Number 5 here we go!... nimejikuta baba ni kweli kabisaaaa hamna kitu umeniruka napenda sana kutangaza na nilisomea pia .... imagine mimi ni kiongozi na nafanya biashara pia napenda kusaidia sana Watu wengine!.... wapi like zetu number 5!....❤❤❤
Mungu wangu weee kaka namba 2 zoote nimimi kabisaa huruma nakazi ushairi ualimu Mimi ni Councellor (mshauri) nanimekuwa mpatanishi sana nakiukweli nimekuwa nikipenda uandishi ualimu utangazaji na shughuli zote zinazohusisha kuzungumza uwiii u surprise me aiseee
Nakupongeza sana kwa kai nzuri,naomba unifafanulie move ya foteseven Robin kutoka Japan je ni kiasa hicho ni cha kweli? Na pia movie za jems bond, ni movie za kufikirika tu au ni za kweli? Nitashukuru sana,naitwa Rebekah sasa kwenda kazi!!!
mimi ni nambari 5 napendaa zaidiiii kuishi mahali tulivu na kuchukia m2 ni nadraaa ila ukiniuudhi hatuwezi elewana hata kidogo pia niko na msimamo Ajabuu hadi wazazi uaamini ninachofanya kwa makiniiii😂😂😂😂😮😮
Nyota na tarehe za kuzaliwa na mambo kama hayo yatakusaidia nini bongo hii bila kukomaaa hutoboi mzee utaishia kujipa moyo tu lakin bila mikazo mbona kesho tu ni mke wa mtu budah
Kutokujua Life Path yako ndiyo maana unajikuta unatumia nguvu Bahari matokeo kidimbwi nakuna wengine wanaojua nguvu kidimbwi matokeo Bahari kuwa don't work hard work smart
Hakuna aliyeumbwa na Ubaya, kila mtu Mungu kampa Ubora wa kipekee kwenye eneo fulani. Ukienda against na Ubora wako ndo unajikuta unaforce kufanya ya wengine then unaishia pabaya
wa kwanza sasa tuende kazii
KAZI INAENDELEA
Achana na mambo ya kuwa wakwanza hatupo shule ya upili hapa taja namba yako ni ipi hapo tukujue venye uko.
Achana na mambo ya kuwa wakwanza hatupo shule ya upili hapa taja namba yako ni ipi hapo tukujue venye uko.
@@user-ot2io4cy6wni beleke shule ndio ni jue namba yangu
@@BONGOFASTA mimi namba yang ni 4
Number 5 here we go!... nimejikuta baba ni kweli kabisaaaa hamna kitu umeniruka napenda sana kutangaza na nilisomea pia .... imagine mimi ni kiongozi na nafanya biashara pia napenda kusaidia sana Watu wengine!....
wapi like zetu number 5!....❤❤❤
❤❤❤
Mzee baba niambie Mimi nipo kundi namba ngapi Mana nimeshindwa kuelewa hp 1/1/1992
Namba 5 ni yako@@RASHIDSHOMARI-bj4og
Number 3 hapa tujuane na Ubunifu wetu🤸🏼♂🤸🏼♂🤸🏼♂
Tupo
Tupo
❤
No 3 tupo p1
Nilikua naitafuta sana hii video umetisha sana mwamba👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🫡 life path number 4 ngonga like👍🏻
Pamoja san wana
Namba moja tujuane sasa twende kazi tunapenda kufikia malengo , kuchunguza hakili zawengine, kuwa wamanager , kupambana na malengo business
😂😂😂 tupooooo
Namba 9 tukutane hapa kwa like 👍
Duh uhakika
😮alijuaje
Nimekubari
9
Kwer dah!🎉
vyema sana umechambua zaidi ata ya nilivyo dhani thanks mimi ni namba 9 life path am cowboytz 🤠
Sijaelewa inamaanisha
