AYO TV YATINGA KAMBINI KWA MAMA MZAZI WA BACCA, FAHAMU USIOYAJUA "YEYE PIA NI AFANDE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2023

КОМЕНТАРІ • 318

  • @husseinrashidi5828
    @husseinrashidi5828 7 місяців тому +50

    MashaAllah umuhimu wakuwa Na wazazi dua ya mzazi haina kiziwizi Allah mpe umri mrefu mama yangu

  • @mropaehambi1889
    @mropaehambi1889 7 місяців тому +39

    Heshima kwako mama tunakupenda Mwenyezi mungu akupe maisha marefu

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 7 місяців тому +33

    Hongera mama Ibra umejitahidi Mungu akuhifadhi na family yako na akuongozee wanao.❤

  • @khamismjakafaki7714
    @khamismjakafaki7714 7 місяців тому +23

    Hongera sana mama, Allah akuzidishie hekima na busara za kujali watoto wako na watoto wa wenzako na uzidi kuwaombea duwa.

  • @Iddy-lg1ly
    @Iddy-lg1ly 7 місяців тому +32

    Mama bora sana huyu mungu ampe maisha marefu

  • @saidsingano7974
    @saidsingano7974 3 місяці тому +6

    Jamani huyu mama baka yuko safi kujieleza mashallah❤❤❤❤

  • @user-ei6zg3us5s
    @user-ei6zg3us5s 7 місяців тому +18

    Mashaallah Mashaallah..mama..nimefurahi sn..kuskia muda wote ukimtaja..muweza qa kila..inshaallah..ALLAH Azd kuwongoza kwa kumtegemea ALLAH

  • @SuleAhmad-lt5qc
    @SuleAhmad-lt5qc 7 місяців тому +20

    Umezungumza ukweli mama huyo kijana alijifundisha mpira na kufundishwa mpira pemba na Dula okocha timu yao ilikuwa inaitwa young boys mm nikiwa na timu yangu super Falcon

  • @AbeidRamadhan
    @AbeidRamadhan 7 місяців тому +27

    Allah warehemu wazazi wangu wape Nuru ktk makabur yao

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 7 місяців тому +38

    Hongera sana mama ,tumefurahi sana kukuona mama yetu💥💥💥

  • @dianarosekaugira5608
    @dianarosekaugira5608 7 місяців тому +23

    mpaka rahaaaaaa baba mheda mama mjeda mtoto mjeda tena wote wananidhamu nzuri

  • @RamadhaniMwandambo-fx9sb
    @RamadhaniMwandambo-fx9sb 7 місяців тому +22

    Mashaallah mama yuko vizuri, bado kijana kabisa

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 7 місяців тому +18

    Hongera sana mama unaongea kwa nidhamu kubwa.

  • @user-iv9dh6kv9g
    @user-iv9dh6kv9g 7 місяців тому +13

    Jamaa alikichafua sana mama mzaa chema huna baya mama ana nidham sana❤❤❤ ukiw na mama kam huyu hutopata shida

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 7 місяців тому +39

    INGEKUWA MAMA YAKE FEISAL HAPA MANENO YANGEKUWA MEEENGI SANA KWELI ELIMU INASAIDIA

    • @GloriaMillinga
      @GloriaMillinga 7 місяців тому +1

      Hahaha 😂

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 7 місяців тому +1

      Kama feisal anakula ugali sukari lazima mama apige kelele😂

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 7 місяців тому +2

      Hayo ni YAKO mjaa chuki

    • @user-ps7ej3ep4e
      @user-ps7ej3ep4e 7 місяців тому

      Acha kusema mama za watu wewe

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 7 місяців тому

      @@MACHOYATAI-jk6fu chezea ugali sukari lazima mama atoe mlioo!!

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 7 місяців тому +14

    cheo alichonacho kwa hapa tz ni mkuu wagereza la wilaya au mkuu wa polisi wa wilaya hongera sana mama

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 7 місяців тому +79

    Kam Unakubal Wa Mama Wote Duniani Weka Likes Hapa 🎉🎉🎉🎉

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 місяців тому +21

    Dua ya mzazi haipingiki mashaallah umeongea km mzazi lkn nimejikuta nalia mimi alhamdulil,la m,mungu awaongoe watoto wetu

    • @user-ei6zg3us5s
      @user-ei6zg3us5s 7 місяців тому

      Wallahi..me mwenyewe mwil unanisisimika kwa maneno mazur..mashaallah

  • @user-iv9dh6kv9g
    @user-iv9dh6kv9g 7 місяців тому +21

    Daah yan hapa nimejifunza kitu hapa ukiw kweny familia inayopenda dini na kumtukuza mwenyez mungu lazima mamb yak yaende vizur

