MDANGAJI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • MDANGAJI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
    SUBSCRIBE NOW / @adamleostudios
    Welcome to Adam Leo STudios UA-cam Channel.
    Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
    SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
    DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
    #mdangaji #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #adamleo #adamleobongomovie

КОМЕНТАРІ • 797

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  8 місяців тому +15

    Angalia filamu yetu mpya hapa
    ua-cam.com/video/siy9nylpx2o/v-deo.htmlsi=TPQWh4-wgxTkO6L8

    • @nassordedolph1627
      @nassordedolph1627 7 місяців тому +1

      Huyu dada mdangaji anaitwaje hakika kavurugwa mpaka nimemkubali napenda sana wasanii wanaoweka aibu zao pembeni wawapo kazini

    • @فاطمهكينيا-ذ8ش
      @فاطمهكينيا-ذ8ش Місяць тому

      Una tufunza sana Adam

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 8 місяців тому +19

    Napenda film zko mara zote hua zinabeba ujumbe mzito😊😊😊ubarikiwe sana❤❤❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому +2

      Shukrani sana na asante kwa kuliona hiloo🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @iddizo2669
    @iddizo2669 8 місяців тому +17

    Nimechelewa sana lakin naomben like zangu hii movie kali sana🔥🔥💯

  • @farajyassir9822
    @farajyassir9822 8 місяців тому +12

    Brother Adam leo... muko juu sana team Adam big up bro🎉🎉🎉. Can't wait to see you 1M subscribers

  • @mbarderonly5874
    @mbarderonly5874 8 місяців тому +8

    Umeuanza mwaka kibabe sana kaka bonge Moja la filamu huyo dada mwenye makope ni mkali sana anaweza sana kuigiza

  • @MaruraZawadi
    @MaruraZawadi 8 місяців тому +7

    Napenda movie zako sana bro hdi nimekufollw kila Mahali mungu akubariki zaidi 🎉🎉🎉much love from Kenya

  • @Xialover2
    @Xialover2 8 місяців тому +12

    Jaman kaka adam movie zako n nzuri san yan nmeipenda😍

  • @ChimamamermitaKatembo-vm8vt
    @ChimamamermitaKatembo-vm8vt 8 місяців тому +8

    Ivi uyo salima uwa zimo kweli au zinakuwag zinatoka kdg Salma anakuwag ananifurahisha kwel❤❤❤😂😂😂😂😅

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому +1

      Hahaha na lengo letu awafurahishe😂😂😂

    • @FlorenceMwangangi-c7s
      @FlorenceMwangangi-c7s 8 місяців тому

      Mm naona nikama saa Zengine uwa hazimo 😅😅😅

  • @mamaaanmar1261
    @mamaaanmar1261 8 місяців тому +3

    Salma salma. Salma. Nimekuita. Mara3. Nyie. Huyu. Salma atafika. Mabali. Aiseeeeeee. Anajua. Adam. Hongereni sana. Nimecheka. Mimi. Nikifukuzwa. Kazi. Adam. Mtanipa kazi. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @khadijak-f7n
    @khadijak-f7n 8 місяців тому +6

    Wow mumeanza mwaka vzr filam zenu nzuri, mhusika mkuu Adam fudi kakangu🎉

  • @angelinamgaya5802
    @angelinamgaya5802 8 місяців тому +6

    Waoooooh bonge la movie kwakwel nime enjoy sanaaa na nimefrah sanaaa jmn katika filamu hii

  • @UwumukizaAssia
    @UwumukizaAssia 8 місяців тому +11

    Asante Sana kaka Adam kwa filamu hii itakua vizuri Sana ukituletea part 2 from Rwanda

  • @DianaSylvester-dn4fw
    @DianaSylvester-dn4fw 8 місяців тому +3

    Uyu dada anaitwa mwanambacho au salma kwao ni namanga alinitangulia darasa mimi nipo la sita ye lasaba

  • @farajyassir9822
    @farajyassir9822 8 місяців тому +10

    This is the film of the year 🎉🎉🎉

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому +1

      Aiseee mapema mnooo asantee sana😂😂😂❤️❤️❤️❤️

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 8 місяців тому +2

    Salima mwisho wa ubaya ni aibu umeona ubaya wako kumfukuza dadayako je SASA wafaliwa na Nani?kibaya chako sio chemacha mwenzako

