SLAY - New African Movie | 2024 Swahili Movie (Subtitled in English) Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- SLAY - New African Movie | 2024 Swahili Movie (Subtitled in English) Adam Leo Bongo Movie
SUBSCRIBE NOW / @adamleotv
Welcome to Adam Leo STudios UA-cam Channel.
Stream and Enjoy Best of Swahili Movies with your favourite artists here on Adam Leo Studios UA-cam channel.
SUBSCRIBE NOW to stay updated on all latest Swahili movies.
DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
#slay #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #adamleo #adamleobongomovie
Kwa filamu nyingine nzuri kutoka Adam Leo Studios, bonyeza hapa👇👇
ua-cam.com/video/1clnd17DCHk/v-deo.htmlsi=BvO7AJPGPTLNlFFP
Instagram unatumia jina gani Adam??
Nomaaa Sana
Thanks broo unaweza xna movie zko ziko saw xnaa❤❤
Adam nataka kuigiza na wewe
Stor nzuri kiukweli. Haichoshi kutazama
Nyieeeee kumekucha hukuuuu mambo motrooooo tulokuwa tunasubiri hii kitu tujuane❤❤❤
Wengiii, asante jamani! Tunasubiri maoni yako ukimaliza kuitazama yote.
Uko handsome saan Adam❤ na mov zako ni za mafunzo mno safi saaan❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Mashallah Kaz nzuri san kak Ang 🎉🎉🎉 like tano tu ❤❤❤❤😅
Asante
Hii ya moto xna ❤❤ ila tujitahid like kwa wingiiiii Jaman 😢😢😢
Shukrani kwa kweli
Jamani muvi tamu sana yenye mafunzo ❤❤❤ part 2 iko wapi
Nyie yote tisa Adam n mzuri bwana❤🥳 nampenda yeye na movie zake
Asante sana jama.
😅😅😅We kiboko
Ni kweli he is so handsome ❤ na sauti yake sasa wah😊
Hongera hajj yaani wewe uko vizuri mno kuigiza Mungu akubariki kipaji chako 🙏nakupenda sana kakangu❤hili ni funzo kwa kila mwanamke n mwanamume😢
Asante sana🙏🙏
Weu si Adam wewe ni mcute sana😂😂😂 ubaya niko Kenya ningekutafuta unioe mimi😂😂😂😂❤❤❤❤❤napenda sana movie zenyu
Asante sna shukrani
Nipeni likes za mamake Adam na Adam mwenyewe kapata mchumba aki mbavu zangu leo nimecheka mno, ongereni nawapenda bure.
Shukraniii jamani tunakupenda pia..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉nimechekaaa mpa basi
Thanks sns
Adam yaani unaweza kuigiza🎉 sema tu Niko mbali nakukubali nisipo angalia movie yako najisikia vibaya
Shukrani
Safi kabisa tunaendelea kufuatilia movies zako, kiukweli nilikuwa nimechelewa kuangalia movies zako. Hii ndio ya pili, nitahakikisha nimeona zote!
Shukrani sana
Hatatu chai rangi kupikia mama hakuna looo toba hapo hakuna mke kabsa much❤❤❤❤❤❤❤❤❤Adam 🎉🎉
Shukrani
you kill it broo,wadada tujifunzen jaman ndoa n majaliwa ujaliwa iheshimu na umpe nafas mumeo ajivunie na kujiona wa thaman ya kukupata wew,Big up sana kwa MAMA ametisha sana
Shukrani mno kwa maoni yako.🙏🙏🙏
Mama yuko vizur mashsllah
Daaah hii ni funzo kubwaa sana adamu ukuje chuga tukuone live bwna kaz zako nzuriiiiiiiiii mnooooo
Asante sana jamani🙏🙏🙏
Tamthilia tamu yenye mafunzo nimejifunza hongera
Asante
Adam Una kipaji cha kuigiza kweli mungu azidi kukupa maarifa, kutoka Kenya nafuatilia wewe ❤️
Ameen
Duuh movie hii kama vile nimesemwaa mimi jamani 🇧🇮🇧🇮🇧🇮Am so proud of you guyz
Thanks a lot
Kvp
😅we noma sana adams
Asante dada😂😂
So sweet, proud of you Adam 👏 much love from Uganda 🇺🇬 ❤️
Shukrani sana UG nawapenda🙏🙏
@@AdamLeoTv tunakupenda zaidi
Vizuri,ongereni kwa kazi nzuri.
Ndivyo walivyo wa dada wanao jiita eti wao niwa mjini wamezaliwa mjini.
Umeona eh
Nimepitwaa huyu kaka napendaga kazi zake 😍😍💕hendsam boi🤣
Shukrani jamani🙏🙏🙏
Unatisha Adamleo hiii kitu nifundisho tosha kwa vijana wa leo ambao wanajiandaaa kuingia kwenye ndoa. Wahenga wanasema kungulu hafugiki . Safi sana aiseee!!! Unatisha @Adamleo
Shukrani sana sana.
