ELEWA VIZURI USIBEBE VIPISI VYA MANENO.KASEMA UTAKUWA MGUMU KWA VILE WAPINZAN WANAMJUA LKN KASEMA UTAKUWA MSIM MZURI PIA KWA VILE WACHEZAJI WANAIJUA PHILOSOPHY YAKE NA WACHEZAJI WALIOPO NI BORA ZAIDI.Usidhan HATUIJUI lugha😂😂😂😂😂
Nilivyo Muelewa Kocha Gamondi Kati Ya Hoja Zake Zilizokwenda Shule Na Zinatia Moyo Ni Ile Ya Kuwataka Wanachama, Mashabiki, Wapenzi Pia Wachezaji Wasibweteke Kazi Ni Ngumu Msimu Huu Kuliko Msimu Uliyopita. Kwasababu Sasa Hivi Watu Wote Wanaijua Yanga Afrika Nzima Hivyo Hatutakiwi Kubweteka Eti Sisi Tunajua Hapana (We have to fight) Anasisitiza Kupambana zaidi Mashabiki Na Wanachama Kujitokeza Kwa Wingi Viwanjani Ili Kuisapoti Timu Yetu Na Hicho Ni Kigezo Cha Kuifanya Yanga Kuwa Katika Tano Bora Afrika Pamoja Na Kushinda Mechi Uwanjani Haitoshi Bila Sapoti Ya Mashabiki Kujaza Viwanja. Na Mimi Nikiwa Mwanachama Wa Yanga Na Shabiki Niwaombe Msimu Huu Tuvunje Rekodi Ya Kujaa Viwanjani Ili Tumsaidie Kocha Na Wachezaji Wetu Kutimiza Ndoto Ya Kuifanya Timu Ya Yanga Kuwa Katika Tano Bora Barani Afrika Na Kuwa Miongini Mwa Timu Kubwa Kabisa Barani Afrika Tushikamane Kila Kitu Kinawezekana Uwezo Tunao. Tuache Tabia Ya Kumwagiana Maji Viwanjani Inakera Na Inavunja Moyo Kwa Baadhi Ya Mashabiki Wanaojitokeza Kuja Kushangilia Timu Yao Ni Ushamba Binafsi Sipendi Kumwagiwa Maji Uwanjani Tuonyeshe Ukomavu Wa Ustaarabu Na Kero Isiyoumiza. 2024/2025 Unakwenda Kuwa Mwaka Wa Mafanikio Makubwa Ya Timu Yetu Barani Afrika Kumbukeni Yanga Inatuhitaji Zaidi Kuliko Tunavyoihitaji Yanga. TULIPE ADA Kwa Wakati Na Tujiandikishe Kwa Wingi Kwa Wale Ambao Bado Hatujajiandikisha Kuwa Wanachama. Usisahau Mafanikio Ya Yanga Yako Mikononi Mwako Acha Kuwa Mamluki. Twendeni Burundi Tukaianze Safari Ya Kuipeleka Yanga Kuwa Tano Bora Barani Afrika Inawezekana Ni Sisi Kuamua Tu. #YangaMbeleDaimaNyumaMwiko. +255 625 834 749.
nani amemwona kocha anaongea akiwa na furaha, hisia, hakika, matumaini makubwa na ana amani kubwa moyoni? 🇹🇿+🇲🇿🇨🇩🇺🇬🇿🇲🇿🇼🇮🇪 bendera ya Dr sioni au siijui😂😂
Elewa maana ya damu yake ni ya America ya kusini na ni Argentina na Italy pia watuwako tayaribkufia uwanjani sasa leta team yako yawatoto uone kitakacho tokea
I appriciate your observation as well the way as Coach you are trying to make us avoid over expectation baring the game nature but also our position and how we are considered especially our opponents-+precautionBT MR GAMOND WE NEED ANOTHER QUALITY CENTRAL DEFENDER.WE CANT RELY ONLY ON (THREE CENTRE BACK).
Admin napendekeza video kama hizi zenye luhha za kigeni, kuwe na subtitles ili kila mwananchi aelewe na kuongeza mvuto kutazama. Wasalaaam
Kazi Iendelee akhui kila la kheri inshallah mola awajaalie
Mashaallah Nakuomba M/Mungu mjaalie Kheir na Afya Kocha wetu Inshaallah
Mimi nashangaa cjui watu hawaelewi yani imeandikwa kabisa yanga Tv alaf unakuta Debora ka comment makasiliko yake😂😂
@Yanga TV nashauri muweke subtitle ya kiswahili kwani sio watanzania wote wanafahamu kiingereza.
