@@SarahMonyo-x7v utapata. Ni Tsh 15000 tu kwenda lipa number 5122948 voda au Tigo pesa 0710387 388 (Kelvin Kyaluoko) kisha tuma message whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie whatsapp
Nimependa biashara ya dagaa ilinilipa sana ila badae nikakosa connection nzuri ya kupata mzigo but now natarajia kuanza tena, kikubwa ni kuthubu na kuweka aibu pembeni watu tuache kubweteka, asante ninajifunza mengi sana na mengi nimeyafanyia kazi, Mungu akubariki sana kaka Kelvin
@@munuoernest Waliooomba kujifunza hii Biashara. .... UCHAMBUZI BIASHARA YA NGUO ZA NDANI. . Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa, kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k . . Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote. . Pia nguo za ndani HAZINA Msimu kwamba usubiri sikukuu au wanafunzi wakifungua,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote. . Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi. . Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa. . Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania. . Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China. . Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu. . Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi . . Fanya hii biashara upige pesa. . Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china) . Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi. Mmoja wapo ni huyu 0743356395 au 0763356395 walikua kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu kwa sasa stoo zao ziko makumbusho plaza. Huyu atakupa chupi za 1000 ambazo utauza 2000 na kuendelea au za 1500 ambazo utauza Tsh 2500 mpaka 500 sema Anauza jumla kuanzia pc 100 kwaio mtaji wa laki unatosha . Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Kuuza chuoni nk, Duka au kuuza gulioni.
Hello Nn 16:18 aishi Kigali nimevutiwa sana na bishara 15 zenye mtaki mdogo nimevutiwa na 4 kati ya hizo nazo ni:-biashara 1matunda 2 Maziwa 3 Urembo na 4 Maziwa Hii Nina uzoefu kiasi asante
Nahitaji kufanya biashara ya vifaa vya simu lkn inshallah mungu akipenda niende china Kwa hiyo inabidi niwe na mtaji wa kiasi gani naomba jibu napatikana what's pp tu
Kaka asant kutufungua akili nitwa balozi natokea zanzibar naomba nikulize hv hii biashara ya vyombo naiuzaje mtandaon nakumpata mteje ikiwa yuko mbali na mimi maana nimeipenda
Mwanzo wa Biashara siku zote ni uthubutu na uvumilivu, bila hivyo ni zero....utajikuta ukikata tamaa mapema mno, au kufanya hiki na kuacha, kesho tena unafanya hiki unaacha...mwisho wa siku ndyo inafikia stage ya kukata tamaa.
Kuongea ni rahisi sana, hiyo ya kupiga picha aliwahi jaribu wife, tena alipata wateja kibao. Lkn baada ya mzigo kufika mpaka leo bado nguo zipo wakitafutwa sababu kibao. Miezi 2 sasa.
Asikate tamaa apambane. Biashara inaweza kuwa ngumu mwanzoni lakini milango ikifunguka ni kutengeneza pesa. Tatizo wengi wanaishi njiani au kupoteza nguvu kabaka hawajajenga jina
Nahitaji kitabu kwa njia ya simu
@@SarahMonyo-x7v utapata. Ni Tsh 15000 tu kwenda lipa number 5122948 voda au Tigo pesa 0710387 388 (Kelvin Kyaluoko) kisha tuma message whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie whatsapp
Asante sana kaka angu mimi nina penda kufanya biashara ya vinywaji baridi na chakula nimejifinza kitu leo asante sana
Nimependa biashara ya dagaa ilinilipa sana ila badae nikakosa connection nzuri ya kupata mzigo but now natarajia kuanza tena, kikubwa ni kuthubu na kuweka aibu pembeni watu tuache kubweteka, asante ninajifunza mengi sana na mengi nimeyafanyia kazi, Mungu akubariki sana kaka Kelvin
Kabisaa. Safi sanaaa
Pia naomba chimbo la vyombo vya mtumba sahani, sufuria nk yaani vyombo mchanganyiko ila vya mtumba tu
@@ednapetrosamahan tafadhali waweza nipatia namba zako tuongee kidogo
Samahan waweza nipatia namba zako tuongee kidogo
Ukipata naomba unisaidie fatadhali
kaka ahsante sana bonge moja la plani umebadilisha kichwachangu
@@BobMathias-p8c Asante sana
God bless you kelvin
Nimependa biashara ya vifaa vya simu
Asante baba nimepanda biashara ya dagaa
Ubarikiwe sana kakaa. Mimi nna biashara yangu ya product zangu za seamose. Naitaji msaada wako wa muongozo nipate wateja. Na biashara yangu itambulike
Dada naomba kujua seamose ni kama nini, Niko kenya
@@Mamas-06k ni tiba lishe.. kwa kiswahili wanaitwa mwani. Ukiingia humu u tube unaelezewa sana faida zake.