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 7 місяців тому +10

    Duh !!!!! haya waislamu tusome sana dini yetu tuifahamu subhana Allah

  • @salaita2829
    @salaita2829 7 місяців тому +16

    Siipendi kabisa yanga,ila kuna wachezaji wa yanga nawapenda mno,mmoja wapo ni huyu bacca,mama kama huyu anaonekana ni mama bora sana.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 7 місяців тому +23

    HONGERA SANA MAMA BACCA MZAA CHEMA

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 7 місяців тому +13

    Baca katoka familia yenye kipato,Dogo hana njaa.Safi sana beki letu la kazi.

  • @saadashoje313
    @saadashoje313 7 місяців тому +62

    Nimekupenda unavyojieleza vizuri n huna roho mbaya n watoto w wenzio unamkubali Feisal n hata kumpa nafasi kwamba pengine hii siku ingekuwa Feisal Day, hakika huo n moyo w kuridhika

  • @ronaldowilson8165
    @ronaldowilson8165 7 місяців тому +19

    Nani kaona tofauti ya mama Feisal toto na mama Bacca.

    • @omarylukindo5306
      @omarylukindo5306 7 місяців тому +1

      Ww mbona hujasema mamaako nae ana cheo gan

    • @minnahloveiove1074
      @minnahloveiove1074 7 місяців тому

      ​@@omarylukindo5306kwan kasema cheo jmn kasema utofauti yan ana maanisha ktk mazungumzo khe

    • @ronaldowilson8165
      @ronaldowilson8165 7 місяців тому

      @@omarylukindo5306 achana na mama angu.Usimfananishe na mama ako maraya kahaba.Au nikutumie picha za mama ako akiwa anagalagazwa

    • @ashahally7456
      @ashahally7456 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂mama fei alilishwa tango poriii

    • @sumadashsumadash-yx8eb
      @sumadashsumadash-yx8eb 7 місяців тому +2

      Mama Feisal sio mbaya ila alilishwa Sumu na matango pori na machawa wale wakujiita Mawakala

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 7 місяців тому +22

    Kumbe katokea kwenye familia ya majeshi kabisa 😊😊😊🙌

  • @athumanimgumia7209
    @athumanimgumia7209 6 місяців тому +2

    Mungu amzidishie uwezo mkubwa wa uchezaji, Mama samia hongera kwa kuendeleza nchi na michezo sasa watanzania tunacheka tunafurahi saaaaana

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 7 місяців тому +14

    Mungu akutunze mama na uzao wako..ukale matunda ya uvumilivu wako.

  • @jamesmartin7026
    @jamesmartin7026 7 місяців тому +15

    Ahaa! Kumbe ndio maana kwenye dk 90 anawaweka washambuliaji korokoroni!! 😂😅

  • @paulnyingo7316
    @paulnyingo7316 7 місяців тому +13

    Huyu mama ni kiongozi na mama bora ,amejieleza vizuri sana.big up mama mzee chema,Nimecheka anasema baba Ibra mkali yupo kijeshi zaidi😃😀😀

  • @user-zw9go7xw8l
    @user-zw9go7xw8l 7 місяців тому +7

    Baraka za wazazi zinaonekana nimempenda sanaaa mama hapindishiiii

  • @KhamisAbdallah-lm9tn
    @KhamisAbdallah-lm9tn 7 місяців тому +13

    Mashallah,mumezaa chema kabisa,Allah amuongezee mafanikiyo.

  • @KaroliMagana
    @KaroliMagana 7 місяців тому +8

    12/11/1999 siyo jumatano ni ijumaa but much respect mom

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 7 місяців тому +16

    Mama usiache kuswali Bacca day furaha inoge murudi Zanzibar nafuraha

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 7 місяців тому +14

    Masha-Allah

  • @Nguvumoja255
    @Nguvumoja255 7 місяців тому +16

    nimemwona na kumsikiliza mama ananipa moyo wa kupambana moyo wa kupambana ili mama aje anisifie na mimi