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 8 місяців тому +6

    Hii ni Kali zaidi ya wakuja nimependa sana hii move nzuri ya mdangajii

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 8 місяців тому +5

    Uyo ndo salm Sema broo Adam utajta kumjua salm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Hahaha nijute mara ngapi mieee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 8 місяців тому +8

    MashaAllah movie ina mafunzo sana kwa mwenye akili❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Shukrani kwa kuelewa🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @rebeccakadzo8057
    @rebeccakadzo8057 7 місяців тому +2

    Yani huyu dada anajua kwel😂,huna lolote lakuniambia sina, mathayo 7:7:12 ombeni nanyi mtapewa😂😂😂😂

  • @EdvinarElish
    @EdvinarElish 5 місяців тому +3

    Bonge la movie jamani Salma.Adam,& zubeda kiukweli wote mmebamba sana' big-up🥳💪

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 8 місяців тому +7

    Kazi nzuri kaka❤❤❤

  • @georgevascogeorgevadco9033
    @georgevascogeorgevadco9033 8 місяців тому +8

    tuko pamoja sana kutoka Lusaka zambia❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @BonfaceMuteti-zw5kj
    @BonfaceMuteti-zw5kj 8 місяців тому +6

    Movie nayo inaeleweka kinoma, big up guys

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 8 місяців тому +6

    Adam hujawahi kukosea kazi nzuri sana

  • @ismailsalum6574
    @ismailsalum6574 8 місяців тому +2

    unafanya movies nyingi zna maudhui mazuri ila shida quality kaka na location

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Taratibu tutafikia huko kaka BUDGET! Unaweza kutuchangia kwa namba yetu 0652393960

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 8 місяців тому +5

    Nawakubali nyote team Adam Leo❤❤❤❤Salma naja kuomba hizo kope😅😅

  • @mwanaishashanilamagoti1092
    @mwanaishashanilamagoti1092 8 місяців тому +4

    Yani mtu mmoja anamagojwa yote yadunia😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Ni muongo sana huyu binti😂😂😂😂😂

  • @elysefuraha4588
    @elysefuraha4588 8 місяців тому +8

    Much love from BURUNDI🇧🇮 ❤❤❤

  • @theresamushanga-qc9ep
    @theresamushanga-qc9ep 8 місяців тому +3

    Salma utaniuwa jamani nakupenda bure jamani

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 7 місяців тому +2

    pharmacy imekaushwa yte

  • @emillyajiambo4703
    @emillyajiambo4703 8 місяців тому +5

    Wow kazi nzuri nimeipenda hii filamu ❤❤❤❤ watching from Kenya 🇰🇪

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Asante

    • @Chebet254
      @Chebet254 8 місяців тому

      ​ ❤🎉🎉 Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunawafatatilia sana

  • @angelinamgaya5802
    @angelinamgaya5802 8 місяців тому +4

    Hongera sanaa adam kwa kazi nzuri tunaomba filam nyingine nzuri kama hii

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 8 місяців тому +2

    Bora kuchelewa lakin ufike..ndo mm nimewasili. ..

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 8 місяців тому +2

    Kaka Adam kweli umeamua kutuletea vitu moto moto ama kweli huu mwaka 2024 ni mwaka wafuraha nyingi sana, asante kazi njema bro bigup 👏👏👏👏👏❤.watching from mombasa- kenya.

  • @StevenJames-z2l
    @StevenJames-z2l 3 місяці тому +2

    Kisokolokwinyo 😂😂😂😂 Nimecheka leo🤣🤣🤣🤣

  • @priscilladama8686
    @priscilladama8686 8 місяців тому +4

    Watching from Saudi Arabia congratulations Adam and your team

  • @LilianiLema-b7y
    @LilianiLema-b7y 8 місяців тому +4

    mwenyez mungu azidii kuwavusha hatua moja mpk nyingine ili mfikie malengo yenu kaka adam

  • @HajraYahya-z9s
    @HajraYahya-z9s 8 місяців тому +5

    Umetishaaaa🔥 Adam km adam😊❤️

  • @trippleleizer2361
    @trippleleizer2361 8 місяців тому +3

    😂😂Ati wanaume aliokutana nao ni wanane🤣.. Kavunja sheria za wanawake wenzio idadi huwa mbili au tatu😅.... Movie Tam Sana.. Much love from 🇰🇪

