Allah Subhannahu Wata'ala azidi kukuongoza kwenye kheir na barka ndugu yangu karika imaan Snura. Allah humuongoza amtakae ikiwa nae amefanya efforts za kurudi kwake. Na anaemucha kupotea hakuna wa kumuongoa. Alhamdulillah. Allahu Mustaanu. Allah atuongoze kwenye kheri zake na atujaalie sote mwisho mwema In Shaa Allah
Mashallah Sunura na mumewe Allah azid kuwaongoza na msirudi nyuma shikamaneni ktk dini ya Allah. Shekh Kishik hakika ww ni kioo cha jamii kwn hakika umewapa moyo snaa. Allah akubarik na awabariki wote. Allahumma Amiiiyn
Masha allaah allaah akuhifadh shaikh nurdiin akupe afya njema fii dun'a wal,aakhira.🙏 Na namuomba allaah amuongoze apate ilmu na aifanyie kazi qur,ani imuongoze nasie wote kwa pamoja mkono kwa mkono hadi peponi 🤝
Maa shaa Allah Namuomba Allah anijaalie mme mwema Allahumma Aamiyn Dada Snura na Mme wako Allah azidi kuwaongoza Namuomba Allah atujaalie mwisho mwema Allahumma Aamiyn
Ifike muda hii habari ya Snura muachane naye. Nawe Snura na mume wako muache haya mambo ya kujionyesha onyesha kwenye hadhara. Huu ni muda wa kuifanyia kazi toba yako. Msiliendeleze hili isije ikawa ria. Pia mi nokhofu isije ikawa kama kwa Mzee Yusuf. Allah akuongoze dada yangu.
Wallah yani uchi ndio wanaona kimji mji wallah ila tuwaombee duwa allah awatoe huko waliko na awale5e kuliko sahihi inshaallah nasi allah atuzidishie inshaallah
MaAshallah Allah akulipe pepo ya firdausi sheh Nurdini kishki Pia Naomba kuuliza shehe mtu Km yupo nje je? anaruhusiwa kujiunga na hilo darsa kwa sababu tupo wengi tunaofuatilia na tunahitaji hayo mafunzo kwa njia hata ya mtandao tafadhali naomba mnijibu msinitupe kapuni napenda sn kusoma dini zaid nawatakia afya njm Allah amuhifadhi shekhe wetu
ALLAHU AKBAR... mashallah tabarakarahman الذي علم القرآن Allah awahifadhi nyoote..Alakh minhal Allah ambariki na Amzidishie kheri dunian na Akhera wallah anasoma quraan na kuitamka vizury sana mashallah kila baada ya maneno anatoa aya katika quraan Allah amtilie baraka ktk faham yake na Amzidishie nuur ya dunian na kesho Akhera..Ampe kaul thabit na famili yake na waislam wote أجمعين..baraka Allahu fikum wenye channel na Awafungulie milango ya khery.
Masha Allah. Wallahi nafurahi san kumuon huyu dada n Kumsikiliza sichoki karibu san Dada yangu. Wallahi natamani sana siku moja tukutane lkin mm niko Zanzibar. Niko n Zawadi kwaajili y huyu Dada Snura
WANAKATA MAUNO NA MAPICHA KIBAO,,,AFU BADAE UNAAMUA TU KUACHA,,UNATAKA UAMRISHE WATU YASIYOWEZEKANA,,,HUYO SNURA ALISHAPOTEA,,,SAIZ HUWEZ KUWAAMBIA WATU WAACHE NYIMBO ALIKIBA AU ZUCHU,,,NI NGUMU JAMAN,,,,UKIIONA KESHO YAKO USIFANYE UKAJA KUWAPA WATU DHAMBI ZAKO.
Alikuwa anafanya sas ashatubia ss unataka aendelee kuamasisha maas? Inatakiwa awalinganie watoke kwenye upotevu kak yeye alivyotoka achakumponda bhn kumbuka bado ujafa
Mashaallah mashaallah Snurah Umepata mume mwema amekupeleka mjini Allah awahifadhi na akudumishe kwenye twaa ❤❤❤
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen na kila Islaam jamiyaa 🤲
AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.
