Lissu Afunguka Mazito Shambulio la Septemba 2017, Kuwaburuza Mahakamani Kampuni ya Tigo na Serikali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • Akiongea na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2024, Tundu Lissu ametoa taarifa kuwa kesi inayoendelea London imeweza kuonesha kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilitoa mawasiliano yake kwa serikali kuelekea tukio la yeye kupigwa risasi.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 393

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 День тому +10

    Hii mitandao Kwa Tanzania ni hatari?

  • @OswardAbdalla
    @OswardAbdalla День тому +10

    Yani hapo mkubali kwamba jinai haiozi mbona ushaidi wa tigo ndo utakaotumika tz kufunguwa kesi tz watuletee majina tuwajue

  • @ShadrackMwandu
    @ShadrackMwandu День тому +10

    Inatisha sana kwa kweli

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 День тому +11

    Kweli tz Kuna Mambo mengi tusiyo yajua ukweli Ni Mungu tu atakaye tuokoa

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 День тому +38

    Mungu hachelewi ndo wakati wako Lisu,aliyekutangukiza ametangulia yeye

  • @godwinmandary5116
    @godwinmandary5116 День тому +21

    Muache Mungu aitwe Mungu

  • @SaluMaliki
    @SaluMaliki День тому +12

    Mungu mkubwa wanaumbuka😂😂🙏🙏👍

    • @jitabojilala6162
      @jitabojilala6162 День тому

      Mhmmm Tanzania hii haisaidii

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 23 години тому +4

      Hakuna aliejiumba Ila Kila mtu kaumbwa kwa hiyo fanya uwezavyo Ila huwezi shindana na Sir God Almighty Ameni!!

  • @Francis-kx1sb
    @Francis-kx1sb День тому +8

    Hakika mungu anaishi shetani atabaki kufeli tu

  • @mohamedpesambili9460
    @mohamedpesambili9460 День тому +6

    Eti mama Abduli😂😂😂

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 День тому +14

    Mnyonge mnyongen haki yake mpeni

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 День тому +27

    Hakuna siri chini ya jua, shikamoo tecnolojia, sasa kumeanza kuchangamka. MUNGU yupo kazini.

  • @ShadrackMwandu
    @ShadrackMwandu День тому +15

    Inatisha sana kwa kweli😂

    • @section8ight174
      @section8ight174 15 годин тому

      Kawaida tu mbona! Tembea ujionee, kajaribu huu upuuzi kule Urusi ujionee 😅

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman День тому +9

    Serikali ya ccm ni wanyama tu hawana ubinaadamu

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 День тому

      Hao wazungu ndio watu

    • @ErickMoshi
      @ErickMoshi 19 годин тому

      ​@@asinahussein2176yes!! Ndio wanaotupa mkopo tz

  • @YonerManang-ie2qm
    @YonerManang-ie2qm День тому +13

    2025 lazima chadema itawale "nimeshafunuliwa" but itatokea mchafuko kwanza! than watachukua mamlaka

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 День тому +3

    Mungu Ni waajabu Sana sipati picha

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 День тому +34

    Safiiiiiiii,Safi sanaaaaaaa.POPLES!!!!!!! WATANZANIA WOTE WENYE NYIA NJEMA TUITIKIE POWER!!!!!!!

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 День тому +23

    "Ogopa Mungu na technologia",ni maneno ambayo nilisikia kutoka kwa mtumishi mmoja wa Mungu, sikuwq namuelewa ila sasa nimemuelewa!

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima День тому +1

      Mtumishi au ruge mutahaba, Acha kutuzingua

    • @PatrickNdomba-u6s
      @PatrickNdomba-u6s 23 години тому +1

      ​@@gwajimagwajima
      Chukua content
      Iwe kasema Ruger
      Au kasema mtumishi wa Mungu.

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 21 годину тому

      ​@@PatrickNdomba-u6sndo machawa hao mpaka aongee boss wake

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 21 годину тому +1

      ​@@gwajimagwajimakwani wewe si mtumishi wa Mungu?

