IMEJULIKANA! MAMBO YA KUSHANGAZA WANAYOONA WANAOKATA ROHO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 Рік тому +54

    M/mungu amesema katika vitabu vyake kwamba hakuna kiumbe katika viumbe vyake vyote aliowaumba mwenye ELIMU na roho isipokuwa Kwa uchache tu, ELIMU yenyewe ya uchache ndio hii tunayozaniazania hii, na hakuna atakaejua ELIMU ya roho wala kifo mpaka kiama, hiyo ELIMU M/mungu aliifanya ni kama Siri miongoni mwa Siri zake kubwa kwahiyo si rahisi mtu kujua ELIMU ya roho au kifo kindakindaki.

    • @rukaiya86
      @rukaiya86 Рік тому +2

      Kweli kabisa wasitudanganye apa😏

    • @ommyomar907
      @ommyomar907 Рік тому +2

      Jamaa ni kma ameishiwa na story hajui anachokiongea

    • @ommyomar907
      @ommyomar907 Рік тому +1

      Upuuzi

    • @ustadhzaydonline
      @ustadhzaydonline Рік тому +1

      Elimu ya robo mungu amewapa manabii wake ukisema kuwa mungu hajampa mwanadamu elimu hiyo ni makosa sana kwenye Surah Israa waliokuwa wanaambiwa kuwa nyinyi hamkupewa elimu ila kidogo wanaambiwa mayahudi na sio Mtume Swala Allahu Alayhi Wa sallaam
      Elimu ya Roho ndio elimu ya Tawheed ( Imani ) Ambayo mungu kaishusha kwa manbii na kwa waja wake alio wataka kisha manabii na hao watu wametufunza sisi so acha kumzulia mungu uongo kama hauna ufahamu mkubwa omba kujifunza

    • @mkarawizemtasher4897
      @mkarawizemtasher4897 Рік тому +2

      @@ustadhzaydonline unatafuta kujulikana!? bhasi umejulikana Ustadh.

  • @ains1122
    @ains1122 Рік тому

    Munatudanganya Sana waongo ili kupata hela za kipuuzi, mungu ameshasema ilmu ya roho iko kwake tuu, musitudanganye waovu nyinyi

  • @khadhratkhan
    @khadhratkhan Рік тому +2

    Subhanallah... Hiyo ni cr ya Allah pekee tusimuingilie ktk kaz yake

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Рік тому +2

    Anaejuwa ni mungu tu na anaekufa

  • @mohamedalidarabunyange4879
    @mohamedalidarabunyange4879 Рік тому +1

    Akuna yoyo te anaejua kusu Roho ispokua Allah mungu mwenyewe .. ukichukuza kusu Roho ,. Utaa jikutaaa unafanya shirik ndugu yangu ...

  • @allyhassanabdallah4295
    @allyhassanabdallah4295 Рік тому +4

    Subir afarik yeye justin ndo atajua nini ataona hii ni elimu ya ghib asikushuhulishen huyu

  • @safisalama-df2sz
    @safisalama-df2sz Рік тому +5

    La vraie connaissance c'est Dieu qui la détient, nous les humains nous avons juste d'imagination, donc chacun peut penser de sa façon mais la vraie réponse c'est Dieu seul

  • @seifabdallah6872
    @seifabdallah6872 Рік тому +4

    Tusifikie hatua tukakufuru jaman

  • @kingsmartamani5670
    @kingsmartamani5670 Рік тому +3

    Tende kazi Burundi tuna wa sikiliza sana

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu Рік тому

    .......jua jinsa yakutumia nunta pacha ndio utajua nini mana ya hiyo ishu ya kifo 🙏

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Рік тому +6

    Anaejua tu Ni aliekufa mwenyewe 🤣🤣 hayo maswala ya "near death experience" Ni kupgwa na kitu kizito

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 Рік тому +1

    Jamani ndio Mimi ndio Justine Shed sasa twende kazi

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +1

    Haya ni yakutafalika ila ukweli sahih anayekuf ndio anajuw anachokion na kinabk kuwa sir yake na Muumba

