MWALIMU WA NIDHAMU PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 158

  • @Jumannejr09
    @Jumannejr09 Рік тому +27

    Wakwanza kama unamkubali baba Joan ❤❤

  • @EmmanuelMwanga-wz5zm
    @EmmanuelMwanga-wz5zm 9 місяців тому +3

    Baba Joan filam zako nzur San kama mwl mgeni I like
    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @silviajuma5510
    @silviajuma5510 Рік тому +19

    Hongera sana baba Joan kwa kazi nzuri na mungu akizidishie kipaji zaidi nakupenda sana ktk Kenya🇰🇪❤️❤️

  • @AlbertSantanna-z8g
    @AlbertSantanna-z8g 9 місяців тому +2

    Hongera baba Joan filamu zako nazipenda sana natizama kila usiku inamafinzo nyingi kabisa nakufwata toka DRC goma

  • @Kiruinickson-rq4fb
    @Kiruinickson-rq4fb 10 місяців тому +2

    Hongera baba Joan Kwa filamu zako nzuri sana nazipenda sana sana Niko kericho kenya

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c Рік тому +7

    Jamani kumbe kuna kitu kipya huku nimechelewa lakini nimewahi, baba Joan nakubali na team yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Рік тому +8

    Tumeanza nayo km team strong n lazma tumalize nayo nawapenda kutoka 🇰🇪🇸🇦

  • @ChristieMatunda
    @ChristieMatunda Рік тому +1

    Kazi nzuri Mwalimu mgeni ❤❤❤❤❤

  • @abrahamemokol
    @abrahamemokol Рік тому +3

    Kazi safi baba Joan ❤❤❤

  • @ibrahimmabrouk-vn3uo
    @ibrahimmabrouk-vn3uo Рік тому +4

    kidogo sauti kunawakati inakua juu na wakati mwengine chini rekebisha hapo asante

  • @nabahyaombeni-ic4ft
    @nabahyaombeni-ic4ft Рік тому +53

    Leo Mimi wakwanza naomba like hata tatu please 🙏❤️❤️

  • @AmillinondoMwidini
    @AmillinondoMwidini Рік тому +4

    Ila patronize Ana swaga Kali dah😂😂😂😂

  • @Jaydannychawaboy1.
    @Jaydannychawaboy1. Рік тому +11

    Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😂😂😂

  • @MarthaMkulo
    @MarthaMkulo 7 місяців тому +1

    Good job baba Joan

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 Рік тому +2

    Hongera baba Joan tunafunga mwaka na tamthilia bomba endelea kutupa vitu

  • @YunusHassan-l8m
    @YunusHassan-l8m Рік тому +12

    Mimi wakwanza leo jamani naomba like hapaaaa❤❤❤

  • @birungideborah
    @birungideborah Рік тому +8

    Wa kwanja jameni naomba likes zangu hata tano tuu

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +7

    Baba Joan once again 🌹🌹🌹👏👏👏💯💯💯🔥🔥🔥

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula Рік тому +3

    Almarufu baba joan unapata wp mda wa kuzianda filamu kaa hz ambazo pia n nzuri kbs ili hali mwalimu mgeni bado kumalizika

  • @kas6754
    @kas6754 Рік тому +7

    Faith nakupenda, unakuanga mrembo, much love ❤

  • @AndrewSiwale-w5w
    @AndrewSiwale-w5w Рік тому +2

    Wanafunzi wa 4😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy Рік тому +5

    Faith character yake iko sawa😂😂😂😂

  • @Mariam-er8nn
    @Mariam-er8nn Рік тому +9

    Good job keep it up baba joan❤

  • @MahindraRonny-uz3mp
    @MahindraRonny-uz3mp 10 місяців тому +2

    I like it

  • @NiyomwungereEtienne-i3g
    @NiyomwungereEtienne-i3g Рік тому +4

    Baba Joan welcome again 👏👏👏

  • @BintiZuwa
    @BintiZuwa Рік тому +3

    Uyu feti yarabi hajaumbuka na hzi tabia zake 😂😂😂 no wonder makingi kampa mimba

  • @Kofasaidsalim
    @Kofasaidsalim Рік тому +2

    Baba Joan unajua kupanga kazi yako... Kwa Mungu akupe uwezo zaidi wa kutufunza sanaaa.