Amiiin yaraaaaby
Yani hadi nimelia
Ameen
MaashaAllah dada Snura Umependeza, Mwenyezi Mungu Mtukufu azidi kutuongoza sote na atupe mwisho mwema ❤
Amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
Allah humma amiin yaraaaaby
Umependeza habbty Masha Allah tabarakah llah Allah akuhifadhi snuraa❤❤❤
@@HawaYahya-h8t Amiin 🤲🥰
@@HawaYahya-h8t 🥰🤲
Maa sha Allah!!! ALLAH akuongoze Dada yetu Snura pamoja nasi!!!
Allah Subhannahu Wata'ala azidi kukuongoza kwenye kheir na barka ndugu yangu karika imaan Snura. Allah humuongoza amtakae ikiwa nae amefanya efforts za kurudi kwake. Na anaemucha kupotea hakuna wa kumuongoa. Alhamdulillah. Allahu Mustaanu. Allah atuongoze kwenye kheri zake na atujaalie sote mwisho mwema In Shaa Allah
Mashallah Sunura na mumewe Allah azid kuwaongoza na msirudi nyuma shikamaneni ktk dini ya Allah. Shekh Kishik hakika ww ni kioo cha jamii kwn hakika umewapa moyo snaa. Allah akubarik na awabariki wote. Allahumma Amiiiyn
Ukhty sunura Allah akuongoze daima na sisi kwa pamoja inshaallah nakupenda kwa ajili ya Allah from kenya
Masha allaah allaah akuhifadh shaikh nurdiin akupe afya njema fii dun'a wal,aakhira.🙏 Na namuomba allaah amuongoze apate ilmu na aifanyie kazi qur,ani imuongoze nasie wote kwa pamoja mkono kwa mkono hadi peponi 🤝
Allah azidi kumthibitisha katika din
Mashaallah kipenzi.... Allah akudumishe katika kumuabudia yeye pekee pia akujalie mwisho mwema... Nakupenda kwa ajili ya Allah....❤❤❤
Alhamdulillah Snura twakuombea sana.Usirudi kwenye wachafu.Allah amekuchagua katika walio potea
Maa shaa Allah Namuomba Allah anijaalie mme mwema Allahumma Aamiyn
Dada Snura na Mme wako Allah azidi kuwaongoza Namuomba Allah atujaalie mwisho mwema Allahumma Aamiyn
Nipo hapa hapa mume bora
@@mohdkhatib223 hahaha jitokezeeeee
Amiina
Ma sha allah
Allah awahifadhi
Awadumishe ktk ndoa yenu
Awajaalie umri mrefu wenye taqwa na baraka ndani yake😢
Amiin
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen na Ummat Mohammed 🤲
Ifike muda hii habari ya Snura muachane naye. Nawe Snura na mume wako muache haya mambo ya kujionyesha onyesha kwenye hadhara. Huu ni muda wa kuifanyia kazi toba yako. Msiliendeleze hili isije ikawa ria. Pia mi nokhofu isije ikawa kama kwa Mzee Yusuf. Allah akuongoze dada yangu.
