alie watuma naye swajibishwe kwa sababu isingekuwa yeye kuwatuma wasingefany kitendo hicho mama mzima tena muislam unaaibisha sini yetu ukatili wa aina gani huo tena hali ya kua wewe ni mwanamke na ulipaswa kujawa na huruma na suo ukatili fanya sana toba unemkosea mwenyezi mungu
Chezea Mungu nyie,,, mlidhani Mungu ni Athumani,, Poleni sana hilo limeisha 50% bado 50% lakini hiyo faini ya milioni moja nindogo sana angalau mgeweka milion 10. sasa na huyo afande yupo WAPIIII JAMANI MALIZIENI HYO 50%
Imetenda haki kabsa ila huyo bibi fatuma nayeye afanyiwe chapu tujue man yeye ndio chanxo kwa watt wetu hao ni wadogo ndoto zao zimeishia sehem sio sahiki
Tunaomba na huyo afande apatikane aliyeharibu maisha ya hao vijana naye apandishwe kizimbani kujibu mashitaka yake tunatska haki itendeke siyo hao vijsna tu waliotolewa kafara na huyo fatuma
Sisi tunaelewa kua hiyo hukum iliotoka nikuwadanganua watanzania walioumizwa na jambo hilo lengo watu wasahau na wawaachie maana kama ingekua lengo kutenda hak huyo fatma ndio angekua mtihumiwa wakwanza maana kama sio fatma hao vjana wasingeingia ktk tukio hilo
Mimi naona aulizwe huyo binti kama kweli aliwahikutoka na huyo mume wa afande kama nikweli basi idadi iyongezeke baada ya wanna wawe sita yani bi, Fatma na mume wake pia ili iwefundisho kwa jamii
Aliyewatuma naye awajibike. Ahsante serikali na viongozi kufanya hivyo iwe fundisho na kwa wengine
Safi sana wasitoke wafie hukohuko jela
Kabisa walijiona wajanja
Hongera sana mahakimu kwa kazi nzuri mliyoifanya ya kuwafunga hao jamaa ,,safiiiiiiiiiiiiiii
Ooh thanks God of justice's
Vijana wadogo jamani wameharibu maisha yao daaah! Mungu naomba unilindie vijana wangu wasijihusishe na mambo mabaya kama hao.
AaminaYaarabi watoto woote tuwaombee nasiye piaAllah AtupeUlinz
Tumefurahi sana sana
Vzr sana.asante sana.
Yaan inatia huruma wakati mwingine mbona kwa walichokifanya hakina hata faida kwao zaidi wamejiumiza,haya mambo Mungu tusaidie.saidia vizazi vyetu.
Kwawabakaji wamefanya ramaana sana nauyo bosi wao afungwe kifugo cha maisha
Safi sana
Wakafie huko
alie watuma naye swajibishwe kwa sababu isingekuwa yeye kuwatuma wasingefany kitendo hicho
mama mzima tena muislam unaaibisha sini yetu ukatili wa aina gani huo tena hali ya kua wewe ni mwanamke na ulipaswa kujawa na huruma na suo ukatili
fanya sana toba unemkosea mwenyezi mungu
Ahsante Mungu kwa hukumu ila huyo naye akamatwe yeye ndiyo chanzo chenyewe
Na yeye bibi Fatuma afuguwe maisha kwakua yeye ndio chanzo Cha yote mama Samia fanya aki ww ndio mungu 🙏 wetu wapli
Mungu wa pili mama yako
Kama Hawa wamehukumiwa maisha je huyu mama kahukumiwa Nini kifo au
Mama mtu mzima kabisa anapagawa na mpenzi na yeye afungwe kama wabakaji hapo ndo tutalizika sasa
Yani awo wasitoke ataupite msamaa Gani
,yan aki sawa kwa wote akiwemo bfatuma
Tumefurahi sana hao mashetani kwenda jela maisha na huyo bibi yao na yy afungwe kenge huyo tutaandamana
Chezea Mungu nyie,,, mlidhani Mungu ni Athumani,, Poleni sana hilo limeisha 50% bado 50% lakini hiyo faini ya milioni moja nindogo sana angalau mgeweka milion 10. sasa na huyo afande yupo WAPIIII JAMANI MALIZIENI HYO 50%
Kweli akuna aliyejuuya sheliya maisha ilakosanikubwa
Mungu ww ndio hskimu wa kweli
Afande aliyewatuma ndio mshtakiwa wa kwanza,nashangaa simsikii akienda kunyea debe.
