MWALIMU MGENI ❤️ /28/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 928

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 10 місяців тому +131

    Wangap tunasema Patronyz nimuhimbaj mzr na sio2 kuigiza❤❤❤❤❤❤❤na sauti yke inavutia sana 🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊 Mungu azdishe kipaji chke😊

    • @LILIANIMWASHINANI
      @LILIANIMWASHINANI 10 місяців тому +2

      Am here!!!

    • @Muck_tz
      @Muck_tz 10 місяців тому +1

      Allahuma amiin

    • @نورة-ذ3غ2ث
      @نورة-ذ3غ2ث 10 місяців тому +1

      Mimi pia nakubali patronyz tu sana, hebu kwanza sikia hio aliomalizia Yani mwanangu atadhania Kuna mziki flani hivi na ni sauti tu pekeyake Haina hata beat yoyote Yani anasauti safi kama msanii flani hivi, waislam tunasema (MASHAALLAH) na Mungu akuzidishie Kwa kweli

    • @MgandaMganda
      @MgandaMganda 10 місяців тому

      Baba joan ww no mwamb keel nawaxhukuru xan kwa movie nzur

    • @paulmambo-p5n
      @paulmambo-p5n 9 місяців тому

      Ukweli ako na kipaji

  • @raymondzachariah-xr4ys
    @raymondzachariah-xr4ys 10 місяців тому +16

    Safi sana kazi nzuri naomba inayofuata Ipewe jina la HATIMA YANGU

  • @BeatriceKamau-tm9go
    @BeatriceKamau-tm9go 9 місяців тому +14

    Kweli kwa Mungu yote yawezekana❤❤❤😍😍😍💯/💯✅

  • @ismaeltumaini8171
    @ismaeltumaini8171 8 місяців тому +1

    Tumeshukulu sana much love from Burundi nilifuatiriya sana

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 10 місяців тому +16

    Mwalimu kipara umeongea pont sana ❤❤❤❤❤

  • @NaumMikayo
    @NaumMikayo Місяць тому +2

    wow asante sana baba joan kwa kipindi icho nimejifunza mambo mengi sana eg kusamehea atakama nimekosewa mara ngapi i ❤ it 🎉barikiwa sana

  • @FabianOdhiambo-ks8pj
    @FabianOdhiambo-ks8pj 10 місяців тому +28

    Baba Joan mtu wangu wa nguvu kaitoe muvi inayoitwa tatizo.Kwa majina ni Fabian Odhiambo toka Kenya.Nawapenda sana.Na nina tumaini ipo siku tutaigiza kwa pamoja.Endelea kututia moyo kwa kazi njema .

  • @TheRaphFamilyOfficial
    @TheRaphFamilyOfficial 8 місяців тому +2

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @stephenkilonzimwenzwa-theh2440
    @stephenkilonzimwenzwa-theh2440 10 місяців тому +9

    Baba Joan this was the best of all your movies,,,much love from Kenya ❤️

  • @ELIZABETHADHIAMBO-p6c
    @ELIZABETHADHIAMBO-p6c 10 місяців тому +2

    Love ur video baba Joan love from kenya plz l will miss u guys bt plz mukileta ingine notification plz thank you

  • @clemencegona18
    @clemencegona18 4 місяці тому +4

    Filamu hii ni ya maana sana...na nmejifunza mambo mngi sana yenye inastahili kuzingatiwa shuleni...thank you so much baba Joan na Mungu azidi kkubariki na tuko pamoja sana 💕❤️much love from Kenya 🇰🇪💋

  • @NduwimanaOlivier-q3f
    @NduwimanaOlivier-q3f 2 місяці тому +1

    Napenda hizi movie zenu jamani na patronyz anakipaji kabisa cha kuimba sasa kwa upande wangu nataka next movie iwe na jina hili VIPAJI asante Mola awabalikie🇧🇮🇧🇮

  • @GeoffreyOwino-v8u
    @GeoffreyOwino-v8u 9 місяців тому +5

    Napenda kazi yako sana baba joan much love from kenya ❤❤❤❤wakenya wenzangu piteni na like nawapenda