  • @سوزانالكيني
    @سوزانالكيني 5 місяців тому +3

    Na kubali movie zko zinamafundisho mazuri❤❤❤❤

  • @sheylahpeter
    @sheylahpeter 7 місяців тому +1

    Nimempenda Salma anajua sana yaani HAJUI KUKOSEA anatumia jina Gani ig

  • @Ssr.0
    @Ssr.0 8 місяців тому +3

    MashaAllah very good 👍 movie 😍❤️ watching from UAE 🇦🇪 DUBAI

  • @sabiwiteness-dk8gd
    @sabiwiteness-dk8gd 2 місяці тому +1

    Sasa hapo umehalibu umesema inaitwa Adam leo kwa hio movis na hio movis uko unaizungumzia kweny TV na huo mtu anaitwa Adam leo 😅sasa hapo ndo umeharibu inaonekn kam niwew mwenyew bila chenga

  • @kijeneema4527
    @kijeneema4527 3 місяці тому +1

    @AdamLeoStudios umekosea huyo mdogo wake Salma wakati anamfuata dada yake alikuwa kavaa sketi na kikoti kufika nyumbani kijora zingatia kuhusu continute

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 8 місяців тому +5

    Jamani nakupenda bure😂😂😂

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 8 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂kaolwa na mganga tena mchawi 😂😂😂😂chezea penz ww naijua io series zako zina mafunzo sana hongera adam na kado mungu atimize itaji la mioyo wenu amiin thum amiin

  • @tima5679
    @tima5679 8 місяців тому +4

    uyu salma izi part ndio zamfaa😂😂🙌

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 місяців тому +1

    Jaman vitu vyote hivyo anapereka wapi huyo mdada? Hakika leo umepatkana adam maan huko kukomoana sasa 🤔🤔🤔

  • @mbmdigitalpro5198
    @mbmdigitalpro5198 8 місяців тому +2

    Wow! So nice. Jamani huyu mudada kasomea uigizaji??? She's a good actor

  • @FlorenceMwangangi-c7s
    @FlorenceMwangangi-c7s 8 місяців тому +3

    Daa salma weeeee Kiboko Daaaaah ....ila Hongereni sana Filam yenu nzury sana pia inaelimisha ....kaka Adam Big up 🎉🎉

  • @NeemaHashim-c2p
    @NeemaHashim-c2p 8 місяців тому +3

    Weee Adam wee et hutaki😂😂😂😂😂😂😂😂 salma anakuchokozaa😂😂

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 8 місяців тому +2

    hv haukuwah kufilia series mr? naona itakua bomba pia !!!

  • @NaifinMohamed
    @NaifinMohamed 4 місяці тому +1

    Hee huyu dada kiboko kaniacha hoi apo pharmacy doh ningekuwa mm ningemkumbia nikamuachia balaa lake😂😂😂😂

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 місяці тому +1

    Ahahhaahahahah salmaa anajichetuaga akili huyu hahaha kama hazipo kwel kumbe zipo cjui kama akiwa kawaida anakuw hvi hvi au laah ila mauwa yenu sotee mpokee kwakwel nainjoy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauw yenu 🎉😂

  • @Afr_ican
    @Afr_ican 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂Adam umesave je number ya salm kwenye sim yako!?duuh😂😂😂

  • @immaculathaemmanuel8240
    @immaculathaemmanuel8240 3 місяці тому +1

    Salma Mwizi 😂😂😂nimeiona hio,,,hongera sana team Adam kaz zunu nzuri🎉

  • @ElvisKisilo
    @ElvisKisilo 8 місяців тому +3

    Aminia kaka tuko pamj san

  • @esterelias8137
    @esterelias8137 7 місяців тому +1

    Adam kwa uhalisia salma hakutakiwa kubandika kope kwenye icho kipengele

  • @elizabethalex855
    @elizabethalex855 8 місяців тому +2

    Mdogo wangu adamu umenikumbusha mbali sana nishapitia haya pia hongera sana kwa move nzuri za kuelimisha jamii hasa kwa sisi tunao changia mzazi mmoja mungu ajalie timu yenu mfike mbali

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 8 місяців тому +2

    Congratulations 👏👏👏 All mumeupiga mwingi hongereni nyote big salute i love you all ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @tausimbulumi503
    @tausimbulumi503 8 місяців тому +1

