Barnaba feat Yammi - Nibusu (Lyrics Video)
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2024
- Music Video by Barnaba featuring he one and only Yammi, This is big. (NiBusu) is a sweet sound created by an amazing team. We all know that this was long awaited and it didn’t disappoint. The best Tanzanian vocalist Barnaba along with the beautiful and talented artist from ‘The African Princess Label’ Yammi, has been long overdue. This song is for the lovers and for the ones who can’t keep their hands off eachother.. The two excelling artists have put their work together to create this masterpiece and this is only the beginning of them. Special thanks to Barnaba’s english songwriter who has also written ‘All I Need’ and also been a part of production Rinaaldn for helping this masterpiece come to life, along with the one and only Majorkizy in producing. Video shot Directed by Wayan.
Get it now "NiBusu":ziiki.media/Nibusu-Barnaba
Stream/Download:linktr.ee/barnabaclassic
Listen to Barnaba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/barnabaclassic
Apple Music: / barnaba
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
Spotify: open.spotify.com/artist/3ICwB...
Deezer: www.deezer.com/en/artist/5244406
Catch Up With Barnaba on Social Media:
Instagram : / barnabaclassic
Facebook: / barnabaofficial
Twitter: / barnabaclassic
Catch Up With Yammi on Social Media:
Instagram: / yammitz
Twitter: / yammi_tz
TikTok: / officialyammi
Facebook: / itsyammitz
UA-cam: / @yammitz
+For More Information Booking Yammi:
Contact:yammymanagement@gmail.com
+For More Information Booking Barnaba:
Contact:Barnabamanagement@gmail.com
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
©2024 Barnaba.All rights reserved.
#Barnaba #Yammi #Nibusu
Yamm she has evil melody asie huyu dem niaatari sana bado sijaona mwenye saut kama yake she is de best 🇿🇦kama unamkubali yammi zaid like hapa
Meanza kongo sasa
humjui Rubby wewe.
Sema kila dem na nafac yake,kuna maua sama anaimba yule mtt,rubby,zuchu wote hao kiboko,,,❤❤❤❤
Hio english imenyooka. Wata wa Kenya gonga like ukisonga
English ya wakenya wanaongea na accent kama wanaongea kilugha.
@@belindagiliard8977ukitaka kujua English ni lugha yakawaida Sana njooo kuishi hapa uganda unakuta kichaa anakufokea kwa English 🤣🤣🤣🤣🤣
@@deogratiusyudatadei5658😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂@@deogratiusyudatadei5658
Wakenya English sio lugha yenu kuwaambia watu kama wanajua au hawajui.Acheni usenge
Wow sure huu wimbo ni 🔥 🔥
Walio elewa hii video ina tahadhal like, wimbo wa mahaba lakin yapo kwa mbaliiiiii tahadhal imefuatwa🎉🎉🎉🎉
Mbona tahadhali nimecheka😂😂
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=R31i56idKbO29Oe1❤
🤣🤣🤣🤣apo ungrmkuta diamond au harmonize ungefurahi angeshikilia kiuno na madoidoo kibao
Nakwambia vdeo imepoa anaogopewa mama mwenye kimbo zake mjini 😂😂
Dadeq jamaaa umeiwezea hatariii🎉🎉🎉🎉🎉,,,, like hapa kam umeipenda video hiii
KUW∆ NGUVU J∆PO M∆GUMU
ua-cam.com/video/9fJoXEHm0M0/v-deo.htmlfeature=shared
Sijawahipo kupenda nyimbo ya Barnaba kama nilivoipenda nyimbo hii. Yammy pia umetisha sana, saaaana.
Oooooooh wasanii hawajui Ngereza Asante Barnaba umenikomeshea majirani 🤣✌️🙏🏼
Yammi anakitendea haki kitu chako ukimshirikisha,Yammi nyimbo zote alizoshirikishwa basi kazitendea haki,na ana sauti nzuri ya kubembeleza.
Nyimbo imetulia kusema kweli maupendo kutoka Kenya 🥰🥰🥰🥰🥰
safii
Karibu Tz 🇹🇿
Dah,kumbe goma ndo lilikuwa kali namna hii,,,,au ndo vipi sema mamkwe mpaka kaifanyia Kiki ndo izidi kutrendi,,,barnaba na yammi wameufanyia haki wimbo huu,hongereni Sana.
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=R31i56idKbO29Oe1❤
Hiii ni Ya moto Kwa kweli jamani like japo 5 please
Kwako nmezamav penzi nipatie maziima,,,jeuri Sina haki nitafia madina❤🎉...from IG....anybody else????
