Binti Aliepigwa Risasi 7 Mwanza Mdogo wake Asimulia Tukio zima Ugomvi ulivyokua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 434

  • @paschaljohntz4295
    @paschaljohntz4295 2 роки тому +4

    Asante bingo kwa kutuarifu

  • @hassanisaidi9860
    @hassanisaidi9860 2 роки тому +15

    Mwanaume unapiga vipi simu mara 38 huo wote wivu rest in peace mrembo

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 2 роки тому +8

    Huyu mwanaume mali yake ni ya nguvu za Giza.

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Ata mimi nimefikiria ivyo ivyo Atakua kafala ilikua insitajika

    • @happybakari643
      @happybakari643 2 роки тому

      Umeona

  • @neemamwalugaja3573
    @neemamwalugaja3573 2 роки тому +3

    maneno ya watu sumu

  • @abdullatifmustafa430
    @abdullatifmustafa430 2 роки тому +1

    unapigwa unazimia siku nzima alaf unaganda tu ndani

    • @vanessastafford5120
      @vanessastafford5120 2 роки тому

      Wazazi Ndio sababu, Eti tuliobwa msamaha, jambo lingine sio nafasi yetu kusamehe ni Mungu Ndio wa kusamehe sio mwanadamu. Aliona awatawale na alikuwa anaishi na wadogo zake hapo akaona akawa anamtesa akajiona anamiliki familia yote na hawana pa kwenda. Shida Hizi

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 роки тому +7

    Hawa mashemeji wamechangia pakubwa na inaonyesha walikuwa wanamzarau na tabia za umalayaumalaya hivi

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 роки тому +8

    Mukituchoka mutuache tu

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 2 роки тому

      Haachwi mtu hapa unaleta uhuni ili uachwe hapa kaz tu no kuacha mtu alaa😎

  • @abdulisike
    @abdulisike 21 день тому

    Wanawake ndo wanadhamb kuliko madume ila polen sanaaa mungu amuweke pema dada yetu

  • @samirhassan6213
    @samirhassan6213 2 роки тому +1

    Wanaume mnacomment vitu vya ajabu kama vile hamuwajui wanawake hata nyinyi mngekuwa na bastola mngeshauwa..na wengi mnao comment ndoa zimevunjika nyingine ziko mashakani..

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 2 місяці тому

    Nyie malaya dada yenu malaya

  • @rizikibakar3186
    @rizikibakar3186 2 роки тому +5

    Shemeji yupo smart anaelezea vizur

  • @mankakiwelu607
    @mankakiwelu607 2 роки тому +8

    Uyu dada ndo mkweli.afu ukweli anao mume na mke.

  • @sarahmgaya9853
    @sarahmgaya9853 2 роки тому +1

    Ndugu anaolewa wote mnahamia kwa shemeji shida sanaa ndugu yenu inavyo onekana alikuwa na mambo mengi sanaa

  • @amosdonjohnson1643
    @amosdonjohnson1643 2 роки тому +2

    Alaf ujue hakunaga jibu linaloumaga kama.mwanamke akutamkie tu bora tuachene yan hili jibu wanaume huwa tunajickia vby san ukiangalia bdo unampenda

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 2 роки тому +6

    Ukiskia vizuri utajua mwanamke naye alikua na shidaa

  • @dicelwantu2192
    @dicelwantu2192 2 роки тому +2

    Mpaka mtu achukue hatua ya kumpiga mkewe ivoo itakuwa huyo dada alikuwa na makosa mengi sana

    • @bernardomondi2632
      @bernardomondi2632 2 роки тому +2

      Kuwa na akili kaka hamna ruhusa mwanaume kumpiga mwanamke hata kama asikiii mrudishe kwao kwa wazazi wake

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 роки тому +2

    Waislamu acheni kuozesha Wasichana kwa washirikina hata kama wana pesa na acheni kusherekea Birthday. Ulamaa wameshawakataza hamsikii..?

