Barnaba feat Yammi - Nibusu (Visualiser)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 тра 2024
  • Music Video by Barnaba featuring he one and only Yammi, This is big. (NiBusu) is a sweet sound created by an amazing team. We all know that this was long awaited and it didn’t disappoint. The best Tanzanian vocalist Barnaba along with the beautiful and talented artist from ‘The African Princess Label’ Yammi, has been long overdue. This song is for the lovers and for the ones who can’t keep their hands off eachother.. The two excelling artists have put their work together to create this masterpiece and this is only the beginning of them. Special thanks to Barnaba’s english songwriter who has also written ‘All I Need’ and also been a part of production Rinaaldn for helping this masterpiece come to life, along with the one and only Majorkizy in producing. Video shot Directed by Wayan.
    Get it now "NiBusu":ziiki.media/Nibusu-Barnaba
    Stream/Download:linktr.ee/barnabaclassic
    Listen to Barnaba on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/barnabaclassic
    Apple Music: / barnaba
    Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
    Spotify: open.spotify.com/artist/3ICwB...
    Deezer: www.deezer.com/en/artist/5244406
    Catch Up With Barnaba on Social Media:
    Instagram : / barnabaclassic
    Facebook: / barnabaofficial
    Twitter: / barnabaclassic
    Catch Up With Yammi on Social Media:
    Instagram: / yammitz
    Twitter: / yammi_tz
    TikTok: / officialyammi
    Facebook: / itsyammitz
    UA-cam: / @yammitz
    +For More Information Booking Yammi:
    Contact:yammymanagement@gmail.com
    +For More Information Booking Barnaba:
    Contact:Barnabamanagement@gmail.com
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    ©2024 Barnaba.All rights reserved.
    #Barnaba #Yammi #Nibusu

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @shebbysadiki
    @shebbysadiki Місяць тому +932

    Kwa tuliokuja kuangalia hii video ili kuona barnaba alivyoshika hicho kiuno cha mtoto yammy like hapa 😂😂

    • @Rose0com
      @Rose0com Місяць тому +4

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @abedkioko9495
      @abedkioko9495 Місяць тому +5

      Lakini mother in law mwenyewe anazigua...kati yake na msichana wake nani anapaswa kuogea aliyongea...

    • @abedkioko9495
      @abedkioko9495 Місяць тому +7

      Hivyo ndivyo mother in law wanaaribu doa za watoto wao kwa kuigilia Mambo yasio wahusu

    • @chibo666
      @chibo666 Місяць тому +1

      hahahaaaa niwengi

    • @thegudlistener
      @thegudlistener Місяць тому +4

      Yammi you got this❤️📌

  • @Brand_P926
    @Brand_P926 Місяць тому +187

    Tulio penda verse ya Yammi gonga like tujuan❤❤❤❤

  • @user-os4in4im7i
    @user-os4in4im7i 23 дні тому +21

    Dah hii ngoma ni noma 🎉🎉🎉km umeipenda hii gonga like bc

  • @relinaali4049
    @relinaali4049 Місяць тому +124

    Hii collabo noma sana🥰Sauti zimeendana MashaAllah...likes kwa wingi bas🤣🤣👏

  • @marrybernadio4774
    @marrybernadio4774 Місяць тому +327

    kama umerudia zaidi ya mara tano gonga like hapa😜😜

  • @SammyBoy-br8kz
    @SammyBoy-br8kz Місяць тому +150

    Wa Congolese🇨🇩🇨🇩🇨🇩ambao Wana mpenda Barnaba Barnaba nipini likes

  • @shaadilavaofficial
    @shaadilavaofficial Місяць тому +100

    Japo kuchelewa msini nyime like ...kila hatua ishala❤❤

    • @hanamakamba373
      @hanamakamba373 Місяць тому

      nyimbo nzuri ila vedio mbaya

    • @shirboy7846
      @shirboy7846 Місяць тому

    • @shirboy7846
      @shirboy7846 Місяць тому

      ​@@hanamakamba373 nikweli

    • @robertadolf562
      @robertadolf562 Місяць тому +2

      uje uchukue na kiss na muhogo wa jang'ombe si likes tu

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota Місяць тому

      anaogopa kufanya zaid ya hp siunajua mke wake kakimbia​@@hanamakamba373

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 6 днів тому +2

    Bongo La Ngoma Huyu Yammi Sio Mtu Mzuri❤ Kabisaaaa

  • @mwanaashashokowa2151
    @mwanaashashokowa2151 Місяць тому +8

    Oyaaa barnaba nakukubali sana nimeisifia nyimbo mpaka nimewachwa mwenzio nipo single Kwa kusifia Ngoma yako