  • @ProsperAmad
    @ProsperAmad Рік тому +2

    Kazi nzuli Sana ❤❤

  • @BienfaitPusuma
    @BienfaitPusuma Рік тому

    Butamu Sana baba Joan merci bc umenibarikisana minapendaka iyikazilakinisina mwanzo merci sana

  • @thadeusminja1071
    @thadeusminja1071 Рік тому +1

    Kaz nzuri lakini, baba Joan huwa MWALIMU hakosolewi Wala kushauriwa mbele ya wanafunz, hizo zinakuw ni mbinu za waalimu na ikifika kwa wanafunz ni utekelezaji, wew ukimfokea mwalim mbele ya wanafunz inakuw ni kudhalilishan na kushushiana hadhi, lkn lengo la KAZI yenu na ujumbe unafika🙏🙏

  • @JoyceJoseph-e3x
    @JoyceJoseph-e3x 11 місяців тому

    Fimbooo so suluhisho kwel an mwalimu mgen bigupp💞💞💞💞💞

  • @JumaMlaluko
    @JumaMlaluko Рік тому +1

    Keep it up bro

  • @ThomasSise-y3o
    @ThomasSise-y3o Рік тому +2

    Sawa❤

  • @farajambaza
    @farajambaza Рік тому +6

    you brightten my days. mkisimama jamani daah

    • @HaronLunani
      @HaronLunani Рік тому

      Wa Kwanza kutoka Nairobi wapy likes za kwangu wadau🥰🥰🥰

  • @AllyMatura
    @AllyMatura 11 місяців тому +1

    Nyie napenda muvi zenu kutokea mwalimu mgeni jina langu Joseline kutokea Rwanda

  • @ChesaMachupa
    @ChesaMachupa 11 місяців тому

    Mwarm wanizam umeazanyo vzur sana baba joan❤🎉

  • @nicholausmaffa5137
    @nicholausmaffa5137 Рік тому

    hongera baba joan kaz nzuri kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BonLaizer
    @BonLaizer Рік тому

    Elimu yako ni nzuri sana mdogo wangu mtunzi vile

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Рік тому +1

    Bb Joan hataki mucezo anaelimisha bala tumpe🎉🎉🎉nakutakiyana hery ya mwaka mpya ❤❤❤

  • @FestoMwanipezya
    @FestoMwanipezya Рік тому +1

    Kazi nzuri sana baba joani

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 Рік тому

    Kazii nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee

  • @nassorokananongokazulumuna7710

    Congratulations

  • @malkiamommy293
    @malkiamommy293 Рік тому +2

    Huwa napenda san mov zenu san 🎉🎉🎉🎉

  • @sammymutuamunyoki6291
    @sammymutuamunyoki6291 Рік тому +5

    Af bado tunamiss eposode ya mwalimu mgeni

  • @GAmedia-tz
    @GAmedia-tz Рік тому +1

    Uko vizuri, But bila fimbo... Utavuna! Kipara nimekuelewa
    Labda part ifuatayo nitaelewa dhamira yako

  • @GeofreyIyoya
    @GeofreyIyoya Рік тому +3

    Leo wa kumi na 19 kucoment naomba like zenu ila we binti mweupe nakupendaa bureeee😂😂😂😂😂

  • @ggggg-l8o
    @ggggg-l8o Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤. Baba. Joan. Apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LelaHamisi
    @LelaHamisi 3 місяці тому

    Jamani baba karobo anajitaidi sana kuigiza

  • @JoseeSaiboku
    @JoseeSaiboku 6 місяців тому

    Baba Joan filam Sako zuri sana❤❤❤❤

  • @SaumuOmar-d4t
    @SaumuOmar-d4t Рік тому +3

    ❤❤❤sijachelewa sana jamani naomba like Zang 🎉🎉🎉

  • @jaredondieki2141
    @jaredondieki2141 Рік тому +8

    It's not in order a teacher to correct or advice another teacher in front of students😮

  • @Yovvanyboy-ov5ey
    @Yovvanyboy-ov5ey Рік тому

    Hii tamthilia inaonekana Kali sana ngoja tuone

  • @mapenzimoses-nu7nt
    @mapenzimoses-nu7nt Рік тому +3

    Kuadhibu mwanafunzi sio suluhisho ya kumfanya anyooke

  • @MohdMchezo
    @MohdMchezo Рік тому +2

    Mwalimu unakosea kumkosoa mwalimu mbele ya wanafunzi kwanza muache atoe adhabu baadae muite pembeni muzungumze

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 Рік тому

    Ila wanafunz wakora hawa 😂😂😂😂 Acha tuone itakuaje ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ongeren nyte 😂😂😂Likizo pia nadhan imeisha tutapata muendelezo wa Mwalim mgen hv karibun ❤❤❤

  • @JennyKaros-mq3kz
    @JennyKaros-mq3kz Рік тому

    Msicheleweshe party two jamani ni nzuri sana

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 Рік тому +2

    Welcome baba joan

  • @Trevor.sNyongesa
    @Trevor.sNyongesa Рік тому

    Good job Baba Joan ❤❤❤❤❤❤

  • @JamesPaulochako
    @JamesPaulochako День тому

    Mwalimu mgen tulikumwe hamwe from kigoma Buhigwe, Hakika ww n mwamba

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Рік тому

    Mm wa mwisho kwa mara nyingine ❤❤❤❤❤❤

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513 Рік тому

    Kazi nzur

  • @evanciaernest4470
    @evanciaernest4470 Рік тому

    😂😂😂mimi enock

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 Рік тому

    Manze veti uko na chali😂😂😂

  • @calebwafula5787
    @calebwafula5787 Рік тому

    Kama kawaida Kenya nawakilisha❤❤

  • @Chimedy_g
    @Chimedy_g Рік тому

    twende kaz baba John💯🔥🔥🔥💯💯💯

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Рік тому

    Kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @elishamagulu4255
    @elishamagulu4255 11 місяців тому