  • @Elizabeth-my2mn
    @Elizabeth-my2mn 10 місяців тому +62

    Napenda kazi yako baba Joan, much love from Kenya ❤❤

    • @HapyNessShirima
      @HapyNessShirima 10 місяців тому

      Aya baba joan

    • @dottoelizeus1911
      @dottoelizeus1911 10 місяців тому +1

      Dotto nipo mkoani kagera nafatulia mwalimu mgeni nakupenda sana kipindi hicho

    • @SalhaKhamis-r4m
      @SalhaKhamis-r4m 10 місяців тому

      Nzr nimeipnd mungu ambarki mwalm mgn n ss atup roh km yko

  • @Muhifadhimussa
    @Muhifadhimussa 10 місяців тому +13

    Baba Joan umetisha sana ongela sana mungu , akusimamie kwenye kazi mpya ila jina la movie ; Uvumili ❤❤

  • @lottiwayson5431
    @lottiwayson5431 Місяць тому

    Babajoan kweli unamoyo wa huruma naomba mungu atakusaidia inshaallah 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @RaphaelMutungi
    @RaphaelMutungi 10 місяців тому +4

    Baba joan kongole kwa kazi yako, natamani hapa Kenya tungepata wenye vipaji ka wewe tungekuwa mbele sana, Mungu akubariki sana pamoja na familia yako

  • @NelcyAfrica
    @NelcyAfrica 10 місяців тому +11

    Moyo wangu unadunda magesa anapoomba msamaha. Wow much ❤❤❤from kenya

    • @annahbwai4471
      @annahbwai4471 5 днів тому +1

      Bora mwalimu magesa ameomba msamaha ili waixh kwa upended wa mungu

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 10 місяців тому +6

    Hongereni sana Baba Joan na timu yote ya mwalimu mgeni, tamthilia imekuwa ya kuvutia sana

  • @LucyMwangi-ox6do
    @LucyMwangi-ox6do 10 місяців тому +21

    Wow, l will miss this babajoan Frm kenya❤

  • @DevdyJulius-iy9wq
    @DevdyJulius-iy9wq 5 місяців тому +8

    Baba joan kazi yako iko pw tunakupenda na tupe mwendelizooo love so murch❤❤❤❤❤

  • @LameckWaswa-d7j
    @LameckWaswa-d7j 3 місяці тому +1

    ASante sana mwalimu mgeni kwa kazi bora yenye kufana sana, hongera, nakuombea MAULANA akuneemeshe ili unawiri zaidi na kupaa ngazi nyingine...

  • @AlemaAishitembwe-zn8dv
    @AlemaAishitembwe-zn8dv 10 місяців тому +2

    Nakukubali kabisa nakutafuta tokea Congo kuanziya mwanzo Hadi mwisho wa filamu Yako mwalimu mugeni iyo fimbo

  • @joeljunior9636
    @joeljunior9636 10 місяців тому +11

    Nimeishi kufuata movie zako Baba Joan indeed this is amazing and funtastic movie.. let our almighty God bless you and expand your territory and add you more wisdom to change the society by educating them through movie..
    Please napenda ukiendeleza movie ingine kwa jina CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAFUNZI SHULENI
    Thanks
    From Kenya 🇰🇪🇰🇪, Kuria land
    Niite Dr Joel Muniko

  • @patrickmwaniki5172
    @patrickmwaniki5172 10 місяців тому +7

    Nimefuata from episode 1-28 in fact I learn much , keep up, Patrick Kenyan

  • @Agnes550
    @Agnes550 10 місяців тому +35

    Much love from Kenya 🇰🇪❤❤

  • @HuseinSalimAli-fd6rs
    @HuseinSalimAli-fd6rs 10 місяців тому +18

    Much love from kenya you guys are doing great job....we love you so much kwa kazi nzuuri mnayoifanya

  • @frolencesimchile4719
    @frolencesimchile4719 20 днів тому

    asante sana baba joan, kazi nzuri inafundisha na kuelimisha jamii katika kazi na mazingira yote yanayo tuzungukz,, ASANTE SAAANAAAAAAAA

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c 10 місяців тому +10

    Hongeren sana mwalimu magesa, kuomba msamaha mwalimu mgeni, hii movi imenifunza nisiweke chuki moyon niweze kusamehe hata kama mtu amenikosea mara ngapi, msamaha hueka mtu huru, nawapenda sana,sana sana❤❤❤❤🎉