  • @abilitypeta
    @abilitypeta Місяць тому +7

    Weuh!!...the lady's voice 🙌👌

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Місяць тому +161

    Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri ❤️🎧

  • @user-lf9xb8jw8r
    @user-lf9xb8jw8r Місяць тому +28

    Kama unapenda yammi na barnaba wawe wapenzi gonga like twende sawa😂

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 21 день тому

      Makimbo kuja uku usome hiii comment😅😅😅😅😅

  • @arlymalundi9365
    @arlymalundi9365 Місяць тому +47

    Ila Yammi jamani 🥰 anajua mpaka anakera kila ngoma Hana friendly yeye kwake final tu🙌🥰🥰♥️

  • @MosesMwangi-qs1gp
    @MosesMwangi-qs1gp Місяць тому +141

    Naomba like zenu za Kizungu kitamu ya BarnabaClassic 254 Kenya,,, na 255 kwa mandungu zetu na wanadada wetu wa Tanzania kwa hii Ngoma mpya weka hapo like tukisonga.

  • @richardagama6862
    @richardagama6862 Місяць тому +66

    Dude likiwa Kali ni Kali Tu,wapi likes za yammy na barnaba❤

  • @shabirunachuli78
    @shabirunachuli78 Місяць тому +30

    SHIKAMOO ..... .. Barnaba yaan kiukwel tuache unafiki hii ni Ngoma ya mwaka

  • @tukumbwikemwakatundu2052
    @tukumbwikemwakatundu2052 22 дні тому +7

    Kama umekubaliana na mimi kuwa hii ni Bonge la ngoma❤❤❤❤ gonga likes

  • @jammjacob8172
    @jammjacob8172 Місяць тому +25

    Ngoma kali imeibwa Kwa utulivu wa hali ya juu kabisa haya ndiyo mambo ninayo yapendaga❤

  • @AloyceMathayo-vj9ws
    @AloyceMathayo-vj9ws Місяць тому +1

    On fire 🔥 niihh busuu ❤

  • @user-kb4jp4vc4t
    @user-kb4jp4vc4t Місяць тому +27

    Bonge la Ngoma barnaba umepitia ki legendary zaidi na huyu mtoto yammi anajua balaa....i can't wait to see it ontop trending soon...

  • @RichMavoko-nx8cn
    @RichMavoko-nx8cn Місяць тому +56

    Always proud of you bro man keep up the good work Burnaba classic, wa Kwanza nipeni like zenu jamani 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼

    • @Kibrahmusic
      @Kibrahmusic Місяць тому +1

      Hai bro

    • @Kibrahmusic
      @Kibrahmusic Місяць тому

      ua-cam.com/video/DFg8mU1_2E4/v-deo.htmlsi=kj5hCEvUUkNXW04Q

  • @believeboy2150
    @believeboy2150 Місяць тому +11

    Akitoka alikiba anae fuata kua King ni huyuuuu barnaba na hii collaboration tunapenda iendelee,mana imekua kali kuwai kutokea .❤

    • @user-fi4md4np3h
      @user-fi4md4np3h 19 днів тому +1

      acha uongo na mbwembwe bana🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @francispaul5806
    @francispaul5806 12 днів тому +3

    Nilisema napita mwishowe nimezama...gonga like hapa kama unaupenda huu wimbo.

  • @stevesteve4041
    @stevesteve4041 11 днів тому +7

    Walio Tiririka hapa sababu ya Yammy nipe like zenu....Barnaba u the King.

  • @princeogwelofficial4682
    @princeogwelofficial4682 Місяць тому +105

    Naomba tu likes zenu kw mara ya kwanza kama unapenda hii NGOMA 🔥 🚬 & 🧯

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Місяць тому +13

    Barnaba wimbo mzur broo upewe maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @kividoclassic2390
    @kividoclassic2390 11 днів тому +2

    aliyegundua kuwa mwanetu mopao anapoa sana akiimba ñgeli gonga like hapa twende sawaa...🙌🙌🙌

  • @albanbalayingwa4425
    @albanbalayingwa4425 Місяць тому +16

    Bonge la song kaka!! Huyu sasa ndio barnaba ninaemfahamu hii ngoma lazima iende mjini🤝🤝

  • @wambidenis794
    @wambidenis794 Місяць тому +41

    Kaka umeuwa mnoooo English waaaaaah kutoka uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @JojoTz-sb6je
      @JojoTz-sb6je Місяць тому

