Kumbe Teddy B Producer wa Kenya ni Mkali hivi, likes zake tafadhali, mara nyingi tunasahau maproduser na wao ndio wanafanya hii kazi tunaipata ikiwa tamu hivi❤ Oooh Na Na Na...🎶
@@charleschacha6876 na siniukweli 😂😂 kule utapata davido ameambia wizkid kitu mbaya sana but bada watamskiza lakini Kenya willy akichangamua industry mnasema ni hate
Kiukwel hit song zote za wakenya znatengenezwa na wabongo yan ukiangalia wabongo ndo wanamelody nzr na wanaimba wanaeleweka huu wimbo ameutengeneza mariooo ulikuwa mbaya sana
WAPI LIKES ZA POZZE JAMANI??? ALBUM MOTO KAMA PASI.🔥🔥🔥 HATS OFF POZZE LOVE!!! ❤️❤️❤️❤️....THE WORLD IS JUST NOT READY FOR YOU OUR SUPERSTAR 🎉🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Eeeeeish just when i thought i had finished listening to all thehits here now BOOM💥 The chemistry of Willy paul and Marioo is killinge, Thanks Marioo for making it with our be Bother, much love from kenya
Kumbe Teddy B Producer wa Kenya ni Mkali hivi, likes zake tafadhali, mara nyingi tunasahau maproduser na wao ndio wanafanya hii kazi tunaipata ikiwa tamu hivi Oooh Na Na Na
And Nyimbo zote alizofanya na Wabongo.Ameandikiwa na Wabongo,Haka katoto kajinga sana .Zamani kashawah kusema kwamba eti na kenyew ni kabongo mpaka kalikuwa kanajiita Will paul Bongo.Akilala Bongo akiamka Bongo yani kiujumla Bongo rents free in his empty head
Alafu Diamond we nimsanii mkubwa this Africa hebu katie Ndani hako kanajikuta kutafuta kiki kupitia kwako eti willy Paul Acha huruma kabisa Nahizo ngedere
🔥🔥🔥I feel like to comment many times until I make this giant big thing but it's impossible but when we are together we can turn him into a monster of Kenya
From Tanzania +255 🇹🇿 Kama umekuja kusikiliza hili goma baada ya kashkash za pozee na platinum gonga like tujuane!
Hii ndio yangu Bora toka kwenye album 🔥🔥🔥
I like it too walai hii Kali
❤❤
For real 😘😘 hii collabo ni tamu
🔥🔥
ngoma bora ya 2024 kwangu
Mbona dude liko Noma hivi,,mngelitolea na vedio kabisa ili liwe kwenye trending,,,wapi like za willy na mario jamen
Kumbe Teddy B Producer wa Kenya ni Mkali hivi, likes zake tafadhali, mara nyingi tunasahau maproduser na wao ndio wanafanya hii kazi tunaipata ikiwa tamu hivi❤ Oooh Na Na Na...🎶
Ni dame?
Hater na nusuuu
Hii Album Kali kuliko zote, naipa Album Bora ya 2024 East Africa🎉🔥🔥💯💯.Pozee to the World 🌎
😂😂😂 nyimbo mbayaaa
🔥🔥
Album imekaa poa sana
Fala sana ww 😂😂@@SostenesMasawa-ls1eo
@@SostenesMasawa-ls1eo nzur ww acha mamb yak
Wale walio penda hii collabo ya pozee na marioo gonga like💯🔥💯🔥
Hi kiboko cheza na qukamba ❤
💥💥💯💯❣
😅@@faridamatata1950
Imeweza❤🎉
@@faridamatata1950Sio mchezo dada 🥒 😂😂😂
Kama unakubali hii album ni kali kuliko ya otile brown gonga like hapa🎉
We mwenyewe wajua haiwezi, I like pozee just like otile but ya toilet iko juu zaidi
Kali
Ya pozze ni kali nivile wakenya hawapendi scandles zake 😂 angekuwa Nigeria tungekuwa tunamsupport from Kenya
😂😂😂. Hebu rudia tena?