Safi sana Adam tunakupenda kutoka Kenya
Asante nawapenda pia
Najikuta hata na mawazo yanakata jins nilivokuwa bsy na kufatilia move zako❤️❤️❤️.....Najifunza na kuenjoy snaaa kwa kwel
Shukrani sana❤️❤️❤️
Yaani navwomfatilia kwa sasa uyuu kaka kama amenloga❤️❤️❤️
Hahaha jamani nashukuru.
Movie zake nzuri sana mm Tv yangu ni kudownload tu movie zake nimeshasahau kulipia king'amuzi
Adam ikiwa elimu were nice mwalimu muzurir sana namushukuru Sana mama aliye kukuza Asante sana
Asante mno
Slay kama Slay😂😂😂😂 kavunja nyumba kwa mokono yake mwenyewe. Unajua kaka ❤
Asante sana🙏🙏
Asante sana adam kwa movie nzuri unajuwa kuigiza🎉🎉 kilasiku natazama movie zako kama tatu
Asante
Adam is a gifted actor...keep it up kaka
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻
Dah huyu dada wa kitambo sana toka kwenye saladini ile bongo movie ya kutisha Kama umemtambua like 10 tu👊👊
🙏🙏🙏kweli kabisaa umepatiaaa
Kaka Adam m/mungu akujaalie Sana na azid kukupa Afya akuweke miaka 1000 uendelee kuelimisha upo vizur Sana
Asante sana🙏🙏
Najivunia ww kaka Adamu Unajua unajua tena ❤❤❤❤mm napenda Adamu kuanzia mwonekano kazi kwenye sauti sasa aiiiii kaka una kiti chako mbinguni❤
Amen
Una baya kwanza uko vzl kimuonekano sauti ya mahaba na kazi zako mzuli sana jaman
Shukwani
napenda sana move zako jaman we kaka nakupenda sana ❤❤❤😇
Asante sana
Weee Adam kapata mwanamke🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamaniii🙏🙏
Talented :100
Creative :100
Educative :100
❤❤❤❤
Thanks
Mama nimejifunzaaa kituuuu Adam mama anaona mbaliiiii🥰🥰🥰
Kabisa yaani
ADAM bro nakukubali sana from London big up movie zako nzuri sana sana M Mungu akuzidishie nguvu ufike mbali zaidi ❤❤❤
Ameen
Mashaallh filamu nzuri sana nimeipenda
Asante sana
Adamu Kama Sanaa yako nikutokana nakipaji,mungu apewe sifa,unayo fundisha ndiyo tunayo yapitia katika maisha yetu,ubarikiwe
Ameen
Ameen
Hatar sana. Unajua mpaka unajua tena
Shukrani sana
🎉🎉 hongereni wahusika wote. Mafunzo maridhawa aisee
Shukrani sana
Hii movie imenifnza k2 bro...na c hii pekee.Bro God bless you!
Thanks a lot
Thank you for adding subtitles. Please do this with all your movies. I know it’s extra work but it’s very much appreciated for us that are beginners learning Swahili . Happy holidays 🎉
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻 we will!
Kma umejifunza kitu kutoka kwa team Adam tupatane kwa likes 💞💞🔥
Enjoy sisy
I like watching your videos from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks
Movie mzuri Sana bro adam
Shukrani
Adam leo wewe unajua hongera sana kaka good job
Thanks a lot🙏🙏🙏
Napenda unavyo ongea hasa ukisema angaliaa❤️❤️❤️
Asante jamanii🙏🏻
Movie Kali sana Adam,sound track💯, picture💯,kila kitu on point 👌👌big fan from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks a lot man, I really apreciate.🙏
Congratulations mum ❤️❤️❤️ mother you are the best very interesting movie 🔥🔥🔥🔥Atu such respected givl 👏Adam keep up the good work ❤️❤️❤️
Thanks for watching
Huyu mama nimemkubali Sana sio poa anajua Sana mama hongera yako
Yaani anajua mnoo
Hatareeee❤❤❤ kiukwel nainjoy sana kaka Adam nakupenda
Nakupenda pia
Hongera nice movie much love from Kenya
Shukrani
Nani kama Mama Adam Good job 👍👍💪🤛
Thanks
Movie nzuriiii saaanaaa😊🎉
Asante
Adam.leo.nakubali
Shukrani
Waaa Adam ameingiza atu box haraka bila kuchelewa😂😂mapema ndio best😋..halafu mm hupenda sana atu akiwa pamoja na Adam.. pia wapo vizuri kwa kuingia hakika nime enjoy him movie sana❤❤❤❤keep going brother Adam
Thanks a lot🙏
🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
Hongreni filamu nzur sna❤
Asante sana sana
Adam adam adam❤
Naam
Masha Allah nani kama mama ❤❤❤❤🎉
Mama ni mama❤❤❤
Wallahy hii movie ina mafunzo ila adam niambie jina la hyo nyimbo bila kusahau😊
Tutaziweka kwenye channel utaziona.🙏🙏
Weee slay kweli😂😂😂❤❤❤
Hahaha
To be honest , I got alot of lessons from this film as a bachelor big up sana the whole team involved..Nice work 🎉🎉🎉.... Oe Adamu nakutambua too much love from 254..muko TOP👊🙏👍❤️💯💥💥💥💥💥
Shukrani sana sana.
