ONGEZA KIPATO KWA KUFANYA BIASHARA HIZI 5 ZITAKAZOKULIPA VIZURI KWA MTAJI WA KUANZIA ELFU 50 TU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Kununua Vitabu vyangu vya Ushauri wa Maisha
    1. Thubutu Kufanikiwa - 10,000
    2. Mwanamke wa Thamani - 10,000
    3. Siri za Kuishi Maisha ya Furaha - 15,000
    Piga simu namba 0687786576.

КОМЕНТАРІ • 399

  • @SELINAANNAN-vq2ff
    @SELINAANNAN-vq2ff 3 місяці тому +2

    Thanks,Mungu akubariki kwa elimu kwa uma. Keep on doing it!

  • @luckiestmeckson2222
    @luckiestmeckson2222 Рік тому +8

    Thanks so much kwakunifungulia dunia kwa mawazo konki kabisa kilicho baki ni kazikwangu kuchukua hatua yani ni Mungu tu nilikua napita tu youtube sahivi ndiyo nikaona hili somo japo ulifundisha siku nyingi miezi 7 imepita Ila sihaba nimepata kitu ubarikiwe mno dada angu yani mh sijui nisemaje kwakweli be blessed indeed

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Рік тому +1

      Amina mpendwa. Ubarikiwe pia na Mwenyezi Mungu akufanikishe katika mipango yako.

    • @CosmasMlelwa
      @CosmasMlelwa Місяць тому

      Dada ubarikiwe sana kwa ubunifu wako na maarifa yako

  • @NgoloJoseph
    @NgoloJoseph 8 місяців тому +1

    Asante sana nimejifunza sasa nikuingia kwenye utekelezaji tu barikiwa sana mama

  • @gadyjamohamed1350
    @gadyjamohamed1350 11 місяців тому +1

    Asante sana dadangu nmejifunza kitu kwa kupitia maelezo yako barkiwa sana🎉

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 місяців тому

      Amina, asante sana ubarikiwe pia 🙏🏾

  • @SuzanLeonardMoleli
    @SuzanLeonardMoleli 8 місяців тому +1

    Mungu akutunze dada SoMo lako nizur naomba unifundishe jinsi yakutumia mtandao kibiashara❤

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua 10 місяців тому +1

    Asante sana dada kwa yshUri wake nitaufNuia kszi

  • @nassoroally8473
    @nassoroally8473 Місяць тому +2

    Umeongea vizuri sana mama💕 asante sana

  • @AbigailSamson-x3d
    @AbigailSamson-x3d 8 місяців тому +3

    Umenitia moyo sana dada angu nataman kuelekezwa jinsi ya kutumia mtandao kupost biashara msaada jamn

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 місяців тому +2

      La kwanza, ujue unataka kuwa unapost nini hasa au bidhaa gani, kisha unaweka maelezo ya bidhaa yako, mahali inapopatikana, bei na mawasiliano yako. Ni muhimu uwe unapost kila siku na kubuni njia za kutengeneza maudhui yatakayovutia wateja wako.

  • @makrinamgombela1138
    @makrinamgombela1138 Рік тому +2

    Nimekupenda sana kwa utoaji wa Elimu hiyo nzuri..

  • @LovelyOutdoors-wd5nh
    @LovelyOutdoors-wd5nh 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe dada nimependa ushauri wako,umeongea kweli

  • @upendokasumani8384
    @upendokasumani8384 Рік тому +3

    Asante sana umenifungua na umenipa nguvu

  • @SophiaKavisheSOPHYSTAN
    @SophiaKavisheSOPHYSTAN 6 місяців тому +1

    Asante sana dada mungu akubariki nimejifu za kitu

  • @shijagalula9744
    @shijagalula9744 8 місяців тому +1

    Asante Kwa ushauli wako mzur❤❤

  • @SityLuu
    @SityLuu 2 місяці тому +1

    Asante dada kwa SoMo zuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 місяці тому

      @@SityLuu Karibu sana. Unaweza pia kupata Vitabu vyenye mafunzo mbalimbali ambayo yatakusaidia kujipatia maendeleo 0687786576.