No moja 1 twende kazi👋👋👋
❤
❤
Mungu wangu weee kaka namba 2 zoote nimimi kabisaa huruma nakazi ushairi ualimu Mimi ni Councellor (mshauri) nanimekuwa mpatanishi sana nakiukweli nimekuwa nikipenda uandishi ualimu utangazaji na shughuli zote zinazohusisha kuzungumza uwiii u surprise me aiseee
Namb 7 tukutane like
Nazan yangu 7
Mimi ni mwalim Haki ya Mungu ni namba 2 na ninapenda usawa na haki
Pamoja
Namimi n namba 2
Wanangu namba 8 tukutane apa kwa like
Na mimi kama wanao adi mume wangu pia 8
Ata Mimi ukuu MOZAMBIQUE daa ni namba 8
Namba 8 hapa
Namba yangu ni (4)
Ila mm Sija Amin iyo 8. Nais 7 ndo Kam nilivy mim😢
Mamba 7 tukutane like❤
Sure nmepata namba 1.. 🤝
Unaweza sana mzee wangu tunakupenda sana
number 6 ni kweli kabisa
6
Number 9 tujuane hapa
Namba nne tujuane kwa kupiga like hapo chini 😁😁
Najiona mimi kabisa kwenye namba 8
Ebwana eeh hii namba 8 pure kbsa
Nakupongeza sana kwa kai nzuri,naomba unifafanulie move ya foteseven Robin kutoka Japan je ni kiasa hicho ni cha kweli? Na pia movie za jems bond, ni movie za kufikirika tu au ni za kweli? Nitashukuru sana,naitwa Rebekah sasa kwenda kazi!!!
Number 8 tujuane,,,,,sasa twende kazi
Tupo mwanangu
Najiona Moja kumbe 7😂😂😂
Hahahaa...Mimi ni namba moja...Mume wangu namba 7 na watoto wetu wote wawili namba mbili...Asantee sana
Umetisha Broo
No 7
Nipo
Number 6 tujuane hapa
Yaan namba 6 amepatia kweli
Namba 1 ni Mimi kabisaaa.
Namba 9 ni Mama yangu kabisaaa.
✊✊✊
namba 3 like za kutosha 😅👍
Du ahsante sana kipindi kiendelee maisha marefu
Namba 9✊➳
Namba tisa
Namba 9
Namba nne hapa aisee jama inajua sana
Namba 8 naomba mnifate
Kiongozi apa Waziri mkuu mtarajiwa No 1🎉
7 ni mimi kabisa yani na nimegundua ukubwa huu
Asanteeee San mungu akubariki San
Nambari saba njooni hapa
Hii ni kweli
Tupo
Namber 1 twende kazi
Mimi ni namba 5 ila kuna mengine umesema ni kweli na mengine sifanani nayo kabisa na kazi ninazo fanya
Wewe utakuwa unavuta bangi ndio maana vingine kwako havipo😅😅
mimi ni nambari 5
napendaa zaidiiii kuishi mahali tulivu na kuchukia m2 ni nadraaa ila ukiniuudhi hatuwezi elewana hata kidogo pia niko na msimamo Ajabuu hadi wazazi uaamini ninachofanya kwa makiniiii😂😂😂😂😮😮
Number 3 uhakika twende kazi
Nimepata no#9
Wazungu woote ni namba 9😅
Mashallha namba 9
Namba 4 apa
Oyah ndio sisi. Critical thinkers
Mimi n Albert Einstein Sasa twende kazi
duuuh namba yangu na mambo yangu ni kweliii kabisa
ii habari iludie kwa ufasaha mfano sisi wa tarehe 27 march 1996 namba 10 inakuja na umeishia namba 9
Hyo ni namba 1 chukua 1+0=1
Maana namba inatakiwa ibaki moja pekee
Wewe ni kiongozi
Namba 5 tujuane hapa,Yani kweli kabisa ndivyo nilivyo na namba yangu
Habari,nimejumlisha Namba nimepata 10 hii imekaaje
1
Iyo ni 1+0=1
Wa kwanza naomba like za nguvu
sawa kaka shedi nitafutie giants naomba dondoo