  • @esthernyambane-n4t
    @esthernyambane-n4t 10 місяців тому +2

    Baba Joan nimefurahishwa na movie yako, it is interested movie.
    God bless you and all your team

  • @MouriceSimbauni-sm7ow
    @MouriceSimbauni-sm7ow 10 місяців тому +2

    Mwalim mgeni nimefulai sana nikiwa hapa Kenya nilifatilia kipindi kutoka mwanxo Hadi mwisho lakin mahali iliniguza ukiwa juzi pia nami nililia nausalamie patronize naomba kipaji chake kitike mbali naubarikiwe utuletee zingine zaidi

  • @qassimbosire2016
    @qassimbosire2016 10 місяців тому +19

    Shukran Baba Joan,Next: A genuine Pastor

  • @NtaStation
    @NtaStation 3 місяці тому +1

    nadjifuza kitu apa❤❤❤baba Joan

  • @NancySibiaOnguti-gb9yq
    @NancySibiaOnguti-gb9yq 10 місяців тому +6

    Kazi nzuri sana baba Joan, sending love ❤ from Kenya

  • @HusseinTekwy-zt9gp
    @HusseinTekwy-zt9gp 10 місяців тому +1

    Baba joan dah upo vizuri kaka leta mzigo mwingine kama mwalim mgeni

  • @chriseskibet718
    @chriseskibet718 10 місяців тому +2

    Niliufatilia tangia mwanzo Hadi nimemaliza imekua kazi nzuri sana Kwa upande wangu.

  • @sadajinyevu
    @sadajinyevu 10 місяців тому +1

    Nakuku bali sana baba joan yani kwaufupi mwalimu mgeni ulibeba uhusika mpaka ikawa nakuonea huruma ila pia nampongenza madam Asha alikuwa upande wa kukupa faraja nakupenda sana tusufile napenda kazi zako karibu tanga

  • @DianaMmari-i4j
    @DianaMmari-i4j 10 місяців тому +243

    Mbona kama vick kachakaa usoni kama nawe umeona gonga like zangu

    • @MussaMlowe-w5g
      @MussaMlowe-w5g 10 місяців тому +7

      🎉

    • @aishanyoha7591
      @aishanyoha7591 10 місяців тому +8

      Mafut makal pia kam alied likiz kijjn barid😆😆

    • @manaxelukama2926
      @manaxelukama2926 10 місяців тому +3

      😂😂

    • @DianaMmari-i4j
      @DianaMmari-i4j 10 місяців тому +7

      @@aishanyoha7591 hahhahaah kumbe nae mama wa mkorogo so tuseme limebuma jaman vick kwa kweli

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 10 місяців тому +2

      Aaaah jaman wapendwa msisahau kazin pia hawi sehemu zaupepo NAJUA pia lakin wakati walikizo mambo nimengi shuhuli zaapa napale ,, so huenda hata hatumii iyo mikorogo ni mazingira tu. NAWAPENDA ❤❤

  • @Zaina-k5x
    @Zaina-k5x 29 днів тому +1

    Shukran kwa ect ♥️yenye kufunza vizuri ❤❤

  • @fabiennshimirimana8363
    @fabiennshimirimana8363 10 місяців тому +4

    Great job my Baba Joan.you made me feel happy with this movie of MWALIMU MGENI. Much love from BURUNDI

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 10 місяців тому +1

    Mungu akupi vyote..mwalim vicky shape alhamdhulillah ila sura bdo sanaa

  • @erickathurima43
    @erickathurima43 10 місяців тому +7

    baba joan wewe ni mzazi na pia mtu wa Mungu

  • @Yakuzammm
    @Yakuzammm 8 місяців тому +1

    Yaani mwalimu mgeni umeniliza nkiwa huku Nairobi Kenya..kazi yako ni nzuri Mungu akubariki sana Kwa mafunzo mazuri...pia hao watoto haswa huyo patronize pamoja na hao wasichana wawili waiokuja kukuona huko wakati ukiwa kwenye hali Ile....yaani wameni touch sana pia Kuna huyu msichana aliyejitolea kwenda Kwa mwalimu Magesa na kumwambia akutoe uchizi amwekee yeye dah!! Machozi yalinitoka... Mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri.