Napenda biashara ya keki na bites
Kaka Asante sana, Mimi nina kipaji cha kushauri ila sijui nianzaje kujitangaza
Duh!
Yaap....!!
Good idea
Biashara ya dagaa ni nzuri unahitaji tu uhakika wa kupata mizigo
Asante baba,na penda kusaidia vijana making mama nyumbani bongo, keep post, I come back home to visit
Asante
am here to get help from you
nimepambana xna kutafuta mtaji lakn sijapata
Asante kaka nimepata wazo
Asante sn kaka.
Napenda zaidi biashara ya kuagiza bidhaa nje, hapo umenikuna mr kibenje.
Jifunze uanze
Asante sana napenda sana mafunzo yako
Samahan kevi, nikihitaji kutangaziwa biashara naww nafata vigezo gani
Madini👐👐
Asante sana
biashara ya dagaa na genge smart na na nguo za mtumba za watoto
Dagaa gunia shi.ngap
Mr tatzo linakuja mtaji ndy changamoto xna
unakuta mtu unawazo zuri xna lakn mtaji, elimu tumepata lakn mtaji changamoto
Nimependa sana elimu hii mr kelvin, baki nasi siku zote....!!
iyo ya vyombo
Thank for advance
good ideas,umeshau na biashara ya crypocurrencies wengi hawaijuina wengi wanaogpopa kirisklakininibishara inayolipa sana
Ndo nn jmn
😂😂😂😂 jaman hata alicho kiandika sijakielewa
Hiyo ndio ipi mi sijaelewa
Kununua sarafu mtandaoni @@GaspaMatyenyi-pi4nn
Biashara ya dagaa na genge nimeipenda sana
Naomba kuuliza unahitajika mtaji wa shingapi kuagiza mzigo alibaba
I appreciate brother, nipo Dodoma, ila chimbo zako zote ni za Dar, kuna connection yoyote kupata chimbo la nguo za watoto na yeboyebo. Ahsante sana.
Mtumba au dukani!!
Naomba kujua kuhusu biashara ya vitenge
Mm kaka ningependa kuuza nguo za ndan naomba nisaidie
@@munuoernest Waliooomba kujifunza hii Biashara.
....
UCHAMBUZI BIASHARA YA NGUO ZA NDANI.
.
Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa,
kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k .
.
Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote.
.
Pia nguo za ndani HAZINA Msimu kwamba usubiri sikukuu au wanafunzi wakifungua,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote.
.
Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi.
.
Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa.
.
Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania.
.
Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China.
.
Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu.
.
Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi .
.
Fanya hii biashara upige pesa.
.
Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china)
.
Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi. Mmoja wapo ni huyu 0743356395 au 0763356395 walikua kariakoo mtaa wa mchikichi na sikukuu kwa sasa stoo zao ziko makumbusho plaza. Huyu atakupa chupi za 1000 ambazo utauza 2000 na kuendelea au za 1500 ambazo utauza Tsh 2500 mpaka 500 sema Anauza jumla kuanzia pc 100 kwaio mtaji wa laki unatosha
.
Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Kuuza chuoni nk, Duka au kuuza gulioni.
Hello Nn 16:18 aishi Kigali nimevutiwa sana na bishara 15 zenye mtaki mdogo nimevutiwa na 4 kati ya hizo nazo ni:-biashara 1matunda
2 Maziwa
3 Urembo na
4 Maziwa Hii Nina uzoefu kiasi asante
Napenda kuuza viatu vya mtumba
Uko poa sana nikutafute wakati gani unipe darasa maana wife wsngu anataka sana biashara lakini anashindwa aanzie wapi na pesa ipo.