    • @allyyussufshuwari4508
      @allyyussufshuwari4508 2 роки тому

      Waislam jina uislamu hauruhusu mke wa mtu kujipost ndiyo maana tumeambiwa tukitaka kuowa au kuolewa nini tutizame ila huko bars bara nasikiyaya mtu anaweza kuolewa na mtu asiyekuwa na dini hoja mshiko poleni Allah atusamehe makosa yetu kwa ujumla

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 роки тому +4

    Innaillahi wa innaillahi rajiun polen sana family.....aisee me ndiomana niriondoka kwenye ndoa yangu pale tu niripona hamani haipo tena na kuanza kunitishia maisha na kunishikia kisu kwa jiri ya mawivu ya kijinga nikaona ndoa hii hainifai sasa nimeamua kuwa single maza na nipo oman napambana na maisha yangu lkn sasaiv hakuna ndoa wara imeni hakuna warah na kupenda kusikiriza maneno ya kuambiwa na ya majirani😭😭😭

    • @fatumamtasha1987
      @fatumamtasha1987 2 роки тому

      Hi my naomba no yako mamiy

    • @alihamad6046
      @alihamad6046 2 роки тому

      Ukirud oman njoo kwmgu allah ataleta kher na mwez umeandama leo

  • @tatumandanje4871
    @tatumandanje4871 2 роки тому +1

    Marehemu ilikuwa na dharau xana

  • @classicnewstz3733
    @classicnewstz3733 2 роки тому +1

    duuuhh kwaiyo wachawi walishinda ktk vita hiyo RIP marehemu wote

  • @amosdonjohnson1643
    @amosdonjohnson1643 2 роки тому +1

    Mnawahi kuolew wakat ujana bdo mnautaka ndo shda hyo na mitandao inaharib dakika mbili loction kesho ujipost uwalushe roho cjui kina nan daah

  • @mohammedalmugheiry4412
    @mohammedalmugheiry4412 7 місяців тому

    Rapcha - 40 missed calls

  • @jkasindi
    @jkasindi 2 роки тому +3

    maganzo hapo hapo kahama badae anasubiri gari maganzo hahahaha si ushasema alienda kupamba kahama sasa amesubirije tena gari maganzo

  • @AliciaKabi
    @AliciaKabi Місяць тому

    Polenisana

  • @HamadAdam
    @HamadAdam 5 місяців тому

    Salha alikuwa narcisist. Aina hii ya mwanamke huwezi kumuowa wala kuishi naye. Sababu yeye anataka akutawale na kukucontrol. Pia akuharibie maisha kwa kukufilisi. Ndio alishaanza kumchezea said mind game , ili amtawale, kumcontrol na kumuharibia maisha. Kumfilisi. Said akashtuka. Salha ni mdangaji.

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому +3

    Ndoa ngumu jamaaanii.....ukiamua kuolewa amua kuvua kila kitu yaaani achaaa kilaa kitu cha usichanaaa

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 2 роки тому +7

    Huyu Mwanaume alikuwa mwehu miss call 30

  • @cmellengotila1803
    @cmellengotila1803 2 роки тому +8

    Kwa maelezo ya uyu dada tunapata picha kwamba marehemu swalha alikuwa Malaya tu, sishabikii kifo Ila swalha alikuwa anamsaliti sana said

    • @mnyongeiddi2454
      @mnyongeiddi2454 2 роки тому +1

      Hayo maelezo yamejitosheleza kuwa mwanamke ni kicheche .

    • @frankgabriel2146
      @frankgabriel2146 2 роки тому

      @@mnyongeiddi2454 .

    • @allyelijah1994
      @allyelijah1994 2 роки тому +2

      Huo ndio ukweli mwanamke alikuwa kicheche

    • @hassanisaidi9860
      @hassanisaidi9860 2 роки тому

      hata kama alikuwa malaya unaachana nae tu istoshe una pesa wanawake wapo wengi tu kuliko kumtoa mtu uhai wake????

    • @habibndyeshobora6848
      @habibndyeshobora6848 2 роки тому +1

      Ukicheche Kwenye Maelezo yale mbona haupo !!!??? Au na wewe no walewale!!! MNA mfumo kandamizi!!!?