  • @deborahgitahi3598
    @deborahgitahi3598 10 місяців тому +10

    Muuuch muuuch love from Kenya..it was always a moment of enjoyment, entertainment and endless lessons from the movie...nimeona Mama yangu na zingine nyingi and l've appreciated your talent and heavy contents from Baba Joan and team,Great work beautiful people 🎉❤❤....am always on screen waiting something new from you, don't fail me❤❤❤❤❤❤

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu 7 місяців тому +1

    Tamthlia safi sana yenye mafunzo mengi,wivu ndio chanzo cha jambo mbaya napenda vile mwaliku Magesa ameomba msamaha,baba Joan keep it up💯💯💯 much love from Kenya 💖💖💖

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 10 місяців тому +14

    Wow team strong ata tukachelewa stl lazma tuifikie km wapenda mwalimu mgeni like apa apa♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 10 місяців тому

    Nanyi pia asanteni sana kwa kutuletea tamtilia nzuri na yakuvutia,bado tuko nanyi sana bamba to bamba nawapenda sana.movie mpya napenda hiwe jina tukubali matokeo hakuna mkamilifu.

  • @ronnyBMsaniithebigboy
    @ronnyBMsaniithebigboy 10 місяців тому +12

    22 minutes is better than 15 waaau 🎈🎉 thou imekam late 5 days bna 🤣😂🤣 no ikue 2 days please we miss it 😮😮 we love it ❤❤❤❤

  • @stephenmamboleo3279
    @stephenmamboleo3279 8 місяців тому +1

    Baba Joan kazi zako ziko freshi, movie Ina mafunzo mazuri katika jamii👍

  • @maryammaryam7354
    @maryammaryam7354 10 місяців тому +3

    Nko pamoja na nyinyi 😂😂😂😂ila hapo kwa usinite mwalim,mm nimzazi mwenzio 😂

  • @111dudi
    @111dudi 3 місяці тому

    Mchezo mzuri sana na una mafundisho ya maisha mengi sana. Nilijikuta natiririka machozi kwa hisia za mchezo huu. Baba John, dori yako ilikuwa nzuri, na mwalim Magesa pia dori yake kama mtu mbaya kaicheza vizuri sana.

  • @lewistinga5263
    @lewistinga5263 10 місяців тому +8

    Baba Joan, nimependa na kufurahishwa sana na kazi zako nzuri sana.❤ Katika uigizaji wako umejidhihirisha kuwa mtu mwenye roho nzuri na anayependa ujirani mwema. Mungu akubariki sawa sawa na mapenzi yake. 😊😊

  • @JulianaMwesh
    @JulianaMwesh 4 місяці тому

    Nimejifunza kusamehe ,baba Joan hongera kazi Yako safi

  • @rajabkiti896
    @rajabkiti896 10 місяців тому +2

    Kumbe md.vicky anampenda Mr.magesa,,"Acha nmufuate magesa wangu".😂😂😂😂😂😂

  • @nainahlaizer3956
    @nainahlaizer3956 2 місяці тому +1

    Mungu nipe moyo wa kusamehe kama baba Joan 🙏

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 10 місяців тому +3

    Napenda madam Vicky kukubali makosa yake.... Amani Amani Amani 💯
    #teambabajoan
    #suportfromkenya

  • @felisterngowi-m1e
    @felisterngowi-m1e 10 місяців тому +1

    mambo vipi baba j kweli nmeikubal mwalimu mgeni unatoa mafundisho vizuri mnoo movie ijayo tuipe jina uwajibikaji wangu.

  • @ElishaGordon-ym7bc
    @ElishaGordon-ym7bc 10 місяців тому +2

    Sisi kama binadamu tuko na unyonge wetu lakini msamaha ni lazima thanks thanks a lot

  • @MARIAMARIA-j3r
    @MARIAMARIA-j3r 7 місяців тому

    Hongera mwalimu mgeni kwa moyo wako wa ukarimu, wa busara na upendo na isiwe ni kwa uigizagi tu bali hata kwa maisha yako pia .Hongera Baba joan nakupenda sana ❤❤❤❤

