ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- #nabiifekikulachumahicho#annointamani#
Lengo la ujumbe huu ni kwaajili ya kukemea wahuni wote, wanao harbu kanisa kwa kujifanya watumishi wa Mungu kumbe ni wahuni tu wanaotqka kujinufaisha kupitia Injili🙏
Song,Nabii feki kula chuma hicho
by Annoint Amani
👇
Tiktok,Annoint Amani tz.
👇
instagram,Annoint Amani tz.
Whatsapp & call
+255767240181 = +255755099942 )
👇
Video directed by Meddy
audio ,A.E.A TONES prod by Meddy & Tito )
Team strong wenye twasema na akina waigiru iko wapi like ya Anoint from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 like plz
From Kenya sijawai pata likes Kwa nyimbo zako😢 am ohangla gospel rhumba kazi safi my brother nipewe likes mukinifuata youtube 😅😅😅😅
Pia huku mko
😮😂❤ 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@@jjkinara6576 every one is an ambassador 😂😂😂😂 tunawakilisha kila pande mkuu
I will follow you
🎉🎉🎉❤❤ Gods work iendelee
Nabii mtapeli hio ni ukweli sikuizi wanatumia kazi ya mungu vibaya wambiee waskie nimebarikiwa
Kiboko cha wachawi kula chuma icho😊😮😮😢😢😢
Jaman
Mi sijawahi kupata Like hata Moja
Anton Safi nimeipenda hii 🎉🎉🎉
From kenya, naomba utuletee zaidi nyimbo kama hizi zinafunza mengi na mungu akulinde
Wee na unaimba sana Jitu la Mbinguni 😅
MUNGU NI MWEMA KING KASOLO 💪
nyimbo nzuri saana ila nashauri mauno yapungue au yaatolewe Bro ❤
Anointing Aman King of Gospel...Watanzania na wakenya nipitieni twende UKAMBANI❤❤❤
Nipeni hata Mimi like jamani, Kula chuma hicho
What a wonderful song . Jameni nipe like zenu ndugu zanu wa kenya . Sisi tuko south Africa 🇿🇦 tunawapata
Wimbo mzuri San Kwa nabii wa uongo🎉🎉🎉 pokes Maua yak mtumishi🌹🌹🌹🌹
Walioingojea video kwa hamu gonga like
Yaaaah good job,nitakutaf
Loving you from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
Hata hapa Germany tunakwenda kabisa barikiwa Mtumishi
Florence ❤❤❤❤❤❤
Mungu asante Kwa kunifungua macho ya kiroho ...tusome bibilia jameni ..yaani unapata watu wako brainwashed hawezi wskajua ukweli...asante yesu.
Wale tumeletwa kutoka Facebook tukutane hapa😂❤
😂 umejuaje
Heheheee hii Ni tofauti sana hata kudance,Ni Rose muhando kabisa.🤣
😅😅😅
Hahaha tuko hapa
Hongela kijana ujumbe mzuli Sana
Umeimba vema mkuu wangu sema nashauri kwa nyimbo za kuonya kama hizi za kuonya hivi wanawake usiwavalishe suluari nimaoni lakini mkuu ila hongera nime like nimesabscribe pia
Ila nisamehe kama utanielewa vibaya na nikupongeze yaani umeiba vyema na mfano mzuri wa senga na anavyo jua kuekiti basi umepatia nadhani ujumbe wako wameelewa wengi wale manabii wakigaili hela za mboga wanawaza kua manabii basi wamepata ujumbe
Pia kwa nyimbo za kukemea tabia mbaya za manabii asingeingiza na kumsifia nabii wake humo maana anafanya nyimbo ionekane ni ya majungu na siasa
Bora wavae surual kuliko vmin maana hazjawabana
Wavae nguo za heshima sio kimini Wala suruali
@@pomyale2952Hao aliowataja ndo waanzilishi wa mitume na manabij Tanzania ,Wamejitaidi kulinda ukrsto ndo maana amewatolea mfano 🙏
Lit🔥👏
From Kenya,Likes za Wakenya 5000000
Safi sana
❤❤❤wapi likes zenyu
Ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri.