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +4

    Wanae tuwe na uruma jmn daah allah aniongoze nisiwe na roho ya ivyo

  • @abeladominick2980
    @abeladominick2980 2 роки тому +1

    Mmh huu ni wivu watani zangu wakurya ebu acheni utoto bwana 🙄 rip

    • @maswi_magige
      @maswi_magige 2 роки тому

      Kakwambia nani kuwa hawa wakurya

  • @saifarafa8728
    @saifarafa8728 2 роки тому +8

    Kwani huyo mwaume hana family? Mbona kesi zote hizo zatatuliwa na upande moja? Kuna jambo hapa.

    • @joshuakinabo6861
      @joshuakinabo6861 2 роки тому

      Umeona ehhhh

    • @irenewile
      @irenewile 2 роки тому

      Itakuwa mwanaume alikuwa hasemi kwao,Ni mwanamke ndio alikuwa anasema na hawa wadogo zake alikuwa anakaa nao

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 роки тому

      Saif Arafa@ Akiwa mke ana matatizo mume ndio anatakiwa kupeleka case kwao na mke kuwekwa kitako kusemeshwa, matatizo yakizidi sana or ikishindikana ndio hapo mume anaweza kwenda kusema kwao na pande zote 2 kukaaa kitako ya mke na mume kusuluhishwa wana ndoa. Sasa na hao ndoa yao ilikua ina muda mdogo miezi 5 may be mume ndio alikua bado kwenda kupeleka case kwao yeye.

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 роки тому

      Saif Arafa@ Akiwa mke ana matatizo mume ndio anatakiwa kupeleka case kwao na mke kuwekwa kitako kusemeshwa, matatizo yakizidi sana or ikishindikana ndio hapo mume anaweza kwenda kusema kwao na pande zote 2 kukaaa kitako ya mke na mume kusuluhishwa wana ndoa. Sasa na hao ndoa yao ilikua ina muda mdogo miezi 5 may be mume ndio alikua bado kwenda kupeleka case kwao yeye.

  • @selemanimuhanga4018
    @selemanimuhanga4018 2 роки тому

    Mahusiano Yana Changamoto Nying sana
    ua-cam.com/video/5ANDp5Mw4x0/v-deo.html

  • @KUPAZAVOICE-uc8ko
    @KUPAZAVOICE-uc8ko 6 місяців тому

    Hii ilikuwa na dalili mbaya muda mrefu lakini kilichofanyika hapa ni kungangania ndoa lakini angejiengua mapema tu. kuna vitu haviitaji subra hasa vile vinavyoashiria upotevu wa maisha.

  • @kelvinnyonyi9082
    @kelvinnyonyi9082 2 роки тому +1

    Roho ya mauti ilikuwa inamfatilia

  • @naghemgonja1757
    @naghemgonja1757 2 роки тому +30

    Maisha bila Yesu ni bure! Ukishakosa roho wa Mungu huwezi kufanya maamuzi sahihi,polen wafiwa

    • @yazid1004
      @yazid1004 2 роки тому +1

      Mishauwoo mingi hio kila Jambo latendeka kwa amri yake maulana na sio vengine wacha urongo mwingi na hata wenye huyo yesu munae msingizia yupo ndani yenu sijuwi wakati yupo mbinguni na mungu wake na nyie munauwa pia

    • @sadamramadhan9887
      @sadamramadhan9887 2 роки тому

      Unamatatzo yesu ndo Nani

    • @ahmadsayyeed7910
      @ahmadsayyeed7910 2 роки тому +2

      Upofu tu huo maisha bila yesu ni bure kwani yesu ni nani acheni kulagaiwa nyinyi yesu sio mungu bali Issa mwana wa Maryam ni nabii wa mungu

    • @bernardzuhura4187
      @bernardzuhura4187 2 роки тому

      We nawe yesu ndio nani

    • @ahmadsayyeed7910
      @ahmadsayyeed7910 2 роки тому

      @@bernardzuhura4187 Na mm nauliza hivo hivo yesu ni nan

  • @leonardoautomotivegarage9452
    @leonardoautomotivegarage9452 2 роки тому +7

    Kwa roho hiyo ya mauti mtaisha kimbilia kws yesu, mine was mtu wa nini?machozi ya mwenza ndio matokeo, mtaisha rudini kea yesu

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 2 роки тому

      Ao wengine mbona wakristo au hujasikia tena ukouko mwanza, yesu Ali lala kama kawaidayake kwenye boti😆

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 роки тому +5

    Yan mbaka naogopa me kuelewa Allah tujarie wanaume wema na tujarie mwisho mwema 🤲🤲🤲🤲🤲😭

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 роки тому +4

    Mdogo wake marehemu pole sana na hongera kwa saut nzur na uzuri wa muonekano pia ..... .😭😭😭🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @mjedasunday1851
      @mjedasunday1851 2 роки тому +1

      Mhhh?