    Hongeren jaman❤❤

  • @FESTOJAPHET-x2w
    @FESTOJAPHET-x2w Рік тому

    Ninoma baba joani. naomba lake

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 10 місяців тому

    Ooh yes good job

  • @paulkamau4304
    @paulkamau4304 Місяць тому

    ❤❤😊good👍 job🎉

  • @KennedyYaa-v9y
    @KennedyYaa-v9y 10 місяців тому

    Mambo daa ❤

  • @BienfaitPusuma
    @BienfaitPusuma Рік тому

    Ptrn krg sana

  • @YvetteCizacimana
    @YvetteCizacimana Рік тому

    Baba Joan nilkuwa ni mewamiss tambo kabix

  • @mussahosseni8229
    @mussahosseni8229 Рік тому

    huyu jamaa kwanza anainua vipaji vya watoto ni mojamoja sana wenye moyo wa kuinua vipaji watoto duh nakubali broooo

  • @IbrahimAliahmed-rm6tc
    @IbrahimAliahmed-rm6tc Рік тому

    Fetiiii kaipenda fimbooo kumbeee hahahaha

  • @LinetApuru
    @LinetApuru 9 місяців тому

    Kitu fresh

  • @AnetyDamas
    @AnetyDamas Рік тому

    Kazi nzur❤

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd Рік тому

    Feti alizowea kuchapwa😂😂

  • @salum8848
    @salum8848 Рік тому

    Mambo mapya hayooooooo uckose kuifatilia

  • @IbrahimAliahmed-rm6tc
    @IbrahimAliahmed-rm6tc Рік тому

    Yaaaaan hiiiii saiv kali sana ten sana na nivizur sana kuwa na kit2 kam ikiii cha ma................nini malizia bas

  • @boscokiriki7891
    @boscokiriki7891 Рік тому +2

    Uyu mtoto uko na kipuli kwa pua anafanya aonekane sio mwanafuchi

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 11 місяців тому

    Ila kumuonya mwalimu mwenzio mbele za wanafunzi nayo sio njema

  • @FestoMwanipezya
    @FestoMwanipezya Рік тому

    Nakubali na kukusikiliza

  • @izakiel72
    @izakiel72 Рік тому

    Heri kabisaaa

  • @davidnjuguna1481
    @davidnjuguna1481 Рік тому

    Tunangoja kipidi Cha mwalim mgeni🤭

  • @Chinyavunyae-ll6iy
    @Chinyavunyae-ll6iy Рік тому

    Mwalimu mgeni ❤❤❤

  • @douglasobanda1954
    @douglasobanda1954 Рік тому +1

    Ni vuzuri mmerudi, nawatazama nikiwa Afrika Kusini

  • @Festomakheja-i9z
    @Festomakheja-i9z Рік тому +1

    Like zanguuu joomon mm wa kwanza

  • @SinangoaJarufu
    @SinangoaJarufu Рік тому

    Ndogoooo asant baba joan

  • @jamesmutali4356
    @jamesmutali4356 Рік тому

    Mm kama mwana familia mark me present

  • @winifridashoo410
    @winifridashoo410 Рік тому

    Mwalimu wa nidhamu kanikumbusha mbal sana

  • @franciscassian
    @franciscassian Рік тому

    Kutongozana mpaka shuleni

  • @nasirnassor449
    @nasirnassor449 Рік тому

    Hujatowa jicho kwel ww

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 Рік тому

    Ila ni kweli fimbo Siyo suluhisho ya kubadiri tabia iwe shule su nyumbani kuchapa tuchape ila tuangalie na ukubwa WA kosa piya Kuna baadhi ya watoto wakifanya kosa ukawaita nakuwaelekeza Kwa maneno na wakaelewa vizuri zaidiiii fimbo zina mkomaza mtoto unachapa mwisho anazoea so my dear furendiz tuwe makini na fimbo

  • @LeahAnzemo-o8f
    @LeahAnzemo-o8f Рік тому

    Patronaiza 😂😂😂😂

  • @EmanuelSondole
    @EmanuelSondole Рік тому +1

    Wakwanza Mimi mnipe like zangu

  • @malickberry4563
    @malickberry4563 Рік тому +1

    🔥 🔥🔥

  • @SalmaDk-c7c
    @SalmaDk-c7c Рік тому

    Bado tupo pa1

  • @PaskalPasomba
    @PaskalPasomba Рік тому +1

    😅

  • @AugustinoDaud-f1x
    @AugustinoDaud-f1x 4 місяці тому

    Watapigwa mwisho watakuwa sugu