MAPYA YAIBUKA SHAMBULIO LA RISASI 38| TUNDU LISSU KUSHTAKI KAMPUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 55

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 2 дні тому +16

    Lisasi kapigwa Dodoma ukweli waibukia ulaya duh duniahii acheni haki za watu zisimame

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu День тому +8

    Tigo bye bye, mumeonyesha udhaifu mkubwa sana kutoa Siri za wateja wenu

  • @onetwo12981
    @onetwo12981 2 дні тому +9

    MEDIA NI MBILI TU BONGO, WASAFI NA CROWN

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 2 дні тому +7

    kitenge wewe ni zaidi ya mtangazaji

  • @DeogratiusLyimo-gj4pt
    @DeogratiusLyimo-gj4pt 2 дні тому +5

    Wachambuz leo mmefel hamkusikilza maelezo ya lssu vizur

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 2 дні тому +4

    Hiki kipind kipewe ulinzi maana wanajitoa kwenye jamii na kukemea uovu

  • @jacksonmodaha1810
    @jacksonmodaha1810 2 дні тому +5

    Yoyo Mambo yasirini yaibuka Tigo Bye byee Sasa

  • @IsackLissu
    @IsackLissu 2 дні тому +3

    Hamkusikilizaa vzl mkaingia kwa media Kubwa kama wasafii kuongelea jambo kwa kurukarukaa!

  • @MagufulificationOfAfrica
    @MagufulificationOfAfrica 2 дні тому +3

    Watuonyeshe huyo Michael Clifford aliyefanya kazi Tanzania...

    • @rogersiddy
      @rogersiddy День тому +1

      Sio anafanya kazi Tanzania iyo kampuny ya Tigo wenye nayo wazungu sisi tumeletewa tu kupata wepesi wa mawasiliano uyo Clifford alifanya iyo kazi akiwa nje huko huko data zote wanazo

  • @iam_sami
    @iam_sami 2 дні тому +3

    Hawa wababa wanajua kusoma magazeti ila kuchambua awajui Clifford ajausika ila awa watangazaji wanasema kausika mbona amchunguzi hbr kwa kina arf ndo mtu reteh kwanza mlisikiliza lisu kasema nn ndo nyie nyie wazoefu

  • @honestthomas1549
    @honestthomas1549 2 дні тому +8

    Hawa wachambuzi inaonekana hawakuwa wanajua chochote kuhusu hiyo habari. Ni sawa na mwalimu anakuja kusoma notes darasani..

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 дні тому +3

    Hawa jamaa nawapenda wanavyo ongea

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 День тому +1

    Hawa jamaa wanapotosha. Sio hivyo. Clifford alichunguza hiyo issue iliyokuwa inafanywa na viongozi wa tigo wa sirikali.

  • @alikhamis4550
    @alikhamis4550 2 дні тому +2

    Yani hawa hawakuisikiliza kabisa ile press ya Lisu. Hawajui wanaongea nini

  • @bestman3651
    @bestman3651 2 дні тому +2

    Kitenge umeingia kwenye kipindi bila kujiandaa, hujawa na information sahihi on what and how it happened

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 2 дні тому +3

    Saivyi mmeanza kuwa na akili wasafi

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 День тому

    Maurid kitenge bwana,kashindwa kujizuia Yani ni Bure team LISU na bila shaka nathani atakuwa team Mzalendo a.k.a team PEOPLE S!!!!!!! POWER!!!!!!!.YANI SAFIIIIIIII,YANI SAFI SANAAAAA,YANI PAKA KIELEWEKEE!NATHEMAJE,NATHEMAJE,YAJAYO YANAFURAISHA,YANAFURAISHA,YANAFURAISHA TENAAAAAAA.
    NAUKISIKIA HAKI NA JASHO LA MTU HALILIWI,MAANA HALISI NDO HIII,NA UKISIKIA MWISHO WA UBAYA AIBU,SHUHULI YENYEWE NDO HIII,
    MUNGU WA WAWATANZANIA,CHADEMA NA WAPENDA HAKI YUPO HAJAFA.NDO HIVI

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 День тому

    Karudien kumsikiliza Lissu vzr ! Naona woote hapo hamjaelewa yule clif hakufanya ila aligundua kuwa wao kama company kuna watu mule ndan waliusika

  • @bakariisack5537
    @bakariisack5537 День тому

    Kaka umeongea kweli ukitaka kuumbuka, wewe muambie siriyako mzungu hivi viumbe vipo honest na maombea sana!!