    • @masoudsigali4523
      @masoudsigali4523 2 роки тому

      @@mjedasunday1851 😃😃😃😃😃😃😃😃

    • @eliaichihenry9010
      @eliaichihenry9010 2 роки тому +1

      @@mjedasunday1851 Nimejikuta nacheka, wanaume loohhh

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kamuoe nawewe kila siku ukitoka nayeye anatoka!ukipiga cm hapokei ety anampamba bi harusi kwahyo hataki usumbufu.kibaya zaidi alivyoenda kwa huyo bi harusi hajaaga kwa mumewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @masoudsigali4523
      @masoudsigali4523 2 роки тому

      @@yasinomary2147 Kwani na huyu nae n mpambaji wa ma biharusi au nongwa tu mshikaj wangu 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️😃😃😃

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 2 роки тому +1

    KIUKWELI KWA MM NINAVYOONA HILI JAMBO HAIPASWI SANA KULIONGELEA SAANA KWANI KILA UNACHOTAMKA UNAJIKUTA UNAINGILIA KAZI YA MAHAKAMA...ILA CHA KUKATAA ZAIDI NI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA KUUA..NIMEMALIZA😎

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 2 роки тому +2

    wote hawa ni kahaba wakubwa
    mwanaume amevmilia meng inavoonekan

  • @samwelsanga5339
    @samwelsanga5339 2 роки тому +2

    Wivu wa kipuuz wa huyo mwanaume aiseh

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 2 роки тому +4

    Dada anabusaraa sanaaa polen Sanaa kwamsibaa

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 2 роки тому +7

    Huyo chaumbea ndo amesababisha majanga kusema Gari ameiona sehem, mxciiuuuu.
    Hlf hivi sikuhizi watu wakiishi pamoja ndo wanakuwa washaoana na inahesabika Ndoa imedumu kwa muda kadhaa?!? Tanzania bhana

    • @fatmaathuman9695
      @fatmaathuman9695 2 роки тому

      Mungu atawalipa kwakweli wamesababisha kifo akii

    • @hieljoe1017
      @hieljoe1017 2 роки тому

      Kabisa yaan , umbea kwenye nyumba za watu ni shida sijui anajisikiaje

    • @placidiasilvanus9113
      @placidiasilvanus9113 2 роки тому

      Duu kusababisha majanga du huyu dada nae kwakweli eti shemeji yangu akunisikiliza alitaka amsikilize ili iweje mhh anamplease jmn jmn

  • @saydaseif7176
    @saydaseif7176 2 роки тому +3

    Wanaume mnaoitwa said...Hv nyie mmerogewa kwenye wivu et....M nlishadate na mtu anaitwa said nkikosea anakesha anapiga ukuta....Eeh nilitoroka😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      🤣🤣🤣Mie nna mtoto wa mjomba angu anaitwa Said ana hasira uyo balaa ALLAH awaongoze

    • @stellamotelwa2505
      @stellamotelwa2505 2 роки тому

      Jamani hata mimi nilikuwa na mwanaume anaitwa saidi yaani anakuja hadi hostel kunifanyia fujo ilifika kipindi nilimchoka tukaachana

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@stellamotelwa2505 🤣🤣🤣kina said 🔥🔥

    • @shamimunassoro9261
      @shamimunassoro9261 2 роки тому

      Kuhusu wakina said sina usem maana nmeshawah kua nae anawivu koma

    • @shakiraally2821
      @shakiraally2821 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn nimecheka

  • @zainabmussa1643
    @zainabmussa1643 2 роки тому +3

    Maneno ya wambea ona Sasa wamefanya mtu kafa kumwambia mwanaume mkeo Yuko tlapia ilikua inahusu Nini?