Ahsant kaka angu
Ubalikiwe Bro
Nimependa bihashara ya mashuka, machimbo yake yanapatikana wapi
Vizuri
16:18 nmependa hyo ya genge la mahitaji madogomadogo ya nyumban
Mimi baiashara ambao napenda sana Mimi kuza nguo sasa naweza nika anzaje
Biashara nzuri hiyo
Namm pia kaka msaada
Naomba chimbo la shuka za Thailand na pochi anataka nianze sasa nimeongea sana bila kusahau lipstic na manukato
Kaka me napenda biashara ya nguo za wanaume za kaliakooo
Kaka naikubali sana biashara ya vinywaji na vyakula iyo haina mbamba
Biashara ya nguo za ndani hyo nzuri
Video to watch
Yes, Thanks
Mm nataka unisaidie wapi nitapata viatu vya kike na kiume pamoj na vyombo vya kutumia ndani kwa jumla kwa bei y chini
Kitabu soft copy bei gani?
Ni Tsh 10000 tu. Lipia kwenda lipa number 5122948 voda au Mpesa 0762815104 kisha tuma message whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie.
Chimbo la dagaa wapi kak
Ukipata watu wa Mwanza itakua vizuri sana
Nahitaji kufanya biashara ya vifaa vya simu lkn inshallah mungu akipenda niende china Kwa hiyo inabidi niwe na mtaji wa kiasi gani naomba jibu napatikana what's pp tu
Ata mm napenda sana biashara ya vifaa vya simu
Mm nataka kuuza yeboyebo na ndala chimbonlake lip wapi?
Umenigusa hiyo biashara inalipa sana
Chimbo nipopote ulipo mjini ingia
Kaka mimi nna frem nimelipia but nlkua na aidia ya kufanya duka la vipodz lakin now nimebak na laki moja too
😂😂😂😂
@@AYUBUNYONI😂😂umenifanya nicheke pia
Kaka nitafute tuzungumze tunyanyue biashara iyo nitaongezea mtaji
😂😂😂😂😂
Hongera kaka uko vizur
Asante sana
Kaka vp sas kuhus kazi za vipaji kwa mfano kunyoa
Nimeipenda biashara ya nguo zawatoto nijue mtaji wake
mm nauza mitumba kaka ata laki unaanza na unapata faida kubwa kikubwa kujituma na kueshim wateja bs
Nikiwa na laki tano naweza anzisha biashara ya nguo za dukani special kuzunguka kwenye minada
Ndio inatosha kabisaa
Chimbo kaka lakupata izo nguo kwabei ya jumla
k.koo
@@EvalyAnthony-ci4tckariakoo kamtafte @trisha_collection ana duka la nguo
kaka apo kwenye biashara za vitu vya usaf nataka kujua vizuri na mtaji na napataje connection ili niweze kupata
Karibu nikuunganishe
Nimependa biashara ya vindala vya wadada jinsi ya kupata chimbo ndo shida mm nipo TUNDUMA
Nimeish Tunduma Sogea nitafute
Bro kiabu chako nimeki search sjakipat
🙏🙏🙏
🙏 🙏
Naenda biashar ya vinywaji nitaata wapi iweze nilipa
Chimbo la nguo za ndani kaka naomba nisaidie
Napenda biashara ya nguo za ndani na urembo lkn sijui chimbo
Asant kwa kunifungua akili namna ya kupata kitabu kwanjia ya simu
Nimependa biashara ya mashuka kaka lakini siijui nitayapata wapi
Shuka zipi nikupe mchongo
Mapya@@lovenessmichael7098
@@lovenessmichael7098 mambo maomba mchongo was mashuka ya Uganda na Thailand
5:1❤
Nimependa biashara ya nguo za ndan au mashuka
Pia nataka kuthubutu kuuza mapazia na masuka nitayauzia mkoani chimbo lake lipo wapi tuandikie namba ya simu
Kaka mm cjawah kufanya biashara tofauti na duka la dawa za binadamu nataka nifanye biashara ya mitumba ,nguo za watoto na mashuka
Kwel kaka nimekuelewa keni
Hebu fafanua zaidi kuhusu biashara ya viatu
Bro nahitaji icho kitabu hardcopy nakipataje????