    • @dunstangeorge3263
      @dunstangeorge3263 19 годин тому

      Ni maneno kutoka kwa Mwl wangu aluwahi kuniambia “Ogopa Mungu na Teknolijia” server ni kitu cha muhimu sana🫢

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o День тому +12

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m День тому +20

    Mliokuwa mnamuona magufuli kama mungu mtu bisheni na Hilo la mahakama za wingereza utawala wa magufuli Sheria zake mifumo yake inaitesa nchi kwa Sasa

    • @saidinyoni2463
      @saidinyoni2463 День тому +1

      Sasa wamekubali kama wame saidia magufuli wewe lisu fala tu na huyo maico creaf nae ni kipele

    • @thieryniyonkuru5023
      @thieryniyonkuru5023 День тому +2

      Magu yes Mungu mtu, na kama Lissu akiwa Raisi wa Tz, uje nikupe 20 Millions Tsh, save number yangu kama unatakana, Chadema yaweza kuongonza inchi ya Tz, but siyo Lissu Raisi wa Jamhuri ya Tz. Tunza maneno yangu. Wala sitakujibu tena.

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 День тому

      Kwani hujui wafazili wake ulitegemea nini waseme yeye aishi milele

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke День тому

      ​@@thieryniyonkuru5023utajibuje wakt upo unakufa

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 День тому +1

      Huyo ni kibaraka wao lazima wamtetee

  • @ShadrackMwandu
    @ShadrackMwandu День тому +3

    Waseme ukweli na haki ifate mkondo wake

  • @bernardboniphace1380
    @bernardboniphace1380 День тому +28

    Tigo kwanzia sasa sitaki wakala wenu wala laini

    • @mangashajunior242
      @mangashajunior242 День тому +2

      Mi pia line zao sizitaki tena...

    • @bensonpaul3672
      @bensonpaul3672 День тому +1

      Kuna uwezekano wa hiyo kampuni kuathilika.

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 День тому +1

      Mm nimeshabiwa pesa mara 4 katika hii kampuni kisa line siitumii Sana...msininukuu vbaya siungi mkono chochote kile

    • @section8ight174
      @section8ight174 15 годин тому

      Sisimizi tu 😅

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 День тому +13

    Makonda ni gaidi kamili100%... haki itendeke 📌📌📌📌📌

  • @tumainidaniel8898
    @tumainidaniel8898 День тому +7

    Mungu mkuu sana

  • @edifinioguta1342
    @edifinioguta1342 День тому +10

    Mimi nawatanzania wezangu naugana na watuwote tingo mmefanya jambo ambayo siovizuli tingo sitatumia Tena maisha yangu yote familia yangu nimeshawamia tigo aifai kwa nini Mimi nimeamua nikwasababu tundulisu anatufundisha mambo mengi sana kwani siasa nimaisha ya kwatu na mungu ameweka wazi watanzania wajui

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 День тому +2

    Ama kweli kimeumana....

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 День тому +18

    Wapenda haki na wana chadema tuikatae tigo takataka

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 День тому

      Wewe tigo wananikopesha Hadi laki6 kwenye tigo nivushe ndio kauligani hizo unaongea

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml День тому +3

    MUNGU ATAKULIPA

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy День тому +2

    Nchi imechangamka napenda hii

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 День тому +1

    Ha..mmh..Tigo hiki ninachosikia.sielewi..

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 День тому +1

    Ifanyike hadharani wasifiche chochote.....

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 День тому +5

    Yaani huko kuongeaongea itakukosti mno tena ukasubiri ndege yetu nje uikamate mbona risasi zitakuhusu😂hataukiwa USA ukiingia hivyo FBI hawakuachi

  • @gikadotv2148
    @gikadotv2148 День тому

    Mimi baada ya kushiba ruzuku🤣🤣🤣🤣

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 День тому +3

    muone mungu alivyo wa ajabu.. unamtanguliza mwnzio kuzimu matokeo yake mungu anamkataa anakutaka ww uwe wa kwnz!!! Mnyonge mnyongen haki yake mpeni📌📌📌 haki itendeke bila kuangalia sura 👌👌👌

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy День тому +1

    Sasa mzee mbona kama unawafumbua macho

  • @TadeiReha-ix1id
    @TadeiReha-ix1id День тому +2

    😂😂 safi sana

  • @reubenmahizi2876
    @reubenmahizi2876 День тому

    Ni hatari sana mitandao hii

  • @philemonnongu3222
    @philemonnongu3222 День тому +5

    Hivi siku hizi mmekosa sela kabisa

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 День тому

      Sela kaskiliize kule ccm

    • @GodwinGabriel-dg6lx
      @GodwinGabriel-dg6lx День тому

      Hata huko CCM Kuna sera gani?
      Mpka leo utaambiwa tunaleta maji umeme ,bara bara mambo ni yale yale

