Creativity and art in this video is of another level ❤..mara ya tano kuitazama 😊..nishajipa jina ..Amen ..nami nimwimbaji naomba mungu anifikishe ivi viwango
Nakupendaga sn da Martha na nyimbo zako, umenenepa umependeza ume shine 😘 daaah kweli hakuna mwembamba jaman, ndo amani ya moyo inachangia kuglow kwakweli. Zidi kubarikiwa sana
Unanibariki sana katika uimbaji ahsantee, jamani umenenepaaa ujue siyo yule wa kwenye ile Kwaheri nenda au penye riziki ulivyo kuwa ukicheza kama mjeshi
Barikiwa sana mama nakupenda bureeee❤❤❤! Nyimbo zako hizi za awamu hii zote ni 🔥 (SIJAONA, JIPE JINA, HILI NALO LITAPITA) na zikubali sana hizi Mungu akuzidishie mara dufu🙏
Madam Martha napenda nyimbo zako sana Kwanza wimbo wako wa BAKUSHUKURU MUNGU WANGIU ndio skiza tune and ringtone yangu. Leo hii najipa jiba mpya na nina jikubali jinsi nilivyo🙏🙏🙏👌
Ww dada weweeeeee Kwanza saut yako alafu umeimba kwa hisia kali mnoooooo as if ulikuepo kwenye maissha yangu ya 2012 to 2019 hii kipndi ilikua ngumu dhihaka kaali sana manyanyaso makaali nilitukanwa Sanaa lkn tangu nilipojipa jina na YESUKRISTO akaliptshaaaaaaaaaa now imukinionaa hhutaamn
Amen Amen 🙏 lave from Kenya 🇰🇪💗💗💗 Najipa jina mmi ni mbarikiwa🙏🙏
Wimbo ulio na ufunuo na upako. Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mama. Kenyans tupiteni hapa 🇰🇪🇰🇪 tukijipa jina, like ukisonga 👍
❤❤❤❤ huu ni kati ya nyimbo tamu za huu mwezi na isitoshe, yazungumza na wengi ❤ kama waamini kama mimi gonga like
Amen mie ni mbarikiwa
@@ElizabethNyamai-me2id Amen
❤❤❤❤❤ all the way from Kenya 🇰🇪
Naitwa mbarikiwa ,kibali ,upendo ,mfanikiwa kwatika jina la yesu❤❤🙌🙏🙏🙏
Thank you for the inspiration Minister Martha,i love you right from Kenya.Bwana akikuinua anikumbuke namimi
Wakwanza ku like naomben like zangu
Amen
How can I get it
Aya
Wacha nijipe jina mimi ni Tajiri , mwenye Neema, mbarikiwa na niko mrembo wa YESU 🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 God is changing my name hallelujah 🙏🙏 good song mami
Mm ni tajir Tena mrembo nishajipa jina ❤❤❤
Hongera hongera Hongera❤❤❤❤❤pongezi❤❤❤❤ pongezi dada❤❤❤❤
Big up guyz....it's blazing🔥🔥🔥
Amen Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏 may God bless you, the message is touching.
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Always blessed with your song ,
Amen nimejipa jina mm ni mbarikiwa na mwenye neema kubwa
Waoo nam nam leo na jipa jina la kubarikiwa leo amen🎉
Creativity and art in this video is of another level ❤..mara ya tano kuitazama 😊..nishajipa jina ..Amen ..nami nimwimbaji naomba mungu anifikishe ivi viwango
Natembea na baraka za Bwana! Amen 🙏🙏🙏
Mimi ni mbarikiwa,mrembo na nitajiri mmiliki wa majumba,magari,biashara na mashamba🙏🙏🙏🥰
Nakupendaga sn da Martha na nyimbo zako, umenenepa umependeza ume shine 😘 daaah kweli hakuna mwembamba jaman, ndo amani ya moyo inachangia kuglow kwakweli. Zidi kubarikiwa sana
Nayafuta majina mabaya kwa jina La ya Yesu,kuanzia Leo Mimi mbarikiwa Amina! Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amazing message
Amua ... Decide... Njenga uamuzi kweye mwamba.
AMEN AND AMEN 🙏 🙌 👏 ❤️ ♥️
Hayo nyimbo nimeipenda sana kwa sababu ata n'a mie niliipata ile jina kwa kweli
Nimebarikiwa sana
It has encouraged me in my current situation
Amen amazing
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻najipa jina god bless my mother
Eeeh Mungu wangu, nipe jina baba🙌🙌🙏🙏
Unanibariki sana katika uimbaji ahsantee, jamani umenenepaaa ujue siyo yule wa kwenye ile Kwaheri nenda au penye riziki ulivyo kuwa ukicheza kama mjeshi
Najipa jina Mimi ni Mbarikiua, Amém 🙏🇲🇿
Aksante sana ❤❤❤ mimi ni mubarikiwa !! Futur président
Amen Amen Amen
Mungu akulinde uendelee kumtumikia Mungu....nakupenda bure dada❤❤❤❤
Barikiwa
Sala/Maombi ndani ya wimbo. Mungu akubariki Dada Martha Baraka.
