KIMADA | Full Movie | Love story❤️😘

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 666

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  9 днів тому +15

    Familia yangu, najua mnatamani kuona ninaachia kazi nzuri mara kwa mara! Mimi pia natamani kufanya hivyo!
    Kinachotusibu ni changamoto ya kukosa vifaa vya kazi.
    Hivyo kwa yoyote atakayeguswa anaweza kutuchangia chochote:
    CRDB: 0152391601800
    World Remit: +255766135528
    M-Pesa Number: +255 (0) 766 135 528
    (Hakikisha majina yanayotokea kote ni; ADAM LEO MAPUNDA)
    Ukitaka kuwasiliana nami moja kwa moja:
    Whatsapp - +255652393960
    Asanteni Sana🙏

  • @NajmahShebe
    @NajmahShebe 6 днів тому +5

    Adam ukinyoa madevu upendezi....madevu yalikupendeza kwa hz movie zako.....❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 днів тому +1

      Kumbe mke wangu muongooo eh😂😂😂😂

    • @NajmahShebe
      @NajmahShebe 6 днів тому +1

      Muongo sana usinyoe madevu upendezi...😂😂😂😂

  • @angeluspm5476
    @angeluspm5476 6 днів тому +6

    The wife played so well in this movie. My heartfelt congratulations to her.
    Ndio maana serikali inatakiwa kuhalalisha ndoa za mitara (kuoa wake wengi) kama wahenga wetu walivyokuwa wakifanya. Awezaye aoe wengi na asiyeweza abaki na mmoja.
    Na hii iwe kwa dini zote na makabila yote. Hizi ni mila na desturi zetu zisizoendana na dini yoyote. Ndio maana Kenya, Eritrea na nchi kadhaa Afrika wamesharuhusu.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 днів тому +1

      Naam!

    • @angeluspm5476
      @angeluspm5476 6 днів тому +1

      Maana bwana Adam, usingepata shida, warembo wote wawili wangekuwa wako kihalali kabisa! 😊😚😚👍🏼👍🏼

  • @alimasiallyalimasially5202
    @alimasiallyalimasially5202 11 днів тому +5

    Mama kijacho nimekupenda bre uko vzr nataman wanawake wote wangekuwa kama ww

  • @umaima1178
    @umaima1178 День тому +2

    Pole mwari wangu huyu mke mwenzako sio wifi yako

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 11 днів тому +11

    Adamu huyu mchefuko nimempenda bure kweli anajua mambo❤❤

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 11 днів тому +10

    Nampendaga sana huyu Dada mchepuko yuko vizuri kwenye kazi

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 11 днів тому +7

    Kweli hapo ni semina daaah😂😂😂😂😂😂Adam Mungu anakuona mafunzo mazuri kwa jamii❤❤❤❤❤it

  • @Ngasowe
    @Ngasowe День тому +2

    Alafu unaishii kwa nyumba ya wenyewe Babuu na unachitii ona sasa unavyoofukuzwaa kama mbwaa ...saitaaaniii much love broo😂❤

  • @Ngasowe
    @Ngasowe День тому +2

    Adam hii filamu ulichoraa kwel

  • @Ngasowe
    @Ngasowe День тому +2

    Nice

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 9 днів тому +2

    Jaman ww mama kichacho.nakupenda bure yan.niwachache yenye moyo kama wako hongera sana dada maua yako 🌹🌹🌹🌹

  • @nyanzirajeanmarie
    @nyanzirajeanmarie 7 днів тому +3

    Adam nice movie 🇧🇮🇧🇮tunawapenda sana

  • @AishaOthman-br6tx
    @AishaOthman-br6tx 3 дні тому +2

    MashaAllah Tabaraka Allah Adam napenda sana cinema zako.

