Baba Joan ww mwenyewe muimbaji Mashaa'Allah nyimbo imeniingia moyoni daaah Mungu atakusimamia hakika unafanya kazi nzuri Mungu awe nawe daima... Ila mwendelezo usichelewe sana.💗💖💗
Kazi nzuri M'mungu awaongoze, awape nguvu, ufahamu na uwezo wa hali ya juu ili muweze na kuzidi kutuletea vitu vinavyotufunza kimaisha na katika JAMII. Tuko pamoja nanyi ❤❤❤❤❤
baba Joan hongera sana kwa kazi zako umekua msanii wa kwanza kunifanya niweze kufatilia filamu zako kwa moyo mmoja na mapenzi yote hakika wewe ni msanii tena nakuombea kwa mungu akujalie hekima na uwezo zaidi ili utufundishe yale tusiyo yafahamu hakika wewe ni mwalimu kweri
eeeebwanaaaee baba joan tunakula chuma hichi alafu hizo song mimi binafsi nazitaka ziko powa sana sana hii never give up iko bomba sana niko makini baba joan
Baba Joan kwakweli video zako Ni nzuri Sana Na zinafundisha kitu mm niliku sijafahamu kuwa uko Na vizideo nzuri ,SAA hii nimejuwa nazifuatilia polepole
baba joan kwa kweli sinema zako ni za mafunzo❤❤napenda kukufuatilia sana toka kenya 254 pokea shukran kwa kazi njema🙏🙏
Hongera sana baba Joan mpk nimelia jamani wajuwa mpk wakera🎉🎉
Baba Joan wewe ningekuwa karibu nawewe ningekulove by force 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Maskini nyimbo nzuri naiyi movi naona itatoboa ❤
Ngoja nijue leo kwann wanasemaga leo wakwanza mm nipen like kwa za nn
Wa qwanz n muhimu
@@dominicomari7040😊😊😊
Umuhimu wake nn sasa
Nakupenda sana mwlm mgeni ukovzr sana
😂😂😂 kumbe unayielewa
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Much love from kenya leo mi ndio wakwanza naomba like yenu
Jiwe linguine ndio Hilo,like ziko wapi, from Kenya Nairobi
Wazi❤❤❤❤
Mwalimu mgeni ilikua poa sana mpaka sikutamani iishe, bora imeanza hii
Hongera sana baba joan. Mwalimu mgeni iliweza mashaallah na hii imezeza pia❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
filamu zako zafunza hongera❤
Baba Joan ww mwenyewe muimbaji Mashaa'Allah nyimbo imeniingia moyoni daaah Mungu atakusimamia hakika unafanya kazi nzuri Mungu awe nawe daima... Ila mwendelezo usichelewe sana.💗💖💗
Baba joannnn 🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa anaweza
Nimegundua kwamba, hii niTRUE STORY Between PATRONISE & Baba JOAN 😢😫😫😣🔥💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Kazi nzuri M'mungu awaongoze, awape nguvu, ufahamu na uwezo wa hali ya juu ili muweze na kuzidi kutuletea vitu vinavyotufunza kimaisha na katika JAMII. Tuko pamoja nanyi ❤❤❤❤❤
kaz nzur sana hungera mnajua mungu awasimamie kwenye kaz zenu tuzid kubuludika ndo kilevi chetu
Wow amazing Baba Joan for words of encouragement keep it up
baba Joan hongera sana kwa kazi zako umekua msanii wa kwanza kunifanya niweze kufatilia filamu zako kwa moyo mmoja na mapenzi yote hakika wewe ni msanii tena nakuombea kwa mungu akujalie hekima na uwezo zaidi ili utufundishe yale tusiyo yafahamu hakika wewe ni mwalimu kweri
Amina🙏
Nakukubali Sana Mwamba Kazi Nzuri Mungu Akubariki wewe na Team yako yote kwenye Kutengeneza content Bora zaidi
🔥🔥🔥kazi nzuri baba Joan ❤❤❤
Uko vizuri baba Joan,filamu zako zina mafunzo mkubwa katika jamii.much love from kenya❤❤🎉😊
Huyu jamaa n Genius wa Story...!! Inawatoshaaa.. Jamaa kauwa buku
Katisha sana afu wala haringi
Thanks for bringing us another more fire 🔥 film
Hongera kwa kuchagua kua mwalimu
Nyimbo Kali nivumilieee ilekodi jamani nyimbo kali
Wow this EP is very nice never give up yote yetapita
Mko vizuri sana mnaendelea kufanya vema pamoja sana
Wimbo mzuri sana jamaniiii nakupenda bure baba joani💋💋💋💋💋💞💖
eeeebwanaaaee baba joan tunakula chuma hichi alafu hizo song mimi binafsi nazitaka ziko powa sana sana hii never give up iko bomba sana niko makini baba joan
Jamaa!!!!!!.. moto ulizimika ila naamini kwamba we ndo unawasha tena jamani nakukubali sana 😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Unakuta mtu anatuletea movie et penzi la jin kichaa mala wachawi mala mwenyenyumba mchaw hiv hawajifunzi kwa Baba Joan jaman
Kongole sana ndugu Baba Joan kwa ueledi na ukarimu mkubwa katika utendajikazi huo.Hakika, watu wanaelimika sana kupitia hozi hizi.