Am blessed ad beautiful hallelujah 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Beautiful creature of God me❤ ubarikiwe dada Martha
Powerful song. Blessings my sister 🙏🙏🙏
😢😢Najipa jina Mimi ni hodari, Mimi ni mshindi ,Mimi mzima kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth 🎉❤
Amen Am blessed alot,, nimejipa jina zuri
Very nice song❤❤🎉🎉
Barikiwa sana mama nakupenda bureeee❤❤❤! Nyimbo zako hizi za awamu hii zote ni 🔥 (SIJAONA, JIPE JINA, HILI NALO LITAPITA) na zikubali sana hizi Mungu akuzidishie mara dufu🙏
Bado sijamalizana na Mungu❤❤❤❤
Amen amen.
Usichoke kututumiya maombiya yako yangusa saana myoyo yetu sote ubarikiwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤beautiful
Barikiwa dada Martha baraka umenibariki sana
🎉🎉 blessed, nice song
Hallelujah,,,
Thanks God
Hongera mtumishi
Hallelujah!! God is able and faithful
MUNGU akubariki sanaaa mtumishi wa Mungu, Mimi ni mbarikiwa❤❤❤
Heko mum.. wimbo mzuri wenye kufariji
Mtumishi wa MUNGU, Martha dada Yetu Asante Kwa ujumbe mtamu katika wimbo , MUNGU akutunze na azidi kukuinua
Ubalikiwe sana mtumishi wa mungu
Kwa wimbo huu sasa umetisha Dada Martha
Ubalikiwe sana
Hii nyimbo😊
Madam Martha napenda nyimbo zako sana
Kwanza wimbo wako wa BAKUSHUKURU MUNGU WANGIU ndio skiza tune and ringtone yangu.
Leo hii najipa jiba mpya na nina jikubali jinsi nilivyo🙏🙏🙏👌
Mimi ni Mbarikiua Amém Glória Deus.
I feel blessed
Wow❤❤❤another hot one from the kitchen
Amen nimebarikiwa🙏
Barikiwa mama ,,🥰🥰
Mimi Ni mbarikiwa
Am highly favoured by God
Am God's favourite ❤❤❤❤❤
Yesu kristo akubariki milele
Amen mimi ni mbarikiwa wa Bwana
Amin mimi nmmbarikiwa ❤❤❤
Amina mtumishi❤
Ubarikiwe Sana mtumishi naomba like zangu ❤🎉
❤❤❤❤❤barikiwa sana
Asante dada ❤❤
Ameen ,blessing❤🎉
God bless you, kenya doing wonders
From today najipa jina "Mbarikiwa"🙏
Haleluyaaa
Napenda kazi zako na kila mara Mungu Anakutumia na upako mpya. I love you siz.
Am blessed
Amen amen 🙏🙏 ujumbe mzuri Mtumish
Hajawai kukosea yani mnakubali sanaaa
❤❤❤❤ wimbo umegusa maisha yetu kwa ujumla hakika mungu akukumbuke pastor
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU 🎉🎉🎉🎉
Waoooh dada martha wimbo mzuri sana pia mimi napenda unavyojiheshimu mpaka raha
Blessed 🙏💞
You have built me cos of many names ihave called.sister be blessed
Wimbo ni🔥
Blessing..jipe jina..mungu yuko
NIKWELI SST KAZI NZURI 🎉🎉🎉🎉
Ww dada weweeeeee
Kwanza saut yako alafu umeimba kwa hisia kali mnoooooo as if ulikuepo kwenye maissha yangu ya 2012 to 2019 hii kipndi ilikua ngumu dhihaka kaali sana manyanyaso makaali nilitukanwa Sanaa lkn tangu nilipojipa jina na YESUKRISTO akaliptshaaaaaaaaaa now imukinionaa hhutaamn
BIG UP SANA SIZO MUSIC BROTHER❤
Amem mama barikiwa
Hongera dada yangu kaz yako ni njema mno
Mimi ni mzuri nko na sura nzuri mbarikiwa na mshindi kwa jina la Yesu. Be blessed my sister for a good message
🙏 ameen being blessed pastor, ujumbe tamu
❤❤❤❤ asante mtumishi
Woww keep going mum
Mungu anajibu ❤❤❤❤😂🎉
Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Amina Amina Mimi ni mbarikiwa wa yesu.