Finally wimbo wa manabii feki inaendelea kuwafikia kwao,,barikiwa sana mtumish point taken ❤❤
Jamani huu wimbo unaupako hakika Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubali mwanao kazi iko nzuri mama
Mungu ndio Jina lake 🙏🙏
Kula chuma hicho,hiiii imeeenda😂😂😂😂 Anoint Amani hebu akuje kenya
Imeandikwa kuwa nyakati za mwisho kutakuwa na nabii feki na Wakristo watakimbilia miujiza kwa nabii feki kuliko kufuata njia sawa. Matthew 7:14-15.
Amin
Wape vidonge vyao.wamezidi kuwatapeli watu wa Mungu.keep it up!
Maboya tena.hakuna kitu pale .wote ni wale wale tu.
Jamaaniiiiiii😂😂😂😂 ameze kabisa hâta kikiwa chamoto❤❤❤❤❤❤❤
From kenya ii nayo imeenda 👏
Wamejaa kila mahali sadaka ndio wanataka wakule😂😂😂😂😂😂😂washindwe mungu yuko karibu kurudi😢😢😢😢😢😢
kulaaa chumaaa ichooo kibokoo ya wqchawiii
Fact be told,,Annoint wewe ni mtoto wa mungu. Barikiwa milele. Ishi kumtukuza mungu na usibanduke kamwe. Maanake kitakuramba. Tunakupenda sana.
Hongera❤❤ hongera❤❤❤ hongera msanii❤❤
Ukweli nabii fake wakule chuma hicho😊🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mungu akubariki msanii❤❤❤❤uishi miaka mingi kwa hii dunia❤❤❤🎉🎉🎉
🥰🥰🥰aky hii wimbo n smart kama mwenyewe
Wapii like za pastor kanyali na fimbo yake, hell is becoming hotter and hotter because of some prophets living under the sky
Ale chuma hicho
🎉🎉🎉🎉 good 👍😊 work
Kazi yako ni mzuri kab😂😂😂nakupenda bro 🙏🙏🙏
Congrats wakule chuma hicho manabii wa uongo
Bwana Esau, hongela sana. Kwa Wimbo huu!
Wimbo mzuri sana,,,Nawependa sana kutoka kenya Maua yangu ndo hiyo❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉🎉
Kwa hakika hii imeenda, mtumishi pongezi sana kwa wimbo mzuri sana
AMEEN MDOGO WANGU MZURI 🙏WALIO WA MUNGU WATAISIKIA SAUTI YA MUNGU 🙏
Ilitakiwa aanze kula chuma yeye kwanza kabla ya hao manabii feki hana tofauti nao
😂😂😂
Amen 🙏 umenigusa waaaaaaaaa hatari mungu akubariki Sana akutende mema siku zote wakenya wapi like 🎉🎉🎉
😂😂😂😂Nimecheka na wenye sare anayefatwa naye kafata mwendzie..aki baba halima mauwa🎉🎉🎉🎉 chukua
Mungu akupe kibali katika kazi ya kwako🎉🎉🎉
Safi sana Annoint much love from Kenya
🎉🎉🎉
Ni kweli siku izi manabii wengi hawakemei dhambi wanajifanya wanafanya miujiza wanapotosha watu hawasemi ukweli
Huu wimbo ume nikumbusha istoria ya nabibi kijana n'a nabibi mzee mimi ni Kasay Baraka from Beni town Dr Congo
Hii nyimbo iko namafusho kweli mm natoka kenya likes.song
Kaka tatizo moja2 unaka mauno wewe umeokoka cheza kwanizamu
Nabii wa buza kiboko ya wanga kula chuma hicho ! Mzee wa kawe alimaarufu mwamposa nawe kula chuma hicho ! mezen hata km cha moto dadek zenu hii imeenda
😅😅😅😅😅
Hii moto kabisa. Go go go go goooooo...... Nabii fake Kula Chuma hichoooo
Wimbo una ujumbe mzuri ila uwasilishaji wa shetani, Mungu hawezi kuwa radhi na wakata viuno na secular dance
Sawa kabisa
Kabisa yani ...ujumbe hauendani na uwasilishaji wake
Hivo viuno vya nn kwenye kazi ya Mungu.