Watu wangu wa Qatar, Saudi Oman, Dubai nawanangu wa Canada hebu gongeni like
San t
Oman ❤❤❤❤❤❤ is on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oman❤❤❤❤ba
Mimi nipo USA 🇺🇸 ila mimi ni mtanzania
Mungu ibariki wasanii wa Tanzania wote ❤❤❤
Yatakiwa hii Ngoma iwe trending no. 1 Kila kitu kipo sawa yake.... Slaps better than a slap from an African mum, 🇰🇪🇰🇪
Kaka unajua sana,
Dada yammy nae anajua sana.
jaman da! tunawapenda sana mashabiki zenu
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=R31i56idKbO29Oe1❤
Sema Barnaba unajua kuimba kinomaaaaa,wew fundiiii, usiwe unaweka gepu kak situnapend ladha hizi
Nilisema napita mwisho nimezama nipeni like 10
Wanaowuangalia huu wimbo then kuvuta sura ya mamkwe wa Barnabas mgonge like.
Moto Wallah...... Wapi likes zao jamani.. All the way from 254 🇰🇪.. I salute you for you guys
Imekaa njema sana @ Yammi unaweza mama👏🤝
Huyo ndo mwalimu wa music 🎉🎉 hajawah kosea 🔥🔥🔥
Mwenye ako nami kwa huu Wimbo mtamu anipe like ❤
Yammi ndo msanii ambaye saiv atakuja kumfunika zuchu sio poa yammi katisha sana🙌🙌🙌
Ngoma imeweza Saaana❤❤❤❤…barnaba kingereza na swahili zote umeua ❤❤❤❤yammy pia kazi swafi
Yammi namwona mbali sana kama akifocus kwenye kazi ni zaidi hata ya boss wake kwa talent 🌹🌹🌹🌹🌹
🎉🎉🎉
Sisi wakenya tunasema icho kingereza kimeenda shule,, approved 🔥🔥🔥
Akikosa c ndano yangu 😅😅 from Nairobi Kenya 🇰🇪 alf rdia video iwe town town
Yammi ww mutoto nibara napenda sauti yako❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦👌👌💯💯
Hii nyimbo ni moto🔥🔥ila umezua kizaazaa jaman🤔 mmeweza❤❤❤❤
Una flow kizungu Safi Sana broo bip up 🎉🎉🎉❤
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=R31i56idKbO29Oe1❤
Nakwambiya mama mukwe kapata yake yamoto kweli yammi unatupa haki yetu kweli ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wimbo uko pouwa Sana,big up sana.
Big Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮❤❤
KUW∆ NGUVU J∆PO M∆GUMU
ua-cam.com/video/9fJoXEHm0M0/v-deo.htmlfeature=shared
So hot...love it from 🇰🇪...
Huyu yammi kama hana mme mwambie aje huku kwetu nipo❤🤩🤩
Wewe unataka uanze kumpaka tope mtoto wa watu na ndio kwanza kaanza kuimba hebu uko
Shabiki ako tangu nko form four.. 2014 sauti yako n nzur barnaba.. Keep it up ad mama angu Anakupenda.. Naitwa witness
Dah,alafu pesa ikishaingia upendo Kwa family, barnaba yupo kazini jmn mama mkwe😊,bonge la ngoma ✨🔥
Nyimbo katingisha adi ndoa hili😂❤❤
❤❤❤❤❤
KUW∆ NGUVU J∆PO M∆GUMU
ua-cam.com/video/9fJoXEHm0M0/v-deo.htmlfeature=shared
Kk ile kaka jambo limeingia mjini
Kenya achieni like ya yagaaaa❤❤
Barnaba hapa umeuwa hio sautii ya mtoto mzurii ni hapo iko 👌
Daaar sikujua kama ngoma kali kias hichi huyu yammy yuko vizur baraaaaaa
Team flat yummy oooh yec vyakuiba havinogii🎉🎉🎉🎉🎉
God,blessing Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 😍 ✨️ 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖
Barnaba amenimaliza jamani na Kiingereza!
