UMEME FULL MOVIE - New African Movie | 2023 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2024
- UMEME FULL MOVIE - New African Movie | 2023 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
Welcome to Adam Leo STudios UA-cam Channel.
Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
#Jeraha #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #adamleo #adamleobongomovie
Adam kweli wewe ni mjeshi wa filamu asante Sana kwa kuendeleza filamu zuri zenye mafunzo imara kwenye jamii haswa Karne hii ya ishirini na moja, wewe kweli ni kanumba dungu yetu endeleza zaidi alipo achia mwenda zake stive, much love from Kenya ADAM endelea hivyo hivyo ❤
Shukrani sana asante🙏🏻🙏🏻🙏🏻
CONGRATULATIONS MY BROTHER ADAM. Nzuri sana na inafunza sana♥♥🎤
Asante sana
Hiii
Kwa kweli nimeamza kupenda filamu zenyu🎉🎉nawapenda sana adam na team❤❤❤❤
Asante sana
Congratulations 🎊 ❤❤ Adam much love from kenya ❤️🔥 🎉
Shukrani sana
Mnaosema hana cha kupost tulizeni mshono kuna wengine hawakuiona kaka Adam asante kwa kutukumbusha ten kwa hii filamu nzur
😂😂😂😂afazali Kwanza kuna mim pia ndo kwanza naiona mpya
Asante sana nawapenda wote watu wanguu❤️❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mi mwenyewe ndio naiona sahii
Mi mwenyewe ndio naiona sahii, alafu waume nyie jirani mwenyewe hata aliyumbi na Adam udenda unamtoka 😂
Hata mie ndio naitazama
Adam anajitaidin kutegeneza filamu yenye uboraa naufanisii mkubwa unapaswa upewe tunzo yau utengenezaji wa filamu kali san🙏🙏
Masha'Allah ,Adam Leo hapo kipaji kipo asiseme mtu ,insha'Allah Mwenyezi Mungu akuzidishie kongole sana ,dua zangu tu🤲
Shukrani mno🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nice work Adam much love from saudia ❤❤❤❤🎉
Thank you 🙌
Ayeeee!!! Nipeni maua yangu leo nimewahi kuwahi❤❤😊😊
Endelea ku enjoy
Uyu jamaa tumbo alicheza misukosuko jplus na mzee chacha na bad boy ila jina nimemsahau
Alipigwa mpaka akawa bubu na bad boy
Adam 🤣🤣🤣Una kiherehere cha kukandwa 😂😂😂ila unaweza sana broo. Good job 🌹❤.
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😂😂😂😂😂
🎉nice inakubalika kipaji ni nyota na kila mtu mola kambariki na ya kwake nice job bro
Shukrani sana
Onger kaz nzur❤❤🎉🎉
Asante sana
Asante sana
❤q
Congratulations team adam nawapenda nyote ❤❤❤🎉🎉🎉
Asantee❤️❤️❤️
Kwenye filamu hakuna kitu nakipenda kama behind the scenes. Well done guys❤
Thanks a lot
Mashallah movie tamu sana ambayo haiboeshi kabisa utamu kwenda mbele 😂😂😂😂
Shukrani sana
Big up Adama leo and your team, watching from Saudi Arabia
Thanks a lot
Saf ,adam .hauko nje ya Mungu ,bal uko ndan ya Mungu ..fikra zako za kimungu .