  • @KadogooKitego
    @KadogooKitego 3 місяці тому

    Tt comedian

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 2 роки тому

    Wanaume sometimes tuwe waelewa unapigaje cm mara 42 jamanii??

  • @mazikungusa
    @mazikungusa 3 місяці тому

    nipe namba we kadem

  • @maryamsongoro4541
    @maryamsongoro4541 2 роки тому

    Na weye ushaona bastola kiunoni Kwa nini usitipoti sehemu yoyote

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 роки тому +2

    Bwana akiwa na mahela anahesabu ghalama mudawote,

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 2 роки тому

    Lakini hili fundisho,wanawake tukisha olewa kuna mambo lazima tupuguze 😭wapumnzke Kwa Aman

  • @maswi_magige
    @maswi_magige 2 роки тому

    Wanga wametoboa

  • @allyelijah1994
    @allyelijah1994 2 роки тому

    Alikuwa anampaka bibi arusi siku mbili huyo demu alikuwa kicheche

  • @neemaclement9330
    @neemaclement9330 2 роки тому

    R.IP wapumuzike Kwa amani sisi hatuna majibu

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 2 роки тому +1

    Bora tuachane ndoa ya miez 5 tu duh

  • @lizyboyofficialy3019
    @lizyboyofficialy3019 2 роки тому +2

    yani hiki kitu kinauma sana tena sana hapo yani wanafanya kila mtu kujitetea kivyake mwanaume akipatikana ataerezea ukweli wote kunakitu kiko nyuma ya pazia kitafunuka tu..

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 роки тому

    Sasa makosa yapo pande zote 2,kutokupokea sm ya mumeo nikosa.

  • @najmababy8555
    @najmababy8555 2 роки тому

    Marehemu anajiita nani Instagram...pole kwa msiba sote njia ni moja kifo hakikosi sababu

  • @aaronswai6935
    @aaronswai6935 2 роки тому +2

    Watu wanamhitaji Yesu. Huyu jamaa aliamini sana ushirikina. Si ajabu ni maelekezo ya kafa....!. Poleni sana wafiws

    • @IBRAHIMABDUonlineTV
      @IBRAHIMABDUonlineTV 2 роки тому

      Yesu Mwenyewe alishindwa kujiokoa Msalabani kwa Imani yenu, ndio atakuokoa wewe?

    • @eliaichihenry9010
      @eliaichihenry9010 2 роки тому +1

      @@IBRAHIMABDUonlineTV Pole sana, lengo la YESU kutokujiokoa ni kwa sababu alitufia msalabani on our behalf tunaomwamini ili atupatanishe wanadamu na MUNGU. Aliyabeba madhaifu yetu, magonjwa umaskini wetu ili sisi tupate kupona.UMEELEWA?

  • @elizabethdamian3164
    @elizabethdamian3164 2 роки тому +2

    Ni roho ya mauti ilikua inamfuatilia huyo mkaka aiseee Mungu ailaze roho ya mwanamke pahal pema peponi🙏

  • @penuelmichael1240
    @penuelmichael1240 2 роки тому +3

    Alikuwa mshamba ndo kero yakutoka na washamba! Unauwa kisa k, wanawake wamejaa tele siumuache uoe mwingine😏

    • @hassanisaidi9860
      @hassanisaidi9860 2 роки тому

      Piga chini kamata mwingine yanini kumtoa mtu uhai wake harafu pesa unazo za kutosha yanini mie

  • @asilasalehothman7643
    @asilasalehothman7643 2 роки тому

    Jamani wanaume siwazuri kumuuwa mkewe 😭😭😭 inasikitisha sana

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 роки тому

    Mwanaume unapiga vipi simu mara 38 huo wote wivu rest in peace mrembo

  • @falidamwasenga6398
    @falidamwasenga6398 2 роки тому +1

    Dada pole ila nass wanawake hapana

  • @nataliakenny9499
    @nataliakenny9499 2 роки тому +1

    Kwakweli ni kweli mwanaume was kisukuma ata mi nishakua nae wana wivu Sana makofi Kila mda yaani uwa wanajizima data kbsa ata kama ujakosa kipondo japo sio wote lkn wengi wao