Yaani hongera umewaza na dada yemi...piga kazi waache wapige kelele ❤❤🎉
Hongera sana ngoma ni Kali sanaaaaaaa🎉
🔥🔥🔥🔥 mamkwe Bado hajasema yaan mpaka aseme
Nyimbo katigisha mitandao adi ndoa jameni hii iko🔥🔥🔥
One of the ALL TIME GREATS BRO WW NI DUNIA NYINGNE MOJA KATI YA ARTISTS AMBAO WAKITOA MAWE UWAGA HAWABOI TOKA NIKO SHULE YA MSINGI NAKULA NGOMA ZAKO FANYA SIKU MOJA UNIBLESS ATA LI PICHA LIMOJA NA WW NIWEKE MAGETONI KWNG MZEE YOU'VE BEEN INSPIRING LOT'S OF US STAY BLESSED ALWAYS
Nyimbo tamu haswasaaa ♥️ yammi
Bongeeeeeee langoma iseee sopowa hongera my bro jamani tuifanye ifike ontrending
Hiyo kizungu inavyo tamba🔥🔥🔥🔥🔥hadi utamu
Ngoma kali ❤️ Barnaba umejuw ku flow kizungu Safi sana 🎉🎉🎉
mi nimepapenda sana sanaa hapo kwa talk to me boy woii 😊😊🙌❤ saund yake taammm kama pipi😋
Best since day 1
Naniii kaelewaa hapaaa Yammy......yammy njoo bby❤❤❤❤
Mwandishi wa Nawaza by Diamond platinumz huyu 😂💯🔥🔥🔥
Kwasababu ujawahi kuwa na skendo,hii si mashabiki tumekuruhusu ,uyo mkwe mwambie atulize genye🤒🤒🤒🤒🔥🔥🔥
😂😂😂😂atulize mdomo wake kama beseni siooo asubiri kula
@@salmamlokela1987 😂😂😂😂ndoshida yakua na wakwe vijana😂😂😂
Walikutsna wana sauti Nzuri Nice song ❤
Mashallaha mwenyezi akulinnde mdogo wetu kiboko yao
Wangapi wana sema banaba akienda piga magoti mkwe wake atakua mume suruwale tena bwege
Waooh! Good Music ❤🎹 congratulations
Imeenda hyo... 🎉🎉🎉
Ngoma kali sana" ndoa nyingi zitatumia hii ngoma wakati Barnaba imetaka kumvunjia ndoa yake
Unyama
Kaliiiiii mkaliii 🔥 🔥
Mtaalam amekutana na mtaalam anayekuja hapo hakika n kazi nzuri sana... Mashairi yamekaa penyewe... Vya kuibaiba nimeshindwa...
First verse mopao is hot..my fav kizungu mwake kabisa beats flow zote noma .my always favorite..love from mombasa kenya
Nomaa sanaaa 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥
KUW∆ NGUVU J∆PO M∆GUMU
ua-cam.com/video/9fJoXEHm0M0/v-deo.htmlfeature=shared
Weee....Mamamkwe acha tikisa kiberiti
Wimbo mtamu huu ka ......naniliyuu....🇧🇪🇧🇪🇧🇪
Hii ngoma ni 🔥 ❤
Weee hapo kidhungu imeweza nice and soothing song
🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri Sana,yamm nakukubali,kulikuwa akuna haja ya madram yote yenyewe tu inaenda wimbo powa
Hinyimbo itatutowa roho🎉ina mameno mazuri sana❤❤
Goma la mana Sana English imenyioka kinoma🎉🎉🎉
This is is good melody… on repeat 🔥🔥
Wakwanza kuview😂
nice
Wa kwanza kulike
@@Museveniseverine aah wap
Na Mm
Subiri maua yako😂
Ngoma ni fireeeeeee, had imeunguza ndoa
Big Song 🎉❤❤❤Nimeikubari Ngoma Yako Barnaba
Yammi yammi😂😂flat yammi aki barnaba😂
KUW∆ NGUVU J∆PO M∆GUMU
ua-cam.com/video/9fJoXEHm0M0/v-deo.htmlfeature=shared
Watu wapo kazini mama mkewe povu linamtoka Alimwambia Amuozeshe mwanae mwana mziki ni nani
Mdogo wangu zile ni kiki za kupush wimbo,hakuna ugomvi pale
Ok Shukran Kwa Taarifa mama huyoo mama k mishipa ya shingo ilivyomtoka SI ya kitoto nikaona Huyu Ndugu nae mboni haya mambo hayamuhusu Jamani kimbe na Ty yupo kwenue comedy yake
Ila huyu dada yammi dah anajua sana yaan sauti yake ni number one tanzania😊
Wau hii song imewezaaaaa💥💥💥💯💯💯💯
Leo nitamuimbia mpenz wangu hii nyimbo,,,aiseeee imekaa mkao wenyewe
😂😂😂😂❤❤❤wajina kwa mahaba
Mara Moja Moja sio mbaya
😂😂
Utaachwa hajakuzoea hivyo😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Unyama mpewe maua🎉
Ujawahi niangusha Barnabas ❤
Ni ya moto 🔥🔥
Nifire 🔥 nibusu❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aaaaah umekill hii verse❤❤🔥🔥
Barnaba anatuwakilisha vizur sisi wachagga
Wa kwanza like zaidi
Firee🔥🔥
AI MMEUPIGAMWINGI YAMMY AND BARNABA CONGRATULATIONS 🎉🎉❤❤🥰🥰
Wimbledon uko pow sana big up Barnaba
❤🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma ni kali sana kaka barnaba 🔥🔥🔥🔥
Nawapenda hadi Raha ❤❤❤
Tukusanye Like 1000 hivi tumpelekee shemeji yetu Mana Ndoa Matatani jamani .... Ila haka katoto 😅
ok lets go
Kwanza wanependezeana san kuliko hata yule kisiran
Aki huyu kaka yetu ana strees jameni