Shukrani sana sana
Karbu
Wow kaka adam hii imenifunza vitu vingi sana na Vya muhimu sana ❤😅
Shukrani sana sana
Na karibu sana kenya na tuna kupenda sana kwa ajili ya Allah
Wenye tunanza kuiona na tumeipenda lakes hapa
Endelea ku enjoy❤️❤️❤️
😅😊, @@AdamLeoStudios
Vipi
Adam una tufunza sana kazi yako ni nzur
Daaa kak ake nakukubar sana❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana
❤❤❤
Kazi nzuri kaka Adam huwa Hauna kazi mbovu ww kazi zako ni🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
Good job Adam love so much❤❤ from 🇧🇮
Thanks
Oya bro, unajua mpaka unajua tena, haujawahi kutoa Boko kwenye movie zangu, Mungu aendelee kukutendea mema na hakika utafika mbali zaidi ya sana
Shukrani sana
Uyo dada nampenda uliezindua nae chumba nampenda sana adam uko vizur sana nafatilia move zako
Shukrani
Big up all and congratulations 👏👏👏❤❤❤🎉🎉🎉
Thanks a lot
kama mliona wangine leo ndo tumeona honger sana kaka adam from burundi
Shukrani sana
Safi sana kaka kazi nzuri ❤
Shukrani
Hii movie ni nzuri Sana 🙌🔥🙌 Hongera Sanaa Adam
Shukrani sana
We need English subtitles on all your movies please 👍
We work on it🙏🏻🙏🏻
Adam unasaut nzur Sana we mkaka
Asante sanaa
❤❤❤ nzuri 🎉🎉🎉
Asante sana
Napenda move zako zinanijenga Sana Zina mafunzo 🙏❤️❤️ nawapenda nawaombea pia
Asante
Big up guys 🎉🎉🎉Watching from Saudi Arabia
Thanks a lot
Kudos once again
Shukrani sana
Vipi kaka adam..ata pia mimi sikua nimewatch..wacha nicheki basi..alafu naona uko karibu 100 subs..💪💪👏uko sawa bro..
100k subscribers....
Asante bila ninyo mie si kitu kabisa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ndio naangalia ila najua kaka Adam uwaga habahatishi❤
Endelea ku enjoy kibibi hutojutia🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Napenda move zako nzury Sana Yani adamu leo Nice
Shukrani sana
muvi zako zinafunza jamii kaka big up adam
Shukrani sana🙏🙏
Nimeipenda.
Asante endelea kufurahia filamu zetu nyingine
Nzuri sanaa
Asante
Ninzuri inaelimisha hongera🎉🎉
Asante
Upo vzr Adam mpe Pole kado maana chozi lilimtoka kama kafiwa
𝐽𝐴𝑀𝐴𝑁𝐼 𝑁𝑍𝑈𝑅𝐼 ❤
Asante
Watching from Canada 🇨🇦
Enjoy from Canada
Mbona movies zako ziko vzr kaka, hongera.
Asante sana
Jamani Adam sauty yako kaka ✔️✔️
Jamaaani asante
Adamu umeweza sanaa kka na utupa mafunzo
Shukrani
Nimeipenda sana hongera kwa kazi nzuri ❤❤❤❤
Nashukuru sana sana!
Congratulations my dear Adam 🎉🎉 kazi nzuri walaah
Shukrani
Ongera san kaka ngoja nilale nime injoy san ❤
Enjoy
Oyoooo I'm namber one
Thanks
Nazipenda sana filam zako kaka Adam asante sana ♥️♥️♥️
Shukrani mno
Dah umetisha mwanang umeondoa unyanyapaaji
Kweli kabisa!
I love your movies. They are amazing👍
Thanks a lot
Good job Adam
Shukrani sana
Ur movies r very good keep it up ❤
Thanks🙏🙏
Adam hongera ❤❤❤🎉🎉
Asante
🔥🔥🔥🔥🔥🫶🫶🫶❤️… watching from USA 🇺🇸
Thanks a lot endelea ku enjoy!