@@rajabunchimbi2842Allwah atawaongoza nivyema wajitokeze kutoa ibraa huwenda nawengine wakatoka huko utasemaje waache nikuwaombea tuu
@@rajabunchimbi2842mzee yusuf shida ni mkewe mungu anisamehe unajua wake mtihani sana na yule mkewe alikataa kuwacha hapo ndipo alipoharibu
Mashaalah Allah aendelee kuwangoza katika njia ya kumpenda Allah na kufuata yale mema
Mashallah 💞 mashallah 💞 mashallah 💞 Allah akupe mwisho mwema ukhty
Wallah yani uchi ndio wanaona kimji mji wallah ila tuwaombee duwa allah awatoe huko waliko na awale5e kuliko sahihi inshaallah nasi allah atuzidishie inshaallah
Asallam maalequ Maashallah Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah shekh. K. Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha ❤❤❤❤❤❤❤❤
MASHA ALLAH
MaAshallah Allah akulipe pepo ya firdausi sheh Nurdini kishki
Pia Naomba kuuliza shehe mtu Km yupo nje je? anaruhusiwa kujiunga na hilo darsa kwa sababu tupo wengi tunaofuatilia na tunahitaji hayo mafunzo kwa njia hata ya mtandao tafadhali naomba mnijibu msinitupe kapuni napenda sn kusoma dini zaid nawatakia afya njm Allah amuhifadhi shekhe wetu
Hawez hawez onaapo nend kishki tv hasa inst inbox vijana wake Watson in shaaAhll utajibiwa hii. Sio chaneli ya kishki
Ukweli kabisa sote tuko inje na istoshe mimi apa wakusilimu na dini atujasoma, kwa iyo sh Nurdin musitusahau.tuna jitahidi kidogo.In shallah
Wanawake ni stara ,ndo tunapendeza zaidi alhamdulillaah Allah akuongeze
Mashaallah tabarak a rahma
. Allahubbarik ukhty
Mashaallah Mashaallah allah aendelee kukuongoza hakika umependeza sana alhamdulillah stara inapendeza sana sana❤
❤❤❤ mashallah hongera snura na mume wako pamoja na shekh kishik alla ajalie na wengine wamrudie mola waachane na mamiziki inshallah
ALLAHU AKBAR... mashallah tabarakarahman الذي علم القرآن Allah awahifadhi nyoote..Alakh minhal Allah ambariki na Amzidishie kheri dunian na Akhera wallah anasoma quraan na kuitamka vizury sana mashallah kila baada ya maneno anatoa aya katika quraan Allah amtilie baraka ktk faham yake na Amzidishie nuur ya dunian na kesho Akhera..Ampe kaul thabit na famili yake na waislam wote أجمعين..baraka Allahu fikum wenye channel na Awafungulie milango ya khery.
Hongera kaka mungu amekuongoza umeweza dada yetu mashaaAllah sasaiv❤❤❤❤❤
Maashallah Allah amtengenezee mambo yak bii snura
Masha allah allah akuongoze dear hongera sana
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen
Tuandike kwa herufi kubwa jina la Allah
Ma Sha Allah
Masha Allah. Wallahi nafurahi san kumuon huyu dada n
Kumsikiliza sichoki karibu san Dada yangu. Wallahi natamani sana siku moja tukutane lkin mm niko Zanzibar. Niko n Zawadi kwaajili y huyu Dada Snura
Masha ALLAH ❤ ♥ ❤ 🎉
Masha allah mungu azidi kumpaa imani
Ma sha allah
Mashallah Allah akuepushe na shirki ndogo ambayo ni riyaa
MashaAllah tabarakkallah,Allah azidi kuwaongoza dada yetu na mumewe InshaaAllah 🤲🤲
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Masha Allah ❤
Mashallah kweli watu wa Allah wanaupendo wa dhati sna nalithibitisha hilo
MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH
Mashallah amiin
MaashaAllah atuongoze jamii lslam
MashaAllah tabarallah....Allah akupe ithbat zaidi allahummah Amiiiin
Amiina kwa sote
🤲🤲🤲
Maashaallah shehe Allah akulide
Jazaka Allah khayran
Mashallah kheri Allah atujaalie mwisho mwema sote
Mashaallah
Manshaaallah 🥰🙏
Mashallah
Mashaallah Allah azidi kumwongoa , na atujalie site husnu khatma
Ma sha allah
Snura amependeza ma sha allah
Ma Sha Allah kwa herufi kubwa Alhamdelilah
MashaALLAH.