    • @ErickMoshi
      @ErickMoshi 19 годин тому

      Hizi ndio sera!!😂😂😂 sera kamata magaidi ya ccm

  • @saidinyoni2463
    @saidinyoni2463 День тому +7

    Magufuli hausiki kabisa hembu muache kabisa hivi wewe serikali ikutafute wakati Wana jua una lala wapi hizo ni propaganda zako tu

    • @saidinyoni2463
      @saidinyoni2463 День тому

      Kiu kweli wewe unaanza kuchanganyikiwa haulali kisa magufuli Ata sehem haukutakiwa kumtaja magufuli una mtaja mwehu wewe kisa ulikua hauli vizuli kipele wee

    • @gwantwamwalyaje8515
      @gwantwamwalyaje8515 День тому

      Unaye Sema Magu Hausiki Ni Mpumbavu Kabisa Hauna Maana Hauna lolote Wewe Ni Sawa Na Mavi Ya Chooni

    • @mwlpierre
      @mwlpierre День тому

      Hata kama wanajua lazima wawe na uhakika uko wapi kwa usahihi na wajifiche wasijulikane bahati mbaya wanatumia mawasiliano haya haya

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima День тому

      Unapakuliwa ww

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima День тому

      Umesikia kesi mahakamani wanasemaje,Shoga ww ,magufuli gaidi

  • @tivermedia
    @tivermedia День тому

    mbona sauti inagoma

  • @juliusmshani6985
    @juliusmshani6985 День тому +4

    Kazi ya mzungu ni kuharibu legacy ya kila mwafrika aliyekubalika kwa watu wake hata tb joshua baada ya kufariki wanasema alikuwa mbakaji za kuambiwa changanya na zako

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o День тому +1

      Lete ushahidi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День тому +1

      Ujinga umekujaa.ww ulifikiri mzungu ana akili kama za watu wa ukoo wako wanaojaza matunguli kibao ya ,kiroga,kuumiza na kuua waafrika wenzao pasipo sababu.unataka utuambie tundu lissu alipigwa risasi na wazungu.

    • @jacktonetiibuza9970
      @jacktonetiibuza9970 День тому +1

      Hauna akili

    • @GodwinGabriel-dg6lx
      @GodwinGabriel-dg6lx День тому +1

      Sio kwa hili

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 21 годину тому +2

      Kama mzungu anaharibu legacy huyo rais wenu anazunguka kuomba msaada ya nini kwa wazungu...mburula wewe

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 День тому +1

    Kumbe Una njaa😂

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti День тому

    Duuh hatari

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango День тому +2

    Kaka lisu kiongozi wangu mheshimiwa Raisi ajae nimefurahi kuliko maalezo hakika MUNGU yu hai damu haifukiwi. kwa matope ya uwongo haki sio giza kwa maana yalio fichika yatafichuriwa sasa ushauri wangu kwakuwa watu walimwendea MUNGU na MUNGU akawa mwaminifu kwaajiri ya machozi yetu. hakuficha uso wake kwaajiri ya tukio hili kubwa la kitaifa inatubidi ifanyike siku ya shukrani .kichama na sadaka yake ikaombeleze kwa wote walio tekwa na kupotea damu zao ziwakilishe taifa wakiwemo wakuu wa dini zote wakuu wa makabila na wale wote walio it wa kwa haki naamini kutatokea kishindo cha mageuzi yasio tegemewa na mtu na kuacha mshangao hapo taifa ndio linapona yapo mengi lakini nafasi ndogo

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 День тому +2

    Kumechangamka sasa tutajua mengi sana si mlishindwa kumuua huyu jamaa kazi mnayo jipangeni tunakuja na nguvu ya watu na Sheria

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary День тому +2

    Mungu yupo waliomua kibao nao atawashulikia

  • @sebastiankanga4869
    @sebastiankanga4869 20 годин тому +1

    Mbwa huyu usubili ndege zetu si ukaishi huko,magufuli muache na kama unajipenda acha kuongea habari za magufuri na ukikaidi utapigwa tu hii nchi ni ya watanzania sio yako we uchu wako wa madaraka na kuigombanisha serikali na mataifa mengine ukome mbwa kibogoyo wewe tuache na nchi yetu

  • @ISSAissa-r3b
    @ISSAissa-r3b День тому +1

    Malipoo hapa hapa dunia akhera hesabu ...!!! tujitaid kuvifuata vitabu takatifu ili tuwe wema kw muumba wetu... Inshallah

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu День тому +1

    Kumbe kampuni ya tigo ni kishenzi, kumbe wanaweza kutoa siri za wateja na kutoa location za wateja wao, sitaki tena lain za tigo na huduma zao bora nihamie Vodacom.