  • @mrikongosi3151
    @mrikongosi3151 10 місяців тому +2

    Nipo kwenye top 12 safi kabisa

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 10 місяців тому +2

    Madam vicky,ati magesa wangu😂😂😂🎉🎉🎉...kazi safi,pambaneni ndugu

  • @husseinkarisa9392
    @husseinkarisa9392 10 місяців тому +3

    aiseii baba joan umeweza, nmependa sana kazi yako, nimeanza mwanzo mpaka mwisho leo, balikiwa sana nahiyo nyengine twaisubilia kwa hamu

    • @WemaKiondi
      @WemaKiondi 8 місяців тому

      ❤❤❤❤ Love u baba Joan

    • @WemaKiondi
      @WemaKiondi 8 місяців тому

      Kaz nzur sana mungu akubariki

  • @PatienceZawadi-wi4yc
    @PatienceZawadi-wi4yc 8 місяців тому

    Turned from Kenya.lit patronyz,sheilla,sasha,and daddy joan.mungu wabariki sana

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge 10 місяців тому +5

    ila madame vick hizo nguo zako hazifai shuleni bwana so watoto wata jifunza nini toka kwako😢😢😢

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 10 місяців тому +1

    Asante sana baba joan, movies yako ni mzuri sana sana, thankyou very much, mimi kutoka kenya,

  • @DogoJustine
    @DogoJustine 10 місяців тому +5

    Jina lamuvi iitwe Ugumu wamaisha nikipimo chahakili
    Au iite walimwengu
    Au iite Siri yamaisha
    Au iite maripo yaubaya
    Me from sumbawanga
    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 10 місяців тому +1

    Nakupenda sana baba joan umetisha sana pia ongela sana na mungu akusimamie kwenye kazi yako mpya ila jina la movie uvumilivu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀

  • @jackiemitonyargodeno4992
    @jackiemitonyargodeno4992 10 місяців тому +5

    I like your creativity baba Joan with your team and mwimbaji Patronized be blessed and keep up the good work 🙏🎉🎉🎉

  • @PamelahKafuta
    @PamelahKafuta 23 дні тому

    Napenda KAZI yako Sana Baba Joan mobe love from kenya

  • @AlvanIsrael-qw2we
    @AlvanIsrael-qw2we 10 місяців тому +8

    Nimejifunza sana mwalim wangu mgen ningependa movie inayofuata ipewe jina la....msaada wa yatima na faida ya yatima ili hata sisi yatima tujihisi na jamiii kutambua kuwa yatima tumathaman😢kumbwa na mchango makubwa katika family na jamiii kiujumla

    • @annahbwai4471
      @annahbwai4471 5 днів тому

      Ni kweli iwe inayohusu mayatima 15:58

  • @SalmaMohd-n7l
    @SalmaMohd-n7l 10 місяців тому +1

    Hta mwalim magesa amezd kua cheuc mangala 😂😂

  • @BonnyWekesa-r8s
    @BonnyWekesa-r8s 10 місяців тому +3

    Good work baba Joan😂😂

  • @dinganinedsontchongwe610
    @dinganinedsontchongwe610 10 місяців тому

    All the way from SA jina langu naitwa Dingan Nedson Tchongwe napenda sana kuangalia movie zako baba Joan keep it up next movie will be FORGIVE AND FOR GATE

  • @muhidiniamiri5356
    @muhidiniamiri5356 10 місяців тому +7

    Nimekuwa wa kwanza kucomment leo🎉

  • @AshaChuma-w5f
    @AshaChuma-w5f 10 місяців тому

    Yaani ni nzuri sana nimejifunza mengi sana mwalimu mgeni una kazi nzuri sana baba joan

  • @NiyomwungereEtienne-i3g
    @NiyomwungereEtienne-i3g 10 місяців тому +2

    Asante Tena kwa movie zako unatupea ziko na masomo ndani zake

  • @BeatriceBite-tx8zh
    @BeatriceBite-tx8zh 6 місяців тому

    Hongera sana Baba Joan aka mwl mgeni,,nimejifunza mengi..machozi yamenitoka ktk baadhi ya episode na nimefurahia hongereni pia team nzima kazi yenu ni njema Mungu awabariki

  • @sambi254
    @sambi254 10 місяців тому +3

    Its been pleasure mwalimu mgeni kweli hapa kuna funzo❤❤❤❤

  • @Frederick-x2v
    @Frederick-x2v 10 місяців тому

    Asante kwa vipindi zako baba joan upendo mwingi kutoka nairobi kenya♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @ChidofGod4479
    @ChidofGod4479 10 місяців тому +3

    Much love from kenya

  • @MohamediShirazy
    @MohamediShirazy 10 місяців тому

    Imenifundisha mambo mengi sana AHSANTEN SANA ALLAH AWAJALIE ,AZID KUWAPA UBUNIFU WA KUELIMISHA

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 10 місяців тому +3

    Madamu vick unamsambwanda daaah hongeraa ❤❤❤.