9 4life mayere suarez rewandosk haaland nk
Sasa twende kaz 🔥🔥🔥 ni kwel kabis nimejiona na6
Safi sana
PAMOJA SANA HENRY LUGENDO
Aaah kudadeki hii imeenda namba7
Namba 7 twende kazi
Duh December ni real me kabisa hujakosea kabisa😂❤
Ume Tisha ❤❤❤❤
Mbn ni kweli @7
Hiii ni kwel mana najiona kwenye 8 alafu nina fit😂❤
Ukiona SI kweli,basi hajazaliwa tar hiyo..maana Kuna watu wameficha umri
@@marthajeremiah kwel🫡kabisa
Hahahahahah Mimi kabisa
Mimi apa no 8 yani ni very true 💯✍️
Nnimepata namba 2 Maelezo yote uliyoongea ni kweli kabisa*Kuna watu wazima wanakuja kuniomba Ushauri na unawaletea matumda
Namba 9 tujuane😁😁
Nyota na tarehe za kuzaliwa na mambo kama hayo yatakusaidia nini bongo hii bila kukomaaa hutoboi mzee utaishia kujipa moyo tu lakin bila mikazo mbona kesho tu ni mke wa mtu budah
Kutokujua Life Path yako ndiyo maana unajikuta unatumia nguvu Bahari matokeo kidimbwi nakuna wengine wanaojua nguvu kidimbwi matokeo Bahari kuwa don't work hard work smart
Namba 3 gonga like twende sambamba
Mungu wangu na 7 yan ni mimi kbsa
9 god bless you
Mi namba 6 ni kweli uliyosema
Mimi ni number 7
Mimi ni namba 9
kilicho ntokea nikwamba hesabu yangu...imenipa....29,,2+9,,=11,,je nifanyaje...au mm ndo...nisubir miujiza
Chukua hyo 11 yaan iwe 1+1 maana me nilivyoelewa namba inatakiwa ibaki moja pekee
Pia mm nimeelewa hivyo 11 = 1+1 =1 ni sawa na mimi
@@baloz8974 Hyo 11 ni hv 1+1=2 ndyo namba yake hapo
37-3+7=10
Nimepata namba 9
Yaani sijui siku zote ulikua wapi yaani hujakosea 1 napenda sana biashara
Na mimi ni namba 1 nifanyie nin
shed wew ni mwalimu ulisahaulika mtaani ungetakiwa uwe shule na wanafunzi lazima wangeelew2
Amen Amen
Number 9 nimekwama hapo kwa mganga😅😂😂😂
Number 8 hapa
Kweli kabisa namba yangu imeeleza wazi nilivyo jamani asante kwa somo zuri
2 😊😊😊
Namba 9 moja hiyo Mr unatisha
No 5 ni kwel kbsa jmn mm😃😃😃
Hapo nimeshindwa kuelewa nimezaliwa tarehe 29/9/1999 hesabu yake nimeshindwa kuelewa msaada
Wewe ni nambari 2
Wee namba 3mbunifu
Vijana pigen kaz mm occupation yangu tofaut na mpunga mnene napiga
The 1
nmepata namba 3
😂 Sina sifa hata mojA
😂😂😂 Namba yako ngapi?
Asante sana
Namba1
Namba 2 yaani umenipatia mimi ni Mwalimu
Mimi nimber saba
Mamba 2
Namba 2
Namba moj (1) tukutane hapa tujadili haya yanayo semwa tunayo!!!
Mm no 9
Kama umegundua Justshed ni namba tano gonga like hapa
Asante Sana 🙏🙏🙏
Namba mbili tunujuwane Kwa like tusishindwe
Namba 1 nimepata
Wow ili somo zur saan je vipi kuhusu wa namba kumi
Kumi ni moja
Mie nimepata number 6
Bro hapa duniani kumejaa watu w tibia mbaya nyingi sn ( ila nasikitika kuona sikuona namba ya watu w tabia mbaya)
You're right dear
Hakuna aliyeumbwa na Ubaya, kila mtu Mungu kampa Ubora wa kipekee kwenye eneo fulani. Ukienda against na Ubora wako ndo unajikuta unaforce kufanya ya wengine then unaishia pabaya
Mimi namba yangu ni 4