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw День тому +1

    Ndio maana nilisema makonda Hana uhalali eti mtetezi wawanyonge kweli wamuulize mo euji wamuulize kusanga na kituo chake Cha redio makonda atuambie beni sanane Yuko wapi yaani huyu makonda ana kesi nyingi mbele za mungu hawa akina mwamposa wanapo mpa kusema eti mazabahuni ndio wale wale angalia alivyo mchana mwamposa mbele yake kwani manabii na mitume waongo na matapeli ni huyo alie mkaribisha na akamvua nguo hazarani

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw День тому +1

    Hawa ccm na serekali Yao hawabadiliki ni kudili nao Kwa njia youote ila Kwa amani na kisheria kwani hawa wamezoea kushina Kwa kumwaga damu nio maana wanatumia polisi kuumiza watu ila mungu Yuko kama alivyo wakomboa waisiraeli ktk mikono ya farao ndivyo ataikomboaa Tanzania ktk mikono ya farao ccm na utawala wake ee mungu tausaidie

  • @josephswai6725
    @josephswai6725 День тому +2

    Sikio la kufa halisikii dawa Ngoma ikivumaa Sana itapasukaa Lissu unaelekea kupasukaa

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 День тому +1

      Kama na wewe ni mhusika wa jambo hili hutosalimika jipangeni sawa sawa 😂😂😂😂

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 День тому +1

    Unaye Pinga Hotuba Ya Tundu Lisu Na Wewe Wa Toto Wako Waka Uwawe Bila Makosa Mabaya Na Magonjwa Yawafuate Kabisa

  • @alphonsimwaya7822
    @alphonsimwaya7822 День тому +1

    Ikiwa hii itakuwa kweli, nasi laini yangu ya tigo nitaichoma kwenye taniri mpaka iwe majivu. Kihindi zaidi.

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 День тому +1

    Mheshimiwa kama kesi iko mahakamani busara ungekaa kimya kusubiri kusikilizwa.

  • @jacobmgumiro156
    @jacobmgumiro156 День тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭HAKI HUINUA TAIFA NGOJA WAENDELEE KUJIITA KIZIWI ASANTE YESU 😭😭😭😭😭😭

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd День тому +1

    Jamani hapa Duniani hata kama unacheo kikubwa Cha namna gani usifanyie mtu mabaya

  • @EmanuelMuna
    @EmanuelMuna День тому +1

    asante mungu kwa yote haya tunakutakia maisha malefu tundu lissu nakuelewaga sana

  • @ShaibuYahaya-v4b
    @ShaibuYahaya-v4b День тому +1

    mm nilishasema ccm ni mashetani pia kama magufur kwer aliusika bass namchukia sana

  • @Anoldi-yj7mf
    @Anoldi-yj7mf День тому +1

    Mungu akupiganie upate haki yako na familia yako irudi tanzania

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 День тому +1

    Tukatae tigo. TIGO MUST GO !!

  • @johnmichael3883
    @johnmichael3883 День тому +1

    Kuanzia sasa sitaki tena namba za simu za tigo

  • @paikitz
    @paikitz 7 хвилин тому +1

    Hii kazini

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 4 години тому

    Tundu Lissu has mental problem and a pathological liar. He needs help. He blames the late Magufuli, and convicted him for shooting him, without a shred of evidence. Magufuli was a President and a Chief of defence, if the late Magufuli wanted to kill him, he would have picked an experience army officer who would have used only one bullet and not 16 bullets

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 годин тому

    Tundu Lissu ni shetani mkubwa asiyekuwa na dini. Ana chuki mpaka zina chukiza .Hajuwi kuwa Hayati Magufuli alikuwa mpenzi wa watanzania wengi. Waliomuchukia ni mafisadi tena sio wapipiga kura. Wenye fedha za wizi sio wapiga kura. Hawana wakati wa kupoteza kujipanga na kupiga kura. Kumutusi Hayati Magufuli ni kuwatusi watanzania wengi wanao muenzi. Hii itawagharimu Chadema

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 17 годин тому

    MWENZAO YUDA ALIWAULZA HAPA
    Akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha. Mathayo 26:15
    MKWEL ATAUAWA LKN UKWEL HAUF, saa imefka ya kujua yafchwa kwa miaka 7
    Kibiblia no. 7 n USHND❤❤

  • @pacifiquebizimana835
    @pacifiquebizimana835 15 годин тому

    kwenye siasa hakuna mauwaji ni kutoa uchafu
    kwa kifaransa wanasema
    EN POLITIQUE ON NE TUE PAS MAIS ON ELIMINE LES OBSTACLES

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 19 годин тому

    Hivi Driver wa Tundu Lissu yuko wapi atuambie ukweli? MAANA YEYE NDIYE WITNESS NUMBER ONE!
    Watanzania kuweni makini. Nchi za Magharibi ndiyo Wafadhali wao wakuu.