Kwa sasa zipo softcopy. Hardcopy mpaka mwezi May
Sawa kiongozi
Shukurani
Naomba muongozo wa biashara ya vitenge
Nimependa biashara ya nguo za ndani za wa dada nitazipataje Niko arusha naomba mwongozo
@@StellaVicent-ob9ju nguo za Ndani. Chimbo 0743356395
4:10
Nielimishe sana kwa biasha ya matunda plse
Naomba namba yako boss au niunge kwenye gruop lako whatsup
Www.instagram.com/kelvinkibenje
Boss niunge what's sapphire kwa maswali zaid
@@kelvinkibenje
Nimeipenda biashara ya nguo za ndani na urembo ntapata wapi Kwa bei ya jumla?
Nguo za ndani na yebo yebo mkuu
Nimeenda biashara ya urembo Kwa akina dada inaweza nisaidie kuifafanua
Kaka naomba ufanunuzi wa biashara ya nguo za ndan je niko mkoa mbeya nataman sana kufanya na nakufuatilia sana
Biashara za mitumba
napenda tujadili na ww husna mm iyo ndio kitu naipenda sana na akiliyangu ipo uko
Mie nimeipend yamatunda
Pia chimbo la dagaa hasa wa mwanza connection ya kupata mizigo
@@eliphaceasheli8270 Dagaa hawa upate watu wa Mwanza wavuvi
Nipo zenji ntapata wapi connection ya balo za nguo za watoto?
Utapata dar dada sehemu zipo
Naomba sehem ya kupata vifungashio vya matunda
Kama upo dar..vifungashio aina zote nenda mtaa wa tandamti
kariakoo@paulomollel118
nichki mm mwenzako
Kaka asant kutufungua akili nitwa balozi natokea zanzibar naomba nikulize hv hii biashara ya vyombo naiuzaje mtandaon nakumpata mteje ikiwa yuko mbali na mimi maana nimeipenda
Biashara ya kuuza chakula Cha mifugo na kilimo na dawa zake je ni nzuri?
Ni nzuri mno hii
❤
Asante Biashara gani naweza kufanya ya kutumia gari?
Kaka kwenye nguo zandani hapo nataka nijue zaidi mtaji wakuanzia nahata machimbo yake kwenye bei nafuu
Mtaji kuanzia laki moja
Unaelezea vzr lkn as a teacher ukiulizwa maswali jaribu kuelezea vzr uko too short
Bro nataka hicho kitabu nipo zanzibar nakipata vp
Nashkuru umenifungua kaka
Na sasa nataka kufanya biashara ya vyombo naomba uniambie chimbo lilipo
Mwanzo wa Biashara siku zote ni uthubutu na uvumilivu, bila hivyo ni zero....utajikuta ukikata tamaa mapema mno, au kufanya hiki na kuacha, kesho tena unafanya hiki unaacha...mwisho wa siku ndyo inafikia stage ya kukata tamaa.
Ndio kabisaaa
Nimependa biashara ya dagaa nijinsi gani nitapata auconection nawafanya biashara wengine
Kuongea ni rahisi sana, hiyo ya kupiga picha aliwahi jaribu wife, tena alipata wateja kibao. Lkn baada ya mzigo kufika mpaka leo bado nguo zipo wakitafutwa sababu kibao. Miezi 2 sasa.
Asikate tamaa apambane. Biashara inaweza kuwa ngumu mwanzoni lakini milango ikifunguka ni kutengeneza pesa. Tatizo wengi wanaishi njiani au kupoteza nguvu kabaka hawajajenga jina
Alitakiwa akusanye pesa zao kwanza.
Hayo ni matatizo ya wateja wanaoagiza bila kutoa pesa mwisho wa siku unaingia hasara
Chiffu naanzaje hiyo ya kuagiza china na kwingineko
Broo nguo haziozi na miez miwil ni michache sana kupata mafanikio so asikate tamaa
Kuongea ni rahisi sana
Uwinga
i wan't get it throgh soft cop, how can i get it
Mitumba