HEAVEN SENT Part 1 Official Bongo Movie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 185

  • @Wardarajab
    @Wardarajab 4 місяці тому +127

    Dah!ila twende mbele turud nyuma wema kipnd hiki alikua pisi ya kwendraaa❤❤kam unamkubali kipind hiko gonga like🎉🎉

    • @NuruChaula
      @NuruChaula 3 місяці тому +4

      Ushasema kipindi ko inatakiwa uje kwenye maisha Kuna vipindi vingi icho kilipitaaaaa😅

    • @Priscadaudi-e9u
      @Priscadaudi-e9u 2 місяці тому

      Yaan ap sio kwenda mbele wala kuludi wema alikuaga mzuli sio kipind hiki amekua kama alitagunwa na ng'ombe

  • @Maria-l4h3q
    @Maria-l4h3q 2 місяці тому +24

    Yaani Tesa ndo umekufa kwel mamaangu mungu akueke mahali pema peponi 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 19 днів тому +1

    Daa uyu dada mungu amrehemu😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa Місяць тому +9

    Ila wema ni mrembo mashallah wangapi tunaompenda wema tujuane kwa like

  • @ChurchJamba
    @ChurchJamba 20 днів тому +1

    Mimi wema uwaga namkubali sana sauti yake ndo uwaga naipenda sana

  • @nagmaaman1727
    @nagmaaman1727 Місяць тому +1

    Nampenda sana faudhia abillah

  • @MonicaNgogi
    @MonicaNgogi 2 місяці тому +8

    Wema Mungu amekujaalia uzuri jaman... Okoka umwamini Yesu

  • @alistairtracking2530
    @alistairtracking2530 2 місяці тому +6

    Jaman mama anajua uyo na kafa naufundi wake

  • @NEEMALUGONO-p6j
    @NEEMALUGONO-p6j Місяць тому +2

    Nmeipenda Sanaa hii movie jaman sema Tu nltaman wema angemsubir Clinton ndo waoane tena Ila so mbaya Gabo nae nakubali Sanaa

  • @AnithaGalla-c9x
    @AnithaGalla-c9x 2 місяці тому +14

    Aisee tesa ulale Salam tesaa😢😢😢

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 4 місяці тому +8

    Nampenda sana ndepanya 🥰

  • @yairojoshuamathayo5360
    @yairojoshuamathayo5360 2 місяці тому +7

    Iko vizur sana, na wimbo uliotumika ni mwimbaji anaitwa nani

    • @MaryChao-ob9zl
      @MaryChao-ob9zl Місяць тому

      Ukipata jina la muimbaji niambie🎉

  • @NiyongaboGad-r7g
    @NiyongaboGad-r7g 2 місяці тому +7

    Naamupenda wema kwamusemowake❤

  • @LicianMochoge
    @LicianMochoge 2 місяці тому +10

    Nyokooo sana wewe wema...kuigizs tu ndio unilize hivi .. kumbavu 😅

  • @AminaShaibu-c5v
    @AminaShaibu-c5v 2 місяці тому +40

    Tuliokuja kuangalia Baad ya msiba wa grace tujuane

  • @CosmasKarisa-j8s
    @CosmasKarisa-j8s 3 місяці тому +4

    Wauuuu wema sepetu siku hizi umekua aaje😊😊

  • @UrcilMikiti
    @UrcilMikiti 3 місяці тому +5

    Wema namundanga sana anudjuwaka ku hongeya n'a mwanaume

  • @TatudamabakariTatudamabakari
    @TatudamabakariTatudamabakari 2 місяці тому +4

    Huyu sasa ndo chimama mwenyewe ❤❤❤❤❤

  • @EvalineDaniel-l5m
    @EvalineDaniel-l5m 4 місяці тому +7

    Movie nzuri sana tupe mwendelezo jamani

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 4 місяці тому +7

    Zuuh umeweza usikose sehemu ya pili basi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @GraceVedastus-n9w
    @GraceVedastus-n9w 29 днів тому +1

    Yaan unaumia Ila Hamna jins site ninnjia moja

  • @RehemaKibona-pb2ci
    @RehemaKibona-pb2ci Місяць тому +4

    Aisee inatia uchungu jamani... walioguswa kama mimi tujuane!!!

