BONIFACE JACOB WA CHADEMA KUENDELEA KUSOTA RUMANDE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana la Kada wa CHADEMA Boniface Jacob kutokana na mshitakiwa kushindwa kufika Mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamanı Twitter)
    Boniface maarufu kama Boni Yai atasalia rumande hadi septemba 26, 2024 akisubiri uamuzi wa mahakama kuhusu dhamana yake.
    Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

КОМЕНТАРІ • 11

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 20 днів тому +3

    Kama vpi Jeshi ichukue Nchi tu maana mambo mengi yanafanyika ya ajabu

  • @RichardKunambi-e5v
    @RichardKunambi-e5v 20 днів тому +2

    Jaman Tanzania kama mfumo wa vyama ving hatuwez Bora tuache sis watanzia tunataka aman

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 20 днів тому +1

    👊✌️👍.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 20 днів тому +1

    Hahaha 🤣🤣 kesi zingine ni kichefuchefu

  • @praygodkanyikarirayo
    @praygodkanyikarirayo 20 днів тому +1

    Ina maana hao mapolisi hawajui Sheria za mahakama.

  • @csato9415
    @csato9415 20 днів тому

    Hawa polisi ccm wanasumbua tu mawakili wa wanaotetea wapinzani, kwa wale wa serikali hawawafanyii hivi shame on polisi mnatumika na serikali.

  • @saidmc8206
    @saidmc8206 20 днів тому

    Mbona una kigumizi 😂