Mashallah mung akuzidishiy
Bismillah mashaallah ❤
Mashalllah
Kwel usiache nikabu my love nakupenda kwa ajil ya allah pia juba pana
Nikweli kabisa shehe❤ wasanii mtihani wallahi 😢
Sh. Noordin Kishki, umesema kuhusu wasichana waimbaji. Hao wananyonyana midomo juu ya Jukwaa, tunaomba sheikh muyakataze haya kwa kupitia basata
Yaarabbi mzidishie bi snura kheri na baraka.
❤Mashallah
Dadangu snurah umeongea maneno mazuri sana mungu akufanyie wepesi katika hali zote
Aaamin yarab
Allah amuongozi daima
Masha-allah 😢😢
Allaah atujaalie mwisho mwema, unaweza ukaanza vyema na mwisho ukaboronga, Allaah atuhifadhi
Weekaka mwenyexi mungu akulipe makubwa zaidi kwakumstiri dada yetu utuombee nasisi tuje mjini kwa Allah.
Umependeza mwanangu
mashallah na mimi natamani nipate mume bora wa kuniongoza
Usichoke kumuomba Allah atakujibu
Amina utampata in nshaa allah
Unapatikana wapi
Allh akitaka kumuongoza mtu huwezi mpoteza akujaalie dada snura atupe mwisho mwwma ww na sisi sote, umependeza sana kwa starah
Allaah Azidi kumuongoza Asirudi alikotoka
Bisnura allha akujalie bada kuingia kwenye uslamu pia akujalie uamin.
Usivue niqab ukht wang, vaa ivyo ivyo usionekane kabisa, Allah akuhifash zaid
Mungu mkubwa mungu awaifadhi nyoteni
Dah kishki nmekuelewa mnooo
Kama namuona Zuchu na diamond wanavyolengwa na haya mawaidha ya sheikh kishki
Dada snuraa ukaiona hii meseg nnashida nawee namimi nna muhadhara nnataka kukualika lakin sjuw nitakupatajee
Mashallah nikabu imekutoa utamu
Stara haimtupi mtu
stara tam saaaana Ma sha Allah Tabaarakallah 😍
kuna msemo sahihi unasemwa "MTI ULIO NA MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE."
Ili darasa linasomeshwa wapi
Dalasa ni wapi
Shekhe darsa huwa linafanyika sehemu hani
Ofisi ziko wapi mtangazi.na darassa linafanyika wapi
Ila kishki unakera unapenda kiki
Allah akusamehe
Darsa nalitaka
Wewe hasani bakari una akili lakini jinga wewe
WANAKATA MAUNO NA MAPICHA KIBAO,,,AFU BADAE UNAAMUA TU KUACHA,,UNATAKA UAMRISHE WATU YASIYOWEZEKANA,,,HUYO SNURA ALISHAPOTEA,,,SAIZ HUWEZ KUWAAMBIA WATU WAACHE NYIMBO ALIKIBA AU ZUCHU,,,NI NGUMU JAMAN,,,,UKIIONA KESHO YAKO USIFANYE UKAJA KUWAPA WATU DHAMBI ZAKO.
Muogope allah wew mtu ashatubia karejea kwa allah sas weunamsema vibaya ili iweje soma istoriya ya wislam mpak sis kuupata acha izo bhn
Alikuwa anafanya sas ashatubia ss unataka aendelee kuamasisha maas? Inatakiwa awalinganie watoke kwenye upotevu kak yeye alivyotoka achakumponda bhn kumbuka bado ujafa
Ndio maana Mungu akaweka Toba kwakua alikua kwamba sisi ni wakosefu.... Wewe mwenyewe jiangalie yote unayoyafanya ni mazuri halafu ndio umuhukumu mtu😕
Acha ulofa
Allah akuongoze bi sunura ashatubia na kujirudi katika haki yeye kama mwislamu ni haki yake kukataza mabaya yote ya kumwasi Allah
Masha allah
Mashallah
Mashaallah
Maashaallah
MashaAllah