  • @mamuuj9187
    @mamuuj9187 2 роки тому +2

    Maneno jmn ya wambea ndio yamewafksha huko,,,huyo Kaka amewaskliza wanje zaid ambao ndo huwa viherehrre na maisha ya watu

  • @leonardoautomotivegarage9452
    @leonardoautomotivegarage9452 2 роки тому +4

    Bila yesu ndani yako, hiyo roho itawamaliza, tuache dini tuishi kanuni za Mungu, pepo ndani yao mauti

    • @yazid1004
      @yazid1004 2 роки тому +1

      Acha mikwara yako eti yesu ndani yenu hivi ww wangapi wenye huyo yesu munae sema na ni wauwaji wakubwa na wanafanya dhulma kwa maskini punguza mishauwoo kila Jambo hufanyika kwa kupenda kwa mungu na sio lolote lingine

  • @allyabdallahally9637
    @allyabdallahally9637 2 роки тому

    Amekaa na wake kibao cha ajabu ilikuwa nini hadi kuuwa mshenzi tuu

  • @praisesteven7742
    @praisesteven7742 Рік тому

    mambo yakishirikina kwl aiseeeee

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 роки тому +2

    Hao wote walihamia alikoolewa dada? Au aliwaoa wote watatu?

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 роки тому

    Ushirikina gani huo jmn?, Mungu atuhurumie .

  • @benjaminnickson349
    @benjaminnickson349 2 роки тому

    Afu nyie hamna kwenu hadi mkaishi kwa shemeji yenu

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 2 роки тому +1

    Mwanadada anaongea kama UA-camr akituonyesha upikaji wa sambusa.

    • @naomimwamasage7792
      @naomimwamasage7792 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @KIAGO95_Jr
      @KIAGO95_Jr 2 роки тому +1

      Daaaaah 😅😅😅😅😅

    • @praisesteven7742
      @praisesteven7742 Рік тому

      ila wew 😂😂😂😂😂😂

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 роки тому

    Poleni kwa msiba.. Allah Awape Subra Ya Rabb. Allahumma Amiin

  • @alexandermalima3703
    @alexandermalima3703 2 роки тому

    Kwa uelewa wangu mwanamke alikuwa Malaya yeye na ndugu zake wakichezea tu pesa za mme wake,kuna kazi za kafanya kwa mwanamke aliyeolewa,unazunguka tu kwenye maharusi lazima alikuwa kesha pata mwanaume mwingine

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 роки тому

      Kwakweli Dada zangu wa kirangi wanatuaibisha,mtu unampigia cm mkeo akufuate kwa gari yako uliyonunua mwenyewe hapokei cm unaamua kumpigia Baba yake,anaambiwa na mzazi wake pia hataki,ety kwanin hakunipigia mwenyewe, wakati amepigiwa simu mara38 hapokei.jamaa yetu kakosea sana kumuua.ila salha nae sio mwanamke wakuoa.

  • @amosemmanuel5401
    @amosemmanuel5401 2 роки тому

    Huyo mwanaume alikua Hana stamina ya kua na mwanamke mrembo kama huyo

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 2 роки тому +2

    Hapa picha kamili itapatikana endapo mwanaume akipatikana Kuna kitu kipo nyuma ya pazia

  • @sheilaimran6949
    @sheilaimran6949 2 роки тому +2

    Tatizo wadada tunapenda maisha mazuri demu mambo yote ayo asitoke to ayha ndo wanaweza sema Kuna mengi wanaficha daa girls tafuteni pesa umaskini mbaya hata kama home Kuna njaa unateseka ivyo rudi to

    • @saifarafa8728
      @saifarafa8728 2 роки тому

      Pia wanatabia zao sio wee mtu kaolewa yuko kwake ndugu mwafuata nn, mbona ndugu wa mume hawapo hapo? Au huyo mwaume hana ndugu, kupenda mtelezo

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      Wanawake wa Tanzania mmezoea kitonga na umasikini unawafanya hadi muuwawe, ona kundi lote la ndugu wa mke wamejazana kwa mume, umasikini ni kitu kibaya sana na ukute huyo marehemu tamaa zimemzidi yaani chupi mkononi