In sha Allah mtafanya vzr navijana wako
Very high expectations, but very realistic, another big point from football coach🎉🎉🎉🎉
Young Africans MUNGU aliye hai yupo upande wetu, ubingwa wa CAF champions league ni wetu, achana na kina Debora,
Mashabiki wa yanga mnamsikia kocha Gamondi, kuwa msimu huu anauona mgumu kwa upinzani wa timu nyingi.
Kwan msimu uliopta alsema msimu utakua mwepesi?hakuna kocha wakusema et lazma tuchukue ama msimu n mwepes
Uwe mgumu uwe mwepesi nyinyi makolo hamsa ziko pale pale 😅
ELEWA VIZURI USIBEBE VIPISI VYA MANENO.KASEMA UTAKUWA MGUMU KWA VILE WAPINZAN WANAMJUA LKN KASEMA UTAKUWA MSIM MZURI PIA KWA VILE WACHEZAJI WANAIJUA PHILOSOPHY YAKE NA WACHEZAJI WALIOPO NI BORA ZAIDI.Usidhan HATUIJUI lugha😂😂😂😂😂
Endelea kujifunza kiingereza, utaelwa vizuri soon.
Who should learn English in order to understand well the coach?? Coach Gamond is very clear.
Master Gamondiiiiiiiiiiiii
GOD is good all the time and all the time GOD is good congratulations Caoch good work all the best all be blessed Yanga
I love you yanga forever
Master gamondi
He said he is Argentinian and Italian...He is a fighter ...he like fighting...
I can feel it
first to coment yanga bingwaaaa
Sawa Boss 🎉🎉🎉
@@amaniomar1755 unantenga sana boss wangu
My team 🔰💚💚💚💚💚👏
Nilivyo Muelewa Kocha Gamondi Kati Ya Hoja Zake Zilizokwenda Shule Na Zinatia Moyo Ni Ile Ya Kuwataka Wanachama, Mashabiki, Wapenzi Pia Wachezaji Wasibweteke Kazi Ni Ngumu Msimu Huu Kuliko Msimu Uliyopita.
Kwasababu Sasa Hivi Watu Wote Wanaijua Yanga Afrika Nzima Hivyo Hatutakiwi Kubweteka Eti Sisi Tunajua Hapana (We have to fight) Anasisitiza Kupambana zaidi Mashabiki Na Wanachama Kujitokeza Kwa Wingi Viwanjani Ili Kuisapoti Timu Yetu Na Hicho Ni Kigezo Cha Kuifanya Yanga Kuwa Katika Tano Bora Afrika Pamoja Na Kushinda Mechi Uwanjani Haitoshi Bila Sapoti Ya Mashabiki Kujaza Viwanja.
Na Mimi Nikiwa Mwanachama Wa Yanga Na Shabiki Niwaombe Msimu Huu Tuvunje Rekodi Ya Kujaa Viwanjani Ili Tumsaidie Kocha Na Wachezaji Wetu Kutimiza Ndoto Ya Kuifanya Timu Ya Yanga Kuwa Katika Tano Bora Barani Afrika Na Kuwa Miongini Mwa Timu Kubwa Kabisa Barani Afrika Tushikamane Kila Kitu Kinawezekana Uwezo Tunao.
Tuache Tabia Ya Kumwagiana Maji Viwanjani Inakera Na Inavunja Moyo Kwa Baadhi Ya Mashabiki Wanaojitokeza Kuja Kushangilia Timu Yao Ni Ushamba Binafsi Sipendi Kumwagiwa Maji Uwanjani Tuonyeshe Ukomavu Wa Ustaarabu Na Kero Isiyoumiza.
2024/2025 Unakwenda Kuwa Mwaka Wa Mafanikio Makubwa Ya Timu Yetu Barani Afrika Kumbukeni Yanga Inatuhitaji Zaidi Kuliko Tunavyoihitaji Yanga. TULIPE ADA Kwa Wakati Na Tujiandikishe Kwa Wingi Kwa Wale Ambao Bado Hatujajiandikisha Kuwa Wanachama.
Usisahau Mafanikio Ya Yanga Yako Mikononi Mwako Acha Kuwa Mamluki.