@@charleschacha6876 na siniukweli 😂😂 kule utapata davido ameambia wizkid kitu mbaya sana but bada watamskiza lakini Kenya willy akichangamua industry mnasema ni hate
Marioo Shkamooo umenyoosha vzr 🎶👑💪🍁💰
Kawaida yake uyo
Jaman me ni mtanzania lakin pozzee namuelewa sana na simchukii namsaport san mkaliiii🔥🔥🔥
Wily Paulo ndo msanii Bora Kenya, yeye na MEJA
Kiukwel hit song zote za wakenya znatengenezwa na wabongo yan ukiangalia wabongo ndo wanamelody nzr na wanaimba wanaeleweka huu wimbo ameutengeneza mariooo ulikuwa mbaya sana
Huu mziki ni mzuri willy Paul na marioo wanajua sana
Willy Paul do you know Nime kuwa Fan wako Tangu Enzi za Lala Salama and my Dream is work with you One Song that the world will never forget
Ebu kamtafute
Kam nikupe number yake
Acha wewe me ni rabuka😅😅😅😅
I @@bblessing7103
@@ValaryMinage😂khe
Twende tukavute Pumzi Kilimanjaro.
🔥 🔥 🔥 🔥 MARIOO 🇹🇿
apo nmepaelewa at mm,ni atar
Baddie Siku Zote🇹🇿 Nice Song Willy Paul
Baby nakupenda sana mpaka kichwa kinauma ❤Big up Mario….From Rüschlikon/Zurich/Switzerland
🥰🥰🥰maliza kula waliiiii, nikupe baaa Na na na😂😂😂..🔥🔥🔥🔥🤦♂️🔥🔥🔥🔥🔥
Eeeh bana marioo ni kiboko ... daah , i love you guy
Wapi like moja ya mario kutoka TZ na moja ya willy Paul...from Kenya❤️🫂🔥🔥🔥
Sawasawa
🤗Bongo tumetimba ❤😎🇹🇿
Collection zako ulifanya na sisi waTz zinaendaaaa na zinanyookaaa will pozeee 🎉🎉
Huyu jamaa ni 🔥🔥 twajivunia kuwa na wewe pozee.....ona unavyo peperusha bendera yetu 🇰🇪.wanao mkubali pozee kama gonga likes
Penzi lako no kalii sweetiiiii aaaah aaaah mpka tunafa nanaaaa ❤❤❤❤❤
The ultimate take over... Its about damn time for Pozzee to elevate🎉🎉
Wote wanaimba. Wote wanasauti. Mstari wa nyimbo ulivyopangwa. This song should be song of the year. Nothin beats this melodious tune ❤.
very true😀😀
WAPI LIKES ZA POZZE JAMANI???
ALBUM MOTO KAMA PASI.🔥🔥🔥
HATS OFF POZZE LOVE!!!
❤️❤️❤️❤️....THE WORLD IS JUST NOT READY FOR YOU
OUR SUPERSTAR 🎉🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Wewe n shabiki mzuri,nmeokuona kwa comment section ya ngoma zote
@@Malobajoyce shukraan sana ❤️❤️❤️🙏
Sure
Eeeeeish just when i thought i had finished listening to all thehits here now BOOM💥 The chemistry of Willy paul and Marioo is killinge,
Thanks Marioo for making it with our be
Bother, much love from kenya
Tanzania 🇹🇿 TO THE TOP🔥🔥 WE DEFINITELY PROUD FOR BEING THE MUSIC MANIACS.
Hii handwriting najua morio hapa muthurwa
Poze the king. Atleast Kenya Tuko na Artist mnoma
Moves zako Poze ni fire 🔥
Sauti yako ni poa
Fashion top ❤
Nice Collabo na Mario ❤❤❤❤❤❤love
Uhh na na na wapi likes za mario 🔥
From ZAMBIA lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa
Tanzania vs kenya hapo sawa pozze leteni likes sasa 🎉
Tanzania on the top
goma noma sana
More like Tanzania vs wanna be Tanzanian.Because Willy paul is trying to be a Tanzanian
Kafie na uko willy Paul atabaki kuwa willy Paul hashabikii mafuta ya p Diddy 😅😅😅@@Thekidp3702
Kumbe Teddy B Producer wa Kenya ni Mkali hivi, likes zake tafadhali, mara nyingi tunasahau maproduser na wao ndio wanafanya hii kazi tunaipata ikiwa tamu hivi Oooh Na Na Na
Napenda hii kwa ngoma zote za hii album❤🔥🙌.