  • @abouAtqaah
    @abouAtqaah 15 годин тому

    Katika kitu ambacho si amini kimoja wapo ndio hichi, Wanasheria wa kimataifa kwa kesi za Tz.Hapana kitu hapa,huyo mkeo anaogopa kurudi Tz jiongeze watu wanakusaidia kazi huko.. Wewe lia na mama Abdul....CCM oyeeee

  • @section8ight174
    @section8ight174 15 годин тому

    Tuko kwenye vita ya kiuchumi na ndio ya HATARI zaidi. Yaani nyie mazezeta mnadhani hawa mabeberu wanafurahi kutuona tunapiga hatua kimaendeleo? Na hili dudumizi ndio linalotumiwa kutaka kuivunja amani Tanzania. Hekima na Busara!!!

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 12 годин тому

    Si Tundu lissu tu hata PROFFERSSOR ASSAD CAG ALIFANYIWA UNYAMA MKUBWA SANA NA MAGUFULI

  • @JumaShehe-z8e
    @JumaShehe-z8e 14 годин тому

    Sibariki walichokufanyia ila Ukimaliza kukamata ndege zetu uende ukale bata huko huko kwenu "ULAYA "

  • @JaekaHamis-zj1oh
    @JaekaHamis-zj1oh 12 годин тому

    Mimi sina chama ila napenda ki hongozi Bora mkiangalia Aya mambo Kwa jicho la tatu Toka mjomba wa chato mtagundua kilichopo

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 13 годин тому

    Lissu ushashindwa mara mbili kupata uraisi waachie na wengine wagombe achakujifanya kuongea yaliyopita haitakusaidia kitu

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 13 годин тому

    Lissu alizuia kuwashitaki balick wa mgodini pia alituchongea ndege yetu ikazuiliwa je huyu mtu anatufaa kweli mana yeye hata kitu kibaya anauwezo wa kuongea kikawa kizuri

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 23 години тому

    Nakukubali mh. Tundu Antipas LISSU KAZIA KAMBA HAPOHAPO

  • @petersongoma7183
    @petersongoma7183 8 годин тому

    Kwa hiyo kama nchi tumetekwa Genge lisilojulikana miongoni mwetu?

  • @gracemachege3817
    @gracemachege3817 13 годин тому

    Yoote upo sawa lakin hapo kuhamasisha ndege zetu zikamatwe, umekosea hio ni pesa ya wananch walipa kodi, sio za magufuli sio za samia

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 6 годин тому

    Alie taka mkuu kukutanguliza katangulia yeye hata walio baki nao lazima wata ajibshwa tu,akina makonda na sabaya

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 годин тому

    jmni serikali wamlipe tuu mtu wa watu pesa yake. itakuwa imetenda haki. wasimfanye awe na uchungu namna hii mtu huyu jmni

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 15 годин тому

    Kuna sili duniani matendo ya gizani siku ikifika yanatoka nje huenda mengi ya gizani yataendelea kujulikana mungu hachezewi wanaofanya matendo haya wanaenda makanisani na misikitini kumdhihaki mungu jiandaeni kwa malipo mengi yatadhilika na kila anaehusika hata yanayofanyika sasa siku yatakuwa hadharani kila anaefanya atakuja kulipia uovu wanaoufanya sasa

  • @johnmwambete6117
    @johnmwambete6117 20 годин тому

    Hizo ndege zinajenga uchumi wa nchi kitendo chochote cha kukamata ndege undhoofifisha uchumi wa nchi utakuwa unawakomoa watanzania siyo wale unaodhani walikuumiza pambana na hao waliokutendea maovu usipambane na umma wa watanzania mimi binafsi niliumia sana kwa tukio hilo angalia njia sahihi ya kupambana .

  • @adammkisema1524
    @adammkisema1524 13 годин тому

    SERIKALI KUMFUATILIA MTU SIO DHAMBI...ISSUE NI KUTHIBITISHA KATI YA KUFUATILIWA NA KUSHAMBILIWA MAANA NI VITU VIWILI TOFAUTI...