  • @SophieRobby
    @SophieRobby 3 місяці тому +3

    Kaz nzuri Sana 🎉❤

  • @linusrichardmukuras8702
    @linusrichardmukuras8702 2 місяці тому +5

    Kwa hii movie ina mda gani nimeipenda sana ❤❤❤

    • @Marykarisa-v8m
      @Marykarisa-v8m Місяць тому

      Ni ya kitambo sana, sio mala yangu ya kwanza kutiza hii filamu

  • @FabriceFabriceAllyhandrew
    @FabriceFabriceAllyhandrew 2 місяці тому +6

    Dah!!hii film inatia huruma ila munafanya vizuli tunawafatilia kutoka burundi 🇧🇮 tunawapenda sana

  • @AliJoao-pe2ur
    @AliJoao-pe2ur 4 місяці тому +6

    Naombeni mtuletee 'Kapuni' yske Gabo🇰🇪🇰🇪

  • @LuciaNkenda
    @LuciaNkenda Місяць тому

    Kumbe luckyman wa mda jmn😂😂❤

  • @BitishoRiziki-z8z
    @BitishoRiziki-z8z 3 місяці тому +4

    Hiyi movie ni mafundisho KBS ❤❤❤🎉

  • @MzeeYamoto-h6g
    @MzeeYamoto-h6g 3 місяці тому +2

    Kazi iko kazini

  • @JeacaJoel
    @JeacaJoel Місяць тому

    Movie nzuri san nafundisha kwa kwel

  • @DianaMajiji
    @DianaMajiji 3 місяці тому +8

    Wema anamidomo mizurii❤❤❤❤

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 4 місяці тому +2

    Hubowi na hupowi xuu❤❤❤❤

  • @mussadax
    @mussadax 3 місяці тому +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ iyikali San kweli

  • @rajvtz8746
    @rajvtz8746 3 місяці тому +4

    Nilikua naomba hile crazy tenant ya msetu na wema kama comedy

  • @MaryamHAMISI-ei9fq
    @MaryamHAMISI-ei9fq 3 місяці тому +3

    Wema 🎉🎉🎉🎉❤

  • @neemayona5826
    @neemayona5826 Місяць тому +1

    Jaman mnaosema wema alikuwa mzuri mjue na ukubwa unanafasi yake

  • @ZamdaRamadhani-y8z
    @ZamdaRamadhani-y8z 4 місяці тому +2

    Leo umejua kunikoshaaa❤❤❤ 😅😅

  • @commentslaughs
    @commentslaughs 3 місяці тому +4

    tangulia ghetoo kabla ujala mitama hapa

  • @HadiaMfaki
    @HadiaMfaki 3 місяці тому +4

    Duuh wema aliweza saana kwenye hii movie

  • @CishahayoBraise
    @CishahayoBraise 2 місяці тому

    Daah wema sepetu mnzuri kabis

  • @Cleopatrangomero-c9m
    @Cleopatrangomero-c9m Місяць тому

    Hii movie mzuri sana

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 3 місяці тому +2

    Congratulations keep it up good job 👏👍

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 місяці тому +9

    Wema njo huyu sasa tunamjua ❤

  • @Mrsanthony-ys4ot
    @Mrsanthony-ys4ot 3 місяці тому +2

    Wema umejua kuniliza kwa kwel❤

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 2 місяці тому +4

    I like this movie 100@%

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 Місяць тому

    Dah 😳 hii kali atakama n mama mzazi nakataa,radhi haishiki hivi,ila sawa hivi ndivyo mlivyoipanga hii movie