  • @FaithKananu-um2ve
    @FaithKananu-um2ve 10 місяців тому +1

    Napenda kazi yko baba Joan mungu ashidi kukushika mkono🙏🙏

  • @NiyomwungereEtienne-i3g
    @NiyomwungereEtienne-i3g 10 місяців тому +3

    Much love kutoka Burundi kenya

  • @jayneanabwani2150
    @jayneanabwani2150 Місяць тому +1

    Wow you are doing good, Am watching you from KENYA and am your vewer subscriber an follower.

  • @gaspermakundi6021
    @gaspermakundi6021 10 місяців тому +5

    Aliona suruali ya madam vick imefumuka katikati wek like😂😂😂

    • @getujackson5346
      @getujackson5346 10 місяців тому

      Kweli imefumuk😅😅

    • @SaudaKhamisi-wm6xy
      @SaudaKhamisi-wm6xy 10 місяців тому

      😂😂😂😂😂muna tabia mbaya nilifikiria nmeona pekeangu 😅😅

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂htr Hee

    • @HasanHasan-bi1fx
      @HasanHasan-bi1fx 6 місяців тому

      Kawa mbaya😂😂😂😂

  • @ephrahimluvanda6958
    @ephrahimluvanda6958 10 місяців тому +1

    hongera sana baba joan hakika hilli ni fundisho kwa walimu wengine na wanafunzi wote

  • @Binthassan-jm1hl
    @Binthassan-jm1hl 10 місяців тому +3

    Much love from 🇰🇪 kenya

  • @Willphina-jm2st
    @Willphina-jm2st 9 місяців тому +1

    Mwali mgen uwe na roh Hy Mungu akuzidishie♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Riziki-y7x
    @Riziki-y7x 10 місяців тому +5

    Watatu leo like znu plz🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Halimabaya-kz2op
    @Halimabaya-kz2op 10 місяців тому

    Baba Joan napenda Sana video zako zinanifunza kitu naomba usichoke tuletee nyingine ili tuzidi kujifunza much ❤ love nazilike Kwa sanaah

  • @NiyomwungereEtienne-i3g
    @NiyomwungereEtienne-i3g 10 місяців тому +4

    Ni wimbo gani patronize arisha aweka kwa you tube na chanel yake inaitwa aje?❤❤

  • @StellaKerubo-so1ip
    @StellaKerubo-so1ip 3 місяці тому

    Baba Joan mwenye hekima na umarufu mukubwa sana barikiwa

  • @AllyShabany
    @AllyShabany 10 місяців тому +3

    😂

  • @eugeneobamba5533
    @eugeneobamba5533 10 місяців тому

    much love from Kenya good work but endelea na mwalimu mgeni ni nzuri sana

  • @MaryKenya-np9ty
    @MaryKenya-np9ty 10 місяців тому +1

    Umbarikiwe sana baba Joan kwa kazi nzuri unayo ifanya

  • @douglasobanda1954
    @douglasobanda1954 10 місяців тому +1

    Oh too bad baba Joan, nimependa sana kazi yako. Naitegea itakayofuatia. Sijui niipe mada gani jamani

  • @NamonoRitah-et1cr
    @NamonoRitah-et1cr 10 місяців тому

    Great job friends keep up

  • @NdanuValeria-bu1xr
    @NdanuValeria-bu1xr 10 місяців тому +1

    Napenda sana kazi yako papa Joan, much ❤love from uganda 🇺🇬

  • @SharifSaid-mo2el
    @SharifSaid-mo2el 8 місяців тому

    Baba Jon kiukweli umeweza sana kuiandaa hii move maana Kuna mda mwingine baadhi ya vipengere Hadi nilikuwa natokwa na machozi mungu hakuongoze utoe move Kali zaidi ya hii