  • @franciscassian
    @franciscassian Рік тому +2

    Astral projection unaizungumziaje

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 Рік тому

    Kwa hapa Leo sikuungi mkono rfk yangu umeingilia kazi ya roho na uumbaji wa MUNGU na ukuu wake kiufupi usituaminishe vitu vya kufikirika wakati mwenye uhakika hayupo labda kama ulishawahi kufa ukarudi hapo nitakubali

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Рік тому +6

    Huu ni uongo tu. Kifo hakuna anayeweza kukijua na kukisimulia maana huwezi kufa na ukarejea tena,kifo hakina cha mwanasayansi wala mtumishi wa MUNGU wala mganga anayeweza kukijua kifo, usije ukashusha hadhi yako Kwa kuleta story za uongo

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 Рік тому

    Twende kazi

  • @josephmkuar7133
    @josephmkuar7133 Рік тому +2

    Hahaha sio kwel kifo kigumu kaka...

  • @siruuumoha
    @siruuumoha Рік тому +3

    Great story

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 Рік тому

    thanks bro sasa tuende kazii

  • @chrisonbwanasua4007
    @chrisonbwanasua4007 Рік тому

    Akose ni ukweli kidogo

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 Рік тому +1

    Hata mimi niliwahi kata roho nikarudishwa na malaika roho mtaktifu alinisaidia

    • @SEGGOTV
      @SEGGOTV Рік тому

      Ebu jishkirie basi daaa mtu mzima kuongea utoto haupendez😂😂😂😂

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому +1

      Hawamjui YESU KRISTO, hawana ROHO MTAKATIFU ndo maana wanapata shida

    • @josephinechaildofgod5371
      @josephinechaildofgod5371 Рік тому

      @@Churchofecclesia kabisha my brother watapta tabu sana

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 Рік тому

    Hiyo ni kweli

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 Рік тому +2

    Quran iko wazi kuhus kifo

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 Рік тому

    Waongo awa jamaa ili mladi to usikilize uwaingizie ela

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 Рік тому +1

    Hapo kwenye kitu kizito nimecheka 😂😂😂

  • @allyfaraji
    @allyfaraji Рік тому

    Wa kwanza tena

  • @shaabansheikhan3133
    @shaabansheikhan3133 Рік тому

    MIMI NILiONA CHENGA TUU KWA KWELI

  • @emmanuelsitta1618
    @emmanuelsitta1618 Рік тому

    NImeipenda hiyo

  • @jordancraz6195
    @jordancraz6195 Рік тому

    Wa kwanza

  • @andersonmberi7672
    @andersonmberi7672 Рік тому +1

    Leo sioni tukienda kazi coz ni uongo tu

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Рік тому

    Hiyo movie aliyoitaja insitwaje?

  • @stumaimgaya8799
    @stumaimgaya8799 Рік тому

    1

  • @jumakhaji1620
    @jumakhaji1620 Рік тому

    Mimi nimeona kizaa tu sijaona chochote

    • @abdull7098
      @abdull7098 Рік тому

      Nachotaka kumwambia hao wanasayansi hawana dini wala Hawamini kama kama Kuna Mungu

  • @henryminja3145
    @henryminja3145 Рік тому +1

    Nlipo kata mbna skuona ivo mm

  • @mussahussein268
    @mussahussein268 Рік тому

    UWONGO MTUPU

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @nyokaroadtv5828
    @nyokaroadtv5828 Рік тому

    Apo kwenye ktu kizto panachekesha 😂😂😂

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 Рік тому

    Unaona unapita ndan ya tanuri Tena kwa harakat sana na Kuna mwanga na mwanga una rang nying,na unawaskia watu wakiongea lakin wewe ukiongea hawakuskii,

  • @adrianbloodjesus6067
    @adrianbloodjesus6067 Рік тому

    wakristo huona Yesu kristo na malaika,
    Waislam huona mashetani

  • @alisalim9915
    @alisalim9915 Рік тому +1

    Acha upuzi kwa kutafuta views. Kukaribia kifo si kufa maana huezi kutana malaika mtoa roho siku si yako. Na wala haijatokea kutokea kuja kwa bahati mbaya.

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 Рік тому +7

    Quran iko wazi kuhus kifo