      Mbona picha sio quality au ni tbc ukweli na uhakika

  • @Ms_judy
    @Ms_judy Місяць тому +62

    Tuliokuja kujihakikishia kama barnaba anajipakulia minyama tujuane kwa like jamani😂😂❤

  • @yusufu1985
    @yusufu1985 Місяць тому +10

    Wale wa kuona barnaba akiendelea kushika vitu laini tunyoonye mikono juu yaani bonge la ngoma 🇹🇿

  • @HadijaAlly-lt5dd
    @HadijaAlly-lt5dd Місяць тому +9

    Kweli ngoma nzuri like ❤❤❤

  • @uiptv365
    @uiptv365 Місяць тому +18

    Bonge moja la hit 🔥🔥
    Vocals : 💯
    Mziki mzuri unajieleza

  • @gersonissa9124
    @gersonissa9124 Місяць тому +56

    Yammi ujawayi kuniangusha kwenye utunzi wako sema kama una mukubali yammi gonga like apa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @happymahu1637
    @happymahu1637 26 днів тому +2

    Nimesikiliza huu wimbo zaidi ya mara 100❤

  • @kenedyjambo208
    @kenedyjambo208 Місяць тому +12

    Fire fire🔥🔥 nini hiki,mziki mtamu mpaka unausikilizia kwa moyo ebhana eeehh!!!!nasemaje nasemajee ngoma kali sana nani anapinga hilo,🎉🎉 yako chukua #BarnabaFtYammy

  • @tintin0019
    @tintin0019 Місяць тому +28

    HONESTLY BARNABA UMENI SUPRISE NA KIINGEREZA ❤

  • @josephatizeno8833
    @josephatizeno8833 Місяць тому +9

    Ila master jay alishawahi sema wasanii wanaojua kuimba nimeamini hapaaaaaa❤❤❤

  • @kevinmukisira
    @kevinmukisira Місяць тому +2

    Barnàba never grows old

  • @chefdreamerpillar3039
    @chefdreamerpillar3039 Місяць тому +11

    Noma sana gonga like from Kenya 🇰🇪 huku #barnabas fun

  • @paulapril7636
    @paulapril7636 Місяць тому +5

    Nimwisikiliza zaidi ya mara tano sijui @barnaba aliwaza nn kuimba Kwa kizungu haki amenikosha mbaya na ukizingatia vina vimekaa mahala paka @yammi🎉🎉🙌🙌

    • @Kibrahmusic
      @Kibrahmusic Місяць тому

      ua-cam.com/video/DFg8mU1_2E4/v-deo.htmlsi=kj5hCEvUUkNXW04Q

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf Місяць тому +5

    Naona Ndoa ya Barnaba linaenda kuvunjika make wamepewa ya moto 🔥 Yammi

  • @carolynemassawe8447
    @carolynemassawe8447 27 днів тому +1

    Let us make it number one on trending

  • @_DjMondi
    @_DjMondi 2 дні тому

    Proud to be East African! Great work from Tz!

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Місяць тому +55

    Nani mwengine 😂 amekuja kuona kiunj Cha Yammy kinacho mpa waswas mke wa barnaba 😂😂😂love from kenya 🇸🇦🇰🇪❤️❤️❤️like apa km wakubali hii song

  • @AlphaBoyie
    @AlphaBoyie Місяць тому +6

    i love this combo,,you guys should do more of this❤️

  • @leonardrichard2287
    @leonardrichard2287 14 днів тому

    Ngoma mpya tamu..piga kazi. Mke atakuelewa. maana ndo fani yako Barnaba Mungu akupe uzima wa milele

  • @alexelieza8802
    @alexelieza8802 Місяць тому +3

    Uyu yammi wasipo muangalia vizuri wakina zuchu sijui, mtoto anaimba kama hataki Yani lkn napagawa dadek😇, Barnard always ni fundi🎉

    • @mozahsalum8882
      @mozahsalum8882 Місяць тому +1

      Angepata uongozi imara wa kumpush kama Ilivyo zuchu,,Alikuwa internationaly levels