  • @MosesMamaya
    @MosesMamaya 7 місяців тому +5

    Hongera sana mama huna roho mbaya kweli in'gekuwa feisal day

  • @user-fl4jy5zj3v
    @user-fl4jy5zj3v 7 місяців тому +2

    Mashallah nimekupenda sana mama una busara na hofu ya mungu❤❤❤

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 7 місяців тому +11

    Mashaallah mabrook 🥰

  • @nasrybinahmad4245
    @nasrybinahmad4245 6 місяців тому +1

    Mama anahekima na moyo wake mkunjufu sana anamkubali sana fei na alishukuru jambo kuisha ila anaipenda yanga ba wachezaji wake pendwa ni Job na Mwamnyeto japo mwanae ndio nafasi anayocheza pia aseee mama hana kinyongo big up mama

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 7 місяців тому +11

    Kweli bacca kalelewa kijeshi jeshi

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 7 місяців тому +12

    I IOVE MY MOTHER 💚🖤💕

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 7 місяців тому +7

    Ma sha Allah

  • @idarous09
    @idarous09 7 місяців тому +4

    zanzibar mpira tokea asubuh watoto wetu wanapenda mpira huku

  • @fainaabdillah9966
    @fainaabdillah9966 7 місяців тому +10

    Mi nimempenda mama

  • @adamuandrea6658
    @adamuandrea6658 7 місяців тому +8

    Mama Bacca siyo sacap mama, wewe ni super mama

  • @boanerguebayisenge266
    @boanerguebayisenge266 6 місяців тому +2

    Allah Amjaalie Maisha Mema kijana mwenzangu 🙏🏽🙏🏽

  • @AngleMlembe
    @AngleMlembe 7 місяців тому +3

    Yanga oyee mama anajua kuupiga mwingi❤❤

  • @umikifupa-mi3re
    @umikifupa-mi3re 7 місяців тому +13

    Good family

  • @hpenyika7686
    @hpenyika7686 7 місяців тому +9

    Hongera sana mama Bacca

  • @user-jh8qy2ue6o
    @user-jh8qy2ue6o 7 місяців тому +9

    Ukiona beki kapita Taifa Jang'ombe tena beki simchezo Vita Costa Nyumba Nampoka pia kapita

  • @user-pl3du3jf8s
    @user-pl3du3jf8s 7 місяців тому +26

    Kumbe baca ni Young boy was born 1999

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 7 місяців тому +9

    Milad ayo tunasubir muendelezo wa kaka Dullah kocha wa mwanzo wa Ibrahim bacca yoko please 🙏 pemba sio mbali tunakuamin

  • @BiasharaZetuPoint
    @BiasharaZetuPoint 2 місяці тому

    Wow mama mzaa chema namkubali sana Bacca bonge la beki yani🥰🥰🥰💛💚💛💚

  • @masahanishija240
    @masahanishija240 7 місяців тому +4

    Asante mama mpende mwanawe.

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 7 місяців тому +12

    Mamake mzuri ma sha Allah

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 7 місяців тому +6

    Tarehe 12 Novemba 1999 ilikuwa Ijumaa, kalenda

  • @hamzalipuye7198
    @hamzalipuye7198 7 місяців тому +3

    Maisha bwana ni kigeugeu 🙆🙆 yaani furugu zote za fei kumbe M/MUNGU alikuwa anamuweka kando ili amuibue Ibrahim, fanya ujinga uondoka wenzio tunapataka 😂😂😂😂😂😂 Asante MUNGU .

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 7 місяців тому +4

    We mama bado mdogo jmn hacha kumbania mzee. Zaeni bwana mkwanja mnao wa kuwalea

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 7 місяців тому +8

    Mashaallah mama 🎉🎉

  • @utaani1
    @utaani1 5 місяців тому +2

    Miaka ya 1990 mpaka 2001 Pemba mpira ulikuwa kama ibada, kulikuwa na wachezaji wakali mno

  • @mbagaragyunda2538
    @mbagaragyunda2538 7 місяців тому +1

    Asante mma nimekuelewa

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

    Maashallah mama

  • @NahozaOmary
    @NahozaOmary Місяць тому

    Asante sana mam mzaa chema

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 7 місяців тому +6

    Tumepata fuzo kuwa kila jambo unalotaka mkimbilie الله ndio suluhisho pekee

  • @user-lr7hm1xk6j
    @user-lr7hm1xk6j 7 місяців тому +2

    Hongera sana mama kwa malezi Bora ya Ibrahim bacca

  • @mropaehambi1889
    @mropaehambi1889 7 місяців тому +11

    Umeelezea mpka nimelia mama anaongea uhalisia kabisa imenipa hisia sana

  • @HussenMashaka-os9ok
    @HussenMashaka-os9ok 3 місяці тому +1

    Kwa sale wazazi wetu waliotangulia mbele za haki mungu awaweke mahala pema,

  • @aishamdinku9129
    @aishamdinku9129 7 місяців тому

    Masha'Allah

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 місяців тому +5

    wewe mama bora kabisa nawara si mama wakambo kama mh samia anae jari znz kuriko tanganyika kwa mikataba yake mibovu mungu akurinde mama irahim bakakar amina

