UTAMU | Full Movie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Naomi binti ambaye alijaribu kumuiba mpenzi wa rafiki yake Teddy lakini mwisho wake anajikuta anapata matatizo ambayo yanaharibu kabisa maisha yake.
    Fuatilia kisa hiki cha kuvutia. Pia usiache kufuatilia kisa hiki chenye kuvutia na kufurahisha.

КОМЕНТАРІ • 620

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  3 місяці тому +10

    Usiache kutazama filamu yetu mpya hapa chini
    ua-cam.com/video/Qq-WlWk4j_4/v-deo.htmlsi=BbKlDT28ebGnSvMQ

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 2 місяці тому

      @@AdamLeoStudios nishaiona kaka yangu tamu sanaaa hadi rahaaaaaa godbless

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  4 місяці тому +18

    Usiache kutazama filamu yetu mpya ya LAANA hapa👇👇
    ua-cam.com/video/5wUTwjm1YLw/v-deo.html

    • @AnliAbudo
      @AnliAbudo 4 місяці тому +2

      Fica por bem boss andam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  4 місяці тому

      @AnliAbudo thanks

    • @kassimdadi5406
      @kassimdadi5406 4 місяці тому

      Naomba iyo audio ya come feel me ... please ❤

  • @Sophieshaliz69
    @Sophieshaliz69 4 місяці тому +17

    Hongera Kaka Adam yaani mungu akubariki at vile ambavyo unajibu kila comment 🎉🎉🎉 alafu huyu ndio kanumba wa leo kazi safi🎉🎉ebu mlike hii filamu nyie watizamaji tafadhali hio ndo raha ya Adam jameni

  • @SekanaboPacifique
    @SekanaboPacifique 3 місяці тому +6

    Hii ni fundisho kabisa kwa familia zetu,kweli Adam weye ni kiboko kabisa katika utungaji wa filamu zako.Nakufuata tano juu ya tano toka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kingkiller-fn1cf
    @kingkiller-fn1cf 4 місяці тому +6

    Jaman ndugu zangu mm naitwa msomali nimsanii wa adam leo studio naombeni sapoti yenu ndugu zangu mweze kupita nakusubscribed kwenye akaunti yangu jamani napia mpite kwenye akaunti yetu ya leo filx kuna movie mpia tumepandisha mkacheki ndugu zangu

  • @ireneirene8241
    @ireneirene8241 3 місяці тому +7

    Asante kwa movie nzuri na mafunzo ...Kila siku ridhika na kidogo ulichonacho tamaa mbaya

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 3 місяці тому +5

    ❤fadhili mbuzi huenda Siku mmoja utamywa mchuz lakini cyo binadam jaman mwe

  • @Salama-df2uu
    @Salama-df2uu 4 місяці тому +18

    Jaman sisi wanawake tutaona mbinguni kweli lakin huyu dada ameyataka mwenyewe utamsifia vp mume wako rafiki yako pia mm namjaribu liwalo na liwe

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  4 місяці тому

      Hahahah jamani😂😂

    • @NaifinMohamed
      @NaifinMohamed 4 місяці тому +1

      Kweli kayataka wenyewe

    • @IreneRoom
      @IreneRoom 4 місяці тому +1

      😅😅😅

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  4 місяці тому

      @IreneRoom unafurahia au sioo!!!

    • @aishasalim-9036
      @aishasalim-9036 4 місяці тому

      😂😂😂Alafu mgangaa kazi yake anaijulia😂 c kwa kujeuza masharati😊

  • @BentahOrao
    @BentahOrao Місяць тому +3

    Napenda movie zako kwa kua zina mafunzo🥰🥰🥰
    Much love from kenya🤩🤩🤩

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 4 місяці тому +8

    One Love Team Adam Leo From Burund ❤❤❤❤ Much Respect Guys 🎉🎉🎉🎉

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 4 місяці тому +9

    MashaaAllah sinema Nxuri mafunxo kibao❤

  • @benorocky382
    @benorocky382 3 місяці тому +4

    Adam umeicheza vizuri sana hii mouve tukutane kwa mama Heppy dada tatu pale nina bahasha yako mkuu

  • @Rizikimeali
    @Rizikimeali 4 місяці тому +6

    Adam uko poa sana movies zako zinamafunzo sana....mm nimejifunza vituvigi sana kwa movies zako....kaka hata nikipata bwana sisemi kwa watu❤❤❤❤❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  4 місяці тому +3

      Asante kwa kujifunza endelea kufurahia kuwa hapa!