  • @goldchannel4866
    @goldchannel4866 Місяць тому +4

    Barnaba unajua daah

  • @Mr_loveness
    @Mr_loveness Місяць тому +98

    Kama hii ngoma inakukosha nipe like usiwe mchoyo

  • @Chalazatz
    @Chalazatz Місяць тому +1

    Barbara is so talented he dominate the whole song

  • @WasafiCalvine
    @WasafiCalvine Місяць тому +1

    Ur verse is killing me barnaba❤

  • @GaudanceSillo-vg3xz
    @GaudanceSillo-vg3xz Місяць тому +3

    Congratulations broo hii collaboration ni nzuri sana an nikitaman sana kumsikia hichi kitu coz mnaendana sana kwenye mzki

  • @user-dx7pn9zc5k
    @user-dx7pn9zc5k Місяць тому +22

    Wangapi tume kuja hapa kuangalia barnaba ana vyoshika kiuono like hapa😂

    • @aishamaghanga2218
      @aishamaghanga2218 Місяць тому +2

      MBNA sjaona kamshika kumbe zile n picha Tu za kuchangamsha views huku yutube😂

    • @amshapoposafaris9410
      @amshapoposafaris9410 Місяць тому +3

      Haki ya MUNGU wallah tumepigwa na kitu kizito,kila nikisubiri hiyoo chupi kuiona siioni mpaka mziki umeisha
      Khaa mmetuweka busy 😂

    • @rahmaabdalah6962
      @rahmaabdalah6962 23 дні тому

      😂😂

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 Місяць тому +1

    Barnaba you did it again!!! 💖💯💯💖😍

  • @Heisfeisalmwema
    @Heisfeisalmwema Місяць тому +5

    Goma kali sana barnaba fanya promo zakutosha media tour ii goma litaenda sana 🔥🙌

  • @edigamumbere352
    @edigamumbere352 Місяць тому +11

    Kama uko nami 🇨🇩❤️

  • @MajeiMedia
    @MajeiMedia Місяць тому +20

    Give me those like jamani na mpite kwangu,...🙏😍nawapenda

  • @djkayumba
    @djkayumba 16 днів тому

    Haka kabint kanaimba sana sweet Melody 🔥hapa kweli mmefanya japo kwako nimezama sijui mbele malizieni

  • @user-iz8mq6os3k
    @user-iz8mq6os3k Місяць тому +5

    Barnaba chorus yako imeniharibia whoofer❤❤❤❤iko 🔥🔥💯💯💯🇰🇪

  • @VicentNasari
    @VicentNasari Місяць тому +4

    Tanzania unyama mwingi ❤

  • @aquinoowour6067
    @aquinoowour6067 Місяць тому +2

    Barnaba will be dripping when he gets inside 😜😜 such a banger 🔥🔥🔥

  • @Ivy.concrete
    @Ivy.concrete Місяць тому +4

    Wuueh kazi nzuri from 254 ❤❤❤

  • @wizaraxx1256
    @wizaraxx1256 Місяць тому +10

    Wapi wale Qatar, Saudi, Oman, Dubai nawanangu wa Canada hebu gongeni like ❤❤ nyimbo ni🔥🔥🫡🫡

  • @tozaah2680
    @tozaah2680 Місяць тому +11

    From USA amani ipo kweli kabisa nime shiba

  • @nahasonfadhili-un8or
    @nahasonfadhili-un8or Місяць тому +1

    Ningeshangaa,!! Nyimbo ivunje ndoa ishindwe kuvunja trending🔥🔥

  • @alidaamur-vp9uj
    @alidaamur-vp9uj Місяць тому +8

    Talk to me boy kamanaota tu anishiakilini ❤🔥🔥🔥🔥

  • @Centmia_wykds
    @Centmia_wykds Місяць тому +4

    Wimbo bora sana wa mapenzi kazi nzuri sana.

  • @gabrielgaby2265
    @gabrielgaby2265 Місяць тому +2

    Always lit 🔥 my fvrt artist ❤ uhalisi wa nyimbo 🔥 📛 the feelings so high ❤yammy yummy 😋 😍

  • @AbysayjrJunior
    @AbysayjrJunior Місяць тому +3

    Uyu yamii kumbe fundi alaaaaah nilikuwa nachukia kama zuchu kumbe huyu kiboko😮

  • @SikituLusato
    @SikituLusato Місяць тому +5

    Piga ngoma kwanz Kaka Mapenzi Emergency 👏👏👏

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 Місяць тому +3

    Aka toto yammi kumbe kana juwa ❤naka penda ❤

  • @Walex256
    @Walex256 Місяць тому +4

    Here from Uganda 🇺🇬. I love the song to the extent I translated line by line thanks to the subtitles. 👌🏽 Nibusu 😘😘😅

  • @brosika
    @brosika Місяць тому +1

    Barnaba hajawahi kukosea hizi ngoma 🙌🙌

  • @neemamlyuka1335
    @neemamlyuka1335 Місяць тому +3

    Huu wimbo mtamu haki ntafia madina❤

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf Місяць тому +8

    Mopao kuna ujumbe wako kutoka kwa mama mkwe wako.......!