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

      Unachanganya mada

    • @abhaaly
      @abhaaly 7 місяців тому

      Hujielewiii😂

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 6 місяців тому

      ​@@user-lt1bi5nr1xkadata tayari hawa watu wa yule mzee wapewe ushauri nasaha sana wanaweza kujinyonga..😅😅😅

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому +4

    Maafande wa magereza hawanaga mambo mengi.

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 7 місяців тому +12

    Respect bacca zanbar talent

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 7 місяців тому +5

    Masha Allah Alhamdulillah.

  • @user-we4xf9wt5f
    @user-we4xf9wt5f 7 місяців тому +8

    Huyumama anabusarakweli nikweli huyu niaskari

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 7 місяців тому +1

    Kumbe zile takoling huwa sio kawaid ni za kijeshi hakika nimeamin🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 7 місяців тому +1

    Mama bacca alikuambia anakula ugali na sukari kama fei au alikuambiaje? Love you mama bacca

  • @BarackaSaim-ev3gk
    @BarackaSaim-ev3gk 6 місяців тому +1

    Hongera mama ❤

  • @kanaanrajab1102
    @kanaanrajab1102 6 місяців тому

    Dah longtime since Mapembean,Mpira pesa,Taifa jang'ombe, Malindi,Kmkm,Yanga. Wayback we know Bacca❤.

  • @JohnMasanja-un1zf
    @JohnMasanja-un1zf 4 місяці тому

    Hongera sana mama mzaa chema

  • @user-zv8xz9ds1m
    @user-zv8xz9ds1m 6 місяців тому

    Ongera mama umeupiga mwingi❤❤❤

  • @user-ow5nb9bd8m
    @user-ow5nb9bd8m 7 місяців тому

    Mashallh

  • @MussaHenry
    @MussaHenry 6 місяців тому

    Hongera sana mama

  • @swafaayunus2916
    @swafaayunus2916 6 місяців тому

    Mama kaongea 💯 naupendo ❤

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 7 місяців тому +5

    Bacca wa 1999??? Du huu mpira unawazeesha😊

  • @user-pw8pc3by8p
    @user-pw8pc3by8p 7 місяців тому +5

    Nimeipenda hii interview ni ya ukwel kabisa ata baba yake mzazi aliongea kama alivyoongea mama na hasa historia ya jina la bacca

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 7 місяців тому +1

    مشالله تبارك

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 7 місяців тому +3

    Interview nxuri sana

  • @user-fg9kh6mz6k
    @user-fg9kh6mz6k 7 місяців тому +2

    Allah akujalie umri mrefu akuepushie husda fitna uwe namoyo huohuo pia dini ukiijua huwi na kinyongo wala roho maya hongera mama

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 7 місяців тому

    ❤❤❤mashallah

  • @adsonchisongela3768
    @adsonchisongela3768 7 місяців тому +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 7 місяців тому +2

    Jamani kwani uyu bacca amefanyaje mbona kila Kona yeye ? 😢 mwenye kujua anijuze plsss

  • @hajihamadi3525
    @hajihamadi3525 6 місяців тому

    Hongera sana mama❤❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀

  • @rachelmbalo9735
    @rachelmbalo9735 7 місяців тому +2

    Thank you mom kwa maneno mazuli hakika sitakata tamaa

  • @HalimaSuleiman-kt5wi
    @HalimaSuleiman-kt5wi 6 місяців тому

    Hongera mama

  • @ariphkimani3790
    @ariphkimani3790 7 місяців тому

    Aiseee safi sana

  • @user-hv5kl6op1i
    @user-hv5kl6op1i 6 місяців тому

    Nakubari🎉🎉🎉🎉❤

  • @peterkiondo3420
    @peterkiondo3420 7 місяців тому +1

    👏👏👏👏👏

  • @gaspermwasalemba3537
    @gaspermwasalemba3537 7 місяців тому +2

    Huyu mama anamfatilia sana mtoto ake hadi raha

  • @LahdadHajiChum
    @LahdadHajiChum 6 місяців тому

    So nice

  • @adrianomaziku6554
    @adrianomaziku6554 7 місяців тому +3

    Kitasaa 🎉 bacca