Twendeni Burundi Tukaianze Safari Ya Kuipeleka Yanga Kuwa Tano Bora Barani Afrika Inawezekana Ni Sisi Kuamua Tu. #YangaMbeleDaimaNyumaMwiko. +255 625 834 749.
Good Coach ❤❤
Gamondiii888🎉
Good Mr Gamondi
KWAIYO NDYIO HAMTAK KUNIMBULISHA AU PAKA NIJITAMBULISHE MWENYEW
Kwani we nani
😂
huyooo balekee😂😂😂
Jamani wana yanga wenzangu nawasalimu😊
Yanga ni Bonge la dudeeeeeee 🎉🎉🎉
Mungu azidi kutusimamia, Kuwapa uimala wachezaji wetu na Bench zima la Ufundi. Hakika tutafika na Ubingwa tutabeba kwa uwezo wa Mungu
Young player not youth, that's a point
If you know English, you would comment that. He explained that very clearly.
Parfect coach
Master Gamondi 🎉🎉🎉
content za yanga zina quality sana yani dah
Nakubali broo anguu
My team🎉🎉🎉
It's not about names It's about inside the pitch.
Well said M Gamond.
#McGibson
Yanga bingwa ✅
Master plan gamond
Safi kocha
YANGA HAVE TO THINK ABOUT BUNDESLIGA TEAM AUGSBURG FIRST ITS A BIG BIG FRIENDLY GAME AND IF WE GET BAD RESULTS IT WILL AFFECT US .
Mimi nashauri yanga akihojiwa gamondi iwepo tafsiri ya maneno ili hawaelewi twende nao sawa
Wapinzani watapani kukwepa 5Gs
Mtego huu Debora FC msilete team uwanjani😂😂😂
The best coach
Thenk you
Young Africans forever
Exclusive
Uwakika gamond
MTEGO HUO... usilete timu uwanjani
Kuna watu wako misri acha wachezaji wazoee upepo misri waje kukaa bongo ni maajabu
Th nane panga wote makolo tuwafunge mengi
Tunataka magori mengi makolo wamfukuze kocha wao
Komasava🤲🤝🤝💪💚🔋
Young players, not youth hii bonge la point
Good luck!
💚💛
Wananchi muwe mnakuja uwanjan
Mie sielewa jmn anachokiongea kocha wetu 😢 shule nayo kumbe ni nzur
Hamna ktu hapo, msimu huu ni kichapo tu, za kichwa
Debora kama debo
💚💛🖤🙏
Picha rinaanza
Afu siku nyingine usituletee interview ya English tutakuwa hatuangaliii
Umeitwa hapa we debora vp
Atafika mbali namuona
Mashine zakazi
Mtego huo 😂😂
Diara na doctor aucho bado sijawaona
Na msonda hayumo jaman
@@SifaJasitinwote wapo
Musonda na aucho washafika ila diara bado mbn diara aliongeza mkataba mpaka 2027
nani amemwona kocha anaongea akiwa na furaha, hisia, hakika, matumaini makubwa na ana amani kubwa moyoni? 🇹🇿+🇲🇿🇨🇩🇺🇬🇿🇲🇿🇼🇮🇪 bendera ya Dr sioni au siijui😂😂
Elewa maana ya damu yake ni ya America ya kusini na ni Argentina na Italy pia watuwako tayaribkufia uwanjani sasa leta team yako yawatoto uone kitakacho tokea
aliwatani Mbna leo hakuna translates Kwa swahili
🤣😂watu mna nongwa mmefanya adi wafute video ya abuya kisa mmemuona baleke
Mbona diarra haonekan mazoezin yuko wap?
Aucho yupo wapi na diara
Aucho kafika jana
Kocha Musa yupo wapi?😢
Ata umenikumbusha
Utopolo
Deboraha fc mambo mwaya😂😂😂😂😂
@@user-ox3ij7ki3t Kaingilia shughuli hata haimuhusu maskin,...
Unasemaje Deborah
Utopolo
Ukitaka kuwa ukolo nini Lete timu tarehe name
Deborah fc mambo vip umeshajifungua maana vipimo vilionyesha kuwa ulisajiliwa ukiwa na mimba😂😂😂😂😂
I appriciate your observation as well the way as Coach you are trying to make us avoid over expectation baring the game nature but also our position and how we are considered especially our opponents-+precautionBT MR GAMOND WE NEED ANOTHER QUALITY CENTRAL DEFENDER.WE CANT RELY ONLY ON (THREE CENTRE BACK).