  • @sautiyanoti5242
    @sautiyanoti5242 День тому

    Waandishi wote hawajaelewa mama angu yaani yule muingereza ni mchunguzi wa ndani wakati anachunguza ndo akagundua hilo

  • @TallTallmysha-v3u
    @TallTallmysha-v3u День тому

    Mjamaa wanamsapoti lisu big up sana kitenge

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w День тому

    Safi wachambuzi mko vizuri 👍

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 23 години тому

    Leo mmeenda kombo mmefeli

  • @bakarichoga
    @bakarichoga 2 дні тому +4

    Tundu Lisu ni Raila wa Tz though he's coward😂 let him have the blessings of Baba (Raila) Ili apate kuenda mbali

    • @Zenny89
      @Zenny89 2 дні тому

      Ngoja viongozi wa Tanzania watavyoanza kufungiwa na Mahakama ya international..ndo utajua jinsi alivyo coward😆

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 День тому

    Ni makonda au ni nani?????

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 2 дні тому +3

    Litakufa jitu😅😅

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 дні тому +1

      Hofu yangu wataanza kuwindana wenyewe huko ndani ili kuua ushahidi.. maana Lissu hategemei mahakama zetu za bongo (kadiri ya Rostam wakubwa wanapiga simu tu kwa jaji)..wakili wa Lissu (Robert Amsterdam) ameagizwa aunge behewa huko huko..

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 2 дні тому +2

    TIGO byebyee

  • @eve3894
    @eve3894 2 дні тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂huyo nae Lussu kweli anaakili . Hapa UK yao yana washinda waje kumsaidia yeye 😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiii

  • @suleymanimixkatafighter2669
    @suleymanimixkatafighter2669 День тому

    wanasiasa wanauana wenyewe kwa wenyewe vita ya kisiasa ni mchana na usiku wanawindana physical kwa munduki na sumu na spiritual kwa kurogana wallah siasa mchezo mchafu ukiingia kwenye siasa uwe umejipanda nje ndani na uwe na watetezi nje ya nchi laa watakuua kama mbwa

    • @TatuCharles-f5m
      @TatuCharles-f5m 14 годин тому

      Kwani hao wanasiasa kwanini wasichukuliwe hatua

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 дні тому

    Acheni kupotosha ---- mnataka kutuambia kuwa,CLIFORD anahusika kwakuwa tu alikuwa mfanyakazi wa tiGo,kwahiyp kila mfanyakazi wa tiGo alihusika,hata walinzi,wafagizi wa ofisi etc " Hilo nalo linahitaji shule ! "

  • @nelsonmataba1426
    @nelsonmataba1426 День тому

    Hapa mmekurupuka hamkuelewa Clifford hakuvujisha wazee …

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 дні тому

    Afya,uhai vitamaraki ili haki na ukweli ujulikane.

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d День тому

    Sasa Mambo hinaxhemka😂😂

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 2 дні тому

    haki.itapatikana tuu.mungu.ni.mwema

  • @BarakaMashimba-sr9ow
    @BarakaMashimba-sr9ow 2 дні тому

    Ukweli upi ache ni maneno maneno

  • @destroyerban7364
    @destroyerban7364 2 дні тому

    Wazee wambea hawa 😅😅

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 дні тому +2

    😅 Kesi kafungulia ulayaa😅 , Risasi Risasi kapigwa Tz, Kwan Lissu ni Raia wa wapi?

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 День тому +1

      Kwani nchi yako inahaki?tangia apigwe alisikia wamehangaika na hiyo kesi

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 День тому

      @@philemonsnyanda9450 Unahangaikaje na mtu ambae hahangaiki na kutoa ushirikiano ? Yeye mwenyewe hakuwa tyr na hiyo kesi, Anapoteza ya Ali Kibao ili jamii imuone yeye sasa, shame

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh День тому

      ​@@ameirzapy1318uchunguzi wko ww ndio unafanya ivyo
      Km nimait ingbid uifufue ikupe ushrikianao

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 2 дні тому +2

    Ninyi yule Cliford yeye alijetwa kuchunguza na sio alikuwa mfanyakazi

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 2 дні тому

    😂