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe 11 днів тому +4

    Mmmmmh hadi nimejiskia ubaridi, bonge la move limejaa mafundisho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 7 днів тому +1

    Kazi nzuri sana kaka Adam haky hii kali❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AlainMwalungwe
    @AlainMwalungwe 6 днів тому +2

    Mume mubaya odam shauri zuri sana mungu wa manabi akutiye nguvu

  • @SalegioIssa
    @SalegioIssa 11 днів тому +3

    Ongopa sana huyo jamaha noma sijui nipe nini uezo sina mwangu nomo tunakukubali huko moz adasco tz nona iyo 🎉❤ nakupenda mwamba nafyatilya sana movie zako zinanilimisha❤❤❤❤❤❤

  • @RaelAmunga
    @RaelAmunga 7 днів тому +3

    Adam ulikua umelewa Na unafanya upuuzi Kwa nyumba ya wenyewe😂😂😂😂😂😂pole Kwa.msiba

  • @zsdhalhinai3367
    @zsdhalhinai3367 11 днів тому +12

    Yaani sina hamu na wanaume hiyo filam tu ila kitakachotokea hapo mtasababisha watu tushindwe kuaminiana na ndugu wa kweli

  • @RehemaAli-q6s
    @RehemaAli-q6s 11 днів тому +3

    adamu mukeo murembo Sana sijui kwanini huridiki utamuchira mtoto

  • @Ngasowe
    @Ngasowe День тому +2

    Adam majii yakimwagikaa hayazolekii

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 4 дні тому +2

    Movie kali sana hii😂
    Hii mbinu waliyotumia adam na kimada wake ni mbinu ngumu mno siku ukijulikana hapatakalika

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 11 днів тому +6

    Kaka Adam leo umeyatimba vibaya mno 🎉🎉🎉🎉

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 11 днів тому +5

    Wanaume wote moto wenu utakuwa mwingi mno 😂😂ila adam kazi zako safi Maua yako ❤❤❤

  • @OnesmasMuweye
    @OnesmasMuweye 6 днів тому +1

    Kazi nzuri sana🎉🎉🎉

  • @SlyviaJohn
    @SlyviaJohn 4 дні тому +2

    Mmmh jmn tulioolewa mnatutia mashakani duh huyu kimaada hatar atavunja hii ndoa duh

  • @khadijak-f7n
    @khadijak-f7n 11 днів тому +3

    Hauna pahali ambapo hufeli kwenye filamu popote ukosawa aaaah nikweli umhusika mukuuu

  • @SandyVusha
    @SandyVusha 9 днів тому +2

    Adam usinyoe tena ndevu jamani😂pokea maua yako movie kali🎉

  • @nicohkjacinta-ke9cv
    @nicohkjacinta-ke9cv 6 днів тому +1

    eee adam bwana unajuwa kucheza much love anakupenda bwana we

  • @SaraaSaraa-i1j
    @SaraaSaraa-i1j 11 днів тому +3

    Huyo ndoo adam bwana weeee❤❤❤❤

  • @Aisha-l8r2e
    @Aisha-l8r2e 3 дні тому +1

    😢😢😢😢kumbe mume wangu huwa haendi ofisini duh 😢😢ongera kaka Adam kazi yako nzuri😅😅😅

  • @اريناارينا-ق3ط
    @اريناارينا-ق3ط 4 дні тому +1

    Haupendezi bila ndevu kaka🎉🎉🎉🎉

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe 11 днів тому +4

    😅😅😅 eti osca akuletee mafail 2 duuh, eti anaingia kwenye semina ila wanaume 😱

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 9 днів тому +2

    Kazi ni Zur usikufe moyo ❤❤🎉🎉

  • @TinaShimita
    @TinaShimita 6 днів тому +2

    Uyu dada mwenye mimba anajua sana❤

  • @FAITHCHIWAYA-yy4be
    @FAITHCHIWAYA-yy4be 10 днів тому +3

    Adam una kipaji cha uigizajii hii haipingwi❤

  • @salmaathumani9381
    @salmaathumani9381 11 днів тому +2

    Yan Mm Nkionaga Umepost movie UA-cam lazima niangalie napenda sn walai 🥰🥰chukua maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @IddiMiraji-w8h
    @IddiMiraji-w8h 8 днів тому +1