  • @atupakisyekyando890
    @atupakisyekyando890 3 місяці тому +1

    Asante dada nimekuelewa sana

  • @kabayesankula7895
    @kabayesankula7895 7 місяців тому +1

    Asante Sana ume nifundisha kitu hapo nime kuelewa

  • @IsmailMchimani-hm8fy
    @IsmailMchimani-hm8fy 4 місяці тому +1

    Asante dada vp kuhus biashar ya vikapu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 місяці тому

      Ni nzuri tu mpendwa hasa ukizingatia sasa hivi matumizi ya mifuko ya plastic hayaruhusiwi.

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 Рік тому +4

    Nimekuelewa sana mamaangu kipenzi Naomba uendelee kutupa seminar usichoke tafadhali.

  • @FredyEric
    @FredyEric 10 місяців тому +1

    Asante Sana mama waeleweshe

  • @GraceManase-dm9bf
    @GraceManase-dm9bf Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mpendwa kwa kutuelim8sha

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl Рік тому +1

    Asante kwa elim ya biashsra

  • @EmmanuelChinguile-t7x
    @EmmanuelChinguile-t7x 2 місяці тому +1

    Asante Kwa ushauri dada

  • @zawadithomas1008
    @zawadithomas1008 Рік тому +1

    thanks so much mom nmeamua kitu sasa

  • @chrispinokiteve3527
    @chrispinokiteve3527 11 місяців тому +2

    Elimu nzuri sana tafadhari mimi nimependa hasa kipengere Cha mitumba na matangazo ya biashara kupitia mtandao. So naomba kujua namna gani naweza kupata faida kupitia matangazo ya kibiashara hasa ktk kutangaza biashara ya mtu mwingine?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 місяців тому

      Asante nashukuru, matangazo ya watu wengine wanakulipa kuwatangazia biashara zao.

  • @berttha847
    @berttha847 Рік тому +1

    Asante sana. Inaelimisha sana

  • @abiamasinde-dr1xp
    @abiamasinde-dr1xp Рік тому +1

    Ahsante sana dada Kwa elimu hii

  • @LovenessFedrick-cy9fh
    @LovenessFedrick-cy9fh 9 місяців тому +1

    Thanks dear ❤

  • @Saumbish1606
    @Saumbish1606 10 місяців тому +1

    Shukran dada❤

  • @Neemaa098-yf9os
    @Neemaa098-yf9os 2 місяці тому +1

    Asante sana

  • @TatuKatabanya-re5qq
    @TatuKatabanya-re5qq Рік тому +1

    Asante sana dada

  • @marysway865
    @marysway865 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe dada ❤

  • @YongVanny-p2x
    @YongVanny-p2x Місяць тому +1

    Asant San mung akubarik saaan

  • @zubbedatt2771
    @zubbedatt2771 Рік тому +4

    Asant dada yangu kwa kutupa uwa kuhusu mahisha sijuw niseme nini bari mungu akuzidishiy Baraka

  • @bintrashid6967
    @bintrashid6967 Рік тому +12

    Niko kenya dada nimependa sana maelezo yako mungu akubariki

  • @EsterSamweli-h1n
    @EsterSamweli-h1n Місяць тому +1

    asnteee mama angu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Місяць тому

      @@EsterSamweli-h1n karibu dear ❤️

    • @AminaMngaziga
      @AminaMngaziga 9 днів тому

      Dada nimeona komenti zawatu wewe mkuru gezi wasame sijajua samemashariki au nmependa ushauri wako❤

