BABA WA FAMILIA ILIYOCHOMWA MOTO KWENYE GARI AFUNGUKA "MKE WANGU HAKUWA NA UGOMVI NA MTU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @toshackmadege5507
    @toshackmadege5507 8 годин тому +7

    😭😭😭😭 Pole sana baba ,tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuhimili jambo hili gumu na zito

  • @janedenisi7056
    @janedenisi7056 7 годин тому +4

    Nilichogundua ni kwamba huyu baba ni mpole sana hawezi hata kuongea dah pole sana baba yangu Mungu akutie nguvu😢

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 58 хвилин тому +3

    DU! BORA KWENDA KUISHIA PORINI NA WANYAMA KULIKO KUISHIA NA BINAADAMU WANYAMA WANAHURUMA KULIKO BINAADAMU😭😭😭😭😭

  • @mayahkim4390
    @mayahkim4390 8 годин тому +3

    Yani uyo jamaa mbona maswali yake ya ajabu. Mungu amtie nguvu uyo baba

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 8 годин тому +2

    Pole sana ndugu kwa msiba huu mkubwa na wa kusikitisha. Jipe moyo Mungu yupo pamoja nanyi.

  • @mariamali4252
    @mariamali4252 8 годин тому +5

    Mbona huyo baba kama hana uchungu jmny

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 7 годин тому

      Anao na Amelia sana😢

    • @dikakimishawasumbwahalisit7596
      @dikakimishawasumbwahalisit7596 7 годин тому

      Huyo ni mwanaume sio mwanamke

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 4 години тому +1

      Huyo bado yuko katika mawenge, subiri watu warudi makwao ndio akili zina rudi. Watu wa karibu wasimwache, watu wa hv wana wehukaga kwa uchungu.

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj 8 годин тому +3

    Poleni xana

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 4 години тому +2

    Dah uchungu anao usikia huyu baba acha kabisa

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 8 годин тому +2

    Pole kwa msiba huu mzito 😢

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki Годину тому +1

    Nina mashaka na pale anaposema alimuaga kuwa anakula na pia. Nyumba ilibaki. Wazi?? Jamani mungu tunusuru

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Годину тому +2

    Hao wauaji ni wa kuvunjiwa chungu aisee siyo wa kuachwa kabisa

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 годин тому +1

    Mh huyu mzee ahojiwe vzr something is not ok here 😞

  • @LeeCaramel-u3q
    @LeeCaramel-u3q 8 годин тому +3

    Lakini na mfiwa si afanyiwe uchunguzi…!!
    Sio kwa ubaya
    Na hakuna kilichoibiwaa mmmmmnh……..!!!!mmmmmnh

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 8 годин тому +2

    Unataka uchungu ufananeje na sisi tuone

    • @MonadiNadi-j6s
      @MonadiNadi-j6s 37 хвилин тому

      Watu wengine wanayaona yawenzao simpo subir yamkute 😭

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 50 хвилин тому

    Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba hu mzito…Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele marehemu🙏🏻

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 3 хвилини тому

    Je marehemu hakuwa mnoko huko kazini?
    Inawezekana kuna madudu aliyafichua huko kazini ambayo yameathiri ugali wa watu.
    Polisi waanze kufatilia Ofisini nini kimejiri miezi 6 kabla ya hili tukio.
    Je kuna watu walitumbuliwa? Au upigaji wao kufichuliwa?
    Pia namba ya simu yake ifuatiliwe kugundua nani aliwasiliana nao siku tatu kabla ya hili tukio.

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 7 годин тому +1

    Pole sana

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 8 годин тому +1

    Mkaguzi

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 22 хвилини тому

    Nilitamani kama intelegensia ya polisi ingeweZa kubaini na kuzuia unyamakama huu. Huyu mtoto amekufa bila kuonja ndoto ya maisha yake. Mungu nakuomba uingilie Kati wauaji wapatikane haraka.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 24 хвилини тому

    Mungu awalaze mahali pema peponi kwelimtu unawachoma moto watu wasio na makosa watu watu wamekuwa hawana hata hofu ya Mungu kabisa jamani

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki 57 хвилин тому

    Nyie jamani watoto watoto na alikiwa anaenda wapi??

