabudu mimi
      Na mungu gani anaye sema yesu aabudiwe naye ndie mungu

  • @hansboy1443
    @hansboy1443 Рік тому

    Mmmh mambo ya mungu sio yakumjaji

  • @asentertainmenttz3128
    @asentertainmenttz3128 7 місяців тому

    usidanganye watu kwamba maji hayaelezeki kisayansi

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 Рік тому

    Acha ubabaishi wako Mungu ni mtu mkamilifu, a perfect man, kama vile Yesu kuwa mtu mkamilifu. Soma zaburi 82:5-6; They know not, neither will they understand; they walk on in darkness: all the foundations of the earth are out of course. 6 I have said, Ye are gods; and all of you are children of the most High. 7 But ye shall die like men, and fall like one of the princes.
    Huyu mtoa mada ni mbabaishi wala hana hoja.

  • @yusuphkitainda9799
    @yusuphkitainda9799 Рік тому +4

    Hii story ime nigusa,natumia muda mwingi kujiuliza mungu ni nani ,mungu anaishi wapi,alimuumbaji binadamu wa kwanza???

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому +1

      MUNGU(YESU KRISTO), NDIE chanzo(ABBAH) cha vitu VYOTE, ndie MWENYE ENZI MWENYEZI MUNGU, ANAUTAMBULISHO WAKE, anajina lake, ANAITWA YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIE HAI

    • @martoo539
      @martoo539 Рік тому

      @@Churchofecclesia ati yesu christo

    • @mohdali2408
      @mohdali2408 Рік тому

      Sasa Ivi kweli kama Mungu ni Yesu ijakuaje Mungu anatahiriwa Na aliowaumba

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Рік тому

      ​@@mohdali2408 ALIYE TAHIRIWA SIYO MUNGU ILA TOHARA NI YA MWILI , HIVYO KILICHOTAHIRIWA NI MWILI , MUNGU YEYE NI ROHO.

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Рік тому

      ROHO.

  • @hassan0256
    @hassan0256 Рік тому

    Mkuu Kama Mungu Hakuumbwa wala kuzaliwa ... Mwanzo wake Ulikua ni Nini ? Kwamba alijikuta tu tayari yeye ni Mungu mwenye Uwezo huo mkubwa !! How yani

    • @salimuismaily693
      @salimuismaily693 Рік тому

      Yeye Ndio humwanzo Al- Awali pia ndio wa mwisho. Al - Alakhr

    • @hassan0256
      @hassan0256 Рік тому

      @@salimuismaily693 Achana na Aya za Qur'an, nataka hapa tutumie logic zaidi unajua shida moja ya dini ni kukuwekea mipaka ya kufikiri ... Kwanza naamini kabisa wanadamu wanajua asilimia ndogo sana kuhusu mungu Pamoja na manabii wote na mitume ... Haiwezekani Mungu akaweka wazi kila kitu kuhusu yeye maana hata wazazi wako tu hujui kila kitu kuhusu wao...Kwa maana tunachoambiwa kuhusu Mungu nikua yy Ndio muumba wa kila kitu na hakuzaliwa wala kuumbwa ila hatujui ilikuaje kuaje historia yake hadi akafanya alivyofanya ... Mfano jichukulie wewe ungekua Mungu na Uwezo wake wote alionao ungeamini kua Hakuna nguvu nyingine iliyokuweka ww Na je upo peke yako au kuna wenzako ? Au ww unajua nje ya mbingu 7 zinazotajwa kuna nini huko... What if huu ulimwengu nikama tu kiwanja unachomiliki na majirani zako wanamiliki vyakwao

    • @yahyamtinangi6921
      @yahyamtinangi6921 Рік тому

      Ni Elimu kiduchu sana Mwenyezimungu ametumegea, kiasi Cha kuwa sisi wenyewe hatujijui tukajimaliza. Sasa Habari zake ni kubwa sana sisi kujaribu kumjua bila mafundisho ya hao Wateule wake.
      Dini zote hata za Mababu wetu waafrika unakuta zinafanana fanana Kwa mengi. Hii ni ishara kuwa Chimbuko lake ni Moja kama lilivyo Chimbuko letu Binadam wote. Deviations zilizopo ni kutokana na wakati na mazingira ya Jamii husika tu.

    • @rahimfaraji6916
      @rahimfaraji6916 Рік тому

      UTAMBUZI WA MUNGU KIELIMU ( mwanzo, mwisho, uumbaji, kuzaliwa hivyi ni kwa ajili yetu sisi viumbe, ni lugha iliyowekwa na MWENYENZI MUNGU ili viumbe tuweze kuwasiliana na kuelewana. PIA KUELEWA.
      KWA UWEPO WA MWENYENZI MUNGU NI NJE YA MWANZO NA MWISHO.
      HIVYO BASI MWANZO NA MWISHO INATUHUSU NI KWA AJILI YETU SISI VIUMBE NA WALA SI MWENYENZI MUNGU.

