Martha Baraka - Walinikataa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @edithmalei
    @edithmalei 8 годин тому +8

    Kweli mungu sio mwanadamu, wapi likes zake madam Martha wakenya wenzangu kwa huu ujumbe🎉🎉🎉

  • @Kasaybaraka
    @Kasaybaraka 6 годин тому +4

    MUNGU wangu na aku Baraki Sana dadangu Mimi Ni Kasay Baraka from Beni town Dr Congo

  • @heriseba8058
    @heriseba8058 7 годин тому +3

    Ila kwa sasa nainjoi asnte mungu wangu

  • @Christina-z6h
    @Christina-z6h 6 годин тому +2

    Jaman mtumish umenenepa umependeza had raha

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg 7 годин тому +3

    Hii nyimbo ya kufungia mwaka kwangu imenikumbusha mbali sana

  • @stellambilinyi5402
    @stellambilinyi5402 10 годин тому +9

    Jaman nimekuwa wapili kukoment nipen lik zangu barikiwa madam🎉🎉

  • @salummelack
    @salummelack 7 годин тому +4

    Yani martha nakupenda bure kabisa Mungu azidi kukubaliki❤🎉

  • @calistustindi1119
    @calistustindi1119 7 годин тому +3

    Tuko hapa.Amen

  • @charitynyclin4086
    @charitynyclin4086 8 годин тому +3

    Wimbo mzuri sana barikiwa sana 🙏

  • @SarahIngaiza
    @SarahIngaiza 7 годин тому +3

    Amen 🙏🎉🎉

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 9 годин тому +4

    Hakika Mungu wetu ni huruma sanaaa, kanibadilisha

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 7 годин тому +3

    Amen 😢😢🙏🙏

  • @samuelngumbau818
    @samuelngumbau818 9 годин тому +4

    Mungu wetu wa mbinguni atufute machozi 🙏🏻🇰🇪

  • @silviak1776
    @silviak1776 10 годин тому +4

    Amen 🙏🙏🙏🙏 hii mwimbo umenikumbusha kuna wakati tuliyapitia 😭😭😭😭😭

  • @erasmomasaga1792
    @erasmomasaga1792 10 годин тому +4

    Nimebarikiwa sana Mungu aendelee kukupaka mafuta ukitumika nyumbani mwa Bwana

  • @rogasialagho
    @rogasialagho 10 годин тому +4

    This song imenikumbusha mbali 😭😭😭 Kenyans plz pitieni hapa

  • @Jsoundsproduction
    @Jsoundsproduction 10 годин тому +4

    Wimbo hadi natoa machozi

  • @JanetkalamaJanetkalama
    @JanetkalamaJanetkalama 9 годин тому +4

    Amen Mungu wetu anahuruma nasis ata watukatae Mungu anabaki nasi n ktufuta machoz

  • @SamboJosephine
    @SamboJosephine 8 годин тому +3

    Am humbled to the Mercy of God❤❤

  • @simonmaige7785
    @simonmaige7785 9 годин тому +3

    😢😢😢😢😢 words can not explain how I feel 😭😭😭😭😭 goosebumps

  • @ommykibona8026
    @ommykibona8026 8 годин тому +2

    Amen 🙏

  • @Millieykitawa9652
    @Millieykitawa9652 10 годин тому +4

    Wakwanza leo❤❤ nipeni likes

  • @LilianMaska
    @LilianMaska 9 годин тому +3

    Wakenya

  • @MichaelKambao-rs3ck
    @MichaelKambao-rs3ck 8 годин тому +2

    Wakenya mko wapi na likes zetu❤️❤️❤️

  • @mch.deosinkala3120
    @mch.deosinkala3120 Годину тому

    Asante sana. Umenitia nguvu sana kupitia huu wimbo wako. Bwana MUNGU anikumbuke

  • @heriseba8058
    @heriseba8058 7 годин тому +2

    Aki nimelia sana maana najua maisha yangu naona kama hii nyimbo ndio mm jaman 🎉

  • @AthamanRamadhani
    @AthamanRamadhani 5 годин тому

    Nyimbo nzuri my artist Martha Baraka

  • @rehemabinti8465
    @rehemabinti8465 9 годин тому +2

    Amen

  • @Jsoundsproduction
    @Jsoundsproduction 10 годин тому +2

    Amen 🎉🎉🎉

  • @MonicaChakwe
    @MonicaChakwe 10 годин тому +2

    Amina sana nikweli dada

  • @SarafinaNyamvula
    @SarafinaNyamvula 5 годин тому

    Amen ,mama wa kipekee..my mentor.. Mungu akubariki sana dear elder sister ❤❤❤love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Mamisaclaudineesther
    @Mamisaclaudineesther 3 години тому

    Que Dieu te bénisse abondamment mama martha baraka❤❤🎉🎉❤🎉🎉❤❤❤

  • @Beny_Daniel
    @Beny_Daniel Годину тому

    Amen Mtumishi hongera sana kwa kazi nzuri sana!❤💯✝️🇮🇱🇹🇿

  • @MedrickMzumbwe
    @MedrickMzumbwe 5 годин тому +1

    💛💛💛

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 годин тому

    😢😢😢😢aisee lakin m siongei cku nikifika mahal nataka bas nitshuhudia acha nshukuru at kwa uhai😢

  • @Betty-m5n
    @Betty-m5n 10 годин тому +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @amosciza6392
    @amosciza6392 7 годин тому +2

    Inanikumbusha mengi hii nyimbo. Mungu azidi kukupa nguvu.
    Naomba number Yako maman