  • @agnesspeter-uu1xp
    @agnesspeter-uu1xp 4 місяці тому +4

    Tuwe makini jmn mashoga sio wa kuwaamin ata mala Moja

  • @lavidaloca_255
    @lavidaloca_255 21 день тому +1

    Toka nimeanza kuangalia movies za AD LEO Studios hii ndio movie mbovu aisee😢 Kwanza ina story mbovu na haina uhalisia hata kidogo🗑️🚮

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 4 місяці тому +1

    Shoga ninyoka staking urafiki wahovyo kabisa karibu Mupaka chumbani ona Sasa yametokeya😮😮😮😮

  • @DottoZawadi
    @DottoZawadi 3 місяці тому +3

    Mungu akuongezee umri mrefu kaka Adam uzidi kutuletea vitu juu ya vitu🙏🏾 kazi imenyookaaaaa

  • @loveCatholic254
    @loveCatholic254 Місяць тому +1

    Mimi rule number Moja, kwangu siwezi mpeleka mdada Kwa nyumba yangu, tuna malizana pale sokoni, akija nyumbani tumalizane pale nje kwenye chumba Cha mapunziko, asije akaninyanganya mume wangu weee😮

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 4 місяці тому +5

    moja ya film kali sana toka mwaka huu uanze, hongera sana Adam Leo🙏

  • @MariamMwachiberya
    @MariamMwachiberya 4 місяці тому +5

    Nmechelewa ila nimefka,,kaz nzur Adam 🎉🎉❤

  • @SophiaMfilinge-o8t
    @SophiaMfilinge-o8t 4 місяці тому +4

    Jamani kujitamba kungine kupunguage basi daahh utaibiwa mume

  • @ShuakaBilauti-p9u
    @ShuakaBilauti-p9u Місяць тому +1

    Adam naomba uijibu hii comment please broo
    Nakukubali mpka mwakani🎉🎉

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 місяці тому +1

    Kipigo ameiz kasahau na makofi yangu move tam jamani unakaribishwa seblen tunaenda had chumbani

  • @RozanaRobert-n3b
    @RozanaRobert-n3b 4 місяці тому +4

    Adam mm nakupa maua yako 🍒🍒🌱🌱💐💐🌹🌹, ujumbe kwa wanawakee Ila mganga aliwapiga uswailini Kuna Mambo 🔥🔥🔥🔥

  • @HashimKE-x8o
    @HashimKE-x8o Місяць тому +1

    Adam nazikubali movie zako,,,kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah5895 4 місяці тому +4

    One love kaka Adam funzo zuri kabisa napataga kutoka kwa filamu zako❤

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 4 місяці тому +2

    Yani angelo unazinguwa kweli 🤔🤔 unakunya mbele ya shemegi yako ila nimecheka sana

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 4 місяці тому +2

    Kwenye carenda iyi sizani kama kuna mwanamke ataweza tumia unjinga kama tedi. Duh. Kumuweka mwanamke ndani. Mm siwezi. Koma naomi. Umeyatimba mwenyewe

  • @emanuelmcharo3911
    @emanuelmcharo3911 4 місяці тому +2

    Imebidi nirudi kulike kumbe zina umuhimu😁

  • @mezadawa5306
    @mezadawa5306 4 місяці тому +3

    Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, malipo ni hapa hapa duniani pia tusiwe wawazi sana kwa watu wa karibu yetu wengine hawapendi mafanikio yetu na mambo mazuri hutafuta njia za kutupindua..

  • @FakhiChapozo
    @FakhiChapozo 3 місяці тому +3

    Napenda movie za kuelimisha Sanaa Kuna kitu tumejifunza tamaa mbaya

  • @nikalegona145
    @nikalegona145 3 місяці тому +1

    Mganga pesa kala wewe pesa hujapata umepata jeraha pole mwaya ,tamaa mbaya wanawake tujifunze kutafuta kilocha cha halali

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 4 місяці тому +3

    Asante Adam kwa kuniletea Naomi hope Salma hakosi hpa😊😊😊

  • @Munalimaboi-um5iq
    @Munalimaboi-um5iq 2 місяці тому +1

    Mkiona watu wametulia n waume zao mwaona wafaidi mkilatiwa sifa tu mwajua n kweli watu wastiriqna tu ona cc umekumbana n shuzi😂😂

  • @rachaelnyale9617
    @rachaelnyale9617 4 місяці тому +4

    😂😂😂😂pesa zipo

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 2 місяці тому +1

    Hii ni fundisho sana kwa wanawake ukiwa na shoga usimwambie ya chumban 😂😂 maskin tedy😢

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 місяці тому +1

    Huyu Naomi naye hana siri ngoja asugue Gaga kwl tuko kwa class

  • @hamisimwandu5675
    @hamisimwandu5675 4 місяці тому +1

    Kaka adam safi sana lakini naomba kujua samahani hii location mmeshutia mwanza? Maana naona mazingira ya ki mwanza mwanza