  • @HuseniJuma-p5y
    @HuseniJuma-p5y 10 місяців тому +1

    Lovely

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 Рік тому +3

    nimependa point ya chakula

  • @RachelMwakitalu-db2vj
    @RachelMwakitalu-db2vj Рік тому +4

    Penda sana dada asante kwa elimu yako

  • @MIBWA
    @MIBWA Рік тому +1

    Asante

  • @JacklineKamugisha
    @JacklineKamugisha 9 місяців тому +1

    ❤❤

  • @estherleonard
    @estherleonard Рік тому +2

    Barikiwa Anna

  • @KinyagaMaggie-y2k
    @KinyagaMaggie-y2k Місяць тому

    Safiiii goood canceling

  • @fortunatamgetu7878
    @fortunatamgetu7878 6 місяців тому +1

    Dada me namtaji wa elfu 700000 natamani kuuza pochi naomba nishauli

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 місяців тому

      Jiunge na Darasa langu la namna ya kuagiza bidhaa China kwa Ada ya elfu 30 tu ili uweze kuagiza mwenyewe na kuanza biashara yako. Namba yangu 0687786576.

  • @priscapaulpaul6254
    @priscapaulpaul6254 Рік тому +1

    MUNGU akutunze mamy usiache kutufundisha

  • @OmaryMayeye
    @OmaryMayeye Місяць тому +1

    Nisaidie namb yako dad

  • @abdulsalamaimpfurayabavyey6367

    Dada mimi niko burundi ila nimependa sana

  • @AviraPaulo
    @AviraPaulo 11 місяців тому +1

    ❤🎉

  • @GiselaNdanzi-vl3ml
    @GiselaNdanzi-vl3ml 6 місяців тому +1

    Ubalikiwe kwasomo zuli

  • @elizabethkambi5221
    @elizabethkambi5221 Рік тому +1

    TUKO pamoja

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 Рік тому +6

    ❤❤🙏

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 Рік тому +1

    Dada mm mtaji wangu 1200000 napenda sana piashara ya pafumes naomba ushauri wako jinsi ya kuifanya

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Рік тому +1

      Mtaji mkubwa sana huo. Karibu nikufundishe namna ya kuagiza perfume kutoka viwandani China na jinsi ya kusafirisha. Utalipia Ada ya elfu 25 na Kitabu changu kinachoelekeza mambo haya bure.

    • @musamkembela1395
      @musamkembela1395 Рік тому

      @@annaclaireshija sawa

  • @simionthomas-wd5qr
    @simionthomas-wd5qr Рік тому +1

    Penda sana video yako

  • @fettyjuma6674
    @fettyjuma6674 6 місяців тому +1

    Hbar mi mfanya biashara nauza duka la rejareja lakini kila kukicha msingi wangu unakata nifanye nin ili niweze kufanikiwa

  • @fatumaismaili1267
    @fatumaismaili1267 9 місяців тому +1

    ❤❤

  • @tobiasokwa2525
    @tobiasokwa2525 Рік тому +9

    Hamjambo,
    Mimi kikweli nipo ulaya na mtaji wangu sio mdogo, naona ki kweli nipo na uwezo mkubwa. Nahitaji kufanya Biashara ya REAL ESTATE TANZANIA ila sijui nianziye wapi...
    Naomba sana usaidizi...
    Shukran

    • @King_David2.
      @King_David2. Рік тому

      😅

    • @victormagafu7652
      @victormagafu7652 10 місяців тому +2

      tuwasiliane niko tarime Mara kwa rel estate hapa ardhi ipo na kilimo cha mahindi misimu miwili na soko zuri kwa nchi ya Kenya na South Sudan
      Ujenzi wa nyumba na kupangisha au kuuza soko lipo tuko mpakani soko lipo
      vile vile ununuzi wa dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo waliowengi hapa

    • @fredrickmutabilwa8269
      @fredrickmutabilwa8269 9 місяців тому +2

      Mzee karibu Tz sisi tupo Mzee uwezo na uhaminifu ktk Biashara ninao na najihamini kwa Hilo japo Sina wakunibusti tuwasiliane napatikana Tanzania Bukoba Kagera

    • @fredrickmutabilwa8269
      @fredrickmutabilwa8269 9 місяців тому

      Aridhi ya kilimo Cha parachichi ninayo karibu Sana

    • @HazlaKisungu
      @HazlaKisungu Місяць тому

      Napenda kufanya biashara ila Sina msiñgi

  • @NeliaAmbele
    @NeliaAmbele 5 днів тому +1

    Dada ubalikiwe sana kwa somo zur.mim nilikuwa naomba unisaidie kitu mim nimeajiliwa duka la vinywaj jumla.naenda kazin saa mbil asubh nalud saa mbil usiku.naomba unisaidie naweza nkafanya biashala gan mpendwa.ambayo inafaa kuanzishwa kwa mtaj waelf 50

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 дні тому

      @@NeliaAmbele Amina dear, karibu tuwasiliane 0687786576.