  • @GraceNgao
    @GraceNgao 4 місяці тому +1

    ❤🎉wali wa nazi

  • @BerthaMusukwa
    @BerthaMusukwa 2 місяці тому +1

    Wema u are a strong woman❤🎉

  • @HabibaRashid-k5e
    @HabibaRashid-k5e 4 місяці тому +3

    Tuwekee na za sultan tamba km jinamiz
    Ni ya muda mrefu nayo

    • @lovirinaa
      @lovirinaa 3 місяці тому +1

      Yes nime miss hio movie kweli kitambo Sana

  • @NanaHsn525
    @NanaHsn525 3 місяці тому +2

    Wema rudisha mwili wako we mzuri

  • @NdikumanaInnocent
    @NdikumanaInnocent 2 місяці тому +1

    Wema alikua mzuri jmn

  • @eliassthomass5254
    @eliassthomass5254 Місяць тому +1

    Kweli Sura kapewa

  • @anitabiaquebiaque6761
    @anitabiaquebiaque6761 4 місяці тому +4

    Asante sana zuhh ❤

  • @LinohQueen
    @LinohQueen 2 місяці тому +2

    Mm imeniliza sana😢😢😢😢

  • @hassansouzha915
    @hassansouzha915 3 місяці тому +2

    Wema alikua mrembo aswaaa

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt 3 місяці тому +2

    Mtuletee na uta wangu

  • @BahatiAli-u3s
    @BahatiAli-u3s 4 місяці тому +5

    Eagerly waiting for this movie,,,,thank you😘

  • @LovenessMichael-s9k
    @LovenessMichael-s9k 4 місяці тому +4

    Wa kwanza leo

  • @Khadijajafari-g7i
    @Khadijajafari-g7i 2 місяці тому +3

    Jaman zamuda hizi duuuu tesa tesa mungu mkari

  • @SagaJustine
    @SagaJustine Місяць тому

    Nzur san

  • @husseinbaraza3194
    @husseinbaraza3194 3 місяці тому +2

    Alijiharibu mwenyewe

  • @BitishoRiziki-z8z
    @BitishoRiziki-z8z 3 місяці тому +3

    Huyu mama mbaya KBS ana fundisha wa toto ukahaba

  • @ASAS-q9u9e
    @ASAS-q9u9e 4 місяці тому +4

    Jamani wema pole😢😢😢😢

  • @NitoOresteLibaduke
    @NitoOresteLibaduke 3 місяці тому +2

    Tulete nyingine nimejifunza kitu kupitia hiiiii muvi

  • @AchilleDor
    @AchilleDor 3 місяці тому +3

    Tuleteye na Utata

  • @Ynah-dg2th
    @Ynah-dg2th 22 дні тому

    Wema arudishe mwili wake jmn

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 Місяць тому

    Huyu ndo wema sasa,siyo wa kipindi hiki

  • @jemamartin9669
    @jemamartin9669 Місяць тому

    Wema katika kuigiza yuko serious anajua kuvaa uhusika Aisee but tessa may her soul rest in peace