Lete vitu mr: Adam
Bila shaka endelea ku enjoy🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Adam uk saf congratulations
Shukrani
Ujawai kufel broo ❤
Shukrani sana
Pongez kwa wahusika wote❤❤❤🎉
Shukrani sana
Mafunzo mazuri mashaailah
Asante sana
Jaman me ningependa uigize bas na Hemedy Chande
Sawa kheri
Nimeipenda sana
Asante sana
Mafunxo kibao hongera kaka adam
Asante sana
Adam, well done kaka🎉
Shukrani sana
MashaAllah ❤️❤️❤️❤️
❤️❤️❤️❤️🙏🏻
❤❤❤
❤️❤️
Ahahhahahhahah adam kaskia dem ana umeme akachokaa mpka bc kama ingekuw ni halisi kabs afu kwel ana umeme hahahaha sipatii pichaa jasho mwili mzima ungelow nyang'anyang'aaa 😅😅😅 hahaa penda snaa broo siachi kukufatilia una madini mengi snaa 🎉
Shukrani sana sana
Move ni nzuri sana
Kanzi nzuri adam❤❤❤❤
Shukrani
Kazi nzuri bro 🎉🎉
Asante
Nice 👍👍❤❤❤
Many many thanks
Mwenye ukimwi ako na ulimi hata😂😂😂Alafu jeuri balaa
Ahahha jamani
Mm sijaona
Tuliiweka kwaajili yenu! Endelea ku enjoy🙏🏻
Mi nimependa kweli huyo jamaa kamuachia demu chumba hakutaka ateseke yeye amejali tu afya yake good job wanaume wa kibong angekufukuza bila hata kukup nguo zako😂😂😂
Umeona eh
Mko vizuri❤❤❤❤❤
Asante sana
Waah 🤔 hapa nimejifuza kitu nisipime mpenzi wangu na macho😳 Adam leo ata wewe umesema uingie kwa hiyo shimo?🤔
Naam
𝑾𝒂𝒕𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒇𝒓𝒐𝒎 𝑵𝒂𝒊𝒓𝒐𝒃𝒊 ❤❤❤
Thanks a lot
Adam afanana na shadow au n macho yangu😂😂❤
Shadow ndiyo nani?
Inafundisha mashallah
Asante
Watching from Saudi, ❤❤❤
Endelea ku enjoy🙏🏻🙏🏻🙏🏻
I like the second man coz he did what I could do and stick with one
Thanks a lot
Weee mhh, yataka moyo kuishi nao💔😰
Umeona eh
Wow nmeipenda muno ❤❤❤
Shukrani
good movie
Thanks
Nzr sana
Asante
Yani ADAM LEO unajua nimeazakkuangali jana najikuta mdaotea nakuangali ochokikuangali kilaunavoangali unakutakitukipya
Shukrani endelea ku enjoy
😮mm sijaiyona
Basi itazame na uenjoy
Mr Adam kiukweli ujue ununae mpenda ameathirika utakubali kweli
Yaani mtihani kwa kweli
Keep up bro
Thanks
💔💔💔💔 Huyu dem kasepe kbsa mbona alikubali umsadie na yeye ataki akusaidie kaende 💔💔💔💔
Umemeeeeehee😂😂😂huu ugongwa mbona auzoeleki jamani..
Kweli kabisa
Unaenda kubeba kinga unakutana na kado anaharib mambo😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Hahaha yaani mambo ovyo kabisaa yaani😂😂
Kado ana alibu mchango Adam alikuwa ana usikilizia ila fresh Ongereni sana jamani mana wengine tuna kuwa na stress za waarabu nawapenda sana woteee❤❤❤❤
Toto lina umeme 😂😂😂😂
Kaka hii tuliangalia na ipo kwenye page yako
Wengi hawakuiona yote kwa urefu kuna vipande walimiss ndiyo maana tumeiandika jina lile lile la UMEME ili ambao hawakuiona waweze kuitazama yote na kwa urefu🙏🏻
Pita tu
Nice ❤❤❤❤
Many many thanks
Uzur daa huu anawakinga sema..nyinyi wenyewe waume. Mnashindwa kujiongeza.
Ni kweli kabisa😂
❤❤❤❤❤🎉🎉
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ninzuri.
Asante