Nawapongeza sana kwa kazi hii nzuri mno. Hapa sio tu mmeibua vipaji, lakini pia mnajenga utamaduni wa msingi wa watoto kujua kuwa uigizaji ni kazi na ajira kama ajira nyingine tu. Wasifikiri kuwa, ni lazima wakafanye kazi ofisi za serikali. Good job.
Napenda sana kazi ambazo baba joan anazifanya jamani naomba like kwa baba joan kwa kazi zake nzuri anazo zifanya
Kazi nzuri sana baba joan mapema ndo best watching you outer doha Qatar likes zikam sitaona mbaya
Baba Joan uko vzr sana kweny sanaa ya uigzaji
Kam unamkubali babjoan mpe like zake
nimewah kwa baba joan naombeni like
Nimekuwa wa kwanza jaman naomba like zangu
Hongera baba Joan Kwa tamthilia nyengine lakini isiishe haraka kama hizo zingine love from kenya 🇰🇪
Hongera sana Baba Joan hapa Kenya unatamba sana ✅✅✅✅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kibara umefika uku hii movie itazidi kungaaa baba Joan na kipara hoyee 🎉😂😂 like bila kukoma aki napenda kipara vile anajua poa kwa movie
Hongera baba Joan kwa kutuletea tamthilia nyengine nzuri ❤❤
Aiseii leo nimekua wakwanza
Jaman nimekua wakwanza nipeni like ata mbili nitaxhukulu❤❤
Kipara welcom nakujua hunag tabia ya umbeaumbea
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh inatosha ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😢😢😢😢❤❤❤😢
Vipara wanaman😂😂😂😂 na hapa ipo😂
Hongera baba Joan ❤
Nawapongeza sana kwa kazi hii nzuri mno. Hapa sio tu mmeibua vipaji, lakini pia mnajenga utamaduni wa msingi wa watoto kujua kuwa uigizaji ni kazi na ajira kama ajira nyingine tu. Wasifikiri kuwa, ni lazima wakafanye kazi ofisi za serikali. Good job.
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
Hadi kipara yupo kah noma sana
Dotto na msemo wakeee ❤❤ ila uyu baba joan kama kashushwa kutoaga muv kaliii 🎉🎉❤❤
wa kwanza leo
Ongera sana mwalimu tumaini ukovizuri
Hongera sana baba Joan mbona nimewai japo sikua wa kwanza lakini nimewai ya kwanza Yuko pamoja sana Hadi tamati
😂😂😂😂 piga kelele kwa kwa kaka wa mwanafuz
Hahahahah baba joan you are so creative 🤗 congratulations 👏🎉
Wakwanza ... Likes 🎉zenyu from dar es salaam
Jamani wakwanza leo naombeni like zakutosha
daah fantastic sana baba joan
Nimeipenda sana hii move🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Am happy the way you know how to handle cases baba joan.uko na hekma kabisa kaka
Hongereni sana kwakazi mnayo fanya ❤❤❤
Congratulations 🎊 👏 Mr baba joa tuko Kenya 🇰🇪 👏 twawafatili😊😊😊😊❤❤❤❤❤
Kutoka D.R.C wa kwanza mimi,mnipe like zangu.
Baba munafanya vema hata natamani kuwa mtanzania niwe mchezaji kama nyinyi🇨🇩♥️🇹🇿
Ala mwanafunzi anataka mapenzi na mwalimu 🤣🤣🤣🤣🤣kaz ipo haya msitucheleweshee next ep
Ama vipi
Baba joan mimi nataka siku moja ufae sura ya kasi wachahuruma mingi❤❤❤
KAZI nzuri ❤❤❤❤❤❤❤
Nimecherewa lakini naomba like
Patronize wapi jaman 😂 mwamba namkubali sana
Mamaaweeeee zuu umefika mbali jmn yaan umevuka mipaka khaaa 😂😂😂 eti anataka kitembea na mwalimu wake ili asichapwe😂😂😂😂
Kipara oee baba Joan keep it up
Kipara vevoooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Gonga like Kama umefurah kumuona doko
Baba Joan naomba kma itawezekana hiyo kipidi iwe na wimbo pia am from meru na pia naomba kuwa pia kwenye kipindi akh
Kazi nzuri sana baba Joan, na hii kuonyesha ni kali sana juu iko na kipara😂😂😂 😂😂😂😂 nawapenda sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nzuri ❤😂
Karibu baba Joan
Nice , unajua baba joan
Wakwanza mm leoooo
Jaman madam Vick mwanafunziiiii❤❤❤
Wow❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉Baba Joan hauna baya
Huyo zuliet ni mrembo walai,,,anaeza fanya niuze niuze Mombasa county nibuy Tanzania nzima 😂
Nawapenda Shani ❤❤
Umepigaje hapo😂😂😂😂
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
Nimekuwa wa mwisho nipeni like zangu😂😂
Saf san baba joan🎉🎉
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
Hongera San babajaon
Kweliii timuu imetimia humu yaaan hatar kweliiiiiiiiii
Wa kwanza leo nipeni like zangu
kama kawa kama dawa nami nipo
Oe wadau mumemuoba vick😂😂😂😂❤❤❤🎉
Sijawahi jua kama hapa ni watu wawili tofauti
Toba hiyo ya mwisho imenitoa macho kama mwalimu tumaini
Kipara usilete tabia za umbea umbea kwa wanafunzi😂😂😂
Well done 👍 for the good work you are doing mr ur movies are educating me as a youth and you empower me to have soo much courage and confidence
Naona masomo yamepata walimu wapya🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fire brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪
❤❤❤❤❤❤❤ naikumbali sana kutoka kenya
Nashidwa hata kuchangia hoja kilamtu wakwaza kwani inamaana gani🤣🤣🤣
From Kenya hapa mmi
Baba joani kwan maisha yetu imaisha?
Ndiooo
Baba Juan nakukubali sana
Rwanda 🇷🇼 tuko pamoja
Niceeee
Very nice and wonderful
Baba levo kwel uchawa ni dili inabidi vyuo vitoe course ya kufundisha uchawa
Sijachelea sana nipen like.zang
excellent baba joan
Ndouzuli 🎉 from kenya
Huy mwanafunz anay jisomea kil sik mbn Kam kakonda
Good job ❤❤❤😮😮😂😂😂
Mwalimu madevu unaulimi Kama mwamke
Vipara wanaman😂
Nimekuwaa. Wa 50. Nipeni like hata 10 tu. Baba Joan apewe maua yake❤❤🔥🔥
Doko oyoooo wenye vipara hawachekeshii😂😂
Dada zuuu
Saf kbs😂😂😂😂😂
Bora umemleta uyu kipara😊
Matusi madamu
Ongereni ❤🎉❤
Good job
Did I hear hasira ya mkisii 🤣🤣🤣 🤣🤣 ama nko zangu
Hata Mimi nimesikia hivyo
Zujati nimrembo sana
Kipara😂
Much love from saudi
❤😂😮👍 👌 👏 nice
My name tumain❤❤❤ oyoo
Whats up mbona mlifuta mara ya kwanza???
Daaa sema broo badilisha bas idea kam clam unaupiga mwing ila tupe idea tofauti tofauti naweza kuandika story km vp nichek nikupeee
nimekwamia apo apo kwa mahusiano ya kimapenzi