Marioo always delivers his best, hapa Pozze alifunikwa
akunaa pozee ame deliver and Mario just matched that..
@@tompogba11 that's your opinion
Si competition ni collaboration , get it right.
@@qcentoh I know right, but if someone does well give them credit that they deserve
Willy Paul has an album which no artist will ever produce truly beyond gifted, challenge ianze
He shined coz of tz
Will Paul ndo msanii mkubwa kenya
Jamani hii mgoma mtoe video kabisa tunasubiria kabisaa mafundi mmekutana ngoma tamu snaaa kwa Kenya willy Paul mtamu snaaaa
Marioo can Never dissapoint Kenyans
We love you Marioo
Pozee to the top🎉
Fake opportunisty Kenyans.. Now watanzania wazuri 😂😂 ??
Huyu jamaa hii type ya muziki n hatar sana hope one day aje afanye kaz na harmonize
who,Willy Paul?
Noma sana
Mike Melo the incoming king of Kenyan music after Pozzee was here.
Sina kiburi ni support yenu naomba😅
WILLYPAUL DOES MUSIC🔥🔥🔥 not Content creation ....PURE TALENT👍👍👍👍👍
He will never have an album as good and big as Marioo's - The kid you know
This is one of the kenyan artists id listen to their music one after the other without skipping any....
Keep the fire 🔥 burning our pozze,wapi likes za consistency ya pozze regardless wanafik kumwongea mbaya
Pozeeee washa moto usitupumzishe ni hit after hit
After Teleza, put it in....another Vibe is here....na bado naendelea kuskiza....mbele iko sawa...
Wow wapi likes za our boy Pozee wetu❣️❣️ na our beloved neighbour Marioo❤❤,this is a bunger🎉🎉💯🥰.Voices are 🔥🔥🔥🔥🔥😊
Imebidi nmefika uku... masauti raising coast flags high,, blessings over blessings to Nadia and our brother masauti Kenya🇰🇪
Mwenye wimbo Ni marioo au maana ye ndo kabeba ladha na Melody ya wimbo dah marioo noma🎉
Wimbo ni wa will Paul lkn marioo ndio kamaliza gemu
Iteni khaligraph akuje asikize noma za watz vle ni,🔥🔥🔥 gonga like kwa tanzanian 🇹🇿 artist
From Tanzania 🇹🇿🔥 we love you willy Paul...
Aya wewe Willy umezingua Sana kwenye hii albmu yako ngoma kubwa hii na Mario wa tz bado unawazungua wa tz dah
Likes za Marioo❤
Alaf upeleke wapi sasa 😂
@@Heisfeisalmwema😂
wote wako sawa msee
hii ngoma na top notch ya alikiba ni kama beat zinafanana..ama ni mimi naskia zanngu?but willy uko sawa sana..our king
Ndio kabisa
Great Song here... Atleast Mnipee likes kama Kumi hivi.
Sema wa kenya mtabidi muwashukuru wa Tanzania hinyimbo kali sana gonga like za marioo hapa 😂😂😂😂
Unapenda fujo mwanangu 😂
Nyimbo kali mno
Baba marioo kaibeba bongo mabegani 😂😂
Saaanaa😂@@Heisfeisalmwema
Bana si kujichocha,pozze ameturep kwa mipaka na marefu 🇰🇪
This was ,like🔥🔥 amazing vocal pozze ,our kenyan lion ,keep flossing mpaka twende majuu kabisa
Alafa unawadharau wabongo album mzima nyimbo Kali hii wewe big Simba kupanda jukwaani mshamba wwe
Sindo ajabu sas kumbe ndo wana mbeba wabongo😂😂 alafu anajikua noma kumbe situnamuona kama mwanyatuuu😅
English please
Ngombe wewe pozee must be respected
And Nyimbo zote alizofanya na Wabongo.Ameandikiwa na Wabongo,Haka katoto kajinga sana .Zamani kashawah kusema kwamba eti na kenyew ni kabongo mpaka kalikuwa kanajiita Will paul Bongo.Akilala Bongo akiamka Bongo yani kiujumla Bongo rents free in his empty head
@Thekidp3702 walilipwa?🤣🤣
😅😅😅 Sauti Ya Pacho Imebadilika Sana Nimekuja Na Uzuri Tu Ni Vihiga Finest Official 👑
Aminia 🎉🎉🔥 mkuu this so biiigggg
King pozze is back in different way,,,fully respect bwana mkunajii,,, Mombasa tumekunja makoti tuna ngoje vedio ngoma atari asikuambie mtu.