    Da sarum kasema hatoi vitu nyake bule atavipinga munanda we kuwenza umpe mutu we kuwenza so kweri

  • @JanethAnno-kv4pb
    @JanethAnno-kv4pb 8 місяців тому +3

    Kwhiyo Salma na kope zote hizoo hujala siku ya pili😂😂 acha bhsss😂😂😂😂... enewei una kazi nzuri sana Adam❤ keep it up😊

  • @boneshaissa5138
    @boneshaissa5138 8 місяців тому +3

    Blz hujawahi kuniangusha ❤😂😂

  • @salamamwahanga3123
    @salamamwahanga3123 8 місяців тому +4

    Walah inanibamba hiii mov na iko na mafunzo ubarikiwe Adam leo❤❤❤❤

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 2 місяці тому +1

    Kaka Adam 😂😂 kwa hiyo nasi unatupanga eti jamaa unafanana nae wakati ni wewe sema nn nimejifunza hapa kuwa uzur wa mtu haupo kwenye sura bali ni tabia yake

  • @rsetv4480
    @rsetv4480 8 місяців тому +4

    wow, hakika nimeipenda sana hii cinema. adam leo kazi nzuri sana

  • @fatumajuma5848
    @fatumajuma5848 8 місяців тому +2

    aaaaaaaa adam umenikera na iyo huruma yako huyo bibie shemej mngemwacha hapohapo ngoja akawageuke🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰👌

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому

      Hahaha jamani tumemuonea huruma😂😂

    • @fatumajuma5848
      @fatumajuma5848 8 місяців тому

      @@AdamLeoStudios 👏👏🤣🤣

  • @badrusimba1267
    @badrusimba1267 8 місяців тому +1

    Tunataka nyengine kama hii yenye maadili au mafunzo ya kiislamu maana filamu nyingi tunazo ziangalia kutoka bongo zinaambatana na ukristo pekee

  • @TeddyJuma-p3p
    @TeddyJuma-p3p 2 місяці тому +1

    Nimeipenda japo mwanzo ilitaka kunikera, move nzuri sana sana

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 3 місяці тому +1

    Dada fanya aibu bc umepelekwa kununua dawa unachukua duka zima hadi naona aibu mimi..huyu dada mtaamaa kwl kwa kila series

  • @MozaAdinan
    @MozaAdinan 8 місяців тому +3

    Nipo oman ila napenda sana movie adamu ongela sana allah azidi kukuinua kaka❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 8 місяців тому +3

    Waaah adam waniacha hoi yan movie nzuri mashallaah ❤❤❤❤

  • @yangbabu
    @yangbabu 8 місяців тому +1

    Mi mwenyewe kuna siku nilinuwiya kufanya jambo libaya laini kabla yakuona filamu yako nikairisha yani we acha tu

  • @LovelyBoardGames-no6lw
    @LovelyBoardGames-no6lw 7 місяців тому +1

    Neno kudanga mumefkiria nn hasw ndugu zetu wabongo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  7 місяців тому

      Kudanga kutafuta pesa kwa njia zisizo sawa

  • @CleraJuliusMunishi
    @CleraJuliusMunishi 8 місяців тому +1

    Alafu we adam umempata wapi tena huyu umesahau ulimwowa akakutesa jamani wanaume😂😂😂

  • @rachelsimbeye9637
    @rachelsimbeye9637 8 місяців тому +1

    Haaa😂😂😂 nimecheka kifala 😂😂 Salma alijua ataambiwa anapendwa yeye

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 місяці тому +1

    Nimecoment kabla ya kumaliza lakn namaliza daaah hakiii salmaaa cyo mzimaa kwakwliii huyu dadaa adam kwa kaz zako anafaa snaa maan daaaah anavynja mbavu huyu

  • @NeemaHashim-c2p
    @NeemaHashim-c2p 8 місяців тому +1

    Salma bhna baada ya kupewa pesa ndo amekumbuka kuuliza jina😂😂😂😂 we unaitwa nani kwan kwa upoleee😅😅😅

  • @EstellaMuteramyi-ho2lf
    @EstellaMuteramyi-ho2lf 8 місяців тому +20

    Jamani sijachelewa San naomba like zangu 🎉

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому +4

      Endelea ku enjoy😍

    • @Olebee
      @Olebee 8 місяців тому +3

      ​@@AdamLeoStudioskilicho nifanya niienjoy zaidi ni lile jina uliomsevu Salima mwizi😂😂

    • @MariamJuma-wc5qw
      @MariamJuma-wc5qw 8 місяців тому +3

      Nzur xn tunaomba nyingn 🎉

    • @EmanuelAmuravu
      @EmanuelAmuravu 8 місяців тому +1

      Naona.movie.niko.kazi.usiku.mlinzi.wa.usiku.napenda.naona.mambo.ya.dunia.hii.