  • @roseshayo6676
    @roseshayo6676 11 місяців тому +4

    🙏♥️somo nzuri dada ,ubarikiwe! wengi wataelimika na kujikomboa kiuchumi kupitia wewe👏

  • @Zuwenamuhammedy
    @Zuwenamuhammedy 2 місяці тому +2

    Asante dada kwa ushaur mungu akuzidishie kwa kila jambo

  • @shacool9627
    @shacool9627 Рік тому +6

    Mungu akubariki kwa kazi na elimu unayo saidia vijana wenye nia yakutafuta na kujituma kupata kipato halali

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Рік тому

      Amina, ubarikiwe sana.

    • @JedyIsack-ec1kx
      @JedyIsack-ec1kx 8 місяців тому

      Dada nimekuelewa, lakini umezungumzia kwa watu walioko mjini tu, je kwa walioko vijijini?

  • @kofisaidi3756
    @kofisaidi3756 10 місяців тому +3

    Asante sana Mimi nitaanza na mitumba ya akina mama na icessories. Nitatangaza mtandaoni, haviozi nitauza, ubarikiwe

  • @TriviaEliuter
    @TriviaEliuter 9 днів тому +1

    Nashukulu dada maana nilikua nafikilia nini cha kufanya

  • @teddiminja4079
    @teddiminja4079 Рік тому +5

    Asante sana dada Mungu akubariki sana

  • @grasiuschalle3735
    @grasiuschalle3735 Рік тому +4

    Ubarikiwe sana kwa ujumla umetoa somo zuri msingi wa mafanikio nimependa sana somo lako.

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 3 місяці тому

    Watsap mama mbona natuma meseji hunijibuu

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 Рік тому +3

    Mama nimeamua kukusabscraibu

  • @Ipyana-g6d
    @Ipyana-g6d 8 днів тому +1

    Dada nashukur kwa somo zur

  • @ElishaMmari
    @ElishaMmari 4 місяці тому

    Madam nauuliza vp kuhsu biashara ya kuuza mayai maeneo ya chuoni

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 місяці тому

      Kwanini mayai na sio kitu kingine? Yanapendwa sana Chuo au?

    • @ElishaMmari
      @ElishaMmari 4 місяці тому

      @@annaclaireshija ni idea tu ilinijia kichwani kwani kuna malecture na vibanda migahawa inayouza chipsi wanaweza kuorder

  • @AdelinaElias-mm3lm
    @AdelinaElias-mm3lm 9 місяців тому +2

    Nimejifunza kitu Asante

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +3

    Yaan ww Dada una mawazo mazuri ya Ujasiriamali🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @RahmaBeby-i9v
    @RahmaBeby-i9v Місяць тому +1

    Nikwer dada umenikosha apo kwenye kupika dada mungu akubaliki sanaaa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  Місяць тому

      @@RahmaBeby-i9v amina dear ❤️ kila la heri.