    • @sheilaimran6949
      @sheilaimran6949 2 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 unajua marehemu uwa asemwi vibaya mwenyz mungu amsamehe madhambi yake hatujui sisi mwisho wetu ila kabira la uyo binti uwa ni hatar sana hawajatulia kabsa alafu jamaa alikuwa kama ameshasoma mazingira ya kwao maana ukimsikiliz mamayake utaelewa kitu

    • @sheilaimran6949
      @sheilaimran6949 2 роки тому

      @@saifarafa8728 umaskini mbaya nani hapendi kuingia kwa gari na kutoka nani hataki kuishi kwa nyumba ina gate ndo mana wakaenda na alikuwa first kwao so alitakiwa kuwa mpole kwana fahari wawili hawishi zizi moja

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      @@sheilaimran6949 mimi sidhani kama ni sahihi kusema watu wa kabila fulani hawatulia, nadhanj kuwa kicheche ni tabia yako mwenyewe

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 2 роки тому +2

    Huyo binti ni Malaya tuuu . haiwezekan mume wakoo yupo porini anakutafutia pesa . alafuu wewe unaenda tilapia na kula bata na vijana tena gari la mwanaume

    • @CAPTAIN_GALAXY13
      @CAPTAIN_GALAXY13 2 роки тому

      ᴹᴮᴼᴺᴬ ᴹᴺᴬᵀᵁᶜᴴᴬᴺᴳᴬᴺᵞᴬ ˢᴵˢᴵ ᵛᴵᴱᵂᴱᴿˢ

  • @kelvinmabembele8401
    @kelvinmabembele8401 2 роки тому

    Ukisikiliza kwa makini mwanamke alikua na kiburi

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 роки тому +10

    Mwanamke akiwa mzuri mwanaume hajiamini

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +1

      Kila mwanaume ana mwanamke wake mzuri ambaye anavutiwa naye Kwa hiyo hamna mwanamke mbaya

    • @momobakari9680
      @momobakari9680 2 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 swadakta

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      @@momobakari9680 ndio iko hivyo uzuri Uko kwenye jicho la yule anayeangalia

  • @diamondplatnumz6274
    @diamondplatnumz6274 2 роки тому

    Ndoa ngumu nyie ambao amko kwenye ndoa tulien tu

  • @husnandee1533
    @husnandee1533 2 роки тому +2

    polen sana jamn nimeumia sana na msiba huo

  • @agnesskisima2249
    @agnesskisima2249 2 роки тому +1

    Mungu awapumzishe kwaamanii shida kwa mtotoo jamanii

  • @iambaizo
    @iambaizo 2 роки тому

    kabla samahani kwanza ,mmmh MBNA kama ya kutunga 😢😢

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 2 роки тому +1

    Kwa maelezoo ya mdogo wa marehem .uyo binti alikua hajaamua kuish na mume . anapenda kaz kuliko mume wake

  • @abufaatwmah8738
    @abufaatwmah8738 2 роки тому

    Poleni sana kwa misiba uriowapatå

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 2 роки тому +4

    mungu ndo anaujua ukweli yote kwa yote marehemu hahukumiwi na mwanadamu sasa ni kazi ya mungu

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +1

    Poleni sana inauzunisha saana kwakwel so painful

  • @kelvinmabembele8401
    @kelvinmabembele8401 2 роки тому

    Dada alikua na kiburi huyo

  • @hellenamtende9505
    @hellenamtende9505 2 роки тому +2

    Mh uchawi umetendeka hapa.Mungu nisamehe kama nimesema uongo

    • @amii2436
      @amii2436 2 роки тому

      ua-cam.com/video/laB9Ha0ZU5M/v-deo.html

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 роки тому +17

    Akina dada kama mnaona bado amja maliza mambo yenu basi msingi kwenye ndoa. Jamaa kakosea kuuwa. R.I.P😭🇹🇿.

    • @hermescash9463
      @hermescash9463 2 роки тому

      akina dada??? mbona umeandika pumba

    • @eunicegerminus193
      @eunicegerminus193 2 роки тому

      @@hermescash9463 sanaaaa

    • @jordanjordan3935
      @jordanjordan3935 2 роки тому +5

      Wakina Kaka, kama mjua hamuwezi kucontrol hasira na wivu wenu wakijinga msioe..