  • @MwanahamisiBwanga
    @MwanahamisiBwanga 7 годин тому

    Hawex kuonges jamsnii😮😢😢😢

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 51 хвилина тому

    Hilo gari ni la nani?

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 52 хвилини тому

    Pole shayo

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 9 хвилин тому

    Pole Bro.....

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 4 години тому

    Poleni sana

  • @mbajawagome936
    @mbajawagome936 8 годин тому

    Pole sana

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 2 години тому +1

    Mh mimi ndio kichwa changu kizito au? Yaani jirani asimkute mkeo na yeyote ndani ya nyumba hapo hapo umwambie yeye akatoe taarifa polisi au ni intuition yako kali. Hakuna hata dada wa mkeo,maana ingekua mimi ningehangaika na watu wetu wa karibu kabla ya polisi,hata ile panick tu ningeanza na ndugu na watu wetu wa karibu kabla ya kumwambia jirani yeye ndio aende polisi,umeshaambiwa hawapo kwanini uaisubiri ufike ndio uripoti,ni nini unachokijua ambacho wengine hawakijui?
    Alafu mkaguzi ndio waue familia yote? Something is missing,anyways, mda utaongea.

    • @Vees12
      @Vees12 Годину тому

      Sasa uliitaka afanyeje wakati mtu yupo mbali?

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 44 хвилини тому

      @Vees12 umesoma kuelewa nilichoandika au umeamua tu kubaka comment? Was I suggesting what he should have done,did I say what he did was wrong,or I just raised my concern? Hebu nitokee na maswali ya kipuuzi,ungenielewa usingeuliza swali la hovyo.

    • @Vees12
      @Vees12 21 хвилина тому

      @@neemayatosha1618 so if you think you're right, why are you catching feelings? This shows how stupid you are. Eti embu nitokee na maswali ya kipuuzi....who are you not to be questioned?

    • @ashafelix8332
      @ashafelix8332 15 хвилин тому

      @@neemayatosha1618Kwa mujibu wa maelezo hawa watu hawaishi Tanga ni kwamba wana nyumba Tanga ndio aliposhukia mke akielekea Moshi kwenye mazishi. Inawezekana huko Tanga hakuna ndugu. Tumuombee haya maumivu ni makali ni vile tu ni mwanaume.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 10 хвилин тому

      @ashafelix8332 we Asha jamani,sasa kama hawaishi hapo ,hao majirani wanamuongelea jirani yao yupi,mke anaishi na kufanya kazi hapo,ila mume anaishi Dar. Mimi nawaza tu uchunguzi ufanyike,sijahukumu. Moyo wa mtu ni kichaka,huyo baba wamchunguze pia si kwa ubaya.

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki 53 хвилини тому

    Na alikuwa nyumbani sasa ilikiwaje akatoka kula? Hakumwambia mwanaume kuwa anatoka nje ya nyumba kwenda kula? Maswali magumu

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 7 годин тому

    😭😭😭🙆🙆

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Годину тому

    Mmmh huyu baba mfuatilieni vizuri mbn kama anamashaka mashqka
    Police anzeni na huyu baba

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 8 годин тому

    Nilijua anaehoji ni mwanamke kumbe ni boi mmmh

  • @PaschalNgodilo
    @PaschalNgodilo 5 годин тому

    Huyo dada alisomeshwa na mtu akamkimbia kwahyo alikuwa anawindwa.

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 4 години тому

      Mmmh walimwengu mmeanza!! Mtu ana mtoto mkubwa katika ndoa ndio aje kuchomwa leo 🙄

    • @MarthaMgaya-zo4bi
      @MarthaMgaya-zo4bi 50 хвилин тому

      Mmmmmmh😢

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 46 хвилин тому

      Unaweza kutujuza Huyo mtu aliyemsomesha anaitwa Nani na anakaa wapi anajishughulisha na nini?