MTOTO WA MBOWE ALIVYO KAMATWA KWENYE MAANDAMANO, POLISI WAMSHUSHA KWENYE BODA BODA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @nasrachimamy
    @nasrachimamy 5 годин тому +7

    Dah inahuzunisha wallah 😢😢😢hii nchii mungu atusimamie lakin sio haki kbs

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 3 години тому +7

    hawa askari.wanajiona.kwamba tanzania.niyao.peke.wakumbuke.dunia ni mapito

  • @Aisha-t6w
    @Aisha-t6w 38 хвилин тому +1

    aya yote mtumainie mungu kwamba yupo ipo siku ataweka mkono wake ishallwah😢😢😢

  • @PrudenceGervase-l6b
    @PrudenceGervase-l6b 34 хвилини тому +1

    Hii nchi siami😂😂😂😂😂🤣🤣yaan ukisema wanakushenyentaa chap

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n 2 години тому +2

    Ipo siku ayo mnayoyafanya yatawageukia ndo mtajua maumivu yake

  • @YusufKithi
    @YusufKithi 2 години тому +2

    Hamna uhuru watanzania hivi mtajielewa lini aa mkonyuma sana,kama mliukumbatia mfumo wa vyama vingi bc sharti mkubali .from kenya

    • @ANOLDNDIMGWANKO
      @ANOLDNDIMGWANKO 2 години тому +1

      Tuleteeni Panadol za Kenya tupate akili
      Hiii nchi 🇹🇿 Ina bleed
      Na tulikuwa na pombe nyingi tukashindwa kulewa tunataka tunywe maji ya uhaiii kwenye mikono wa wanyang'anyi
      Mungu ibariki 🌏🌎🌍🇹🇿

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 Годину тому +1

    😢😢 sijui niaze kulia ama

  • @Ahmedseif-l5g
    @Ahmedseif-l5g 4 години тому +2

    hawa police kweli wasenge nahao waajiri wao

  • @SaimonMwambe
    @SaimonMwambe 2 години тому +1

    Duh? Tanzania ni nchi ya kishamba sana

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 3 години тому +1

    Et taondoka nanyie!!😊

  • @maryamomar2034
    @maryamomar2034 4 години тому +2

    Roho unaniuma sana

  • @BarakaAbel-wm4jj
    @BarakaAbel-wm4jj 2 години тому +1

    NCHI yangu Tanzania

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 5 годин тому +1

    Watu kuuawa watu kutekwa na demokrasia wapi na wapi

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 5 годин тому +1

    Nilishasema Mimi serekali

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 2 години тому +1

    Samia na serikal yke bure kabisa

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 33 хвилини тому

    Wangekuwa bize ivi na kulinda nchi hakika wanaoteka watoto wetu wasingepata nafasi tulindeni na sisi basi 😢😢😢

  • @Jumasallum-s8v
    @Jumasallum-s8v 34 хвилини тому

    Ewe mungu teketeza hawa wote wanaodhurumu haki ya uhuru wa nchi yetu ........bila kuwasahau awa askari vraza wanaotunyanyasa kila cku.

  • @DaddisoPro
    @DaddisoPro 5 годин тому +1

    😢😢😢

  • @JackMaganga
    @JackMaganga 3 години тому +1

    Hawa maaskali siku ya mwisho watamuona mungu waenderee kufanya miungu watu

    • @keisRamadhan
      @keisRamadhan Годину тому

      Wengi wao munaongea haya Sasa ni wanafiki mbona hamukuwa munaongea kitu wakati wa magufuli tena yamefamyika kulikoni haya

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 20 хвилин тому

    Ipo siku mapinduzi yatafanyika. Na Mungu mwenyewe

  • @aishajuma468
    @aishajuma468 4 години тому

    Policy tanzani munatia aibu kweli😢

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 44 хвилини тому

    Duuuuu ila hii inchii wa2 wanalipwa pesa bule saa awo mnao wakamata wanaxhida gani?😢😢😢😂😂😂

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 години тому

    Hiii nchi inasikitisha sana😢😢

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 години тому +1

    NILIANDIKA NIKAFUTA,,

  • @MusaIblahim-k4w
    @MusaIblahim-k4w 37 хвилин тому

    Mm najuwa ungomvi wa tembo nyasi ndoo zinaumia

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 4 години тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😢

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 5 годин тому +1

    Utasikilizwa na nani wenye Dunia Yao wakisema kunya wewe kunya wakisema nawa wewe nawa wakisema guu pande wakisema nyumaa geuka unageuka mbelee tembea unatembea nyinyi mutasumbuka Bure

  • @AdelaPacshal
    @AdelaPacshal Годину тому

    Du!! Yaan hii ccm ni ya unyama kabisa mungu awasimamia hao wachadema waliokamatwa watoke salama ila mungu awalaani hao asikali police kwa vitendo wanavovifanya maana hawana ubinadam kabisa

  • @HeleneNduwimana
    @HeleneNduwimana 45 хвилин тому

    Uyo police kasheza vibaya sana ikubuke uyo ni mueshimiwa

  • @SurprisedAntenna-ne2vr
    @SurprisedAntenna-ne2vr 31 хвилина тому

    😂😂😂😂,,alwakenya tunaomba msaada jmn

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 3 години тому

    Inawezekana tunajenga amani na inawezekana pia tunatengeneza kutoaminiana na chuki upya vilivyoanza kupotea!