    • @UmmyZakiah
      @UmmyZakiah Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @tausiginga1038
      @tausiginga1038 28 днів тому +1

      Asimpangie kazi mkwe wake lishangax lake litalala njaa

  • @mudrickabdallah7251
    @mudrickabdallah7251 Місяць тому

    Claassic.. barnaba best of the best.. fundi mjuaji asie na sifa wala kiburi.. damn this guy🎉

  • @bwenyenyemfalme7305
    @bwenyenyemfalme7305 Місяць тому

    Barnaba the king of rythm

  • @INJOfficiel
    @INJOfficiel Місяць тому +6

    Gig love from Congo 🇨🇩

  • @joycekidibule3266
    @joycekidibule3266 Місяць тому +6

    Unajua mpaka unajua tena 🤗tukupe tu maua yako 🌺🌺🌺

  • @MerrySanga-xj8hj
    @MerrySanga-xj8hj Місяць тому +2

    Mziki umeongea,,,much respect burnaba

  • @shuuclassic2551
    @shuuclassic2551 Місяць тому +1

    The sweetest song right now in my heart❤ God bless my brother, yu true to this this

  • @chidi_don
    @chidi_don Місяць тому +8

    Unyama ni mwingi sana bro hi ngoma kali sana 🔥 💯

  • @imadeboy
    @imadeboy Місяць тому +5

    Hapa mke wako lazima awe na wivu bonge la vibes 🎉🎉🎉Mzee baba 😂

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Tanzania yangu barikiwa

  • @FunnyChurros-hy9fe
    @FunnyChurros-hy9fe Місяць тому +2

    Msanii wa moyo wangu Asante kwa kazi nzuri.

  • @user-xt9gm1kb2o
    @user-xt9gm1kb2o Місяць тому +3

    Tuseme ukweli yammy anajua kuimba jamani❤

  • @hummymgaza6915
    @hummymgaza6915 Місяць тому +4

    Ukute zote zile zilikua Kiki Ili nyimbo tuje kuangalia kwa wingi .. big up

  • @KissaMwaifwani
    @KissaMwaifwani 12 днів тому

    Mmetisha Yammitz mwenye sauti yake bongo ❤

  • @user-tx7wg2ux1v
    @user-tx7wg2ux1v Місяць тому +1

    Yammi to the world 🌎❤

  • @audongoegeorge512
    @audongoegeorge512 Місяць тому +3

    254 well represented, verse one❤❤❤❤

  • @AbysayjrJunior
    @AbysayjrJunior Місяць тому +3

    Ujawai aribu mopao kaka Mutu ya watu❤

  • @JuliusTushabe
    @JuliusTushabe Місяць тому +1

    Barnaba ni fundi sana, nilisema napita mwisho nimezama mazima.

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Місяць тому +1

    Iko 🔥🔥🔥
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Jetnessy_michelle
    @Jetnessy_michelle Місяць тому +8

    Ngoma tunayo na tuna tamba nayo😃😄🔥🔥🔥🔥😍

  • @KevinOtanga
    @KevinOtanga Місяць тому +4

    Wabongo jamanii🔥🔥❤❤more love and support from Kenya 🇰🇪 ❤

  • @ahmedmwembo99
    @ahmedmwembo99 Місяць тому +2

    daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah , mopao , hii ngoma nzito xn aseeee

  • @hussenhassan-gn5xz
    @hussenhassan-gn5xz Місяць тому +1

    ngoma kali kiongoz❤i imefika adi tulipo Mozambique 🔥🔥

  • @Cliffordmwakijungu
    @Cliffordmwakijungu Місяць тому +10

    Kamaaa umeikubalii like

  • @mcdericktv7298
    @mcdericktv7298 Місяць тому +3

    Barnaba wewe ni jini...unaweza kufanya hata Bubu asiyejua kuimba aonekane star...10/10

    • @MukandoriChella
      @MukandoriChella Місяць тому +1

      Unauhakika kwa unacho sema 🧏yammi sio wasawa Yako bwana 😊uliza banaemjua👂

    • @mcdericktv7298
      @mcdericktv7298 Місяць тому

      @@MukandoriChella sasa hauoni Yammy kabebwa hapo au hata muziki mzuri haujui?