Wenyeweee akiriii awanaaa kwasabaubuu umriii warokuaaa naeee uweziii kutumwaa nakukubariii wakatiii wanajuaaa nikosaaa kisheriaa
Angekua ni raia ungekuta asha hukumiwa, kwa kua ni afande basi yeye abaki
Wewe ukiambie vua nguo utavua ? sasa afande kosa lake nn🙄
Hukumu izingatiwe siyo siku 2 watu wako mtaani
Mm naona hii hukumu iliyotolewa ni ya kutupoza tu hasira ss watanzania baadae wataachiwa
Mwandishi sasa duuu
Imetenda haki kabsa ila huyo bibi fatuma nayeye afanyiwe chapu tujue man yeye ndio chanxo kwa watt wetu hao ni wadogo ndoto zao zimeishia sehem sio sahiki
Tunaomba na huyo afande apatikane aliyeharibu maisha ya hao vijana naye apandishwe kizimbani kujibu mashitaka yake tunatska haki itendeke siyo hao vijsna tu waliotolewa kafara na huyo fatuma
Sisi tunaelewa kua hiyo hukum iliotoka nikuwadanganua watanzania walioumizwa na jambo hilo lengo watu wasahau na wawaachie maana kama ingekua lengo kutenda hak huyo fatma ndio angekua mtihumiwa wakwanza maana kama sio fatma hao vjana wasingeingia ktk tukio hilo
Nauyo askari afunge yeye ndio chazo🎉😢🎉
Nashangaa aliyewatuma kapewa kinga nchi hii ya ajabu sana
Walikua watano ao mmoja bado yuko wapi uyofatuma kigondo yeye nani akamatwi
Tunataka afande ahukumiwe yy ndo chanzo
Vp kuhusu afande huyu bibi kizee anaendeekeza ngono,hatujaona akihukumiwa Yuko wapi?
Kama afande yeye hayupo kwenye iyo hukumu nahao wenginge waachiwe tu
Je huyo aliye watuma inakuaje mbona hamusemi
Nayeye ashugulikiwe kifungo ikoiko
Mama wamfunge yy ndo chanzo cha yote
Tunaomba aovijana wasiteseke pekeyao tunataka aliyewatuma uyoasa kawapeleka watoto wawatu pabaya Sana
Naye Fatima hapate hadhabu
Mbona wale walomuua mchimba madini kule Mtwara kesi yao kimya mpaka leo au imeisha kimya kimya
Walihukumiwa kunyongwa mbona
Mimi naona aulizwe huyo binti kama kweli aliwahikutoka na huyo mume wa afande kama nikweli basi idadi iyongezeke baada ya wanna wawe sita yani bi, Fatma na mume wake pia ili iwefundisho kwa jamii
Nyundo ishagongwa
Bibi zima bado lina wivu sasa umri uwo mtu asitafute chura, likamatwe nalo likawekwe ndani mtu ushaa kua bibi tulia usaidiwe,
Aliyewatuma vipi mbona ajakamatwa😢😢
Hapana kakingiwa kifua bana
,mbona ukumu ya afande alie sababisha atumuon akiukumiwa
,tunataka afande nae akanyee debe
kwann afande abaki?
Kosa la Afande ni lipi ushaidi haukujitosheleza
Alie watgma hana hatiwa ushahid haupo yy hakuwatuma wao tu kihelehele nani atumwe kuuwa na akauwa kes yake muuwaji
Bora walivyo hukumiwa hao
Ili make headlines maneno haya hayasemeki Kiswahili?
Vipi master mind mwenyewe a.k.a afande fatuma nn yy hukumu yake? Au yy yuko juu ya sheria? Maana hatumuoni kushikwa
Hajakamatwa ndugu
Inatosha mwanamke hakuonekana kushiriki
Yy ndio muhusika mkuu wasimlinde
AlhamduliLlaah
Unakata matawi mzizi una acha
Bila kumkamata huyo ni kazi Bure na Ina kera sana,hatukubali
Akamatwe na uyo shetani mzee awekwendani
Afande nae anyongwe
Bibi fatma hana kosa.hao askar tamaa zao zimewaponza
Angekua ni raia ungekuta asha hukumiwa, kwa kua ni afande basi yeye abaki
Bado afande Naye afungwe