Kama unapenda hio collabo ,,,,tupa like hapa🔥🔥🔥
Alafu Diamond we nimsanii mkubwa this Africa hebu katie Ndani hako kanajikuta kutafuta kiki kupitia kwako eti willy Paul Acha huruma kabisa Nahizo ngedere
Tuliotokea Tiktok Tujuane 😂😂....2024 Blessings
Ngoma kali sana Willy, am rewinding every time it ends.
Marioo acha nimupe like zake anastahili ban 😢😢😢😢😢😢😢😮
Kwa kweli msafi unastahili heshima zako bwana mkunaji .. congrats mkuu....doba Kali 🔥🔥🔥🔥
Waaaaaha Mr International 👊👊👊👊👊👊👊👊
Wewe ni mkali ,,keep it up willy pozee❤❤❤❤❤
now this is my favorite from the album
Walai hii moto hí imeenda
1million plus in UA-cam nice work willy Paul thee pozze ft marrioo
Kama unaona this song makes you to remember someone in your life give me a like 🙏 sweet bongo 🥰
😅😅😅
😂😂😂Kenya Hawajui mziki, Wily pozee ameimba vibaya Sana, Marioo ametisha humu🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Likes za willy paul>>
Likes za Mario , am from Malawi and we proud of you too Mr Man . In chichewa ndimamkonda Mario kwambiri
Marioo ni mkali sanaaaaaa kwenye kuimba❤❤
Anajua sana
Was eagerly waiting for this tupee Jay melody after this album❤❤❤❤
Nakuamini sana Bwana mkunaji, best Album
Bad nation fundi kwel dg uyu 🙌🙌🙌🙌🙌
Goma kalii...congratulations my Gees❤❤❤kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 😍 ❤❤❤
Marioo kaubeba wimbo kuliko mwenye nayo🔥
We meffi nini?
mefii kabisa
Pozze this is a wonderful work of art. Likes for mkunaji mkuu.
Best song kwa album mzima 🙌
Hapo kwa chumbani kwetu bingiri unavyo cheza na cucumber 🥰🥰am in love na hiyo mistari 😅
🔥🔥🔥I feel like to comment many times until I make this giant big thing but it's impossible but when we are together we can turn him into a monster of Kenya
Nmechelewa bt ngoma Kali 💪
Omari kakufanya vibaya sana 🏆🔥🔥
😂😂😂
🔥🔥Hii nayo inambamba sana hapa UK (United Kirinyaga)
najua wasafi washakubali pozze ni fire yaani mfalme wa muziki
EA.What brings us together is so STRONG than what separate us❤❤
Walotoka TikTok adi UA-cam..mnipee like zangu
Hands up for pozzer the song is onf fleek, the album is on another level big up king,,this is wat we call nice music really gifted
hii kali kuliko zote kwenye album💣💣💣💣💣😎
Wow! Our favorite song is back yeeey 💃
Willy ameamua top notch collabo❤❤❤
Huu wimbo umeongelewa sana that why I'm here to feel the good vibe 🔥❤️Pozze ft Mario
@@emmaemzy3443 maliyo
🇰🇪 + 🇹🇿 =❤🔥🔥🔥🙌
Have listened to 5 songs and this still stands best...willy has delivered and Mario didn't fail to.... Both lyrically and Harmony
Napenda 🎉 hii song my favorite song hii album 🔥
Nmeisikiza hii ngoma 20times....my favourite ❤❤❤❤
My favourite musicians Marioo and Willy Pozee love you from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