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s 3 місяці тому +1

    Uhakika asiye fuzwa na wazazi hufuzwa na ulimwengu tujifuze kitu

  • @LeoFlix_
    @LeoFlix_ 4 місяці тому +4

    Msiache ku like na ku Comment jamani filamu nzuri sana hii🙏🙏🙏

  • @اريناارينا-ق3ط
    @اريناارينا-ق3ط 3 місяці тому +1

    Umekaribisha nyoka kikulacho kinguoni mwako

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 місяці тому +1

    🤣🤣🤣tatzo Teddy jmn ana cfaa sanaa ya kutangazaa kila anachofanyiw kuanzia mapnz mpk kutunzwaa ya mpk unaweza ukajihic yatima wa mapnz 😂😂😂😂😂hta kama ni mm jmn roho lazima inishinde wallah tena😅😅

  • @jamesjohn6685
    @jamesjohn6685 4 місяці тому +3

    Adam hujawah kutoa kitu kibovu❤❤❤❤❤

  • @LoveAron
    @LoveAron 3 місяці тому +1

    But mwenye makosa wa kwanza ni mke wa mtu kumwamini rfk kumpeleka kwake na kumwachia mumewe 😂

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 4 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana 👏👏 haya wale wakujifanya wakarimu kukaribisha karibisha watu hovyo sijui kusimulia simulia mashosti chukueni funzo apo mtakuja kulia

  • @rajabuhajoge
    @rajabuhajoge 4 місяці тому +4

    Adam Leo wewe unawajua .. Back Home Bro one time

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 4 місяці тому +4

    Huyu dada Tedi ni mzuri jaman mweeee filamu nzuri pia

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ 4 місяці тому +1

    Mm sina rafiki rafiki yangu ni mama tu tena huo urafiki wa mjini mh mh 🙄🙄

  • @AaAaarehema
    @AaAaarehema 4 місяці тому +1

    Ukiolewa tulia kwa ndoa yako,dangadanga na tamaa mwisho hayo.

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 3 місяці тому +1

    Cjamaliza kuangalia ila huyu shoga mtu anaonekana shetani

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 3 місяці тому +1

    Akua watafutani uko mabesenini toka lini vitambulisho vikaishi mabesenini 😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 місяці тому +1

      Njoo uswahili uone vyumba vinavyokuwa😂😂

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 3 місяці тому

      ​@@AdamLeoStudiosnazijua sana kkngu ela uko mabesenini hapana 😂😂😂

  • @eliasimoni4851
    @eliasimoni4851 4 місяці тому +4

    wa kwanza et

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 4 місяці тому +1

    Naomi tamaa zime kuponza Fanya wema kiasi ukizidi Uta kutoa kama si

  • @MaruraZawadi
    @MaruraZawadi 4 місяці тому +1

    Huyu shemeji atakama cmjui anakaa pastor 🤣

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 4 місяці тому +1

    Wanaume km Hawa wangelikuwepo inge likua raha kweli

  • @NaomiEdward-ef2cp
    @NaomiEdward-ef2cp 4 місяці тому +2

    Dah kaka adamu nimependa kumuona dada teddy dah nilishawahi kumuona kweny tamthilia ya uhuru na gharama zake natamani nione move nying zaid alizoshiriki

  • @HappyNicholas-be2yn
    @HappyNicholas-be2yn 4 місяці тому +5

    Jamqn wakanza leo nipeni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉

  • @HabonimanaFelix
    @HabonimanaFelix 4 місяці тому +5

    Im from 🇧🇮nipe like zangu apo chini

  • @VeronicaKalinga-r9d
    @VeronicaKalinga-r9d 4 місяці тому +2

    ushoga huu ndo maana mm nimeamua kuwa peke yangu sitak ushoga kabisa 😢

  • @WinneyEmmas
    @WinneyEmmas 4 місяці тому +3

    Napenda mno muv zako kaka adamu, unajua mno ❤❤❤❤❤

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 3 місяці тому +1

    Shemeji si shemeji tena ni Angelo😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 місяці тому

      Hahaha yaani acha kabisaa naomi ana balaa😂😂

  • @JeremiahRichu
    @JeremiahRichu 4 місяці тому +1

    Aende aolewe na mganga wake😂😂😂😂😂😂

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 4 місяці тому +1

    Sisi wanawake ni shetani siku zote aky 😢

  • @AishaAbdulahi-v5h
    @AishaAbdulahi-v5h 4 місяці тому +4

    Kazi nzuri sana kaka adam🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 4 місяці тому +3

    Kaka Adam hongeren sana kwa kaz nzur, tamaa siku zote haijawah kumuacha mtu salama shukran sana kaka