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 2 місяці тому +1

    Tuliko sisi,viporwa avitupwi tuna viifadhi ndani ya friji

  • @GracePatrick-zc2eb
    @GracePatrick-zc2eb 5 місяців тому +1

    Hapana jaman.hyo dada amekosea kuigza na kope macho.kuigza una shda nd uvae kope? Sio kweli.

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 8 місяців тому +3

    Nawapenda Sana Kutoka Burundi Guys 🙏🙏🏼🇧🇮🇧🇮 ❤❤❤

  • @edenhaile8310
    @edenhaile8310 4 місяці тому +1

    I love your movies, but there's no subtitle

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂 nimecka sana unavo jiona afu mnajifanya eti sio nyie haaaahaaaa adam

  • @EvaTewele-vv4wt
    @EvaTewele-vv4wt 2 місяці тому +1

    Ntakupiga na elfu kumi we dada kiboko 😀😀😀😀

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 8 місяців тому +2

    Ila huyu salma anajua kuigiza sana😅

  • @tumainlenad5141
    @tumainlenad5141 8 місяців тому +1

    Mwanamke in kuwa wa Moto hivyo kwa mwanaume anaejielewa hawez kuwa na mwanamke kama Hy salima

  • @jacklinemuthoni1918
    @jacklinemuthoni1918 8 місяців тому +2

    Watching from saudia adam leo movie zako ziko swa👍kwahihi nimejifuza kuogea ukweli 👌

  • @Dioff20
    @Dioff20 6 місяців тому +1

    WAKUJA MBON HUTUENDELEZEI TAJIR

  • @BetyHaule
    @BetyHaule 8 місяців тому +1

    Haya Adam Salma kiboko et wajomba zake wa libindi mbwila hyo

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 8 місяців тому +1

    Mmmmh hiyo balaaa mdangaji huyo mwanamke kiboko duuuh

  • @AlfredSokoni-j2y
    @AlfredSokoni-j2y 8 місяців тому +2

    Hongera wewe zaidi,mpe hai mdangaji,kaenda chuo Cha ugizaji,usimsahau jamaa yako aliye komaa Kama mwanajeshi

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 8 місяців тому +1

    Adam bro nikija tz unipe kipande nigize na huyu dada

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 місяці тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mm na hyo Salmaa hapo duka la dawa Yan haelew kabsaaa 😂😂😂😂😂😂halaf ni muongeaj balaaa

    • @ZalhaMustapha-yj4os
      @ZalhaMustapha-yj4os 2 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣🤣Halaf Salma mzigua mwezang ameniangusha jmn wazigua hatuko ivo 😂😂😂😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 місяці тому

      Hahaha acha kabisa

  • @سوزانالكيني
    @سوزانالكيني 5 місяців тому +1

    Hongera xana dada mwizi ukapata mume😂😂😂😂❤❤❤

  • @nassordedolph1627
    @nassordedolph1627 7 місяців тому +2

    Huyu dada katisha sana amevaa uhusika vilivyo.congrats bro

  • @nadianyamuraka
    @nadianyamuraka 8 місяців тому +2

    Nafatilia snaa films zako kutoka 🇨🇦

  • @AIRSEAEXPORT
    @AIRSEAEXPORT 6 місяців тому +1

    ety nitakupiga na elf 10 wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BittaPaul-v8q
    @BittaPaul-v8q 8 місяців тому +2

    Hahahahaha!!! Mwanzo wa mwaka mzuri, navotazama Kwa film hizi tu Huu mwaka nitatoboaaaa!!

  • @jacklineminja-fg9ji
    @jacklineminja-fg9ji 3 місяці тому +1

    Huyu salma jaman mmmh huyu dada kiboko🙌🙌🙌🙌