  • @busotytvonline6568
    @busotytvonline6568 18 хвилин тому

    Najiulza siku mboe anaishika nchi izi sura wataziweka wapi

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 Годину тому

    Where is democracy in speaking?

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 29 хвилин тому

    mbona wakat wa mangu mulikua hamuandaman mama yetuwasikuchezee yote uliowafanyiya hizi ndio shukuran

  • @GiftAdam-dz6bu
    @GiftAdam-dz6bu 45 хвилин тому

    Kiukweli hii nchi ni mavi matupu

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 45 хвилин тому

    Sema mwanzoni hukusema maandamano ya maombolezo yalisemwa tumeipa selikali siku kazaa mliiamlisha serikali kibabe

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 4 години тому

    Ila km watu wameitika hv kidg bhs mjue kuna siku watazid

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 43 хвилини тому

    Wale walinzi wa mbowe makamanda wako wapi leo

  • @KelvinBamuhiga
    @KelvinBamuhiga Годину тому

    Inasikitiasha sana

  • @JosepheBoniface
    @JosepheBoniface 43 хвилини тому

    Mbowe acha upumbavu hii nchi sio yako

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 3 години тому

    Hawa askari hawapo kwa ajiri ya kulinda wananchi bali nikulinda Mishawaka yao na kuabudu wakubwa

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 3 години тому

    Mbowe uko sawa

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo 3 години тому +3

    Jamn hukuna mtu mstarabu kama Mboweee

  • @RaheliMollel-v3d
    @RaheliMollel-v3d 4 години тому

    Acha ubishi ingia kwenye gari chap

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Годину тому

    Yaani wananchi wa tanzania hawafai kabisa watu wanao pigania haki zetu anakamatwa lakini watu wamekaa tu hiyo ninini sasa haina maana kabisa kuona watetezi wakikamatwa na nyie mkiona na mnakuwa kimya tu ninalo liona nibora vyama viishe tu tubaki na chama kimoja tubaki katika utumwa mambo leo

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 Годину тому

    😂TANZANIA BADO SANA

  • @Muheramaneva
    @Muheramaneva 3 години тому

    wanamupeleka unununip 😭😭😭😭

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 4 години тому

    Hata mtu akisali anakamatwa Saad

  • @aishajuma468
    @aishajuma468 4 години тому

    Asipoteaa tu

  • @AgemaNtweiga
    @AgemaNtweiga 4 години тому

    hii inchi itatulia lini

  • @rachidesaidemohamed8612
    @rachidesaidemohamed8612 4 години тому

    Waandishi was habari pia ni wachochezi

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 31 хвилина тому

    Police mataila mtu mmoja anawajambisha

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 44 хвилини тому

    Unataka tu baba yako awe raisi uwe mtoto wa raisi
    Hakuna anayetetea uzalendo bali mnatetea tonge na kutuona sisi ni wajibga

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 3 години тому

    Huo ni wizi

  • @JumaMasumbuko-w3t
    @JumaMasumbuko-w3t 2 години тому

    Duuh

  • @allymbaga2162
    @allymbaga2162 40 хвилин тому

    Mbowe akili kubwa sana,anaweza wafanya watu wakawa bize nchi nzima

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 35 хвилин тому

      😂😂😂 kwakweli amewaweka bize Sana

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 години тому

    Ondoka sasa wewe na baba ako wote k

  • @RaheliMollel-v3d
    @RaheliMollel-v3d 4 години тому

    Muvi

  • @MohamedKalatula
    @MohamedKalatula Годину тому

    Uonevu mtupuuu iposku

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 5 годин тому +2

    Kwani ni lazima kuandamana mbona hayo mambo hayana Afya kwa wa Tanzania?

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 2 години тому

    Na nyie mnaanadamana ili iweje,,,kama kutekwa acha tutekwe ya tu Kwan shngp

  • @ZeynabAlly-k4j
    @ZeynabAlly-k4j 3 години тому

    Sababu ni nyie chadema mefanya tumeshindwa kufanya biashara zetu kwa sababu ya maandamano yenu .mi kutoka kwagu ndio kula yangu mgemsiliza vyombo vya dini.taasisi mkakaa mezani.lakini sikio LA kufa kwa uroho wa madaraka

    • @Paulkessy-j8n
      @Paulkessy-j8n 2 години тому

      Kuma wewe na wewe ni kibalaka wa ccm kwaio wakae mezani kivip

    • @AntonyIbrahim-d2w
      @AntonyIbrahim-d2w Годину тому

      Huna akili

    • @ANOLDNDIMGWANKO
      @ANOLDNDIMGWANKO Годину тому

      Akili kisoda
      Unamfahamu
      Julius kambalage Nyerere
      Lumumba Patrice
      Solomon mahlangu
      Thomas Sankara
      Ibrahim traore
      Robert Mugabe
      Nelson Mandela
      Napoleon Bonaparte
      Fidel Castro
      Muamal Gaddafi
      John pombe Magufuli
      Julius caisaà
      Isidol noel
      Cheguevalla wa Africa
      Mtemi mirambo
      Chief Mkwawa
      Mkwavinyika
      Tunahitaji watu wenye NGUVU , UJASIRI, IMANI, na KUJITOA kwa manufaa ya taifa
      If your in roman do what Romans do
      Nchi nzuri, nchi safi
      Siasa mbovu
      KICHWA KISICHO NA AKILI MZIGO KWA SHINGO

  • @Aisha-t6w
    @Aisha-t6w 44 хвилини тому

    😢😢