Asante kwa ushauri wa biashara lakini nyingine ni ngumu kuzifanya kwa Tanzania yetu maana yanahitaji connection kwa mfano tender ya chakula au usafi ,utakuta zina wenyewe kampuni moja au mtu moja anarundikiwa kazi nyingi kwa sababu tu wana connection. Kupata hizo biashara bila mtu wa kati siyo rahisi kihivyo.
Mi nitaanza naadera barikiwa sana
Mi nimependa hii ya day care
Asante kwa ushauri wa biashara lakini nyingine ni ngumu kuzifanya kwa Tanzania yetu maana yanahitaji connection kwa mfano tender ya chakula au usafi ,utakuta zina wenyewe kampuni moja au mtu moja anarundikiwa kazi nyingi kwa sababu tu wana connection. Kupata hizo biashara bila mtu wa kati siyo rahisi kihivyo.
Asante sana kaka yangu sisi wote ni watoto wa Samia thanks God bless you
asante sana
Shukrani
karibu
Mungu akubariki sana, usichoke kutupa madini📌📌📌
amina. asante sana
Mm nataman kutengeneza content ila sjui jinsi ya kutengeneza
Asante sana Kaka kwa Nondo Mungu zaidi kukuweka
Amina. Asante sana Martha
Ahsante sana kwa nondo hizo bro! Tunazifanyia kazi,ubarikiwe
shukrani
Ahsante san bro❤
Uwingaa oyeeee😂😂naipenda sana
Naam. 😊😊
Kk mm napenda biashara ya mikoba lakini cjui jinsi ya kuanza
tafuta chimbo uanze kupost au kuuza dukani
@kelvinkibenje napataj chimbo msaada tafadhal
Juice na matunda🎉
Blessed sir
Asante kaka🙏
🙏🙏
Asantee👏
UWINGA👏 Najikongoja😊
Safii
Day care
Mm napenda kupika kwaoda nisaidie
Asante sana
🙏 🙏
Mimi naomba uni mark nitakuja nifanye testmony kubwa kwako🔥🔥
December lazma nilipie darasa
Kupika kwa deliver
Asante
Ahsante sana kWa mawazo mazuri ya Biashara
Asante sana 🙏 🙏
nmeelewa biashara ya juice naomba maelekezo zaidi
anza,ingia masokoni tafuta matunda na brenda anza. uza kwa oda, maofisini, kibandani,
Yaani mie ni ndoto yangu kuwa mama ntilie wa kishua, yaani hiyo ya deliver napenda sana na kuuza mikoba
nzuri sana
Kaka Mimi nimeupenda sana kazi ya kuuza mikoba ya akina dada naomba unisaidie jinsi ya kuana na chimbo lake pia
chimbo mikoba lipo kwa mchina wa kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu
Juice na matunda
Mimi natpenda biashara ya vinywaji baridi ila kama ntitajaaliwa nitaifaniyia mkoani nomba ushauli
Kaka mm nimependa biashara ya oda ya chakula naomba unipe connect plz
Umeshaanza?
Ahsante sana kaka! Mwenyezi Mungu akubariki sana🙏
Amina
Nahitaji chimbo la viatu vya watoto mchnganyiko boys and girls, pamoja na chimbo la toys
Kufungua kampuni ya usafi msaada tafadhari
Kaka mm naomba uniunganishe kwenye vyakula vya oda
Safi. Nikirudi
Sawa nitashukuru sana kaka
Content creation nimeanza
safi sana ,iko vizuri sanaaaa
Niagize kariakoo ila nahitaji kujua machimbo
kama uko dar inawezekana sana
Biashara ya matoi ya watoto na urembo au mapochi
Kaka mimi nipo kijijini nataka kufungua chimbo la bei ya jumla, msaada plz
Chimbo la bidhaa gani?
Kuuza matunda na juice
kama uko Dar ni best mno sababu ya misimu mingi ya joto
mimi nataka kufanya biashara ya urembo…!
iko vizuri, pia ukiwa vizuri mtandaoni unajitangaza mwenyewe
Vipodozi na urembo
Nataka kuanzisha ila bado sijui soko lipo wapi
Kariakoo,msimbazi A&B
Kariakoo,msimbazi A&B
Soko la kununua au la kuuza?
Biashara ya pochi na urembo
Nahitaji namba zako za WhatsApp
Kaka Mimi nimeipenda sana kazi ya kuuza pochi na mikoba ya akina dada naomba unisaidie jinsi ya kuana na chimbo lake pia