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Рік тому +2

    God is nature mengine conspiracy tu

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому

    Mim naamin katik Mungu

  • @joshuayounam
    @joshuayounam Рік тому

    Yupo MUNGU

  • @Shadow-zf9js
    @Shadow-zf9js Рік тому

    ❤ swafi

  • @bobdylan2470
    @bobdylan2470 Рік тому

    Nice

  • @danielkasamya2923
    @danielkasamya2923 Рік тому

    Good story

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 Рік тому

    Asanteeee sanaaa kaka ake miee kwa kutujuza zaidi, but uaga najiuliza na sipati majibu hivi watu amabo nasemaga wakiwa wanaomba au wanasali unakuta wanakuambia Mungu ananiambia nikuambie hivi maisha yako yapo hiv na hiv au jmn hivi niykweli au!??? please naombeni kujua zaidi maana mimi imani yangu hus nasema Mungu huzungumza na mtu kwenye ndoto au pale unapo ona mambo tofauti tu ila yale yakuambiwa Mungu anasema hivi huwa sikubali naombeni kujua ukweli plz

  • @pascalerick3525
    @pascalerick3525 Рік тому +1

    Hizi ni story za kutungwa

  • @rizikirimoy9485
    @rizikirimoy9485 Рік тому

    naomba story kuhusu kuanguka kwa utawala wa roman empire na sababu kubwa ni ipi

  • @jolikili3104
    @jolikili3104 Рік тому

    Amen

  • @agustinejeremiah6
    @agustinejeremiah6 Рік тому

    Vp kuhusu dini ni nini wap na kwel ni ipi

  • @salimuismaily693
    @salimuismaily693 Рік тому

    KIUHALISIA HAKUNA BINADAMU AMBAYE ATAFIKIA UWEZO WA KUJUA UMBILE LA MUNGU AU KULIONA AU KUSIKIA SAUTI BALI TUNAMJUA MUNGU KWA KAZI ZAKE ANAZOFANYA NA MAMBO YAKE ALIYOYAFANYA

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому

    Mungu ni maji nakubaliana na wewe...India kuna temple yenye maji moto yanayochemka wahindi humia kama moto kupika chakula na kinaiva.Wali unaiva kabisa na hata utafikiri walijengaje hiyo temple kwenye huo mto wenye maji yanayochemka.ndipo utaamini Mungu ni maji.

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 Рік тому

    Subhanallah

  • @yaledpeter6584
    @yaledpeter6584 Рік тому

    Maneno ulioandika ayaendani namaelezo yako mala maji mala udogo

  • @eliasmussa-z2r
    @eliasmussa-z2r Рік тому

    mungu yupo 😂❤

  • @nurufidel-lp6wj
    @nurufidel-lp6wj Рік тому +2

    Kam unasema hewa inatokana na maji mbona ulimwengu mars hakuna maji na piko hewa

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Рік тому

      Kamaanisha oxygen

    • @unitedkingdomsofafrica1889
      @unitedkingdomsofafrica1889 Рік тому +1

      Is their temperature???😂

    • @masanja9256
      @masanja9256 Рік тому

      Weee kiumbe gani anaishi kule!

    • @shirrangimedia4570
      @shirrangimedia4570 Рік тому

      We we na unakua kama hukusoma dunia ndio sayari pekee inayozalisha hewa safi kulikozote ndio maana mungu alituweka humu anajua jinsi alivuo tuumba ndio maana huko Mars hewa iko lakini haijitosherez kumuhudumia mwanadamu nausipovaaa kifaaa chahewa hutachukua muda utadhurika lakin dunian mambo bull bull hewayakutosha

  • @faisalyahya7186
    @faisalyahya7186 Рік тому

    Sasa twende kazii

  • @MulazsaideSaide-my9vj
    @MulazsaideSaide-my9vj Рік тому

    Good

    • @joachimmassimba3863
      @joachimmassimba3863 Рік тому

      Ukisema hakuna TUJUALO unawajumlisha watu wengi,
      Kama wewe huna ujualo sema... HAKUNA NINALOJUA

  • @raston4gkalonda821
    @raston4gkalonda821 Рік тому +1

    Mungu ni wewe hapo
    Binadamu tumetengenezwa na vitu vinne
    Maji
    Hewa
    Moto
    Udongo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👊.

  • @peterkerry5654
    @peterkerry5654 Рік тому

    Nahitajii kufahamu yesu ni nani ? Maana mpka sasa sijapata jibu sahihi

  • @salimabdallah6405
    @salimabdallah6405 Рік тому

    𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 𝙢𝙠𝙪𝙪

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 Рік тому +1

    Imani si kuwa na mashaka wewe acha kuharibu, imani ni kuamini 100% ya kile ulichokikusudia

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Рік тому

    Ukafiri mtupu

  • @BONGOFASTA
    @BONGOFASTA  Рік тому

    NIMEJIBU MASWALI YALIYOTOKANA KWENYE VIDEO HII, TAZAMA HAPA ua-cam.com/video/yAb7TwNu75U/v-deo.html

  • @twahamdoe5730
    @twahamdoe5730 Рік тому

    Og