    • @mwajumaomari4699
      @mwajumaomari4699 2 роки тому +2

      Umeona eee,ukisikilizq stori kwa makini,mwanke ndo chanzo Cha tatzo,hakutambua wajibu wke ktk ndoa,angeeshimu ndoa hata yasingetokea

    • @User2477de
      @User2477de 2 роки тому +2

      @@mwajumaomari4699 ni mara ngapi wanaume wanakosea kwenye ndoa? kwa iyo na sisi wanawake tuwauwe wanaume zetu wakitukosea kwenye ndoa au?

  • @kibasiwakibasi5070
    @kibasiwakibasi5070 2 роки тому

    Huyu dogo pumbavu kabisaa

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 2 роки тому +1

    Stori inaonyesha wazi huyu bibi alianza umalaya.

    • @giftmchomvu5214
      @giftmchomvu5214 2 роки тому +1

      Akili yako kutwa inawaza private parts,akili ya swalha kutwa inawaza kuwajibika na kutafuta hela.kwa mikono yako,...**c**. Umalaya aah! Ulimshika miguu....watu kama nyie hamtakiwi kuoa wanawake wenye akili,mnatakiwa muoe wanawake baadhi ya wasiojitambua.

    • @raybirry3816
      @raybirry3816 2 роки тому

      @@giftmchomvu5214 mbwiga we,umalaya tu hakuna kingine.

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 2 роки тому +1

    Msichana huyu, Kwa nini Hukupiga simu police kutowa lipoti

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 роки тому +2

    Poleni sana familia ya Swalha Mungu awatie nguvu, ila familia ya Swalha inajielewa sana, na ina mshikamano kwa sana mpaka unaona wivu, ukiwasikiliza wote wamejawa upendo na kujiamini sijui Swalha aliangukia vipi kwa Shehani yule, Poleni sana wazazi na wadogo zake Swalha na familia yenu nzuri sana na mko majasiri mnaonielewa na kujiamini,

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +3

    Acha kwanza nimalize ujana wangu ndio niingie katika ndoa maana mhhh mbk naogopa wallah

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      Nini maana ya kumaliza ujana?

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 2 роки тому

      @@swaumdodoma7591 acha kwanza nimalize ujana kabisa ili nikiingia katika ndoa niacheni na Dunia

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      @@ukhutfatumah1154 bado sijaelewa ukhuty

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      @@ukhutfatumah1154 kwaiyo ukifikisha miaka 50 ndo uolewe?

    • @mpetaamarijani2656
      @mpetaamarijani2656 2 роки тому

      Yaani Ukhut ??halafu unataka ufanyejee

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 2 роки тому +1

    Huku ulaya uwa mtu italica famiglia yao kama anawatoto utalipa mamaezake

    • @robertabel6984
      @robertabel6984 2 роки тому

      Yaani utawalipa kivipi kuwapiga miti ndugu zake wa kike iiili kufidia dada yao aliyefariki au unalipaje😎

  • @wizzyalley7461
    @wizzyalley7461 2 роки тому +1

    R.I.P

  • @matukiosafaris6508
    @matukiosafaris6508 2 роки тому +7

    mambo ya kuvumilia ni mabaya sana ukiona mwanaume amekupiga hata kofi moja saa hiyo hiyo ondoka haraka

    • @joycengaulo4072
      @joycengaulo4072 2 роки тому +1

      Correct

    • @sumayananabintimusa6321
      @sumayananabintimusa6321 2 роки тому

      Ummm jamani😂😂😂

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +1

      Na mwanaume mstaarabu uwa hapigi Kofi mfano mimi mwenza wangu tuko pamoja miaka mingi tu Ila hata kupiga kofi sijawahi inategemea na mwanaume tu ni ushamba na kuwa primitive kupiga mke

    • @joycengaulo4072
      @joycengaulo4072 2 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 your Soo kind.not all can be understanding

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

      @@joycengaulo4072 yes sister that’s how I’m and I believe if you love a woman you won’t abuse that woman . Jamani Mapenzi gani kupigana vibao na magumi halafu unasema unampenda mpenzi wako