Anamtukuza shetani
Wale chuma icho wamezidi amina mpendwa kazi nzur ubarikiwe
Hamna tofauti ya mwimbaji pamoja na nabii wa uongo yote matapeli tu unanengua kumzidi cofee
am apostle Nicholas Mutua Kenya Nairobi naipenda Sana him huduma yako Kaka barikiwa sana
Naomba uwe unanyoa vizuri na wanawake wasivae suruali
Hakika,wakivaa magauni mazuri itapendeza zaidi
Kweli anyone vizuri sio nywele fup na ndefu kama wakala wa shetani,..nyimbo nzuri,ujumbe mzuri"
@@ryobanchagwa2499 safi kabisa mkuu na mimi nilimshauli hivyo lakini naona kunawatu wanakuja inbox kwangu wananigombeza kweli binadamu sisi tumehubili tu kama wao walivyo hubili kwa nyimbo
@@Azizi-f1u nikweli kabisa jamani nimependa maoni yenu sana mimi mwenyewe nilimwambia ameimba ujumbe mzuri suluari sio vema sana kwa mwanamke anajifananisha na ambao hawamjui mungu
@@msebukwatv1 ni muhimu azingatie Yale anayoambiwa
Ukisikia chuma ndo hiki sasa,mtumishi chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
Raha ya milele umpee Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie Apumzike kwa Amani . to soon marko😢
Amen amen 🙏🙏 daddy wangu wakipeke 💃💃💃 lakubaliana na wewe daddy uko juu
Danieli mgogo 🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣 abarikiwe kutoka Kenya.
Imeenda kabisa paka uku Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉
Waambie Hawa matapeli labla watabadika jaman mungu atuepushe na Hawa wadudu
❤❤ hallelujah 🙏🙌 ujumbe umefika huku Europe 🌍😊
Hongera Sana rafiki yangu kazi hii nimeielewa
Wakenya kujeni 💕💕💕💕💕💕💕💕 hii tumekupatia tic
Wow so amazing and wonderful message 🙏🙏🙏🙏Wasikie sasa manambii
Nice one hiyo niukweli
Hila senga jamani😂😂 me nakukumbali san❤❤
Nani kaka wewe wooooow🔥🔥🔥🔥🔥 wachome kabisa daddy 🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
From Congo 🇨🇩 ♥ 100.000.000.000
Mtumishi punguza kukata mauno, watu wakiangalia nyimbo zako waingie rohoni cyo kuangalia mauno
Bora umekuwa mkweli kuliko kuwa mnafiki! Dunia ya Sasa ni kuambiana ukweli ili mtu akatae mwenyewe kubadilika!!
Haja akatie mungu mauno kuliko shetani ,daudi alichezea mungu hati nguo zikarauka ebu kata mauno hati mwili ipungue
Yani nyimbo zako ziko kimwili zaidi kaka. Acha kukata viuno mtumishi wa Mungu. mbona abiudi misholi aki imba akati viuno. Mbona sedekia aliimba akukata viuno. Yani wewe viuno kelele nyingi. Imba mtu azame kiroho.
Injili yake na baba yangu Mwingira kweli haifanani😂😂😂ale chuma tu nabii wa uongo
Ongera mwanangu we una tisha balaaa.nazipenda mimiii
Yaaa Kasi njema wambie awasikii❤
Aman hongera sana mungu AKUPE MAISHA marefu
Wimbo tamu sana 💯 💶 💯 💶 💯 💶 💯
Wazanzibari wapi like jmn
Ati nabii vimacho kama nn weeuh 😂🔥🔥 Kenya 🇰🇪🇰🇪🥰❤️🥰
Can i prophesie😂😂😂 mungu akuzidishie mtumishi wa mungu
Kweli Kaka barkiwa Sana mno
Wakwanza from south African ongera sn mtumishi wamungu
Nimependa saana.mungu nimmoja kaimba kwaniaba yawote.WALE CHUMA HICHOO
Umeidance Vizur nimependa video iko highlights
Kwanza hapo vile umesema mgogo wewe umeweza kabisa enyewe hii imeenda
Ameen Ameen Ameen from Kenya 🇰🇪
Waaaoo nukuri urampimbara ahubwo uzuze muhira unyigirize abana
Barikiwa sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hongera mwanangu.unanibariki..kutoka kenya
My favorite songs annoint unajua bhana
Hongera 🎉🎉 moto moto wimbo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Goooooooooood !!
Nyimbo nzur ila kuna watumishi baadhi umewataja humo na wenyew injiri zao ni za hovyo, maboya, mwakasege, na mwingira
Hiyo verse ya mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Jmn anoint namkubali sana simu yangu imejaa nyimbo zake ubarikiwe. Na Mungu