  • @janeelias7839
    @janeelias7839 Рік тому +2

    Naomba no yako dada yangu

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 3 місяці тому +1

    Unapatikana wapi dada mimi naitaji izo bidaa

  • @saidomar9845
    @saidomar9845 Місяць тому +1

    Me pia napenda kufanya biashara

  • @agnesjohn5871
    @agnesjohn5871 5 місяців тому +3

    Ubarikiwe sana, Mungu azidi kukutumia kufungua watu kimawazo

  • @benedictampery3275
    @benedictampery3275 9 місяців тому +2

    Asante sana kwa elimu Bure wewe ni wa maana kulikoni wanaojitahidi kusema uongo

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 7 місяців тому +2

    Asante sana dada kwa somo zuri

  • @JosephGhwanga
    @JosephGhwanga 6 місяців тому +1

    Mungu awe pamoja nawe

  • @BhokeBurwe-zr7tc
    @BhokeBurwe-zr7tc Рік тому +3

    Ubarikiwe San dad

  • @AidaLivin
    @AidaLivin 8 місяців тому +1

    Hongera sana dogo kwa exposure nzuri sana big up sana ❤❤

  • @FirminaGabrielOmari
    @FirminaGabrielOmari 8 місяців тому +2

    Barikiwe dada yangu

  • @KhadijaKanzige
    @KhadijaKanzige 9 місяців тому +1

    Ubalikiwe dada Kwa elim uliyo itoa itatusaidia wengi hasante

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 8 місяців тому +2

    Safi sana

  • @saidomar9845
    @saidomar9845 Місяць тому +1

    Asante dada kwa mafunzo mazuri

  • @ignasmuyaya7027
    @ignasmuyaya7027 6 місяців тому +1

    Naomba namba yako plz

  • @LucyChistopha
    @LucyChistopha 2 місяці тому +1

    Asnte sana mama kwa biashala ya chakula nimeipenda sanaaa

  • @HappyMathias-f1d
    @HappyMathias-f1d 2 місяці тому +1

    Ahsante sana dada mungu akubariki kwa ushauri mzuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 місяці тому

      @@HappyMathias-f1d Amina dear. Ubarikiwe pia.

  • @SamweliManyasi
    @SamweliManyasi Рік тому +1

    Madam ahsant san mommy kwa elimu yak nmepend sana naitwa samwel marembo manyasi npo mwanza

  • @AnethKanza
    @AnethKanza 2 місяці тому +1

    Asante kwa Elim mungu akulinde

  • @YunisAgaki-xr4xq
    @YunisAgaki-xr4xq Рік тому +3

    I like

  • @AGNESBISEKO-t5g
    @AGNESBISEKO-t5g 6 місяців тому +1

    Nimependa sana ,na nimejifunza kitu ubalikiwe

  • @ShabaniDavidi
    @ShabaniDavidi 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana❤❤❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 місяці тому

      @@ShabaniDavidi Amina dear 🙏🏾🙏🏾

  • @HusunaselemanChonde
    @HusunaselemanChonde 5 місяців тому

    Dada niko mtwara nataka nifanye biashara ila sijui nifanye biashara gan

  • @Paschalbalashishi-je8wm
    @Paschalbalashishi-je8wm 2 місяці тому +1

    Nimekuelewa sana Mungu akubless

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 місяці тому

      @@Paschalbalashishi-je8wm Amina, asante 🙏🏾

  • @joycebalema9889
    @joycebalema9889 Рік тому +2

    Naomba namba yako dada yangu. Nimependa ushaur wako nataman kujua mengi zaid

  • @ElindaKadege
    @ElindaKadege Місяць тому +1

    Ni mshauri mzuri

  • @richardmvuyekule6300
    @richardmvuyekule6300 Рік тому +11

    Safe sana, darasa nzuri, endelea kuelimisha jamii, nimeipenda.

  • @reginalaurent8422
    @reginalaurent8422 8 місяців тому +1

    Asante mum wewe ni super woman ushauri wako umenijenga kiimani na kifikra pia💕😘

  • @MargaretaBusongo
    @MargaretaBusongo 11 місяців тому +1

    ubarkiwe kwaushqur mzur Mungu akubarki sana nimeguswa nanitqyafanyia kazi

  • @shineyourlifechannel.6753
    @shineyourlifechannel.6753 10 місяців тому +1

    Nimekuelewa mama mjasiriamali nimefurahishwa sana na mawazo yako

  • @ediphonceedwin1482
    @ediphonceedwin1482 4 місяці тому +1

    Asante ubarikiwe dada