  • @ندىالعمري-ط7ي
    @ندىالعمري-ط7ي 4 місяці тому +2

    Do hata naongopa kumsaidia mtu wallah

  • @faridabikwa9998
    @faridabikwa9998 4 місяці тому +3

    Waah imeweza mbaya❤

  • @stellanicas
    @stellanicas 4 місяці тому +4

    Siamin kama nimekuwa wa kwanza 😅

  • @happymkasiwa5944
    @happymkasiwa5944 3 місяці тому +1

    Yaani sisi wanawake ni wajinga sana

  • @IsayaMollel-pg6wc
    @IsayaMollel-pg6wc 4 місяці тому +4

    Umetisha🎉

  • @joseambrosio1503
    @joseambrosio1503 3 місяці тому +1

    Gostei d trabalho🎉

  • @protusisiaho8241
    @protusisiaho8241 3 місяці тому +1

    Hii ni mwiba wa kujitunga

  • @ChimitaAssane
    @ChimitaAssane 4 місяці тому +1

    Aline ww kibongo😂😂

  • @Lucylackson-b6v
    @Lucylackson-b6v 4 місяці тому +3

    mim na ndy maana sitaki kabisa marafiki katika maisha yangu maana unafki tu.

  • @HajratHajrat0501
    @HajratHajrat0501 4 місяці тому +3

    😂😂udugu wangu Adam huyu dada Naomi usimuachee Wallah dada shangupele linajua kuigiza hili Wallah Yan limepita mulemule kwa mashankupeee yalivyo tabia zao watu wenye viherehere na ndoa za watu hahahahaa Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi nimejifunza leo ubarikiwe

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 4 місяці тому +1

    Kweli munajua atali

  • @EmJesho
    @EmJesho 4 місяці тому +2

    Jimalize kwa shost utakuja kulia😢😢

  • @angelsway8795
    @angelsway8795 18 днів тому +1

    Movie nzuri sana❤

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s Місяць тому

    Shoga Uwoya wale wapenda kira jambo kumwambia shoga ndo ayo sas

  • @ChrstinaWilliam
    @ChrstinaWilliam 3 місяці тому +1

    Mungu azidi kukuongoza aweze kutoa movie za kufundisha na kutuelimisha kama hizi

  • @HijraDuma-x8i
    @HijraDuma-x8i 4 місяці тому +3

    Kaz nzur sana ongera

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 3 місяці тому +1

    Ila mganga😂😂😂😂😂

  • @protusisiaho8241
    @protusisiaho8241 3 місяці тому +1

    Hapa Adam umeweza.

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 місяці тому +1

    good movie

  • @UwinezaBorah-lz3lo
    @UwinezaBorah-lz3lo 3 місяці тому +1

    We Naomi koma msosi

  • @SiriCheyo
    @SiriCheyo 3 місяці тому +1

    Jina la hako kawimbo

  • @SofiaSeif-e5t
    @SofiaSeif-e5t 4 місяці тому +3

    Wanaume kam huyu wako kwel

  • @FrankPaul-lh7jv
    @FrankPaul-lh7jv 3 місяці тому +1

    Jamaa munajua Sana

  • @sevelinahinnocent6803
    @sevelinahinnocent6803 4 місяці тому +2

    Mnayoigiza ni ya kweli yapo katika Jamii 😢

  • @priscaluvanda2927
    @priscaluvanda2927 4 місяці тому +3

    Nzuri sanaa🎉

  • @Saumu254
    @Saumu254 4 місяці тому +3

    😂❤❤ KAZ nzur Adamu Leo Alfu umelost😅😅

  • @Marym-iw2wr
    @Marym-iw2wr 4 місяці тому +2

    Ila adam kwa nn wapemba eee😂😂😂😂ndio wanakaa ndan siku 7😅

  • @Marym-iw2wr
    @Marym-iw2wr 4 місяці тому +2

    Ila adam kwa nn wapemba eee😂😂😂😂ndio wanakaa ndan siku 7😅

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 2 місяці тому +1

    Umetishaa❤❤❤❤❤

  • @ارينكيني
    @ارينكيني 3 місяці тому +1

    Rafik mnafiki

  • @NduwimanaAslam
    @NduwimanaAslam 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri❤❤

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 3 місяці тому +1

    Ww baba meponi waenda walaah wanaume wangekua hivyo duuh.. Mungu azid kumpa maarifa ila tuzid kuenjey zaidi 😅😅😅😅😅😅😅ila mme wangu siwezi kumuamini yani lazima nmuekee ulinzi tu

  • @Clerkanyangu
    @Clerkanyangu 3 місяці тому +1

    Nipewe Tedi

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 4 місяці тому +2

    194.shida sio kumsaidiya.shida unaishi naye vipi.🎉🎉🎉

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 4 місяці тому +2

    Inafundisha sana wanaume tuwe namsimamo sana yani