    Nimeangalia movi hii kidogo ila Kali sana unajua kaka❤❤ ❤❤❤❤❤

  • @KhadijaDaniel-zr6ll
    @KhadijaDaniel-zr6ll 10 днів тому

    Napenda saaa Adam movie zako zinamafunzo ndani yake Allh akuongoze vyemaa kwenye kazi yako ❤❤😊

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 14 годин тому +1

    Mungu akinijaria mm kupata mume. Sitaki ndio ndugu wa mume wa kike khaaa Apana hapanaa. Hiii imeenda

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo 11 днів тому +4

    Mimiwakwanza Leo.naombeni Lake zenu

  • @ZulfatRamadhani
    @ZulfatRamadhani 11 днів тому +1

    Jaman Adam wew n moto umefanya semina ya siku 3,umesahau Zawadi za mkeo mungu anakuona.Mim naendelea kuwa single mambo yenyewe ndo haya ntakufa mapem siwezi

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому

      Jamani ingia tu kwenye mahusiano wanaume wapo!

  • @Mercylaiza-qb8oe
    @Mercylaiza-qb8oe 5 днів тому +1

    Brother nilikumiss sana

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 3 дні тому +1

    Nzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉

  • @mezadawa5306
    @mezadawa5306 9 днів тому +1

    Jamani Adam ameshave nywele na ndevu zake amependeza sana hebu tumpe maua yake ..🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 8 днів тому +1

    Movies nzuri sana sana hongerani sana ❤️

  • @Jasminadamu
    @Jasminadamu 11 днів тому +1

    Kazi nzuri sana,leo ndo nmemjua anaeweka sauti ya monde kwenye mpali😊

  • @EmilianaMakangara
    @EmilianaMakangara 5 днів тому +1

    Nilishawahi kuota ndoto ndani ya ndoto nikaota sasa ndo mlichofanya nyinyi mnaigiza na mnaigiza tena eti atakung'ata 😂😂😂 🤣😂 Adam sio powa🙌

  • @KhadijaKabunda
    @KhadijaKabunda 11 днів тому +1

    Kk unajua kazi nzuri Mungu akubaliki kwa kazi yako love ❤❤❤

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 2 дні тому +1

    Nzuri sana

  • @Deny859
    @Deny859 11 днів тому +2

    Kaká Adam Leo wanawake kama awa kua wanapatikana wapi katika dunia hii maana anakuombea kwa mazuri lakini mwenyewe kumbe anakuombea kwa mchepuko

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 11 днів тому +2

    Uyu dada mpyaaa mzuri kwel❤

  • @mbarderonly5874
    @mbarderonly5874 9 днів тому +1

    Kali sana pia kubadili mwonekano kisanii ni ubwela naona umenyoa Hadi ndevu mzee😂😂

  • @DamianoIsombelo
    @DamianoIsombelo 9 днів тому +1

    Picha Nzuri sana mbarikiwe

  • @EstaPulo
    @EstaPulo 3 дні тому +1

    😂😂😂 we kipara nimemis tam njoo bas .

  • @elizabethmyombe7375
    @elizabethmyombe7375 11 днів тому +2

    Nakubal Kaz zako bro🎉

  • @naomikisaba5785
    @naomikisaba5785 9 днів тому +1

    Nnachompendea Adam anatoa ndef Hadi Raha,, sema naomba namba zako adam😊😅

  • @bakarially4336
    @bakarially4336 11 днів тому +1

    Hongera kaka kwa kaz nzuri,,

  • @NajmahShebe
    @NajmahShebe 6 днів тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 duuuuh nilikuwa sjaimaliza kuagalia hii movie😂😂😂😂 Adam amenyimiwa helwa 😀😀😀😀😀

  • @RehemaFabian
    @RehemaFabian 11 днів тому +2

    Ila Adam kaigiza uhalisia wa wanaume kabisa. Kumbe na yy ni mwanaume ila usaliti kapita humo humo