Nakupa hongera Baba Joan Kwa kazi yako nzuri ,naomba uzidi kutuletea zaidi YA hizo miss you
Baba joaaan💥💥💥💥💥
Tumemaliza mwalimu mgeni tunaendelea na mpya nawakubali kweli kweli ipo vizuri
Kiongozi napenda kazi yako mkuu, hii safari naanza nawe mapema baba Joan. Hadi kilele nko Nairobi Kenya ❤❤❤
Baba joan nituna weww vibidi zako zote sikosangi naipenda sana naninapenda roho yako ❤❤❤❤
Baba joan fanya kila linalowezekana patronize arecord hata ngoma moja dogo anajuwa na iyo ngoma iwe hata kwenye ep yako
Hii ngoma ndio yake ya patronize
Kazi safi baba joan
Baba jowani kama kweri una moyo wahuruma na uturivu na ujasiri.kuto Kata Tama mungu azidi kukupa ngumvu. ubarikiwe kwa kuwa nawujasiri Amen
Ndio mliamua kabisa hamnipei likes ata 5
Jaman kumbe mwalim anatoka na baba wa mwanafunzi Ndy maana anamchukia
So much love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Nice one Baba Joan ,let me gve you salute ❤❤❤ from 254 kilifi
Tunawapata sana Burundi 🇧🇮
Wew mama kama mtu sio muelewa hawezi kujua unamaanisha nini lkn umeweza sanaaa ,
Baba Joan hongera sana na kama ningekua karibu ningekulove by forsee
Hii series na yenyewe ni mashine sana 🌹🌹🌹👏👏👏👏👏👏
Kaka flim yako kaka iko sawa jitume san kk ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
hpawabongo mmezingua mbna ariokuja kutoatarifa atumhon nyinyi mrijuaje kwamba yupohpo mngeendae ingekuapoa sana
Baba joan kongole kwa mafunzo yako kwa jamii💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥💥🎉🎉🎉🎉🎉
Baba Joan 🎉🎉🔥🔥🔥
Much love from Kenya ❣️🥰❣️
Ongela Sana mwalimu mgeni nimeapenda Sana nahiii naipenda kuziidi naiele yakwanza ya mwalimu mgeni
Baba joan Ni Sawa Na msafiri aliyechelewa basi lkn amefika Salama ..Mwalimu mgeni Na hii Ni zaid Tosha Za kufungia mwaka
Good job baba Joan and your team🥰🥰
Ukovizuli sana Tanzania yetu MUNGU kaibariki kwa vipawa vingi
Waaaaooohh na hii iko bomba jaman nakupenda bule baba joan
Amo o seu trabalho❤❤❤❤❤❤
Welcoming new sereis ❤baba joan tupo n wewe mbaka tamati❤❤
Nakubali kazi yenu imeweza sana 📽️📽️📽️💯💯🔥🔥✅
my best baba joan unajua mpaka unakera
Big up kaka tupo pamojaaa❤❤❤
🥰🥰🥰🥰
Hio Kali sana mr tusubhire kazi nzuri sana tunamsubili mwendelezo
Wow ❤❤❤tumeanza na utam jaman
Me niwaombee tu dua vipaji vyenu vzd kung'aaa
🎉🎉🎉safi baba Joan
Baba Joan kwakweli video zako Ni nzuri Sana Na zinafundisha kitu mm niliku sijafahamu kuwa uko Na vizideo nzuri ,SAA hii nimejuwa nazifuatilia polepole
Nizuli sana kabx mnajuwa
Jmn mm hyu mwalimu nampenda bure hongera xna
Hakika Movie zako ni Darasa tosha kwa kizazi cha sasa, Hakika upo vzriiii sana Baba Joan blessed
Mwambie patronize ajtahd kuweka sura ya huruma
Much love to Baba john
Mwanangu wa kila boyz umeuwa sana unajua mkuu.
Never give up wanangu tuliweke abilities hilo❤❤❤❤
Mwalimu mgeni hongera sana kwa kazi nzuri
Baba jonh aijawahi kufeli kaka nakukubali saana
Napenda sana kazi zako za uigizaji baba joan hongera sana
❤❤ kaz nzur Nakukubali saaanaaa mzazi
😅😅buku imekua msimbazi,,, kweli pombe sio chai 😅
Hongereni sana mambo yakikaasawa lazima niwapongeze ,kazi mnajua vizuri nakubali sana tusubhile& patronize hakika mnaweza 💯%
🎉🎉🎉🎉❤❤ nice 👍
Thanks mwalimu mgeni but patronize continues winning my heart each and everyday 💝🌺
Baba Joan kanzi nzuri Kama unamkubali acha like hapa
Inawezekana kwang mm ww ndio mwanafahis bora big up kaka
Congratulations 😊Nafaidika na kujifunza nikiwa. Oman 😊
Nkupenda xana mwana kazi kuntu
Mwalimu hapa umevuna kabisa pia naishi raha sana kwa jinsi unavyotatua migogoro
Kutoka kigoma muha mwenzetu huyu gonga like
Mm pia nafurahii kuona hii tena natumain itakua nzuri kma iliyo isha inshallah ❤❤❤
Baba joan We Nimkali sana god bless u
Waoooo me huwa sicoment lakin baba joani nakukubali sana tena saaaaaaan yan saaaaaan nikion move zako za shule shule naenjoy san
Hongera sana baba joan kwa kutuletea vitu motomoto
Another one love from 🇰🇪
Haaahaaaa❤rk sio lazina muhimu tuna ifatilia mwanzo had mwishw🎉❤
Aiseee gud San kaka umeutikisa ubongo wangu pamoja na hisia za machozi
Endelea hivyo baba joan unafanya kazi nzuri
Mbona unapenda mambo ya shule sanaaa😅
Mimi pia nawafuata hatua kwa hatua. Kutoka Burundi. Hongereni sanajamani
Love baba joan❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 napenda kazi zako mungu akutangulie