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 11 годин тому

    Huwa napata ukakasi kidogo yani mtu anadiliki kuwa tayali kupoteza maisha ya mwanadam mwenzio kisa mamlaka ya kidunia dunia ambayo wapo waliyo iyacha

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 13 годин тому

    Waliompinga magufuri katika vita yake ya uchumi siwezi kuwaunga mkono

  • @kilemilyimo
    @kilemilyimo День тому

    Mungu aendelee kukulinda na akupe mafanikio katika mapambano yako.
    Kama Tigo imehusika katika uovu huo basi tuhamasishane kuondoka katika mtandao huo. Watapata Hasara kubwa.
    Hii ni namna nzuri ya mgomo.

  • @athumandatta7360
    @athumandatta7360 16 годин тому

    Wenye nia njema,na wapenda Amani duniani na Haki za binaadam watupe laina za tigo ama wazivunje wasiiwezeshe tigo

  • @JoisSebastian
    @JoisSebastian День тому

    Mbarikiwa alisema ogopa mungu na teknolojia nyie hatahamuonikamayule nijicuola boc wadunia mnamzarau namkotayari kumsikiliza tapeli mwamposa

  • @themaestro-24
    @themaestro-24 12 годин тому

    TUNDU LISU YESU ALIKUOKOA NA KIFO.ACHANA NA MAKESI ALIYEKUOKOA BADO YUKO NA ANAFANYA KAZI KULIKO WANADAMU WOTE.

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 14 годин тому

    sasa kama unasema kwa uhakika tigo walimpa mawasiliano yako Magufuli ..unataka ushahidi gani mwingine 🤫

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 День тому

    Sema tuna laumu marekani tu ila chanzo sisi wenyewe hatupeani haki , marekani ilijipata ikatoa fursa ya kuaminiwa😂😂 si mwacheni mmarekani kisiasa jamani😂😂ndiyo mabosi wa dunia😢😢

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 12 годин тому

    SiKUWAHI KUMKUBALI MAGU WENGI WALINIONA NINA CHUKI NAE BINAFSI LAKINI SASA WATANIELEWA KUWA NILIWATANGULIA KIUELEDI.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 День тому

    Bro yaani ,uombee ndege zikamatwe,
    Ok kama waliomuua mzee kibao walijitambulisha na wakamchukua na watu waliowaona

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 День тому

    Mheshimiwa tunaomba hiyo kesi ifanyike hapa kwetu Tanzania. Tukio hili lilifanyika nchini basi hakuna budi kesi ifanyike nchini.

  • @msafirithomas7751
    @msafirithomas7751 8 годин тому

    Mzee unapoteza muda shida unataka huruma we acha je Tanzania ni yako

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 22 години тому

    Mwenyezi mungu mkubwa sana ,kwa kweli nchi yetu amani ya ke ni ya mashaka sana ,wapinzani wanakuwa km maadui ,watu hawana silaha wala jeshi wala hawajakimbilia porini ,kwa kweli ,

  • @MikelMerino-t2n
    @MikelMerino-t2n 11 годин тому

    Tigo watuambie wamelipwa kiasi gani ili kuweka rehani maisha ya mteja wao ..

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa День тому

    Mara mbowe anahusika lisu kupigwa lisasi, mara chadema wanatekana, sasa mungu kaanza kuwaumbua. Hata yanayoendelea sasaiv yatajulikana tu

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 12 годин тому

    MAKUFULI ALIKUWA MNYAMA SANA LAKINI TUKSSMINISHWA KUWA ALIKUWA NI MTETEZI WA WANYONGE.

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 День тому

    Mmh mbona imekuwa shida tena mpaka tigo wapo sijaelewa unazungumzia tigo wanamna gani mana kuna tigo aina mbili.kuna wale wanao kamata pikpik na kunawqle wwnao operlett mtandqo sasa niwapi hao?

  • @EdwardIsaya-i9x
    @EdwardIsaya-i9x День тому

    Kumbe nyie tigo ni wapumbavu tu ndie mliehusika kutaka kumuua tundu lissu hamfai kabisa na mtandao wenu sitaki kutumia tana tunamuomba mungi abadilishe mawazo ya watanzania walikatae limtandao lenu kwa jina la yesu kuanzia Sasa maneno haya yakatende kazi lissu safi sana huyo ni mungi anawafichua na bado wataumbuka sana