  • @kamanohengimeering3449
    @kamanohengimeering3449 11 днів тому +1

    Congratulations bro
    Nafuatilia hii filamu

  • @hamisimwandu5675
    @hamisimwandu5675 11 днів тому +7

    Mimi wa kwanza leo nipeni like nyingi kabisa hata kaka adam nimemuwahi 😂😂😂😂

  • @EshsRashid
    @EshsRashid 11 днів тому +1

    Kkkkk mungu usinipe mume km adam 😢😢hongera mmk kijacho kwa uamuzi wako😅😅😅😅😅

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 11 днів тому +2

    Nzuri sanaaaa hiii

  • @mahonataniymayunga
    @mahonataniymayunga 8 днів тому +1

    Pole mwanamke mwenzangu

  • @YusraNeema
    @YusraNeema 11 днів тому

    🎉🎉❤❤❤hongera sana ka Adamu movie ipi sawa sana ❤❤❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 10 днів тому

    Ubarikiwe sana kaka kwa mafunzo mazuri aki wanaume kama hawa sijui wafanyiwe nini 😢

  • @Gshs-u1o
    @Gshs-u1o 11 днів тому +1

    Maua kwa kaka adam uko juu bro nakukubali

  • @SinaAbdalah
    @SinaAbdalah 11 днів тому +4

    Mh jamani mume wa mtu sumu tunajisahau wanawake kitu usicho kipenda usimfanyiye mwanamke mwezio

  • @victormathu6689
    @victormathu6689 11 днів тому +1

    Haya Ni Maisha yangu kabisa bwana Adam...mwaka uliopita nlikua nimejiweka Kwa kisanga Kama hiki....ilichukua muds kabla make Wangu aniamini tena ...From Nairobi Kenya...true life story

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 8 днів тому +2

    Adam amekuwa mkali eti amenyimwa tendo la ndoa 😂. Tendo la ndoa ni kwa mkeo bhana. Muache dada wa watu

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 11 днів тому +2

    Adam weweeee sisemi kitu😂

  • @neemakimaro6243
    @neemakimaro6243 11 днів тому +2

    Adam Ila Una ujinga Mwingi sana😂😂😂😂mara kukamulia ndimu,mara unauliza unaenda kunawa kwanza😂😂😂Yann tafran

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому

      Au sioo yote ili nyie msahau madeni😂😂

  • @barakanimfa6773
    @barakanimfa6773 3 дні тому +1

    Inauma sanaaaa aisee, yasikutokee skia tu kwa jirani😢

  • @SalegioIssa
    @SalegioIssa 11 днів тому +2

    Hongera blaza

  • @MwalimuHussein
    @MwalimuHussein День тому +1

    Huu ndio ucku wagiza sasa❤

  • @NajmahShebe
    @NajmahShebe 6 днів тому +1

    Adam yuwabobonyokwa eti beb 😀😀😀😂😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  6 днів тому

      Sijakuelewa

    • @NajmahShebe
      @NajmahShebe 6 днів тому

      Kuna party moja nimecheka umekosea kusema dada ukasema beb

  • @MartaChimathilaChimathila
    @MartaChimathilaChimathila 11 днів тому +2

    Huyo kimada anazingua ,Ila omba huyo wife wako nzuri asijue,mtajuta,❤❤❤❤❤❤ wife

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому

      Yaani acha tu

    • @MartaChimathilaChimathila
      @MartaChimathilaChimathila 11 днів тому

      Ila uko poa sana bro,movie zako nazipenda sana,Ila huyo aliyeigiza your wife Yuko poa sana ,usiache kufanya Naye kazi, nimempenda bureeeeeeeeeeee.