Jmn hii movie kama isiishe wallah 😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana sana.
Much love adam from kenya 🇰🇪🇰🇪
Thanks a lot
Asante kwa movi mzuri endelea kuhelimisha jamii na kutufunza kitu nimefurahi sana nakufuatilia toka marekani ...hongera sana
Asante sana
Kazi nzuri sana kaka Adam ujawai kosea tunajifuza mengi kwenye move nyimbo na memo maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ Naiwakilisha Tanzanian kutoka Oman 🇴🇲
Shukrani sana aisee.🙏🙏🙏
Adam sikia maneno ya mama adam🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sawaaa
Mwamba nimekubali hii ya moto 🔥🔥 Msumbiji apa 🇲🇿
Shukrani sana Msumbiji.
Uyo sie mke Adam mama Yuko sahihii mtu haeleweki hatulii good mama Adam
Asantee
Am madly addicted to your movie's 🥰 tuned in from Kenya
Enjoy sisy.🙏🙏
Slay namba1mvivuatar kijan waatu anasubilinibadilike nmependa na badilika
Asante
Good lesson learned from. This movie❤❤❤all thanks to Adam ❤❤❤❤❤great job, much love from Kenya ❤❤❤
Glad you enjoyed it
Asante sana. Na hongera Adam kwa bonge la show hii nzuri. Iko na tension kibao, inatumbuiza na muhimu zaidi, kufunza vizuri. Hapa Kenya tunakupenda kengele tumebonyeza ukiangusha tunaipata.
Mungu akubariki kila siku.
Ameen, nawapenda Kenya🙏🙏🙏
NIMECHELEWA SAANA KUIJUA HII CHANNEL... NI YA MOTOO🔥🔥🔥🔥🎉
Hakikisha una SUBSCRIBE ili mpya zisikupite sasa.🙏🙏
Nimejifunza mengisana kwaadam mungu akujie wepesi wakaziyako 💞💞💞💞
Asante sana
Mama yuko sahihi Adam ata regret
Kabisaa yaani
Adam Huwa napenda movie zko Zina mafunzo kweli hongera bro.....
Shukrani sana
Good job brother
Thank you so much 🙏🙏
Kila nnapo angalia movie zko Adam najifunza kitu hongera sana kwa hilo❤🇰🇪🇰🇪
Asante sana kwa kweli.🙏🙏🙏
Hugo mamma anamatatizo sana,maana nikama mchawi tu
Jamaniii
Bonge la movies kaka utafika mbali Sana Kwa uwwzo wa M Mungu ❤❤❤
Shukrani
Next plz ina mafunzo wou so amazing 🎉❤❤❤❤
Thanks a lot🙏🙏🙏
Kazi nzuri xana Adam I love u
Me too!
Mmmmm. 😂😂😂Adam mama alisema 👎. Asie sikia la mkuu huvunjika mguu😊😊nabado😂😂
Kwelii asieee mpaka niseme😪
Jamani ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimeipeda hiyo
Asante sana.
Much love ❤ from kenya 🇰🇪
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Adam umejua kutukomesha mzee mbaba lakn hatimaye duuu mzigo mzito umetua hongera Sana Kaka.
Shukrani mnooo🙏🙏🙏
Hongera kaka nimejifuza k2 kutoka kwako hongera sana
Asante sana
daaaah hili bonge la filam wanangu... Adam 👌👌👌
Shukrani🙏
Adam. Adam jamani unatuerimisha Sana likes ma ua yako. Pokea 🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Movie Kali Sana nmejinza mengi kupitia hii movie
Shukrani sana sana🙏🙏
Shukrani sana sana🙏🙏
Penda sana Adam kazi zake niza ki kubwa
Shukrani sana
Aliseme kabisa tumesikia adam
🙏🏻
Masha Allah. Mozambique
Asantee
Uko sawa Adam❤❤🇰🇪🇸🇦
Shukrani
Nimejifunza kitu hapa❤❤❤
Shukrani sana
Kazi nzuri ina mafunzo sana be blessed bro🙏
Thanks a lot
Huyo mwanadada mfanyikazi mrembo kweli