  • @MikieladaflowDaflow
    @MikieladaflowDaflow 4 місяці тому +3

    Tunasubil parte two jaman❤❤

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 4 місяці тому +8

    Jaman muendelezo °❤kipEnz

  • @glen37
    @glen37 2 місяці тому +2

    Hii movie inaleta huruma sana

  • @VictoriaMallya-zd7bj
    @VictoriaMallya-zd7bj 3 місяці тому +2

    Samira ni mzuri kuliko wema

    • @MuaharusseAfido
      @MuaharusseAfido Місяць тому

      We muongo wema mzuri, mpe mauwa yake,from Mozambique

  • @SimaiHaji-u3j
    @SimaiHaji-u3j 2 місяці тому +1

    Dah marehem huyu

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 4 місяці тому +5

    Leteee part2

  • @EgyptWaqt
    @EgyptWaqt 4 місяці тому +3

    Zuuh tuletee kitendawili ya Single mtambalike

  • @LicianMochoge
    @LicianMochoge 2 місяці тому +1

    Ila hao wanaume wote😢😢

  • @Jescar-k9y
    @Jescar-k9y 4 місяці тому +3

    Zuu tumalizie movie plz cz n tamu

  • @tumainimbwambo
    @tumainimbwambo 3 місяці тому +3

    Duh iv kumbe Wema alikuwa na tako kubwa hivyo asa saiv imekuaje tako hamna tena

  • @Zuhurashamuni
    @Zuhurashamuni 2 місяці тому +1

    Wema hapo ulikuwa mzur sana ila saivi kama ulochakuliwa alfu ukatemwa

  • @AchilleDor
    @AchilleDor 3 місяці тому +1

    Hata Kapuni saison 10 kama ipo, uku kwetu imesimamia S9 EP 13 tunaomb Da Zuuh🙏🏻🙏🏻

  • @SiyajariEvangeline
    @SiyajariEvangeline 2 місяці тому +2

    Wema rudisha mwiri wako warai irikuwa mzuri

    • @Maria-l4h3q
      @Maria-l4h3q 2 місяці тому

      Sasa ataregesha vip jamani na kapunguza nyama ili awe mwembamba sasa nyama zakurudisha atatoa wapi

  • @mwanadieshehe9969
    @mwanadieshehe9969 4 місяці тому +6

    Daa Zuu tuletee Masailo plz

  • @mussadax
    @mussadax 3 місяці тому +2

    ❤❤❤🎉🎉😂😂🎉😢😢😮🎉😂😮😮🎉😂❤❤ sijawayikuhona kamaiyi

  • @AmidaStamili
    @AmidaStamili 4 місяці тому +3

    Tunaomba part 2 please

  • @France-v1x
    @France-v1x Місяць тому +1

    Kumbe tuko wengi tunaoangalia hii mov

  • @glen37
    @glen37 2 місяці тому +3

    Sauti ya WEMA wachana nayo

  • @tabithaoliver9036
    @tabithaoliver9036 Місяць тому

    Mbn nmeangalia kidogo sauti ikaja kukata jmn nmeidownlod kabs😢😢

  • @NuratAbdala
    @NuratAbdala 3 місяці тому +1

    Ila wema alikua mzuri nyie eehh sijui kaenda kujiarbu nann???

  • @zawadimwalisu4645
    @zawadimwalisu4645 4 місяці тому +2

    Tuekee na brown coat ya nikita

  • @perusalice8967
    @perusalice8967 2 місяці тому +2

    Wema wap mwili wako

  • @ModoModo-w8p
    @ModoModo-w8p Місяць тому

    Da inauma sana

  • @vailethmtawa3478
    @vailethmtawa3478 3 місяці тому +2

    Tunaomba utamu wangu ya neema ndepanya

  • @PriyaAhmed-i8u
    @PriyaAhmed-i8u 4 місяці тому +4

    Jmn prt 2😊

  • @AddahArown
    @AddahArown 2 місяці тому +1

    Si vyema kwani yey kapenda kutopata mtoto

  • @DariaDavide5t
    @DariaDavide5t 2 місяці тому

    Naomba sobing sound ya Irene uwoya na ray

  • @NamalaAlexanda
    @NamalaAlexanda 21 день тому

    Grace😢😢

  • @JenipherGervas-v2h
    @JenipherGervas-v2h 2 місяці тому

    Dada wema minakupenda ludi tena kwenye filamu.

  • @rojamohd1844
    @rojamohd1844 Місяць тому

    Nikweli alivyo hivi bora ankekuwa hivi hivi

  • @RausuliKingazi
    @RausuliKingazi 2 місяці тому

    Mnasapot ushoga

  • @jobpakasi2810
    @jobpakasi2810 4 місяці тому +2

    Tunaomba na ili ya Mimi na Mungu wangu