  • @leakeyojiambo1423
    @leakeyojiambo1423 11 днів тому +1

    Kutoka kenya, adam the playmaker big up bro

  • @chatumandota7861
    @chatumandota7861 11 днів тому +1

    NIPO LIVE

  • @Seciliasteven
    @Seciliasteven 11 днів тому +1

    Acheni tamaa mwanaume mbona tunawapenda sana wanaume zetu uku majumbani kwani kaka amridhikagi jamani duuuh pole sana je inatoka part2 au

  • @niitetuma5258
    @niitetuma5258 10 днів тому +1

    Wooow good job Adam we ilov u

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 11 днів тому

    My adam big up sana...Mungu aendelee kukuinua❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @GenivevaEmmanuel
    @GenivevaEmmanuel 11 днів тому +1

    Jaman mbn mke mzuri tu kaka adamu kimada wa nn

  • @F.j84
    @F.j84 11 днів тому +2

    Anhaaa kumbe adam nyumba pia ulikua umeekwa... Jamani wanaume😅

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 13 годин тому +1

    Kumbe lilikua linalelewa alafu linafanya ujinga khaaa jamani jamani 🙆

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 10 днів тому

    Ubora mutu Awe sigle kabisa Adamo unawacheza kama karata 😂😂😂😂.Irakitakuramba Baday🎉🎉🎉🎉

  • @NajmahShebe
    @NajmahShebe 6 днів тому +1

    Nataka niache kazi nije uko Tz unifundishe kuigiza sijui utanikaribisha 😂😂😂

  • @prisikachande
    @prisikachande 11 днів тому +1

    safi mivies yan nimependa ila kaadam punguza kupenda makande

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому

      Sawa jamani nitaacha

    • @naomikisaba5785
      @naomikisaba5785 9 днів тому

      Kama kule kwa sakina anamwambia dada ake na unipikie makande kabla hujaondoka😅😅😅😅

  • @yangbabu
    @yangbabu День тому +1

    Acha kunyowa ndevu kaka unaonekana vibaya

  • @Brianlitisiia
    @Brianlitisiia 11 днів тому +2

    Yaani mwanamke mwenzie ako na mimba na bado amepanga kwenda kuharibu, daahh..
    Wanawake sijui huwa na shida gani hasa wa morogoro 😂😂
    Kweli mbaya wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
    Hii ni noma sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому

      Na ndiyo maana yakamshinda😂😂

    • @Brianlitisiia
      @Brianlitisiia 11 днів тому +1

      ​@@AdamLeoStudiosyaani venye umeipeleka hii movie I didn't expect kabisa. Kama ingekuwa zile movie zetu sai huyo mwanamke angeshaanza vimbwanga na mke wa Adam akaishia alafu Adam akajuta badae. Lakini wew umeipeleka vitofauti kabisa.
      HUO NDIYO UBUNIFU SASA BROTHER ❤❤❤

    • @SophiaJoseph-n4o
      @SophiaJoseph-n4o 10 днів тому

      Wanaume Huwa wanatuangusha sana jamani unawezaje kuleta mchepuko ndani jamani

  • @RajabuNassor-r4n
    @RajabuNassor-r4n 4 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂 comments kwanz ndio upat like 👍

  • @SelemanKazimili
    @SelemanKazimili 10 днів тому

    Aaaah umetisha bonge la movie 🎥 Great lessons 🤙

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 11 днів тому +1

    Adam...utabembenda mkeoo anamimba ujuee😅😅😅eti yuwaitisha mafile😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 11 днів тому +2

    Maisha haya mnaigiza lkn yapo live mtaani adamu uko semin na mchepuko wako duuu inaniuma mm maan ilinikuta hiyo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  10 днів тому

      Pole Neema

    • @NeemaMbuji-i7s
      @NeemaMbuji-i7s 10 днів тому

      @@AdamLeoStudios Asantee kakangu mamb ya mabimdg we acha tu dunia ya ajabu cn

  • @AngelJuma-q2n
    @AngelJuma-q2n 11 днів тому +1

    Kumekuchaaaaa ukuuuuuuuu njoooniiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  11 днів тому +1

      Endelea ku enjoy🙏🙏

    • @bashirvencus8529
      @bashirvencus8529 11 днів тому

      Hi

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 11 днів тому +1

      🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Youngmaylin
    @Youngmaylin 11 днів тому +1

    Unyama mwingi sana 🇰🇪🇰🇪

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi 11 днів тому +2

    Ivo mukinaniii hua kuna watu kweli apooo 😂😂😂

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p 10 днів тому

    Adam uyu mchepuko nimempenda kweli anajua kazi